uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Kesho uchaguzi rasmi wa RT Mwanza

    Shirikisho la riadha Tanzania -RT kesho linatarajia kufanya uchaguzi wao mkuu wa viongozi mbalimbali, ikiwemo rais na makamu wake; nafasi ya uwakilishi wanawake na nafasi ya ujumbe kwenye kamati ya utendaji. Nafasi ya katibu hakuna kwenya uchaguzi huu , bali itakuwa ni ya kuajiriwa; watu...
  2. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Rais Samia amesema pesa ilizochangiwa CCM zitatumika bilioni 20 zingine zitatumika kufanya sherehe baada ya kushinda uchaguzi

  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Special Thread: Wasifu wa Wagombea Urais Uchaguzi Mkuu 2025

    1. ACT WAZLENDO LUHAGA MPINA Jina Kamili: Luhaga Joelson Mpina Chama: ACT Wazalendo Tarehe ya Kuzaliwa: 5 Mei 1975 (Tanzania) Elimu: Shahada ya Uhasibu (B.Acc) – Mzumbe University; MSc – University of Strathclyde Historia ya Siasa: Mbunge wa Kisesa tangu Desemba 2005-2025 (CCM) Waziri wa...
  4. OLS

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali ya CCM itaweza kumuwajibisha GSM endapo akikosea kwa mchango aliowapa kipindi hiki cha uchaguzi?

    Miaka kadhaa iliyopita Mwigulu Nchemba alitamba sana kwa maneno ya TRAB na TRAT ambayo wengi waliona kuwa waziri hajui maana ya maneno hayo huku wengi wakishindwa kuzungumzia zaidi ya Tsh trilioni 300 ambazo halisema hazipo huko. Okay TRAB ni Tax Revenue Appeals Board na TRAT ni Tax Revenue...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Najaribu kutafuta ujumbe halisi wa michango ya wafanyabiashara kwa ajili ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu

    Kuombaomba huwa mchakato wenye kumuondolea heshima yule muombaji wa misaada. Nilikuwa namsikiliza Makamu wa Rais Dr Mpango akiongelea namna utu wa kiongozi wa nchi maskini unavyodhalilika katika meza ya mkutano kati ya mawaziri wa kutoka mataifa ya dunia ya tatu na wale wa mataifa ya Ulaya na...
  6. Benson Mramba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bilioni 100 inaweza kununua uchaguzi

    Kwa mujibu wa sheria za gharama za uchaguzi Mgombea Urais anapaswa kutumia kiasi kisichozidi bilioni 25 katika kampeni zake. Bilioni 100 ni mara nne ya kiasi elekezi. Isitoshe wagombea wengi wa CCM ni wagombea wanaotetea nafasi zao hivyo wengi wanajimudu kikampeni so kwa kiasi kikubwa gharama...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM kufanya harambee ya Kitaifa Agosti 12,2025 kukusanya bilioni 100 za kampeni

    Wakuu! Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, na Mwenza wa Urais wa chama hicho, Emmanuel Nchimbi, akizungumza na Wanahabari leo Agosti 11, 2025 katika ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba amesema, "Tukipokea kila aina ya mchango tutaainisha inapotoka." "Lakini hatutapokea...
  8. TODAYS

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hakika Lissu ndiye ataweza, Mbowe hakutegemea hiki

    Amani muswano mtanzania. Katika jambo nililojiuliza ni moja, kwa nini Lissu?. Nimepitia mijadala mingi na kujipa jibu, kwamba kumbe hatukuwahi kuwa na kiongozi wa kisiasa anayetaka kuiondoa CCM kiringeni. Wote hawa ni sinema tu. Siku Lissu alipovaa jacket la kuzuia risasi nikaelewa, siku...
  9. funaku

    JamiiForums Tanzania GE2025 Agenda ya Wananchi katika uchaguzi sio katiba bali ni maswala ya Elimu,Maradhi na Umasikini

    Bado kama Taifa yatupasa kuakisi agenda muhimu za uchaguzi. Kwangu mimi bado narejea katika agenda mama ma za msingi zilizowahi kusemwa mara baada ya kuoata uhuru. Bado kama Taifa hatujakamilisha kwa kiwango stahiki utekelezaji wa agenda na maono haya muhimu yaliyowahi kutajwa miaka hiyo...
  10. I

    JamiiForums Tanzania GE2025 Orodha ya majimbo yatakayotolewa kwa vyama shikizi ili kuhalalisha uchaguzi

    Kuna majimbo kadhaa yatatokewa kama zawadi kwa vyama shikizi ili kuhalalisha uchaguzi wa 2025. Je wagombe wa CCM kwenye hayo majimbo wanajijua kuwa watatolewa kafara. Tuwatonye mapema ili wasitumie nguvu nyingi kwenye uchaguzi.
  11. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Polepole pamoja na hao manabii wanawapa matumaini hewa kusukuma siku mpaka uchaguzi upite

    Kijasusi zinaitwa psyops. Matumaini kuwa kuna mtu / watu wenye nguvu au kuna Mungu ataingilia kati na kurejesha haki zako is a powerful thing inayoweza kukufanya uendelee kungoja ili kuona nini kitatokea. Unfortunately utangoja sana, itakuwa mara July mara September, ukija kushtuka wanaapishwa...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Mpango: Polisi imarisheni ulinzi uchaguzi mkuu

    Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango amelitaka jeshi la polisi nchini kuimarisha hali ya ulinzi na usalama katika uchaguzi mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Dkt.Mpango ametoa kauli hiyo leo Agosti 11, 2025 mjini Moshi mkoani...
  13. U

    JamiiForums Tanzania CCM wana takwimu sahihi ya Wanachama kuanzia ngazi ya Shina hadi juu kabisa, Wanaingia kwenye Uchaguzi bila hofu, Wapinzani jifunzeni

    Ni ukweli wa kisayansi mfano wa kuigwa wanaenda kwenye vita Uchaguzi wakiwa na takwimu kamili, Wapinzani msione aibu njooni Lumumba mpewe Shule CCM ni Baba lao
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi kufanya mkutano mkuu wa mwaka Agosti 11 hadi 15 Kuweka mikakati na kuimarisha usalama nchini kuelekea uchaguzi mkuu

    Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango, leo Agosti 11 atafungua mkutano mkuu wa mwaka wa maofisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi katika Shule ya Polisi Tanzania – Moshi. Msemaji wa Jeshi la Polisi David Misime, amesema kuwa mkutano huo utafunguliwa Agosti 11 na utafanyika hadi Agosti 15, 2025 na...
  15. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Rais Samia amesema 'kama uchaguzi wa Oktoba 29 haukuhusu ni bora ukabaki zako nyumbani'

  16. K

    JamiiForums Tanzania Upinzani Tanzania: Tishio kwa CCM uchaguzi 2025

    Sote tunakumbuka kuwa tangu nchi yetu ipate uhuru kumekuwa na ukuaji mkubwa wa siasa za upinzani. Hali hiyo ya ukuaji imeanza tangu uchaguzi wa mwaka 1958,tukazuia vyama vingi lkn bado ndani ya TaNU kukawa na tishio la upinzani mkubwa uliotishia falsafa za Hayati Nyerere. Wakaibuka akina...
  17. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Ndo maana wanaume tunakufa haraka imagine Kuna mtu alikuwa haamini Kama uchaguzi upo haamini October tunatiki ndugu yangu unajipa kisukari bure

    Wanaume huwa tuna ubishi wa kitoto sana, huku tunajua kuwa kila kiongoz anaapa kuilinda Katiba ya JMT lakini bado Kuna mwanaume anajidanganya moyoni mwake eti oooh hakuna uchaguzi, oooh form haitachukuliwa Kama ulikuwa na fikra Kama hizi ujue ww ni mgonjwa tayari. Haya Taifa lipo na slogan ya...
  18. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Yaani Bilion 700 kwa uchaguzi wa CCM! Tunapigwa kweli

    Uchaguzi bila reform ni sawa na u chaguzi wa chama kimoja sasa Bilioni 700 ni za nini hasa
  19. P

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli kama nchi tunapitia wakati mgumu na baada ya uchaguzi hali itakuwa mbaya

    Tuukubali ukweli kuwa nahodha ni mchanga sana. Sikiliza kutokuwepo coherence kwa hotuba zake. Angalia wasaidizi wake wa wakaribu angalia waandalizi wa kampeni. Kimsingi tuna safari kubwa. Tuiombee nchi yetu. Ni wazi hakuna maono ya kiuongozi tena. Ni vurugu tupu.
  20. Benson Mramba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa maandalizi ambayo Mama Samia amefanya kwa ajili ya huu Uchaguzi Polepole na agenda zake anahitaji muujiza

    Kuna kitu kinaitwa point of no return it is either you win or loose in the battle field. Live or die hard Mama Samia amesha invest sana kwa ajili ya kampeni za mwaka huu. Asipogombea kwa mfano nani atamfidia gharama zake? It's obvious hawezi kukubali hasara kubwa namna hii. Leo katika kuchukua...
Back
Top Bottom