uchawi

  1. Jinsi nilivyofanya kazi kwa mrundi kwa mshahara wa laki 3 kwa mwaka Kigoma

    Maisha hata yasikie tu kwa mwebzio yaani kufupisha story ni hivi, Saa 12 asubuhi natoa kichwa change chini ya mabehewa ya treni, nakaa kwnye kiti pembezoni mwa dirisha, macho yanavutiwa na mandhari nzuri ya kijani na miti mirefu na mifupi ya michikichi\migazi, Naona watu wamesimama pembezoni...
  2. B

    Kinachoimaliza Simba ni uchawi wa wachezaji wao kwa wao

    Simba kila wakati imekuwa ikisajili wachezaji wazuri sana. Tatizo kuna wachezaji pale Simba hawataki kukubali kuwa muda wao umeisha. Kwa hiyo SIMBA walifnyikie kazi. Mnaweza kuona PHIRI alichofanyiwa banda kapombe. Wanasimba tuamke hawa wazee waliopo SIMBA bocco mkude mikataba ikiisha wasepe...
  3. Fahamu namna Maduka yanayotumia uchawi, yanavyoweza kumpumbaza mteja

    Wandugu hiki sio kitu kigeni kwa nchi zetu za kiafrika watu hutafuta utajiri kwa namna yoyote Ile muhimu wafanikishe mambo Yao! Bila Shaka umewahi kusikia kuhusu kafara ya biashara au jini wa biashara ..ambapo mtu ili ammiliki huyu jini wa biashara ni lazima afanye kafara Zipo kafara nyingi...
  4. Nataka nijifunze uchawi, niwaadhibu wezi wa mali ya umma, maana CCM inakumbatia wizi kupitia ofisi ya DPP

    Sio huu uchawi feki wa Mshana Jr, nataka uchawi wa kuwaadhibù wote wenye dharau na mashauzi nchini. Naanza na wale waliochota mahela ya umma na uchafu wao umeorodheshwa kwenye CAG report. Siwatoi mabusha, nawamaliza kwa mateso makali. DPP ni nani hadi anawakumbatia wezi wasichunguzwe na...
  5. Ni kitu gani kilikufanya uamini uchawi upo?

    Ni kitu ganikilikufanya uamini uchawi upo? Ebu tujuzane hapa 👇👇👇👇👇
  6. W

    Siku nimebaki mimi na kipa tu na ghafla mpira ukugeuka sufuria la hela ndipo nilipoamini uchawi upo!

    Nilikuwa naupiga mwingi kiasi, kabla sijazeeka. Mtama, Lindi kilikuwa kituo changu cha kwanza cha kazi baada ya kuajiriwa. Kama kawaida ya ujana, nikajichanganya kitaa na kufahamika mitaa ile na vijiji vya jirani vyote kuhusu usakataji wangu wa kabumbu. Kule, kabumbu (ligi) linapigwa sana baada...
  7. Hakuna uchawi wa chuma ulete, ni visingizio vya watu wazembe

    Anaandika, Robert Heriel Ni Watu wajinga pekee watakaoamini mambo ya Pesa kupotea kimazingara, ati kupotea kichawi! Chuma Ulete! Yaani ati unaweka Pesa kwenye kibubu labda laki tatu za Kitanzania alafu Baada ya muda ukija kuangalia unakuta elfu hamsini. Huo ni Uongo Mkubwa utakaoaminiwa na...
  8. Inastaajabisha! Siasa majitaka na uchawa zinadidimiza Taifa hili

    Tusipozinduka sasa, tutakuja kuamka na kukuta majirani wako dunia nyingine, Pamoja na hali ya siasa za ndani Uganda kuwa ni za kidikteta, Lakini taifa hilo linazidi kupiga hatua kubwa, Kupitia kiwanda chake cha Magari cha Kiira Motors LTD, Mwaka 2018 ilianza rasmi kuzalisha mabasi yanayotumia...
  9. H

    Titus Amigu: Maneno uchawi au mchawi kwa dhana za Kiafrika hayastahili kuwamo kwenye Biblia

    Nimekataa uwapo wa uchawi na wachawi kati yetu. Tulionao ni wababaishaji na watu tunaowatuhumu kwa kuwasengenyasengenya tu. Wachawi kiukweli hawapo na bado ninawatafuta. Ninataka wajitokeze na nimesema kama kuna anayewajua awataje, atuitie au atuoneshe Nisikilizeni vijana na wasomaji wangu. Ni...
  10. J

    Hivi Raila Odinga anawezaje kupata wafuasi wengi hivi Kenya? Amewaloga Wakenya na uchawi gani?

    Wakuu kwema? Habari hapo kwa majirani ni mzee Odinga anadai alishinda uchaguzi na anasema ataitisha maandamano makubwa ya kwenda kumtoa Ruto Ikulu Uchaguzi ulikuwa wa wazi na matokeo yote yaliyotoka vituoni na kusainiwa na mawakala wa pande zote yote yalikuwa uploaded online Na kama kuna wizi...
  11. 'Uchawi' wa biashara ni 'location' tuu kwisha!

    Kwema! Sitemi cheche nyingi wala, ukiachilia mbali vigezo vingine vya kufanya biashara kama bidhaa nzuri, customer care etc, ila uchawi nambari one ni LOCATION Pekee. (Physics inasema Location matters provided other variable factors remain constant) 👈👈👈 Hiyo ndiyo Business Law. Huwa nashangaa...
  12. Tujiulize uchawi, ramli na mazindiko vina nafasi gani kwenye siass za Tanzania? Je wasomi hawaamini taaluma zao?

    Amani iwe kwenu wachambuzi jadidifu. Ninaleta hoja kwenu ili tuelimishane ikibidi tukosoane ama kuwajibishana Wanasiasa wengi kama siyo wote, wamekuwa wakionesha matendo yao fulani fulani kwa kificho au kwa uwazi kabisa. Wamejenga mazoea ya kutumia watu wanaoitwa waganga wa kienyejj ili...
  13. Watu wengi wanapenda uchawi (shiriki)

    Hi, Watu wengi hapa Tanzania wanapenda uchawi mambo ya kulogana na wanaamini ivyo na wengi washaliwa hela zao nyingi na waganga wa Dar hakuna mganga bali kuna waganga njaa ambao watatoa utabili wa uongo. Mtu kama anataka kufanikiwa afwate au zingatia sana ushauri wa kinyota kuijua siku yako ya...
  14. G

    Wanaokataa uchawi haupo na bado wanaenda makanisani na misikitini wana dini za utambulisho na kuzugia tu

    Kuna watu ni wabishi sana kwamba haya mambo hayapo lakini utawakuta kanisani ama msikitini wakijinadi wao ni wakristo/waislam. Niseme tu kwamba hapa ni ishara ya moja kwa moja wapo kwenye dini kama kushabikia timu za mpira na wala hawajui elimu ya dini yao. Mbaya zaidi hawanaga imani, maji...
  15. Aina za uchawi ziko tatu (3)

    1. Mwanga.. 2. Mshirikina 3. Mlogo(mchawi) • Mwanga_ huyu anawanga usiku (uyu ni msumbufu ila ana lengo la kukuloga sema atakusumbua usiku utolala atakufanyia mauza uza.Mpaka utakoma. • Mshirikina- Huyu mshirikina (anaenda kwa mganga kutafuta dawa ili afanikishe jambo lake kwa kufosi kama...
  16. Bila uchawi wa kurudisha basi reverse, Simba ingefungwa O-1O

    Lile basi la Simba Lilipokuwa likirudi nyuma kwa kasi lilikuwa llinapunguza idadi ya magoli. Jana mnyama angetotolesha vitoto kumi
  17. Mpira wa miguu siyo uchawi, siyo porojo, wala siyo siasa bali ni Sayansi

    Wiki nzima timu ya Simba walilinda uwanja wa Taifa (Kwa Mkapa) kabla ya mechi yao na Raja Casablanca iliyofanyika jana jioni. Matokeo yake Simba wamechapwa mabao 3 kwa sufuri hapo hapo kwenye uwanja walioulinda kwa wiki nzima huku wakifanya ushirikina na imani za kishenzi za Kiswahili. Ifike...
  18. Katavi: Wanaume wamewasusia wanawake kushiriki mazishi ya watoto kutokana na imani za kishirikina

    Hamjambo? Wanaume wa kitongoji cha Namanyere kwenye mji mdogo wa Majimoto mkoa wa Katavi wamesusia wanawake kushiriki maziko ya watoto wanaofariki kwa madai kwamba vifo ni vya ushirikina unofanywa na wanawake. === Kwa utamaduni wa maeneo mbalimbali nchini Tanzania...
  19. Tukisema watu wanaamini uchawi sababu ya ujinga kuna watu wanabisha. Hebu soma kisa hiki uone jinsi walivyodili na magonjwa ya mlipuko

    Kupigana na maradhi mengine Ikiwa katika mji magonjwa yalizidi kwa watu mkubwa wa mji hupigisha ramli kusudi apate njia ya kuzuia magonjwa hayo yasizidi, pia apate kufahamu ni mambo gani yaletayo magonjwa mjini mwake. Mara nyingi waganga walikuwa wakiwaambia kuwa moto unaotumika mjini mwao...
  20. Hivi Ulaya pia kuna wanga? Mlioishi ughaibuni mpite hapa

    Habari zenu wananzengo, natumai mnaendelea kupambana na mfumko wa bei?! Nisiwachoshe sana, nataka kujua hivi Ulaya pia kuna wanga kama huku kwetu? Hawa wanaorukia mabati na kukaba watu usiku, kifupi wanga nawachukia sana. Mlioishi ughaibuni naomba mpite hapa kutupa experience yenu juu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…