uchawi

  1. B

    Wazee na uchawi wa mapenzi. Hii imekaaje?

    Jana mtaani kwetu kulikuwa na mechi ya timu ya mtaani kwetu vs timu kutoka Mbande. Sasa Upande nilio kuwa nimekaa kulikuwa na wazee wa kiislamu kadhaa wakawa wanapiga story kuhusu wanawake.. Mada ikawa kuhusu uchawi wa mapenzi.. Kati Yao kuna mmoja ana kama miaka 60 akawa anasema anawashangaa...
  2. Kwa kurejelea Biblia na Quran Tukufu, inawezekana kwa shetani kupitia uganga na uchawi kumpa mtu ugonjwa na akaugua hata kufa?

    Kulingana na imani za kidini, hasa kwa kurejelea Biblia Takatifu na Qur'ani Tukufu, jibu la msingi ni kwamba shetani anaweza kutumia uganga na uchawi kusababisha magonjwa au madhara, lakini hawezi kufanya hivyo kwa mamlaka yake mwenyewe—lazima kuwe na ruhusa au makadirio ya Mungu. Katika vitabu...
  3. Elimu ya uganga na uchawi kutoka kijiji cha Gamboshi

    Kuna tofauti kubwa kati ya mganga wa kienyeji na mchawi ila jamii imepotoshwa na sasa haina uwezo wa kuwatofautisha tena na sasa inaishia kuwaweka kaput moja!! 1. Mganga wa kienyeji ni daktari wa asili ambae ametumika kuitibu na kuikinga jamii dhidi ya mabalaa mbalimbali kwa maelfu ya miaka...
  4. Kinachowasaidia yanga ni UCHAWI na siasa za watu Fulani wa serikali, ila Hawana UWEZO WOWOTE KIMPIRA.

    Huo NDIO ukweli. Ukifanikiwa kujua mitego yao ya kichawi, kisiasa kimipango, basi umewashika makendeni. Kuna nguvu kubwa kichawi inafanyika Sasa mvua inyeshe sana na pia nguvu kubwa kisiasa na wanasiasa baadhi watumie ushawishi na nguvu zao kimaamuzi mechi iharishwe halafu mechi ijayo...
  5. Kisa cha msanii Y-Dash na uchawi wa Igogo Mwanza

    Wakati nafanya utafiti kuhusu " IMANI ZA KICHAWI NA USHIRIKINA NCHINI TANZANIA" nilitembea kwenye vijiji na vitongoji vyote vinavyo sifika kwa uchawi nchini Tanzania. Moja Kato ya vitongoji nilivyotembelea ni pamoja na kitongoji/ Kata ya Igogo iliyopo kwenye Halmashauri ya manispaa ya...
  6. Story za uchawi ni fiction story (stori za kubuni ) na zipo sana kwa ajili ya jamii ya watu wajinga tu

    Hizi story za uchawi , ni story ambazo zipo kwa ajili ya jamii duni na jamii za watu wajinga . Mwaka 2006 ulitokea msiba wa kumpoteza bibi yetu , ila kwakuwa bibi yetu alikuwa kaolewa ndoa ya mke zaidi ya Mmoja basi walisema karogwa na kuuliwa na mke mwenza. Kitu Gani kilitokea . Bibi...
  7. Uchawi na ushirikina ndio chanzo kikubwa cha maisha ya Mwafrika kutokupiga hatua

    Habari zenu. Nitajitahidi kuchambua kwa kina kuhusu hiki kitu ( unaebisha kuhusu uwepo wa uchawi na ushirikina umepigwa upofu, tafuta msaada haraka). Kati ya mabara 6 duniani, Afrika ndio bara ambalo maisha ya watu wake ni duni kuliko mabara mengine. Zipo sababu nyingi zinazochangia, moja kati...
  8. Je, kuna mtu yeyote aliyewahi kushuhudia na kuthibitisha uchawi? Njoo tuongee hapa!

    Wazee, I'm curious kufahm hili jambo kwa undani zaidi. Nimetembea hadi Sumbawanga nikitafuta uhalisia wa mambo haya, lakini nilichokutana nacho ni simulizi tu hakuna ushahidi wa moja kwa moja unaothibitisha uwepo wa uchawi. Inanifanya nione kama hii ni sawa na stori za wanaume kuibiwa nyeti zao...
  9. Utapeli kwenye uchawi na hatua za kuchukua

    Utapeli unaohusisha uchawi na uganga nchini Tanzania umekuwa ukichukua sura mpya, ambapo matapeli hutumia hofu, imani za kishirikina, na teknolojia kuwaibia wananchi. Kufikia Machi 2026, Jeshi la Polisi na mamlaka mbalimbali zimeongeza jitihada za kudhibiti vitendo hivi ambavyo mara nyingi...
  10. M

    Uchawi wa kupeperushwa unaosahaulisha mtu kuhamia nyumba iliyokamilika, kusahau kiwanja, kuhesabu mzigo wa dukani, kusahau deni, n.k

    watu hurogana kwa aina nyingi za uchawi ila kuna huu uchawi mwengine ambao wengi hamjawahi kuusikia KUPEPERUSHWA - Ni uchawi wa kumsahaulisha mtu asifuatilie mali zake Baadhi ywa watu wanapojenga nyumba zao huwa wanaweka watu wengine kuwa walinzi wa nyumba zao , lakini ujenzi ukikamilika...
  11. Mada ya ki intelejesia: Je ni dini ndani ya uchawi au ni uchawi ndani ya dini?

    Maslahi ya mada: Mimi ni Mkristo mshika dini Nimesoma sana dini yangu na dini nyinginezo, zinazomjua Mungu mmoja na zinazoabudu miungu.. Uchawi ama kwa ubaya ama kwa uzuri umetajwa kwenye kila dini niliyosoma Dini kwenye uchawi na ushirikina imetajwa na kuhusishwa sana! Sasa hebu tuone...
  12. Wanaosema uchawi uko Afrika tu wanahitaji kuelimishwa zaidi

    Sisi bado tunacheza na kafara za kuku, zongo chumaulete dawa za fumanizi , limbwata na ramli chonganishi Wenzetu wako viwango vya juu zaidi na wamenyooka sana na methodology zao ni simple Sana Wakichanganya Imani, asili na codes za ulimwengu wa hesabu za kiroho! Wanakutolea formulas ambazo...
  13. Chuki isiyo na sababu/msingi ni sawa sawa na uchawi

    CHUKI NI TUNDA LA UCHAWI Awali ya yote leo sikujisikia kabisa kuandika kitu chochote ila nimeona ngoja niandike. Sio mtu wa kuandika na sio muandikaji mzuri. Ila tuvumiliane. Zingatia mambo yafuatayo : a. Chuki isiyo na sababu ni bure kabisa ni sawa kufukuza upepo. b. Ili uchukie lazima uwe...
  14. M

    Haya mambo ya uchawi yapo kweli au ni tatizo la watu kukosa elimu na kuamini mazingaombwe ? kila nikiomba ushahidi ni stori za vijiweni bila ushahidi

    Mfano kuna kipindi rafiki yangu alikuwa ananiambia wachawi wanakuja kwake usiku kuna mapaka yanalia, kumbe yeye hakuwa anajua paka wakiwa kipindi cha joto ndio tabia yao Jirani alikuwa analalamika kuna kitu kinakwangua nyuma ya ukuta usiku, baada ya uchunguzi tukagundua ni paka alikuwa ananoa...
  15. N

    Watanzania hatupati maendeleo sababu ni nyingi, ila za msingi kabisa ni unafki na uchawi

    Rejea title, rejelea jukwaa. Ukitaka mada za maana nenda siasani kule ukqjionee vioja. Watanzania wanafki sana, tuambizane ukweli kwa kutoambizana kweli. Niyasemayo ni haki, na dhahiri shahiri tumezidi ufinyangu na ubazazi. Na baadhi ya ndugu zangu hasa wa kusini kule tumbunguze mitishamba na...
  16. Uchawi kwenye biashara ya Catering

    Usijichanganye kuanzisha biashara ya Catering kichwa kichwa. Wadau wanakupiga zongo bab'kubwa ama Chakula kinachacha ukumbini au hakiivi kabisa. Unapoteza wateja ukijiona. Imetokea mara kadhaa Chakula kinachacha saa ya kupakua mezani
  17. Kuna wakati wabongo walitaka kutuaminisha na hii kauli "hata hao wazungu wana uchawi wao"

    Acha uvivu, acha ushirikina. Mbinu zinazoonekana na halisia ndio hutatua matatizo au changamoto. Wekeza katika fikra halisia na sio za kufikirika. Biashara ni mtaji sio kuchinja kuku. Kupanda cheo ni bidii au kupendelewa sio kuchinja mbuzi. Hakuna cha nyota kuchukuliwa wala sijui kufifia...
  18. Usiku huu nimecheka sana sijui uchawi ama??

    Nikiwa natoka Kimara usiku huu kwenye bus Kaka mmoja kapendeza mtanashati kansalimia nkamjibu akaeema naona unarejea nkamjibu ndio He naomba sh 5000. Nkamwambia na 2000 nikupe hapana naomba alf 5..nkajibu sina Muda si mrefu akaja konda akaulizia naulii Nikaona mwamba anatoa 10000 kumpa konda...
  19. Hitler aliwekeza katika kutafuta nguvu za miujiza na uchawi kwa kuwatuma watu wake duniani kote wakazisake ila hawakuambalia chochote.

    Alifanya hivi ili iweze kumsaidia katika ambition yake ya kuitawala ulaya nzima. ila wewe 35+ bado unaaamini haujapata mganga mzuri na mafuta uliochukuwa kwa ben haukuyaambatanisha na sadaka nzuri ndio maana tabu hazijaisha
  20. Kuna wakati nilijiuliza kwanini nchi zetu za afrika kuna vichaa wengi wanaolanda landa mjini, wengi watasema ni uchawi, ila naamini jibu ni hili hapa

    Unakuta mwana alikuwa anapiga PCM pale pugu sec, ghafla akiwa prepo anaweuka na kuanza kuruka ruka, wanamrudisha nyumbani, cha kwanza wazazi wanachofanya ni kumpeleka kwa mganga anakaa mwezi mzima ila chalii. Anarudi nyumbani hali inazidi kuwa mbaya, anapigwa minyororo kama mbwa, mama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…