uchawi

  1. Video: Alafu utasikia kuna watu wanasema eti hakuna uchawi.

    Mgonile, Tukiweka ubishi pembeni kuna matukio ukiona tu papo hapo akili yako inakwambia jambo hili haliwezekani kwa kanuni za kawaida isipokua kwa nguvu tusiyoiona ila tunaweza kwa hakika kutambua uwepo wa nguvu isiyo ya kawaida katika mazingira fulani hadimu mfano katika tukio hili: video...
  2. Tukio la Diamond kutaka kuibiwa kwenye 40 ya mtoto wake laibua mapya! Uchawi watajwa, Ni nani?

    Video inayomuonyesha msanii Diamond Platnumz akiwa na msanii S2kizzy kwenye sherehe ya arobaini ('40') ya mtoto wake imeibua gumzo kubwa kwenye mitandao ya kijamii. Kwenye kipande hicho cha video, unaonekana mkono wa mtu aliyesimama kwa nyuma ukimgusa na kushika vito vyake vya thamani...
  3. Ukiwauliza wana JF kumi kama uchawi upo, 8 kati 10 watakuambia upo ila ukiwauliza hao 8 kama wana uthibitisho 95% ya maelezo utagundua hawana uhakika

    Mshana Jr usiniroge bro ni maoni yangu tu na data za kutunga tunga😁
  4. Uchawi upo wa aina nyingi sana!

    Sijui tuite mapinduzi katika sekta ya ulozi na uganga!? Haya yanafanyika na yanatokea kila siku mitaani na katika jamii zetu,yaani mtu anafanya kitu ndivyo-sivyo alimradi to inakuwa ametimiza kusudio la bwana mganguzi. -Upo uchawi unaotumia kupatwa kwa jua au mwezi,mti uliopigwa radi,kamba...
  5. K

    Uchawi anaoutumia mwanamke kukutawala(limbwata) -mshana jr legacy

    Mimi ni Mshana Jr derivative nipo hapa kukupa uchawi anaoutumia mwanamke kukumaliza. 1.Damu ya hedhi Mwanamke huchanganya kwenye chakula. Na mara tu baada ya kula utawala wa mwanaume unashuka kama CD4. Na hapa mwanaume hataona kosa lolote kwa mke wake na badala yake atagombana na ndugu na siyo...
  6. Mnaosema uchawi haupo, hiki ni nini.!?

  7. Je, ni uchawi au saikolojia?

    Hello jamii intelligence 👋 Wakuu hii habari ya uchawi nadhani sio jambo geni Uchawi ulitajwa kwenye vitabu vya dini hasa hivi maarufu Bible&Qur'an Kwa bible mfano Kutoka 22:18 inasema: Usimwache mchawi kuishi Huu ni ushahidi kua Bible inatambua uchawi Uchawi umetajwa pia kwenye Qur’an...
  8. GeorDavie kwenye kashfa nyingine ya ngono na uchawi na binti wa kizungu

    Sehemu hii kutoka kwenye makala ya Be Scofield katika jarida la The Guru Magazine inaeleza kwa undani madai na sauti zilizorekodiwa kutoka kwenye kipindi cha faragha cha "ukombozi" kati ya mtoa taarifa Melissa Archer na nabii anayejiita GeorDavie, ambaye ana uhusiano wa karibu na Kanisa la 5F la...
  9. kwa wale ambao hatuamini uchawi tulielezeeje kisayansi tukio hili la mwizi kunasa akijaribu kuiba

    Kuna tukio limetokea Dodoma eneo la Chaduru, ambapo kijana aliyekuwa akijaribu kuiba kwenye duka la spare mkono wake ukanasa kwenye sehemu ya duka, na inaelezwa kwamba alikaa hivyo kwa zaidi ya masaa 8. Sasa mimi ni mmoja wa watu ambao hatuamini uchawi. Kwa hiyo sitaki kuanzia kwenye hitimisho...
  10. Mnajua anacho kifanya Mzee Hassan Dalali kuzunguka uwanja leo Simba Day? Uchawi wa mwaka 1993

    Simba acheni utoto..Huo uchawi mlioutumia Leo ni uchawi ulisha expire toka enzi za Pontyo wa Pilato...Ni version ya uchawi ulio kuwa unatumika wakati Nuhu bado yupo kwenye safina.. Eti muasisi wa Simba Day azunguke uwanja kusalimia mashabiki.. 🤣🤣 Mnatuona wote watoto eeh? A nacho kifanya huyo...
  11. Toa uthibitisho wowote kuwa wachina wanaroga na uchawi wao una mauza mauza ndio maana wamewashinda wale wachawi wakuu wa Kariakoo

    waafrika tunapenda kujitetea ili kufanya make up upumbavu wetu, kwa sababu unafanya ushirikina sasa unataka uhusishe na wengine ili usionekane fala. Mmezidiwa mamlaka, mmezidiwq akili, mmenunuliwa kwa pesa alafu mnataka kusema mchina ku-survive hapo kariakoo eti kwa sababu anachinja sana mbuzi😁...
  12. Kwa wema Gani ulio nao mpaka ukatae kutumia uchawi

    Mijitu mingine hovyo kabisa "utalisikia Mimi siamini katika uchawi". Wakati huohuo linachuki dhidi ya wenzake, lisengenyaji, kahaba lakiume/ lakike, tapeli , jizi , linafiki na lioga likubwa. Ndio manaa binafsi sinaga huruma na ngozi nyeusi wenzangu, hususani wabongo , yaani ukijaa kwenye mfumo...
  13. TFF inauza uchawi kwa tsh 100m?

    Ligi ya TFF ina timu ambazo zimethibitika hata CAF kuwa zinafanya uchawi michezoni hadi zikapewa adhabu na CAF. TFF wanajua kuwa kuna timu ziliomba uongozi wa uwanja wa taifa iwaruhusu wafanye uchawi kwenye mechi za kimataifa. Tff inafahamu kuwa kuna timu zimewahi kumwaga chumvi uwanjani...
  14. Kwanini nchi za Afrika zimeshindwa kutumia uchawi kufanikiwa kombe la dunia?

    Uchawi na uganga unaaminiwa sana Africa ila ajabu pale uchawi unapohitajika zaidi kufanikisha mambo kama kwenye hili kombe la dunia hauonekani kabisa kuleta matokeo, Hii inathibitisha uchawi ni porojo tu, ni kama Nyuki wa mashineni.
  15. Uchawi farakana, uchawi gundu, uchawi kimavi

    Mosi: uchawi wa farakana unalenga kuvunja mahusiano na kuleta chuki, utengano, au migogoro mikubwa kati ya wanandoa, wanafamilia, au marafiki waliokuwa wakipendana sana. Pili, uchawi wa gundu unajulikana kwa kumletea mtu nuksi na mikosi endelevu, hali inayomfanya akataliwe na jamii, ashindwe...
  16. Uchawi farakana, uchawi gundu, uchawi kimavi

    https://www.facebook.com/share/v/1BVTA15BYj/
  17. Japo Uchawi Upo, Wachawi Wapo na Wanaloga!, Anayeruhusu Kulogeka ni Wewe Mwenyewe!, Unaweza Kuzuia Kulogeka Kwa Imani! na Ukawa Hulogeki!.

    Wanabodi Japo uchawi upo na wachawi wapo na wanaloga!, anayeruhusu hicho kilogo kikufikie, au uchawi ukufikie, na kulogeka ni wewe mwenyewe bila kujijua, wewe unao uwezo wa kuzuia kulogeka bila kwenda kwa mganga yeyote au bila kutumia zindiko lolote bali ni kwa kujitambua tuu kwa kutumia...
  18. Hapa ndipo uchawi ulianzia na hiki ndio kitabu chao

    Kuna vitabu viliondolewa kwenye Biblia tunayoitumia leo wakati wa mchakato wa kukusanya maandiko karne nyingi zilizopita. Kati ya hivyo, Kitabu cha Henoko (The Book of Enoch) ndicho chenye siri nzito zaidi na kimekuwa maarufu sana kwenye ulimwengu wa giza na ushirikina. Kabla hatujafika mbali...
  19. Broo/sister uchawi upo, hata DSM watu wanaroga,Mkurugenzi wa fish point Martin KOMBA alilogwa na anae Jenga biashara kama yake hapo hapo.

    Nina Imani wazee wa vijiwe mpooo! JE uliwai fika pale Mbezi beach kijiwe kizuri kabisa kilichojilikana kama FISH POINT? Ni kijiwe Fulani kizuri kilichohasisiwa na kijana mdogo sana aliyejulikana kwa JINA la Martin KOMBA,sijui kama hapo kijiweni alijukana kwa JINA ilo ILA naisi atakuwa...
  20. M

    Jinsi dawa za mvuto na uchawi wa ulivoivuruga familia yangu

    Hii ni simulizi fupi ya kweli ya mahusiano yangu na ndoa yangu,naomba wengi tujifunze na kushauri pia. Mimi ni baba wa watoto watatu naishi na familia yangu kwa miaka kumi sasa,katika maisha yetu na mke wangu tumeishi vizuri sana kwa maelewano mazuri,toka tuanze maisha chumba kimoja tumekuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…