uchawi

  1. Unaamini katika uchawi? Tushirikishe uliyowahi kukumbana nayo

    Do you believe In Witchcraft? Share you Experiences Wasalaam, Years ago in life movements, huko Songea katika harakati za msaka tonge, kama ilivyo silka ya Mwanaume kula kwa kutafuta Japo hata Tunda huliwa kimasihara lakini hutafutwa. Binafsi yangu sijawahi kukumbana na Kioja chochote wala...
  2. Nimehamia nyumba yenye skendo ya uchawi

    Habarini wakuu, Mada tajwa hapo juu inajieleza. Nimehamia nyumba moja hapa mtaani kila mtu unaekutana nae anasema aliyekuwa mwenye nyumba (marehemu) alikuwa ni mchawi na mtaa mzima ulikuwa unamuogopa. Pia kuna binti yake makamo ya kati ndo kama karithishwa huo uchawi na ndie aliepokea kodi...
  3. M

    SoC01 Tuachane na ushirikina, uchawi tupate maendeleo

    Lengo la makala haya ni kuonesha kwamba kuendekeza ushirikina au uchawi na waganga wa kienyeji (wapiga ramli) kunaathiri maendeleo ya jamii. Tuachane na hiyo imani maana badala ya kutusaidia kusonga mbele, tunajenga chuki, uadui na moyo wa kulipiza kisasi kwa kuwadhania wengine ndio vyanzo vya...
  4. Code za Uchawi na Miujiza; Fahamu haya machache

    CODE ZA UCHAWI NA MIUJIZA, FAHAMU HAYA MACHACHE. Na, Robert Heriel. uchawi ni nguvu za Giza zinazotenda kinyume na akili ya mwanadamu. Miujiza ni nguvu za Nuru zinazotenda kinyume na akili ya mwanadamu. Ili Jambo liitwe uchawi au muujiza lazima liende kinyume na akili ya mwanadamu, liende...
  5. K

    Ukufanikiwa kuwadhibiti Yanga kwenye uchawi unawageuza kama chapati

    Hawa utopolo wanatumia taaluma ya mazingaombwe. Ndio maana sasa hivi Mzee mpili kwa sasa ndiye shujaa wao. Kwa sasa wanasajili kwa ajili ya mechi za kimataifa kwani wanajua huko hayo mambo yao hayafanyi kazi. Ila kwa kukosa mikakati sahihi, watapigwa mapema asubuhi na kuaga mashindano.
  6. Ulikabiliana vipi na changamoto za uchawi?

    Habari JF. Kwenye jamii zetu kuna changamoto nyingi sana ikiwemo uchawi . Kama vitabu Vingi vitakatifu vinavyosema uchawi upo. Direct kwenye mada nakumbuka way back nipo form 3 , huku kijijini kwetu nilikuwa naumwa sana kiasi ambacho nilikuwa siwezi kusoma kabisa. Hali hii iliendelea kwa muda...
  7. Uchawi ulivyotamalaki milima ya Same Upareni

    Huwa nacheka sana baadhi ya watu wakipinga kwa nguvu zote kuwa hakuna uchawi. Hawa hawajatembea wakajionea kwa macho yao na kushuhudia live kabisa, SIO KUSIMULIWA. Last week kuna picha ilitrend mitandaoni ikionesha gari la Landcruiser pickup likiwa limekita pua juu ya paa la nyumba ya udongo na...
  8. L

    Uchawi au Majini hayapo! Nani ameshawahi kukutana na jini

    Kuna nadharia za ajabu sana Africa ambazo huwezi ziona dunia ya kwanza. Uchawi ni nini. Nani ambaye anaweza kutupa proof uchawi upo? Nani alimuona mchawi? Nani anaujua uchawi? Uchawi una nguvu gani? Hayo Majini ni nini? Hakuna cha majini wala babu yake na majini? Hizo ni drama za kufikirika...
  9. R

    Kuna uchawi wa levels ngapi?

    .
  10. Je, umesikia nini cha nje ya Uwanja (Kamati za Umafia na Uchawi) kuelekeaa 'Mtanange' wa leo wa Simba SC na Kaizer Chiefs FC?

    Nilizonazo hadi Asubuhi hii ni kwamba Wachezaji wa Kaizer Chiefs FC Usiku hawakulala Mbezi Beach bali wamelala Ubalozini Kwao na kule Hotelini Mbezi Beach wamebaki wale wasiocheza leo. Nilizonazo hadi Asubuhi hii ni kwamba kuna aliyekuwa Kiongozi Mmoja wa Simba SC (sasa yupo Yanga SC) kwa...
  11. Uchawi wa Kaiza Chiefs

    Muda unasonga sana magoli yanakaribia kujaa kikapu.Wengi wanasema Kaizer waliloga kwao hivyo Simba lazima walipize kwa Mkapa.Msemaji wao ameenda mbali zaidi na kusema kesho mtu anakula mkono as is atacheza. Baada ya kipigo kikali wanasimba wote na viongozi wao wameelekeza nguvu zao kwa masangoma...
  12. Kwa 'Uchawi' unaofanyika ambao ni wa 'Kufuru' Wajukuu wa Hayati Mandela watajuta kuwafahamu Wajukuu wa Hayati Nyerere kwa Mkapa Kesho

    Kuna Watu niliambiwa kuwa wakilitaka lao wanajua kulipata kwa 'Kuroga' vibaya tena kwa 'Kufuru' kabisa nikawa siamini, ila kwa nilichokiona na Kukisikia kuna Mtu aliwacheka Watu Kidharau akiwa ' Benchini ' huenda Kesho akanuna na hata Kulia hadi Kuzimia na hata Kufa pia. Wewe zitengwe Milioni...
  13. Ijue Historia ya mchawi mmoja toka huko Kilombero - Morogoro

    Dunia ina mambo Mengi sana na mengine usiyoyajua Nikiwa Maeneo hayo ya kilombero Niliwahi kuona uchawi ambao sitasahau. Kuna kijana mmoja aliombwa aangue nazi kutoka kwenye mnanzi wa mzee fulani, Jamaa akavaa kamba miguuni akapanda akashusha nazi za kutosha. Wakati anaendelea na hararakati...
  14. USIHADAIKE: Hakuna uchawi wa kumfanya mtu akulipe deni

    Humu mitandaoni watu wanapigwa sana. Kuna madalali humu wamejaa shuhuda za kutunga na zinavutia sana! Kama kungekuwa na huu ushirikina wa kumfanya mtu akulipe mahakama kusingefurika kesi za madai. Ama mahakama zetu zingekuwa na afueni kubwa sana. Sikiliza nikwambie kuna uchawi moderate tu tena...
  15. Nilikuwa nimelala chali, "tembo" akanigandamiza sana kifuani

    Wakuu, hii ni habari ya kweli kabisa. Hivi majuzi niienda mji fulani nikakutana na kisa cha ajabu sana. Baada ya kufika katika mji huo mwenyeji wangu alinipokea na kunikaribisha kwake. Baada ya kufika kwake nikatambua kuwa anaishi katika vyumba viwili katika nyumba ya kupanga. Tulipokuwa...
  16. Jinsi nilivyougua miaka mingi na kunusurika kifo baada ya kurogewa uchawi wa bundi

    Habari wadau poleni sana na msiba wa jemedari Hayati Magufuli. Leo nimeamua kuwaletea simulizi ya kweli inayoitwa "jinsi teseka miaka mingi na kunusurika kufa baada ya kurogezewa uchawi wa bundi". Kwanza niwaombe samahani kwa mwandiko mbaya maana simulizi hii ninapoanza kuiandika inaweza...
  17. Sababu za kiroho kwanini Tanzania ya Mama Samia itakuwa yenye neema kubwa sana kwa Watanzania

    SABABU NAMBA MOJA: Mama Samia Suluhu Hassan ni CHAGUO LA MUNGU moja kwa moja. Kwa lugha nyingine Mama Samia amechaguliwa na Mungu moja kwa moja kuwa Rais wa nchi hii. Namaanisha hivi urais wa Mama Samia is a result of a Divine/ Heavenly Decree. Mungu mwenyewe ndio...
  18. S

    Riwaya ya kichawi- Mama Usinifundishe Uchawi

    MAMA USINIFUNDISHE UCHAWI. SEHEMU YA KWANZA “Mkoani Morogoro, wilaya ya Mvomero, kata ya Kibaoni, na kijiji cha Maharaka. Anga yote ilikuwa imetanda kuashiria mvua saa yoyote inanyesha. Hali ya hewa si shwari baridi lilikuwa kali kupita maelezo. Ardhi baada ya muda ukali wa jua...
  19. Uchawi wa Simba Hadharani sasa. Hivi mpira wetu Unaelekea wapi?

    Huu ndo Uchawi Mkubwa wa Simba. Duniani hamna Siri. Mpira ni mchezo wa wazi unachezwa kwenye Mwanga. Tumeona kilichotokea. Hapa Simba wamemchukua kimazingara Messi na kumpa ngozi na nywele nyeusi. Wakambadilisha na jina. Huu uchezaji si wa kawaida kwa huyu bwana mdogo. Mpira wety unaelekea...
  20. Je, kuna uchawi wa bendera?

    Mambo vipi wana Jf. Natumai wote mko poa. Moja kwa moja kwenye mada. Kwenye pitapita zangu kama mnavonijua mimi ndugu yenu nimekutana na jambo moja geni sana kwenye masikio yangu. Hivi mshawahi kusikia kuhusu uchawi wa kutumia bendera? Yani bendera hizi hizi mfano ya 🇹🇿 Mostly zinazotundikwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…