uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. R

    JamiiForums Tanzania Raia wa Kenya akamatwa Zambia akihusishwa na ujasusi kuvuruga Uchaguzi

    Mwanamume mwenye umri wa miaka 56 kutoka Kenya amekamatwa nchini Zambia baada ya mamlaka kumhusisha na operesheni inayodaiwa kuhusisha uhalifu wa mtandaoni dhidi ya mifumo ya Serikali kuelekea Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo. Wizara ya Mambo ya Ndani na Usalama wa Taifa ya Zambia ilitangaza Agosti...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Indegazette: Tume ya Lila Yakabiliwa na Mtihani wa Kubaini Waliowezesha Vurugu za Uchaguzi Tanzania

    Jarida la Indegazette.be, katika makala yake iliyochapishwa Agosti 13, 2026, limeangazia Tume mpya ya Uchunguzi ya Tanzania inayoongozwa na Jaji Shabani Ally Lila, likisema jukumu kubwa la tume hiyo ni kwenda zaidi ya simulizi za kisiasa na kubaini kwa ushahidi waliochochea, kushiriki na...
  3. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Seriously, hivi Samia ni Rais kwa mujibu wa uchaguzi gani?

    Hivi huyu Samia ni Rais kwa mujibu wa uchaguzi gani? Wote tunajua Oktoba 29 hakukufanyika uchaguzi. Wote tunajua tume ya uchaguzi ilitangaza matokeo ya uongo. Wote tunajua Samia hakupigiwa kura na watu milioni 31 kati ya milioni 32 waliodaiwa na tume kuwa walijitokeza kupiga kura. Wote...
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania IEBC Yatangaza Rangi za Karatasi za Kura za Uchaguzi wa 2027

    Tume Huru ya Mipaka na Uchaguzi (IEBC) imetangaza rangi za karatasi za kura na vifuniko vya masanduku ya kura zitakazotumika katika Uchaguzi Mkuu wa 2027. Kila nafasi kati ya sita za uchaguzi itakuwa na rangi yake: Rais: Nyeupe Mbunge: Kijani Seneta: Njano Gavana: Bluu hafifu Mwakilishi wa...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Ni Hichilema vs. Mundubile uchaguzi mkuu Zambia

    Leo ni Agosti 13, 2026, raia wa Zambia wanapiga kura katika uchaguzi mkuu unaotazamwa kwa karibu sana. Huu ni uchaguzi muhimu unaojaribu ahadi za mageuzi ya kiuchumi dhidi ya hali ngumu ya kimaisha inayoikabili nchi hiyo. Soma zaidi: Mchuano Mkali Zambia: Je, Hichilema atatoboa tena au Upinzani...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mbona wanakobadili vyama kwenye uchaguzi ndo tunaenda kuomba?

    Kuna kitu najiuliza mpaka sasa sijapata jibu. Mbona ulaya na Marekani wanakobadili vyama vya kuongoza serikali kwenye chaguzi ndo wanauchumi imara na ndo tunakwenda kuomba? Afrika hatujang'amua kwamba kushikiria chama kimoja miaka hamsini mia ni mkwamo wa maendeleo?
  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto Atangaza Muungano Wa Kenya Kwanza Na Odm Kuelekea Uchaguzi Wa 2027

    Rais William Ruto ametangaza kuwa Kenya Kwanza na ODM zimekubaliana kuunda muungano wa kisiasa utakaochuana pamoja katika Uchaguzi Mkuu wa 2027. Ruto alitoa tangazo hilo Jumatatu, Agosti 10, 2026, baada ya mkutano wa viongozi wa Broad-Based Government mjini Naivasha. Alisema uamuzi huo...
  8. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Tume ya kuchunguza ghasia za uchaguzi Kenya (Jaji Phipps Waki Commission) VS Tume ya Rais Samia(TZ) chini Jaji Chande/Lila

    ♦️Labda muuaji Samia na genge lake la wahuni wakisaidiwa na Chawa wao wa mitandaoni na huko kwingine wanaweza kuelewa vizuri na kuacha kuteka na kuumiza watu hovyo... Hebu tujadili kuhusu; Commission of Inquiry into the Post-Election Violence (CIPEV), chini ya Jaji Philip Waki (Kenya) VS...
  9. figganigga

    JamiiForums Tanzania Full Text: Ripoti ya Luhaga Mpina aliyowasilisha madai kuhusu uchaguzi Mkuu wa 2025 na kuitaka Jumuiya ya Madola kuchunguza

    Aliyekuwa mgombea urais wa ACT-Wazalendo katika uchaguzi wa mwaka 2025, Luhaga Joelson Mpina, aliwasilisha taarifa kuhusu hali ya kisiasa Tanzania kwa mjumbe maalum wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Rais mstaafu wa Malawi, Dkt. Lazarus Chakwera. Katika taarifa hiyo ya Aprili 16, 2026, Mpina...
  10. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini ikifika uchaguzi mkuu, kura zisipigwe kwa njia ya mtandao na kila mmoja akaona trend ya kura kwa kila mgombea

    Kufuatia ukuaji wa teknolojia na mfumo wa kidigiti huduma nyingi zimetoka ama zimehama kutoka kufanyika analogi au manual na sasa kufanyika kidigiti. Zipo faida nyingi za kura kupigwa kidigiti, 1)muda -kuokoa muda unaotumika kwenye zoezi la kupiga kura,kuhesabu kura ,na kuandaa matokeo...
  11. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama yaamua Uchaguzi Mkuu Kenya unapaswa kufanyika Agosti 11, 2026, hata hivyo utekelezaji wake wasitishwa

    Mahakama ya Malindi imeamua kuwa Uchaguzi Mkuu ujao wa Kenya unapaswa kufanyika Jumanne, Agosti 11, 2026, na si mwaka 2027. Katika hukumu iliyotolewa Malindi, Jaji Mugure Thande hata hivyo alisitisha utekelezaji wa uamuzi huo hadi baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2027. Jaji alisema kufanya uchaguzi...
  12. zitto junior

    JamiiForums Tanzania Dr. El Zayed ashinda Michigan licha ya pro-Israel kumwaga Billion 200+ kwenye uchaguzi ghali zaidi katika historia ya Marekani

    Jana kulifanyika uchaguzi wa gharama zaidi katika historia ya chaguzi za ndani ya Democrats, ambapo mgombea mwenye mrengo wa pro-palestine Abdul El Sayed amemshinda mgombea aliyefadhiliwa na pro-Israel kupitia AIPAC; Haley Stevens katika uchaguzi wa kupata mgombea wa democrats wa kiti cha senate...
  13. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mathare North: Barabara imeharibika kwa Miaka 4, Je, Uchaguzi Ukikaribia Ndio Huduma Zinakumbukwa?

    Hali ya barabara katika baadhi ya sehemu za Mathare North imeibua maswali kuhusu kasi ya utoaji wa huduma kwa wananchi, huku wakazi wakisema baadhi ya barabara zimekuwa katika hali mbaya kwa takriban miaka minne. Picha zinaonyesha barabara yenye mashimo, mawe, vumbi na sehemu zilizochimbika...
  14. O

    JamiiForums Kenya Mathare North: Barabara Imeharibika kwa Miaka 4, Je, Uchaguzi Ukikaribia Ndio Huduma Zinakumbukwa?

    Mathare North, Ruaraka – Nairobi: Hali ya barabara katika baadhi ya sehemu za Mathare North imeibua maswali kuhusu kasi ya utoaji wa huduma kwa wananchi, huku wakazi wakisema baadhi ya barabara zimekuwa katika hali mbaya kwa takriban miaka minne. Picha zinaonyesha barabara yenye mashimo, mawe...
  15. Pulchra Animo

    JamiiForums Tanzania Dr. Lwaitama: Walioshiriki Uchaguzi Wanaridhiana Nini?

    https://youtu.be/Uh_BmX-vR54
  16. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ni wapi kwingine walioshinda uchaguzi kwa 98% hufanya maridhiano??

    Ukisikia kukosa akili ndo huku sasa! Eti kashinda uchaguzi kwa 98% ya kura zilizopigwa [uongo]. Kapata kura milioni 31 kati ya milioni 32 zilizopigwa [uongo]. Huo ni ‘ushindi’ mkubwa sana unaoonyesha kukubalika na wananchi. Sasa ‘unashinda’ uchaguzi kwa kiwango hicho halafu bado eti unataka...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Wakuu vyama vilivyoshiriki na kupongeza uchaguzi vina haki ya kushiriki maridhiano?

    Wadau kama heading inavyoeleza, je vyama vilivyoshiriki uchaguzi vina haki ya kushiriki maridhiano?
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni nani ana majeraha mabaya zaidi mpaka sasa miongoni mwa team zinazopambana katika vita vya ufisadi ndani ya CHADEMA?

    Na ni nani anakwenda kuibuka kidedea na mshindi wa vita hiyo ya ufisadi ndani ya chadema kati ya team Lema & Sugu wanaopinga ufisadi ndani ya chadema, dhidi ya team Heche & Mnyika wanaotetea ufisadi ndani ya chadema? Kwasababu sote ni mashuhuda wa vita hivyo vinavyoendelea na kuibua maswali...
  19. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Nashauri vyama vya siasa visivyo na sifa za kisheria kushiriki uchaguzi visipewe kipaumbele kwenye maridhiano ya hiyari ya kitaifa

    Ni muhimu zaidi vyama vya siasa vyenye sifa za kikatiba za kushiriki chaguzi ndio haswa viketi chini pamoja na kushauriana namna ya kuliunganisha taifa kwa hiyari katika maridhiano hayo miongoni mwa waTanzania. Hakuna haja, wala sababu hata moja ya kubabaika na porojo au masharti useless ya...
  20. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Tusipotatua matatizo ya msingi itakuwa kila baada ya uchaguzi tunafanya maridhiano

    Tusipokuwa makini itakuwa kila baada ya uchaguzi tunafanya maridhiano Mfano mwaka huu 2026 tupo kwenye maridhiano na itakuwa hivyo hivyo mwaka 2031 tutafanya tena maridhiano na itakuwa mwaka 2036 tunafanya maridhiano sababu hatutaki kuadress mambo ya msingi
Back
Top Bottom