Habari!
Nataka kuingia kwenye biashara ya utafutani madini ya dhahabu lakini sio kwa kuchimba bali kwa tutafuta kwenye mito (alluvial gold).
Naomba kujua ni mito ipi ina ile dhahabu ya mchanga? Na kijiji kipi? Na gharama/utaratibu wa kujiunga na wachimbaji wadogo ni kiasi gani na utaratibu upoje?
Watoto wetu wasikatishe masomo kwa sababu ya uchimbaji madini. Tuwahakikishie elimu itakayowawezesha kuendelea kujipatia kipato hata baada ya machimbo kuisha, ikiwemo kufanya biashara ya madini ndani na nje ya nchi.
𝐃𝐤𝐭. 𝐌𝐰𝐢𝐠𝐮𝐥𝐮 𝐍𝐜𝐡𝐞𝐦𝐛𝐚
𝘞𝘢𝘻𝘪𝘳𝘪 𝘔𝘬𝘶𝘶 𝘸𝘢 𝘛𝘢𝘯𝘻𝘢𝘯𝘪𝘢
🗓️ Novemba 11, 2026
📍 Segese...
dkt. mwigulu
dkt. mwigulu nchemba
elimu
madini
masomo
mkuu
mwigulu
mwigulu nchemba
sababu
uchimbajiuchimbaji madini
watoto
watoto wetu
waziri
waziri mkuu
MAZINGIRA MAGUMU YA UTENDAJI KAZI YA WATUMISHI WA IDARA YA UCHIMBAJI WALIOTOKEA RUWASA NA KUHAMISHIWA OFISI ZA BONDE.
Watumishi wa Idara ya Uchimbaji tuliokuwa ofisi za RUWASA kutoka mikoa mbalimbali tulipatiwa barua za kuhamishiwa katika ofisi za Mabonde kama Bonde la mto Rufiji, Bonde la mto...
Anonymous
Thread
bonde
idara
kazi
magumu
mazingira
mazingira magumu
ofisi
ruwasa
uchimbaji
utendaji
utendaji kazi
watumishi
Wakati wananchi wanajitafuta mfano wameona hapa wafanye biashara zao au mambo mengine na ilo eneo cha kushangaza wala serikali ijahusika.
Baada ya mda unaona serikali imeingilia ilo eneo na kuanza kupangia watu,kufukuza watu kwa kisingizio cha muwekezaji.
Leo hata mkianzisha sehemu ambapo...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesisitiza umuhimu wa kurasimisha taratibu za ushirikiano katika shughuli za uchimbaji wa madini kwa kutumia mikataba rasmi, akisema hatua hiyo itasaidia kuweka wazi makubaliano ya pande zinazohusika na kuzuia migogoro.
Ametoa kauli hiyo wakati akizungumza...
dkt. mwigulu
dkt. mwigulu nchemba
katika
kutumia
madini
mkuu
mwigulu
mwigulu nchemba
shughuli
taratibu
uchimbajiuchimbaji wa madini
umuhimu
ushirikiano
waziri
waziri mkuu
Wizara ya Madini ya Tanzania imefuta leseni za uchimbaji za kampuni ya Volt Resources kwa mradi wake wa grafiti wa Bunyu, ambazo ni ML 591/2018 na ML 592/2018.
Volt Resources (ASX: VRC) imethibitisha kupokea taarifa rasmi kutoka kwa Wizara ya Madini kuhusu kufutwa kwa leseni hizo, jambo ambalo...
Wadau,ni kwamba tunatafuta mtu wa kushirikiana nae katika uchimbaji wa dhahabu,maana yake ni kwamba,tumefikia hatua tumeishiwa lasilimali fedha,kwaiyo tunatafuta mtu atakae kuwa tayari kutuunga mkono ili tufike kwenye uzarishaji.
Atakae wiwa kushirikiana na sisi anakaribishwa kutembelea site na...
Tunachimba visima virefu na vifupi mikoa yote:
ZIFUATAZO NI GHARAMA ZA UCHIMBAJI KILA MKOA
Dodoma -mita moja tunachimba 80,000 na survey tunafanya kwa 400,000
Arusha-mita moja tunachimba 120,000 na survey tunafanya kwa 600,000
Kilimaniaro-mita moja tunachimba 130,000 na survey tunafanya kwa...
Watumishi wa RUWASA ambao tulikua kitengo cha uchimbaji mpaka leo hatuelewi hatima yetu ni nini, kwani toka tusikie kwamba Idara ya Uchimbaji imeondolewa RUWASA na kupelekwa Ofisi za Bonde, na mashine zote za uchimbaji kukabidhiwa ofisi za Bonde, na ikisemekana kwamba baadhi ya Watumishi itabidi...
Wakazi wa Majichumvi Mtaa wa Tembomgwaza-Kimanga, wilayani Ilala jijini Dar wamefunua vinywa vyao kulalamikia uchimbaji haramu wa mchanga pembeni ya Mto Luhanga unaofanywa na vijana, hivyo kusababisha mmomonyoko unaohatarisha kuanguka kwa nyumba zao.
Kwa mujibu wa baadhi ya wakazi wa eneo hilo...
Habari wa juu
Nimekuja hapa kwa lengo moja tu natafuta mtu wa kunishika mkono anayejihusisha na mambo ya madini
Mimi ni kijana wa miaka 26 nipo Dar es Salaam
Lengo la kuja hapa ni kuomba kama kuna mtu anayejihusisha na maswala ya madini anasehemu ambayo anafanya uchimbaji ambayo anahitaji...
WACHIMBAJI WADOGO WAGEUKA NGUZO YA SEKTA YA MADINI TANZANIA.
Na Mwandishi Wetu,
Katika historia ya sekta ya madini nchini, wachimbaji wadogo mara nyingi walionekana kama sehemu isiyo rasmi, inayochangia kwa kiwango kidogo katika pato la taifa. Lakini chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu...
Tunachimba visima virefu na vifupi mikoa yote:
ZIFUATAZO NI GHARAMA ZA UCHIMBAJI KILA MKOA
Dodoma -mita moja tunachimba 80,000 na survey tunafanya kwa 400,000
Arusha-mita moja tunachimba 120,000 na survey tunafanya kwa 600,000
Kilimaniaro-mita moja tunachimba 130,000 na survey tunafanya kwa...
Wakuu kuna MTU aliwahi kusema TUNDU LISSU Alikamatwa Kwa maelekezo ya ROSTAM AZIZ mara baada ya TUNDU LISSU kugusia Usafishaji wa kimagendo wa Makaa ya Mawe na Madini ya Uranium Tani Kwa matani kwenda nje ya Nchi .
Humu JF pia Kuna mdau aliandika kua Madini haya yamekua yakisafirishwa Kila...
Je unahitaji kuchimba kisima cha maji safi na salama cha kutoboa mwamba mambo yafuatayo ni ya kuzingatia kabla hujachimba
✅jambo la kwanza fanya geophysical survey survey kubaini eneo lako lina maji na yako umbali gani kutoka uso wa dunia sababu gharama ya kuchimba kisima ni kwa mita moja kila...
Afundishwe vyema pia kwamba hakuna namna nchi inaweza kuacha jambo muhimu sana kama la ulinzi wa Taifa, watu, mali na makazi yao likafanywa na makampuni binafsi ya ulinzi, kwasababu tu eti jeshi la polisi liko na shughuli au tenda nyingi za ujenzi wa barabara na uchimbaji visima vya maji...
barabara
gwajima
jeshi
jeshi la polisi
kulinda
maji
makazi
mali
polisi
raia
uchimbaji
ujenzi
ujenzi wa barabara
usalama
usalama wa raia
visima
visima vya maji
wajibu
Wadau wengi Sana wanakutana na changamoto ya maji katika MAENEO yetu na wengi wanatamani sana kuchimba kisima Cha kisasa ila hawajafahamu gharama na taratibu zake
✅Taratibu ya kwanza ni kufanya survey kitaalam inaitwa geophysical survey yaan mtalaam kuja eneo lako kujua Je maji yanapatikana na...
Kumekuwa na utaratibu wa kikodi wa kiholela sana unaocha mianya ya rushwa ya wazi kabisa kwa Ofisi ya Madini hasa kwa eneo nililolitaja, nadhani utaratibu huu unatumika kote nchini, hapa wilaya ya Tarime, Mkoa wa Mara.
Mwishoni nitatoa pendekezo langu juu ya nini kifanyike namna nzuri ya...
Anonymous
Thread
jinsi
kodi
madini
moja
moja kwa moja
nyamongo
ofisi
serikali
uchimbajiuchimbaji madini
Leo nmekutana na habari kuhusu Tanzania kuingia mkataba wa uchimbaji Helium, kwamba Tanzania tutapata 17% tu huku mwekezaji akipata zaidi ya 83%
Nikiangalia kiundani mkataba huu wa Helium One (Southern Rukwa, Tanzania) na Serikali ya Tanzania kuhusu uchimbaji wa helium katika eneo la Southern...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.