uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Iringa: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Dar es Salaam. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Iringa una jumla ya majimbo ya uchaguzi 7 ambayo ni: Iringa Mjini - Jesca Msambatavangu(CCM)...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Songwe: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Songwe. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Songwe una jumla ya majimbo ya uchaguzi 6 ambayo ni: Ileje - ENG. MSONGWE GODFREY KASEKENYA -...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Katavi: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Katavi. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Katavi una jumla ya majimbo ya uchaguzi 5. Wabunge walioshinda kwenye hayo majimbo ambayo ni:-...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dar es Salaam: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Dar es Salaam. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Ubungo Profesa Kitila Mkumbo (CCM) - Kura 63,221 Boniface Jacob (CHADEMA) - kura 20,620 Kibamba...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kigoma: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Kigoma. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Kigoma una jumla ya majimbo ya uchaguzi 8 ambayo ni Buyungu - Aloyce Kamamba (CCM) Muhambwe -...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tanga: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Tanga. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Tanga una una jumla ya majimbo ya uchaguzi 12 ambayo ni Tanga Mjini: Ummy Mwalimu (CCM) - Kura...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Pwani: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Pwani. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Pwani una una jumla ya majimbo ya uchaguzi 7 ambayo ni:- Chalinze: KIKWETE RIDHIWANI JAKAYA -...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kilimanjaro: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Kilimanjaro. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Kilimanjaro una una jumla ya majimbo ya uchaguzi 9. Walioshinda katika hayo majimbo ambayo ni...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Manyara: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Manyara. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Manyara una una jumla ya majimbo ya uchaguzi 7 ambayo ni:- Babati Mjini: GEKUL PAULINE...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Arusha: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Arusha. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Arusha una jumla ya majimbo ya uchaguzi 7 ambayo ni; Arusha Mjini: Mrisho Gambo (CCM) - Kura...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Geita: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Geita. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Geita una jumla ya majimbo ya uchaguzi 7 na wabunge Walioshinda kwenye hayo majimbo ambayo ni:-...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Shinyanga: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Shinyanga. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Shinyanga una jumla ya majimbo ya uchaguzi 6 ambayo ni:- Shinyanga Mjini - Patrobas...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwanza: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mwanza. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Mwanza una jumla ya majimbo ya uchaguzi 9 ambayo ni:- Ilemela: Angelina Mabula (CCM) - Kura...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Njombe: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Njombe. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Njombe una jumla ya majimbo ya uchaguzi 6 ambayo ni: Lupembe: SWALLE EDWIN ENOSY - Amepita bila...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tabora: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Tabora. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Tabora una jumla ya majimbo ya uchaguzi 12 ambayo ni:- Tabora Mjini: Emmanuel Mwakasa (CCM) - Kura...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbeya: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mbeya. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Mbeya una jumla ya majimbo ya uchaguzi 7 ambayo ni:- Mbeya Mjini - Tulia Ackson(CCM) - Kura 75,225...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dodoma: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Dodoma. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Dodoma una jumla ya majimbo ya uchaguzi 10. Wagombea walioshinda kwenye hayo majimbo ambayo ni...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Morogoro: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Morogoro. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Morogoro una una jumla ya majimbo ya uchaguzi 11 ambayo ni Morogoro:- Morogoro Mjini - Abood...
  19. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nawatakia Watanzania wote Uchaguzi wenye Baraka na Amani ya Mungu ile ipitayo fahamu zote

    Kwanza namshukuru Mungu kwa kutuvusha salama na hatimaye kuifikia siku hii ya leo tunapoenda kuchagua viongozi wetu. Ninamuomba mwenyezi Mungu awatie nguvu ninyi nyote ili tuweze kukamilisha jukumu hili la kikatiba kwa amani. Tukumbuke kuwa kuna maisha baada ya uchaguzi na kwamba siasa haijengi...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Umoja wa Afrika watoa wito wa Uchaguzi wa Amani, wenye kujumuisha kila mmoja na wa haki nchini Tanzania

    MWENYEKITI wa Umoja wa Afrika (AU), Moussa Faki Mahamat, ametoa wito wa uchaguzi wa amani, wenye kujumuisha kila mmoja na wa haki nchini Tanzania. Ametoa wito kwa washikadau wengine, Vyama vya Kisiasa na wafuasi wake kushiriki uchaguzi kwa amani na kujizuia kufanya vitendo vyovyote vya ghasia...
Back
Top Bottom