uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Lyata: Uchaguzi umepoa, No reforms No election Imeeleweka

    Katibu wa Chama Cha Demokrasia na Maendelea (CHADEMA) Wilaya ya Sikonge Mkoani Tabora Felix Lyata amesema uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 umepoa kwa sababu ajenda ya 'No Reforms no Election imeeleweka kwa wananchi huku akisisitiza kwamba ili uchaguzi uweze kuitwa uchaguzi ni lazima kuwepo na...
  2. JamiiForums Tanzania Tarehe 29 Oktoba ni kumbukizi ya kuzaliwa Hayati JPM na ndiyo siku ya uchaguzi mwaka huu huku wananchi wakidai kuandama kupinga uchaguzi huo

    Wakuu kuna mambo nayaona kuelekea Oktoba 29 mwaka huu isiyo ya kawaida kabisa katika nchii tangu kizazi cha uhuru. Tarehe hii 29 Oktoba imebeba historia nzito sana kwa Taifa la Tanzania,inahusisha mambo makuu matatu ya kuogofya 1.Uchaguzi Mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani. 2. Kumbukizi ya...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Haki nchini kuelekea uchaguzi mkuu, haki za wapalestina Gaza: Kanisa katoliki ni la kupigiwa mfano dhidi ya madhehebu za kilokole, waisilamu nk!

    Msimamo wa kanisa katoliki kuhusiana na uchaguzi mkuu 2019/20, 2024 na huu unaotarajiwa 2025 uko wazi: Msimamo wa kanisa katoliki kuhusiana na wapalestina Gaza huko, unajulikana: Papa Francis: Awacharukia "war mongers" wa mashariki ya kati wasiotaka amani Tofauti ya wazi kabisa baina yao...
  4. JamiiForums Tanzania Tetesi: Mitandao ya kijamii kuzimwa siku 5 kabla ya uchaguzi

    Nemepenyezewa taarifa na mtu mkubwa ndani ya tcra kwamba wamepewa maagizo kutoka jumba kuu kuzima mitandao tarehe 25/ 10 na kuiwasha tarehe 5/11 ili uchafuzi uweze kufanyika physically. Lakini pia kanidokeza kwamba vyombo vya ulinzi na usalama wamekataa maagizo hayo kwa kusema yatakuwa na...
  5. JamiiForums Tanzania Block UCHAGUZI

    Ni humu tuu, Mwendo ni huu
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Madeleka: Uchaguzi unafanyika kwa haki, amani, uhuru na kuaminika

    Wakili Peter Madeleka amesema uchaguzi mkuu ni takwa la kikatiba linalofanyika kila baada ya miaka mitano, ambapo wananchi hupata nafasi ya kutumia mamlaka yao chini ya Ibara ya 8 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwaweka madarakani viongozi wanaowataka na kuwaondoa wasiowataka...
  7. JamiiForums Tanzania Alipewa kitengo cha kutuma SMS kuhusu uchaguzi anafanya kweli ila raia hatuna mpango huo wa uchaguzi

    Jitokeze kupiga kura tarehe 29 Oktoba, 2025 kumchagua Rais, Mbunge na Diwani. Kura yako haki yako. Hizi sms zao watumiane wao uchaguzi gani? situmeshasema hakuna uchaguzi sasa hizi sms za nini?? Niende kuchagua nani ? na ili iweje sasa
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Kuna hatihati hazina kukauka uchaguzi ukikamilika na maisha yakawa magumu zaidi kuliko kawaida

    Mara nyingi kipindi cha uchaguzi pesa nyingi mno hutumika kwenye kampeni na mbilinge mbilinge za hapa na pale kuhakikisha chama tawala kinabaki madarakani kwa namna yoyote ile mwisho wa siku uchaguzi ukitamatika hazina inabaki nyeupe na watanzania huwa wanakuwa kwenye kipindi kigumu mno cha...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Kama uchaguzi ungekuwa Dec2021 Ulikuwa na uwezo wa kupata hata zaidi ya kura 60% za haki kabisa, leo ndani ya chama chako bila ya kujiteua usingetoboa

    Unatafuta nani wa kumlaumu ni wewe mwenyewe. Ni moja ya kiongozi uliingia madarakani ukiwa unapendwa na sifa kedekede, ila baadae ukituona mafala na kutuzunguka. Imekucost wewe,legacy yako, chama chako, familia yako na kila kitu chako. Wewe ni mmama na umezaa ila serikali yako ilivyohandle...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Asante CHADEMA kwa kutupa uchaguzi bora tokea nchi ipate uhuru, asante kwa kumchagua Lissu na Heche. Tunakula matunda leo

    Asante kwa wote walioshiriki kwenye hili. Historia haitowasahau, mlicheza upande uliosahihi. Ule uchaguzi ili mark mwanzo wa siasa mpya na mageuzi makubwa kwa nchi. Huu ni moja ya UZI MFUPI ILA UNAWAFIKIA Nitaendelea
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Mchungaji Amoni: Tangu mwaka 2019 hatujawahi kuwa na uchaguzi unaoeleweka hata kidogo

    Mchungaji Amoni Mwashitete Atoa Wito wa Kijasiri kwa Viongozi wa Dini na Wastaafu Katika hotuba yake ya hivi karibuni kupitia Mwanahabari digital Mchungaji Amoni Mwashitete alitoa wito mzito kwa viongozi wa dini nchini Tanzania, akisisitiza umuhimu wa kusimama kwenye misingi ya haki bila...
  12. JamiiForums Tanzania Zijue nchi za Afrika zinazofanya uchaguzi 2025

    Chaguzi 2025 Barani Afrika: Orodha Hizi ndizo chaguzi zijazo kwa muundo wa orodha. Januari 2025 12 Januari 2025: Comoro – Bunge la Muungano Februari 2025 2 Februari 2025: Togo – Seneti [imeahirishwa] Februari 2025: Togo – Rais Machi 2025 5 Juni 2025: Burundi – Bunge la Taifa Agosti...
  13. O

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Wa CHADEMA Kuachiwa Tarehe 29 Octoba Siku Ya Uchaguzi!

    Kama kichwa cha Habari kinavyosomeka, Habari ndo hiyo!
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Hali ni mbaya sana maofisini, na jibu linalotolewa 'huu ni mwaka wa uchaguzi'. Je, kuna uhusiano gani kati ya kukosekana kwa fedha na uchaguzi?

    Aisee hali ni ngumu sana wakuu mpaka OC za kuendeshwa ofisi zinakosekana hakuna hela hata kidogo ukiuliza sababu unaambiwa huu mwaka wa uchaguzi. Kivipi wakati bajeti ya uchaguzi tufanye trillion moja hela ya CCM kuendesha kampeni kuanzia usafiri, nguo, bendera, mabango tufanye hata billion 500...
  15. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 29 Oktoba tunashirikije uchaguzi ikiwa haya hayajafanyiwa kazi?

    Watu wa Tanzania! Sasa ni wakati wa kuandamana na kutoa sauti yetu kwa nguvu ili kuzuia uchaguzi wa udanganyifu tarehe 29 Oktoba 2025. Hapa kuna hoja kuu zinazothibitisha kuwa tunahitaji kubadilisha hali hii mbaya kabla ya kura kupigwa bila haki. Jitokeze kwa wingi na tuungane pamoja! 1...
  16. JamiiForums Tanzania POTOSHI Wasira amesema 'hapa Tanzania kwaka huu CCM inaogopa CHADEMA, inawakamata ili ishinde uchaguzi'

  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Viongozi wa kimila wa Tambika uchaguzi uwe wa amani

    Machifu, watemi, watwale pamoja na waganga wa tiba za asili mkoani Tabora wameungana kufanya matambiko maalum ya asili kuombea taifa amani na utulivu kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025. Matambiko hayo yamefanyika katika Kijiji cha Izimbili, Manispaa ya Tabora...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Baada ya Uchaguzi Samia Suluhu anataka kuridhiana na nani?

    Tanzania Kuna vituko hatari. Samia na Nchimbi walisikika wakisema ndani ya siku 100 baada ya kuchaguliwa wataunda tume ya upatanishi na maridhiano. Ninavyoelewa maridhiano ufanyika kipindi ambacho pande zote mbili zimeumia. Sasa Samia na CCM wameumia Nini Hadi watangaze maridhiano? Na je...
  19. JamiiForums Tanzania Rais wa Nepal avunja bunge, atangaza tarehe ya uchaguzi

    Rais wa Nepal, Ramchandra Poudel, amelivunja bunge na kuitisha uchaguzi mpya utakaofanyika ifikapo Machi 5, 2026. Hatua hiyo imekuja baada ya wiki moja ya machafuko makubwa yaliyosababishwa na maandamano ya vijana. Uamuzi huo ulitangazwa jana Ijumaa, saa chache baada ya Rais Poudel kumteua na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…