uchawi

  1. Wanasheria wapingana kuhusu Sheria ya Uchawi

    Wanasheria nchini wamegawanyika kuhusu ulazima wa Tanzania kuendelea kuwa na sheria ya uchawi au la. Wakati wengine wakidai sheria hiyo haihitajiki katika zama hizi za sayansi na teknolojia, wengine wametaka iendelee kuwepo ili kudhibiti imani za kishirikina na kupunguza madhara yake. Katika...
  2. UDSM Fanyeni tafiti jinsi ya kutokomeza panyaroad bila rungu wala risasi pia kutokomeza janga la ajira nchini achaneni na masuala ya uchawi!

    Nimesikitishwa Sana na chuo changu kusikia eti wanatanya tafiti kuhusu uchawi na Imani za kishirikina! Hilo ni jukumu la viongozi wa kiroho kulifanyia sio wao. Sasa hivi kuna majanga makuu matatu, Panyaroad wanaoleta sintofahamu nchini,mngekuja na tafiti jinsi ya kuhodhi nguvukazi zilizokosa...
  3. Kipapai ni aina ya uchawi hatari unaotumika kuzubaisha na kuangamiza

    Huu ni moja ya uchawi hatari sana, ni uchawi unaofanywa kwa malengo maalum na kwa muda maalum, kipapai ni kuzubaishwa au kuangamizwa na kudhurika kimwili na kiakili, kuna kipapai cha kumfanya hakimu kupindisha hukumu, kwa kifupi haya ni matukio ya kupumbaza akili na kuja kushtuka baadae mambo...
  4. Zongo ni aina ya uchawi unaokaa machoni

    Siku zote uchawi hauwaminiki uwepo wake au nguvu yake ispokuwa kwa wale waliodhurika nao. Mwenye nao akikuangalia tu utaumwa tumbo hadi kufa, au akikiangalia chakula hata kipikweje hakiivi na kikiiva kinakuwa hakina ladha kabisa na watakaokila lazima matumbo yawaume sana halafu waharishe sana...
  5. Kwa maneno ya Coach Nabi na kwa hii hali kama Zalan wangeshinda ningeamini Uchawi Upo. Tuwaombee tu.

    Kwa haya maneno nimemwelewa mno Coach wetu Nabi. Nimemwelewa kwa lugha nyingine anachomaanisha. Hawa jamaa hata pesa ya kula ilikuwa changamoto. Ilibidi sisi Yanga tuwasaidie. Hili ndo gari walikuwa wanalitumia hapa Dar. Imagine mwenyewe.
  6. Rayvany alivyotumia uchawi kwenye show ya Fiesta Sumbawanga

    Cheki hapa Rayvanny alivyotumia uchawi kwenye shoo yake ya Fiesta Sumbawanga.
  7. Kumbe aina hii ya uchawi hata nchi zilizoendelea upo?

    Haya mambo nilidhani yapo Tanzania 🇹🇿 tu na nchi zetu, kumbe ni dunia nzima. Watu hawataki ufanikiwe kwa namna yoyote, watakuroga kwa maneno yao ya kichawi. Hata kama sio mchawi, ukisema tu, tutaona kama utafanikiwa, moja kwa moja unakuwa umeingia kwenye kundi la wachawi.
  8. Inaonekana huko Pangani kuna uchawi mkali sana

    Nilikua nasikiliza wimbo wa Utaonaje by Billnass, nasikia humo ndani anatuhamasisha wasikilizaji wake kwa kusema "Ukitaka kuroga nenda Pangani." nimeishi Korogwe kwa Maji Marefu nimejionea uchawi wa kila aina. Ila kwa sasa Inaonekana huko pangani Tanga kuna mambo mazito. Copy to Mshana Jr BIN...
  9. Uchawi sensa; Makarani wakosa nyumba na kukuta miti na vichaka

    Mratibu wa Sensa ya Watu na Makazi Wilaya ya Igunga, Ally Hemed amesema moja kati ya changamoto kubwa iliyojitokeza Wilayani humo kwa baadhi ya maeneo ni Makarani wa Sensa kukutana na vitendo vya kishirikina ambapo walipokuwa wakienda kwenye makazi au nyumba wanakutana na miti au vichaka badala...
  10. M

    Sijui ni uchawi huu?

    Kwemah ndugu zangu? Moja kwa moja kwenye mada, mimi ni mwanafunzi wa chuo Dodoma, muda kidogo kama miezi 4 iliyopita niliamia katika nyumba moja baada ya kushauriwa na mama mmoja mkazi wa eneo hilo aliyekuwa anasimamia hiyo nyumba ingawa siyo yake, nilikuwa pia namtumia katika kujenga hiyo...
  11. Usiyoyajua kuhusu uchawi na uganga

    Wengi hufikiri haya mambo ni ya kufikirika ,hasa kizazi cha leo. Nimekuwa kwenye hii field kwa miaka kadhaa nimejifunza mengi sana na nimeshuhudia mambo ya kutisha sana,siyo mimi mtarimbo Bali ni jamaa mmoja wa shinyanga alikua akitoa ushuhuda , wa jinsi alivyomtumikia shetani kama mganga wa...
  12. N

    SoC02 Uchawi na Ushirikiana unavyoathiri maendeleo ya taifa

    Kwa majina naitwa ramadhani selemani ramadhani ni kijana wa kitanzania. Leo nimependa kuzungumzia maswala ya imani ya kishirikina na uchawi zinavyo athiri maendeleo ya nchi kwa ujumla. Katika mchi kuna makabila mbalimbali zaidi ya 150 kila kabila lina utamaduni wake na imani zake. Katika...
  13. Uchawi ni kosa la jinai, Mahakama ikikukuta na hatia unafungwa jela

    Kwa mujibu wa Sheria, mtu yeyote kwa kauli au matendo yake akitambulika kuwa ni mchawi au akitengeneza, kutumia au akimiliki zana za kichawi au akimpagtia mtu mwingine zana za uchawi au akimshauri mtu kutumia uchawi au zana za kichawi au akitishia kuloga au kutumia uchawi au zana za kichawi...
  14. Nambari zinazorudiwa zinamaanisha nini? Nambari ya Uchawi, 222, 333, 666

    Jambo la 11:11 na maana yake Je, mara nyingi unaona nambari 11:11 kwenye saa za kielektroniki, anwani au sehemu zingine na kujisikia furaha? Wakati mwingine tunaona nambari zinazorudiwa au mfuatano wa nambari na kufikiria kuwa zina maana maalum kwetu. Mawazo yangu juu ya mada hii katika...
  15. N

    Ahueni: Kumbe vlach magic uchawi wa serbia ni mkali kuliko voodoo

    Oh asante sana aisee , I hope kijana wetu Dejan anatumia hii Vlach magic ya huko nchini kwao unaambiwa ni uchawi hatari hata voodoo ya wa benin na wa haiti inasubiri Sasa ajaribu kinyago yoyote kumloga kama kombora halijamrudia apoooze mwili kabisa Hatari sana unaambiwa the story goes back...
  16. H

    MJADALA: Mafanikio kibiashara bila uchawi haiwezekani?

    "Oy babu Hauwezi shika milioni kumi au kutengeneza himaya Kubwa kibiashara bila kwenda KWA mganga kuchukua ndagu" Unamwona Fulani ako na kidonda kisichopona ... Mangi anae msukule ndani unaodondosha udenda ambao ni hela... Mpemba anayo majini ... Hizi ni baadhi ya kauli tinazokumbana nazo...
  17. “Aliyeko Juu Mngoje Chini!” Ni kauli ya kishetani iliyojaa uchawi ndani yake

    “Aliyeko Juu Mngoje Chini!” “Aliyeko juu mngoje chini”? Hii ni methali ya kipepo kabisa. Ambaye anaitendea kazi mithali hii ataendelea kubaki chini akiwasubiria walioko juu kiuchumi, walioko juu kielimu, walioko juu kiroho, walioko juu kiufahamu, washuke chini. Na wasiposhuka chini atafanya...
  18. Kilimanjaro: Kijana awakata mapanga na kuua mke na mume akiwatuhumu kwa uchawi

    Kijana mmoja mkoani Kilimanjaro, kutoka kijiji cha Manushi kati anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kufanya mauaji ya baba yake mkubwa aitwae Mushi pamoja na mkewe. Mauaji hayo yametokea leo siku ya Jumanne majira ya saa kumi jioni baada ya kijana huyo kuvamia nyumbani kwa wanandoa...
  19. Watanzania kuendelea kumtukuza Hayati Magufuli kama si uchawi basi tuseme nini?

    Habari za usiku wazee! Hayati Magufuli kwa kipindi cha miaka 6 ya uongozi wake kazidiwa na mwaka mmoja wa Samia katika kutoa ajira rasmi tena serikalini. Ila cha ajabu bado watu wanaendelea kumtukuza Magufuli kuliko hata Samia. Je, huu sio uchawi? Kwenye makusanyo ya fedha Magufuli pamoja na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…