uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. Judi wa Kishua

    JamiiForums Tanzania Naomba nieleweshwe, Chadema wanapata faida gani wasiposhiriki uchaguzi?

    Naomba mwenye akili timamu anieleweshwe nielewe vizuri the logic behind ya kutoshiriki uchaguzi. Je CHADEMA expectations zao ni zipi? Yaani wata achieve kitu gani kwa wao kususia uchaguzi?
  2. Elvis Legacy

    JamiiForums Tanzania Je Ndg. Ramadhani Kailima Mkurugenzi wa Uchaguzi (Katibu wa Tume) ni kada wa CCM?

    Kama ni kweli huyu aliyewasainisha vyama vya upinzani kwelikweli vyenye nia ya kuiondoa CCM madarakani kanuni za maadili ya uchaguzi ni kada wa CCM na hii ndio tume huru ya uchaguzi basi itoshe kusema watanzania tunachezewa mchezo mchafu.
  3. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je utashiriki kupiga kura kwenye uchaguzi 2025 baada ya CDM kutokuwepo kwenye mchakato?

    Sasa rasmi chadema hawatashiriki uchaguzi 2025 kwa kutosaini fomu ya maadili. Je hapo ulipo umejiandaa kupiga kura? Wananchi waliokuzunguka hapo ulipo wanasemaje? Unadhani Kuna namna ushiriki utapungua?
  4. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA haitoweza kushiriki uchaguzi ndani ya miaka mitano ikiwemo wa mwaka huu

    Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima amesema Chadema ambayo haikusaini kanuni za maadili ya uchaguzi, haitashiriki Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu na chaguzi zote ndogo zitakazofuata kwa muda wa miaka mitano. Kanuni hizo...
  5. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania ChatGP: Kwa nini CCM wanataka sana CHADEMA washiriki uchaguzi?

    Swali lako ni zuri na linahusu siasa za Tanzania kwa sasa. Kuna sababu kadhaa zinazoweza kueleza kwa nini CCM inaweza kutaka CHADEMA washiriki uchaguzi: Uhalali wa Uchaguzi (Legitimacy): Uchaguzi wa vyama vingi wenye ushindani wa kweli huonekana kuwa na uhalali zaidi ndani na nje ya nchi. Ikiwa...
  6. Course Coordinator1

    JamiiForums Tanzania Nimefurahi sana CHADEMA kutokwenda kusaini kanuni za maadili, mwaka huu hakuna mgombea atayepotea , kutekwa wala mwananchi kufa kwa sababu ya Uchaguzi

    Wasalaam ndugu zangu Binafsi nawapongeza CHADEMA kutokwenda kusaini kanuni za maadili kwa sababu naona wamejitambua kwa sababu zifuatazo: 1.Uchaguzi ni fursa ya kwa wanachi kuchagua viongozi wanaowahitaji kulinga na muda na mazingira yaliyopo.Kupima wagombea kulingana na sera zao kisha...
  7. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Hongereni Tume HURU ya Uchaguzi Tanzania

    Hakika Tume ni HURU kweli kweli. Kanuni za Maadili ya Uchaguzi zinasainiwa peupe. Tunajivunia. Tukutane site Oktoba 2025.
  8. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mkisusa uchaguzi Sisi Twala

    Endeleeni na drama zenu huko Rumande. Sisi Veggies Twala MEMA ya uchaguzi. Tukutane 2030 panapo majaliwa.
  9. Influenza

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mnyika: Sitakuwepo kuwakilisha Chama kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi 2025 kwenye Ofisi za Tume ya Uchaguzi

    Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa X (zamani Twitter), Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema hatakuwepo katika kusaini maadaili Uchaguzi ya 2025 na hajateua Afisa au Kiongozi yeyote kwenda kushiriki kwa niamba yake Ameandika “Katibu Mkuu CHADEMA sitakuwepo kwenye kikao cha tarehe 12...
  10. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bila CHADEMA Hakuna Uchaguzi – "No Reforms, No Election"

    Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imekumbwa na changamoto nyingi za kisiasa zinazohusiana na haki, usawa, na uendeshaji wa chaguzi. Kauli mbiu “Bila CHADEMA hakuna uchaguzi” na “No reform, no election” imekuwa wito wa wafuasi wa demokrasia wakitaka mabadiliko ya kweli katika mfumo wa...
  11. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 THRDC yapendekeza mambo 10 ya muafaka wa Kitaifa kufanikisha Uchaguzi wa Amani

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umetoa wito wa kupatikana kwa Muafaka wa Kitaifa utakaoliwezesha taifa kuelekea kwenye uchaguzi kwa umoja, utulivu na mshikamano. Kwa mujibu wa THRDC, muafaka huo ni muhimu kwani utatoa fursa ya kushughulikia changamoto na dukuduku...
  12. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jaji Mutungi: Lissu na "no Reforms no Elections" hawajafanya kosa lolote kisheria

    Maneno mazito yake Jaji Mutungi Msajili wa vyama vya siasa ni mwiba mwingine kwa waliojibatiza utawala badala ya uongozi: --- Msajili wa vyama vya Siasa Tanzania, Jaji Francis Mutungi amesema kauli ya ‘No reform, no Election’ bado haijavunja sheria ya vyama vya siasa, huku akisisitiza kuwa...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba tusaidiane kufanya 'CRITICAL THINKING' kuwa sababu ya Kukamatwa kwa Tundu Lissu ni Kuchochea Uchaguzi kutofanyika na Watu kutokupiga Kura

    Kila siku nasema hapa kuwa CCM + Serikali tulieni na tafuteni Watu wenye kujua KUFIKIRI vyema ili wawe Wanawashauri katika Mambo mengi ya Kimsingi (hasa ya Siasa na Matukio) kwani kuna Maamuzi mengi yanatoka Ngazi za Juu kwenda kwa Upinzani / Wapinzani ukiyapima kama Mtu MWEREVU unaona kabisa...
  14. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kukamatwa Kwa Lissu Mbele Ya Wafuasi wake ni Ushahidi kuwa CHADEMA haina nguvu ya Umma na wala haiwezi kuzuia Uchaguzi kwa nguvu ya Umma

    Ndugu zangu Watanzania, Cheza na mtu Mwingine lakini usicheze na Mtanzania. Mtanzania hatakagi masihara linapokuja suala la uhai wake na usalama wa mwili wake. Hakuna mtanzania Mwenye akili Timamu na anayejitambua anayeweza kukubali akahatarisha miguu yake na mwili wake kumpigania mtu au...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Ni kipi rahisi, kuombea uchaguzi au kuzuia mifumo ovu ya wizi wa kura?

    Hello! Yaani tunao uzoefu, watu kabisa wanatia kura fake ndani ya masanduku ya kura na wanaonekana wazi wazi, sasa hawa ndio wanaoharibu uchaguzi wa haki. Sasa wanapita wanasiasa wakitwambia tuombee uchaguzi uwe wa amani. Sasa ni amani ipi wanaiongelea? 1. Je ni amani ya kuiba kura bila...
  16. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Tupeane Updates Uchaguzi wa WHO Janab anaendeleaje na maandalizi

    Wamefikia wapi na mwakilishi wetu ambaye amechukua nafasi ambayo alitakiwa kuwa nayo Mpambanaji Dr. Ndugulile? Uchaguzi unafanyika lini?
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwanachuo: CHADEMA haiwezi kuzuia uchaguzi, msimamo wetu CCM ni kushinda kwa kishindo

    Katibu Uhamasishaji wa UVCCM Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Iringa, Akida Mnyamisi Akida akizungumza katika mahojiano maalum na kituo cha redio cha Nuru FM.
  18. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kamishna wa Intelijensia ya Jinai CP Charles Mkumbo: Polisi tupo timamu kwaajili ya Uchaguzi Mkuu 2025

    Kamishna wa Intelijensia ya Jinai kutoka Makao Makuu ya Polisi CP Charles Mkumbo, wakati akiwasilisha mada kwenye kikao kazi cha 20 cha maafisa habari wa Serikali kilichofanyika Zanzibar Aprili 3 - 6, 2025 alisema Jeshi la Polisi limejiandaa kwaajili ya Uchaguzi Mkuu wa 2025 Mkumbo alisema...
  19. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Nimekubali kuunga mkono maandamano ya CHADEMA siku ya uchaguzi ila watoto wa Lissu, Lema, Heche, Slaa na Maria sarungi wawe mstari wa mbele

    Mimi nimekubali kushiriki maandamano ya CHADEMA siku ya uchaguzi lakini ni vizuri watoto wa Lissu, Lema, Slaa, Heche na Maria Sarungi wawepo kama alivyofanya Mbowe. Siyo wao wako ughaibuni warubuni watoto wa wenzao waingie ulemavu halafu wakubali maridhiano kama walivyochuuzwa vijana wa Msumbiji...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Othman Masoud Othman: Haiwezekani wenzetu wasiandikishwe Kupiga Kura Zanzibar kisha sisi tushiriki Uchaguzi

    "Haiwezekani kuna wenzetu hawajapata haki ya kuandikishwa kuwa wapiga kura Zanzibar, kisha sisi tutoke kwenda kushiriki kwenye uchaguzi kirahisi hili haliwezekani na lazima tupambane nalo" Othman Masoud Othman. Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Taif, Othman Masoud Othman amesema kuwepo kwa...
Back
Top Bottom