uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. The Humble Dreamer

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mawakala wa CHADEMA wamejiaandaje na Uchaguzi mkuu 2020?

    Wakuu Salaam: Mawakala hua ni sehemu ya uchaguzi katika kuhakikisha upigaji na utaratibu wa kuhesabu kura unaenda kwa Uhuru na Haki. Mawakala wa Chama husika wanatakiwa kuhakikisha kura zilizopigwa kwa upande wa chama chao zinahesabiwa kwa haki bila uhuni wowote. Kwa uchaguzi wa serikali za...
  2. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Mkitoa ajira za Waalimu Kabla ya uchaguzi mtampunguzia kura mgombea wa CCM

    Walioomba ajira ni zaidi ya laki. Alafu wachaguliwe hao watu 13000. Mini matokeo yake. 1: Kwanza wakuochaguliwa wote hawatapiga kura maana watakuwa maeneo yao ya KAZI. 2: Waliobaki wote zaidi ya 87,000 hawatampigia mgombea wa CCM kwa hasira ya kukosa ajira wakati enzi za JK wote walikuwa...
  3. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli umeudanganya umma wa Watanzania na Wanategeta kuhusu kero ya mafuriko

    Wasalaam. Mimi ni mkazi wa Tegeta Nyuki, Leo natoka hali ya kushangaza mgombea Urais kupitia CCM bwana Magufuli amesema hajui matatizo ya mafuriko yanayowakumba wakazi wa Tegeta hivyo wamchagulie mbunge wa CCM Askofu Gwajima ili akaombe pesa za kuchimbia mitaro. Hayo ameyasema akiongea na...
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM ikishindwa uchaguzi hata Polepole atahamia CHADEMA

    Polepole bado Ni kijana, na hakuna kijana anaipenda CCM Ila kwa maslahi ya kuwa chama tawala. Hivyo Kama siku CCM (Mungu apishie mbali) ikianguka kwenye uchaguzi CCM itakimbiwa na wengi hata usiowatarajia. Wakwanza kuhamia Chadema anaweza kuwa mh. Polepole. Kila anayesema CCM Oyeee mtizame...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nani wa CCM amewahi tuhumiwa na kuchukuliwa hatua toka mchakato wa uchaguzi umeanza

    Hii nchi tumefika hapa tulipofika ni kwakuwa kumekuwa tayari na tabaka. Toka tumeanza mchakato wa Uchaguzi kuna matukio mengi mengi na mengi sana, wahanga wa matukio haya ni vyama vyote vya upinzani tu ndio wameonekana wakifanya matukio kama yote. je ccm wako perfect sana na hakuna hata mmoja...
  6. BAK

    JamiiForums Tanzania GE2020 Taarifa kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi itazuia Mawakala wa Vyama kuingia na simu zao katika vituo vya kupigia kura imetushtua

    SUALA LA SIMU KWA MAWAKALA: TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI MSIHARIBU UCHAGUZI WA WATANZANIA! Taarifa kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi itazuia Mawakala wa Vyama kuingia na simu zao katika vituo vya kupigia kura imetushtua hata sisi viongozi wa Kanisa! Simu ina mambo mengi sana katika ulimwengu wa sasa...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Uchaguzi huu hautakuwa rahisi kwa kuwa kura ya mwaka huu ni ya ukombozi wa nchi

    MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ameendelea kuchanja mbuga kwenye mikoa ya Singida, Tabora na Shinyanga huku akisema uchaguzi huu hautakuwa rahisi kwa kuwa kura ya mwaka huu ni ya ukombozi wa nchi. Akizungumza jana katika mikutano tofauti ya...
  8. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ijue Haki ya Vyama vya Siasa na Wagombea Kuteua Mawakala

    Ufafanuzi huu ni kwa mujibu wa kifungu cha 57 (1) na (2) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343, na kifungu cha 58 (1) na (2) cha Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, Sura ya 292 Chama cha siasa kinaruhusiwa baada ya kupata ridhaa ya Mgombea au Wagombea kuteua na kuwasilisha kwa...
  9. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) 2020-2025

    CHAMA CHA MAPINDUZI MUHTASARI WA ILANI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2020 Imetolewa na Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Agosti, 2020 CHAMA CHA MAPINDUZI MUHTASARI WA ILANI YA UCHAGUZI WA MWAKA 2020-2025 UTANGULIZI 1. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya uongozi wa vyama vya TANU na ASP na...
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais Donald Trump wa Marekani amerejea tena kwenye Kampeni za Uchaguzi Mkuu siku kadhaa tangu alipogundulika kuwa na Covid 19

    Rais Donald Trump wa Marekani amerejea tena kwenye kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa kufanya mkutano wa kwanza jimboni Florida siku kadhaa tangu alipogundulika na maambukizi ya Virusi vya Corona. Rais Trump aliwasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika eneo la wazi huko Sanford; Florida bila ya...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Amnesty International yazitaka UN, AU, SADC and EAC kuibana Tanzania, Rais na Waziri Mambo ya Ndani kuhakikisha Uchaguzi huru na wa haki

    12 October 2020, Index number: AFR 56/3051/2020. 1. EXECUTIVE SUMMARY Tanzania has been independent since 1961 with President John Magufuli as the country’s fifth president, elected into office in October 2015. On 28 October 2020, Tanzanians go to the polls in general elections. Under...
  12. tpaul

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hizi ndizo hoja zitakazomuangusha Dkt. Magufuli na kumpaisha Tundu Lissu kwenye Uchaguzi Mkuu 2020

    Bila kupepesa macho wala kutikisa masikio, naingia kwenye mada moja kwa moja. Katika andiko hili nimebainisha kinagaubaga mambo ambayo yatamuangusha Magufuli na kumuinua Hon Dr Tundu Antipas Lissu kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2020 kama ifuatavyo: 1. Kuboresha mishahara na maslahi ya wafanyakazi Mh...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kuelekea uchaguzi mkuu oktoba, hongera mwanahabari Farhia Middle

    Habari ya wakati huu wanajukwaa hili huru. Kuelekea uchaguzi mkuu wa Rais,Wabunge/wawakilishi na Madiwani vimekuwa vikiendeshwa vipindi mbalimbali vihusuvyo mwenendo wa siasa kama vile ilani za vyama, sera na ahadi mbalimbali. Kupitia ITV kipindi cha Dakika 45, mtangazaji huyo nimekuwa...
  14. Richard

    JamiiForums Tanzania CCM ikishinda uchaguzi Serikali yake ifafanue kipengele kwa kipengele suala la Tundu Lissu kupigwa risasi

    https://www.jamiiforums.com/attachments/1581526/ Kama tunavyofahamu tarehe ya uchaguzi 28/10/2020 ndio siku ya kuchambua kati ya mchele na pumba. Hiyo siku ya uchaguzi itakuwa ni siku ya jumatano ambayo kikalenda ni siku nzuri sana kwa wale wapenda nyota. Pia kwa zile sherehe za wenzetu...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Shule zote Zanzibar kufungwa kuanzia Oktoba 24 Mpaka Novemba 2 ili kupisha Uchaguzi

    Katibu mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Dkt Idrissa Muslim anawatangazia Walimu, Wanafunzi na Wananchi kua, Wizara itazifunga Shule zote za Zanzibar kuanzia tarehe 24/10/2020 na kufunguliwa tarehe 2/11/2020 kwa ajili ya kupisha Uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 28 mwaka huu...
  16. Lukonge

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zingatia, Ukifanya chochote zaidi ya kuweka tiki kwa unaemchagua, umeharibu kura yako

    Salaam wanaJamiiForums na watanzania wote kwa ujumla wetu. Ni ukweli usiopingika kwamba ndani ya wiki mbili zijazo, tunaenda kufanya uchaguzi wa viongozi mbali mbali kwenye Taifa letu. Pamoja na mengi yaliyokwishaongelewa na kampeni zote zilizofanyika, kuna jambo moja ambalo halijapata mjadala...
  17. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuiamini Tume ya Uchaguzi ni muhimu kwa Uchaguzi wa Amani

    Mabibi na mabwana heshima kwenu. Kuaminika kwa mamlaka zote zinazohusika kwenye mchakato huu wa uchaguzi ilikuwa jambo la muhimu sana kwa amani yetu. Yote ni tisa, kumi ni kuaminika kwa tume ya uchaguzi ambayo haswa ndiyo yenye hii shughuli. Ilikuwa ni jukumu la tume kuwahakikishia wadau wote...
  18. Ngalikivembu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Uchaguzi ina 'double standards' kwenye kusimamia ratiba ya kampeni kwa wagombea

    Ratiba rasmi ya NEC toleo la 5 la Octoba 2 mwaka huu, inaonesha namna wagombea wa vyama vyote sehemu wanazotakiwa kuwepo kwenye mikutano rasmi ya kampeni. Lakini kumekuwepo na ukiukwaji mkubwa wa ratiba hiyo kwa upande wa CCM na mgombea wake. NEC inaonesha kuigwaya CCM na mgombea wake. Mara...
  19. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Barua yangu na wito wangu kwa IGP, Tume ya Uchaguzi na wenyeviti wa Vyama vya Siasa Taifa

    1. Tusimamie haki, tutende haki na tuhamasishe watu wetu kutotumia nguvu inayo dhuru mtu, ua watu , kupoteza watu na kuharibu uchaguzi. Toka tulipoanza na tulipofikia kuna matukio mengi tayari (kwa mujibu wa picha na malalamiko). Tunakokwenda na baada ya uchaguzi matukio hayo yasiwepo kamwe. 2...
Back
Top Bottom