uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. U

    JamiiForums Tanzania Serikali hii ya Mpito itafika ukomo ukifanyika uchaguzi 2025

    Huu ndo ukweli hii ni serikali ya Mpito kwakuwa haujafanyika uchaguzi wa kumchagua Rais, Rais aliyekuwepo madarakani alifariki hivyo katiba imempa alikuwa makamo wa Rais awe Rais japo katiba haijasema lakini ni serikali ya Mpito. Tupo kwenye transition kusubiri uchaguzi baada ya Rais...
  2. JamiiForums Tanzania Bunge: Taratibu za Uchaguzi wa Spika zinaendelea. Wabunge kurejea Dodoma Januari 31, 2022

    Bunge limesema taratibu za Uchaguzi wa kujaza nafasi ya Spika iliyo wazi baada ya Job Ndugai kujiuzulu zinaendelea Kamati zilizokuwa zikutane kuanzia Januari 10 pamoja na zile zilizotakiwa kukutana kuanzia Januari 17, 2022 hazitakutana wakati huo Badala yake zitakutana wakati wa Mkutano wa...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Rais Samia vunja Bunge lote, ita uchaguzi mpya

    Wabunge walioingia mjengoni kwa Hisani ya mwendazake hawawezi kuwa na uchungu na wananchi wa majimbo yao wala nchi kwa ujumla. Na kwa maana hiyo hawawezi hata siku moja kukusaidia katika kuondoa umasikini Tanzania. Kila utalosema wao akili zao zote ziko Chato na zaidi wanachowaza ni mwaka 2025...
  4. JamiiForums Tanzania Ilani za uchaguzi za vyama vya siasa zinaweza kubadilishwa baada ya kupewa ridhaa ya kutawala?

    Wajuzi wa siasa na sheria tujuzeni katika hili tujuwe na tuchukuwe tahadhali siku zijazo. Nawasilisha kwa mwongo wenu
  5. T

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa CCM 2022 utakuwa na ushindani sana lakini si kwa nafasi ya uenyekiti

    Kuna habari za chini ya kapeti kwamba watajipanga kwenye uenyekiti kwenye uchanguzi ndani ya chama 2022 ili waweze kupambana naye vizuri vizuri panapo 2025. Historia inatuambia kuna watu walijaribu kutaka kufanya hivyo 2012 kwa kutaka kupiga kura za maruhani kwa mgombea uenyekiti lakini...
  6. JamiiForums Tanzania Mali yapendekeza Uchaguzi kucheleweshwa kwa miaka mitano

    Serikali ya mpito nchini Mali imependekeza kwa majirani zake wa Afrika Magharibi kuahirishwa kwa uchaguzi kwa miaka mitano, baada ya mapinduzi ya kijeshi ya mwaka 2020. Waziri wa Mambo ya Nje Abdoulaye Diop amesema haya katika maoni yaliyotangazwa kupitia kituo kinachoendeshwa na serikali...
  7. JamiiForums Tanzania Kumbukumbu: Siku Mtandao wa Intaneti ulipokatwa kwa Wiki nzima kisa Matokeo ya Uchaguzi

    Nakumbuka nilikuwa kijijini baada ya UCHAGUZI wa mwaka jana na kura kuanza kuhesabiwa ghafla siku ya kwanza yakuhesabu kura mtandao wa internet ukawa haupatikani nikaona labda itakuwa nitatizo la kiufundi. Aisee tumeenda siku ya pili mpaka wiki inapita no internet. Kuja kushtuka jiwe kaisha...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia kakubali Tume Huru ya Uchaguzi. Sasa ole wenu mtoke nje tena wakati wa Majadiliano

    Salaam Wakuu, Nawashauri Wadau wa Siasa, mujifunze kuvumiliana na reconciliation. Si tabia njema kususasusa. Tangu hii tabia ya kususa ianze Kwama 2010, sijaona tija yoyote. Yaani mnasusia nyani Shamba la mahindi? Rais Samia Kasikia Kilio chenu cha Tume huru ya Uchaguzi. Siku taratibu...
  9. JamiiForums Tanzania Gambia: Mahakama yatupilia mbali ombi la kubatilisha matokeo ya Uchaguzi Mkuu

    Mahakama ya Juu Nchini humo imetupilia mbali ombi la Chama Kikuu cha Upinzani la kubatilisha matokeo ya Uchaguzi wa Rais wa Desemba 4, ambapo Rais Adama Barrow alitangazwa mshindi Kiongozi wa Chama cha United Democratic Party (UDP), Ousainou Darboe aliyepata 28% ya Kura alisema Kampeni za...
  10. JamiiForums Tanzania Jaji Jacob Mwambegele amrithi Kaijage. Ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Jaji Jacob Casthom Mwambegele kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), akichukua nafasi ya Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage ambaye amemaliza muda wake Jaji Mwanaisha Athuman Kwariko ameteuliwa kuwa Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Pia, Rais...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Watu wanaosema Tume Huru ya Uchaguzi ianze kabla ya Katiba Mpya hawajui kwamba wanabariki Katiba Mpya kutopatikana hadi baada ya 2025!

    Jiulize, kwani Tanzania ilikuwa imefikia wapi na Mchakato wa Katiba Mpya, na ni nini kilichokuwa kimebaki ili kuikamilisha? Na pia jiulize, ni mambo gani yanatakiwa ili kuwa na Tume Huru ya Uchaguzi? Sasa unapokuwa na majibu yanayojitosheleza ya maswali haya, ndio utoe kauli kuhusu haya mambo...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Zitto, hii ndiyo timu ya kupitia masuala ya Tume Huru ya Uchaguzi uliyotegemea au wamekuchakachua?

    Naomba kumuuliza Mhe. Zitto kama ameshiriki kuunda hii timu iliyotajwa na Msajili au Msajili Kwa namna alivyoona inafaa ndiye kaja na wajumbe wake? Mwenyekiti wa timu hii kweli tunaamini ni mtu wakumleta kwenye hoja nyeti wakati alishatoa kauli mbili tofauti juu ya uchaguzi uliopita? Ana kauli...
  13. JamiiForums Tanzania Bunge la Libya lasema haiwezekani kuandaa uchaguzi wa rais Ijumaa

    Kamati ya bunge la Libya imesema leo kuwa haitawezekana kuandaa uchaguzi wa rais uliosubiriwa kwa muda mrefu katika siku mbili zijazo kama ilivyopangwa. Hilo ni pigo kubwa kwa juhudi za kimataifa za kuumaliza muongo mmoja wa machafuko katika nchi hiyo yenye utajiri wa mafuta. Hiyo ni taarifa ya...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Chereko chereko ujio Tume Huru ya Uchaguzi

    Zimesikika chereko chereko na mayowe ujio wa tume huru ya uchaguzi. Bila shaka katika wote kina Addo Shaibu pale mtaa wa Jukwani nao pia hawajabakia nyuma. Haiyumkiniki tume hii itaundwa kwa kuzingatia msingi uliopo katika katiba pendekezwa ili kupisha shari: Kwa kuzingatia msingi huo...
  15. JamiiForums Tanzania Mnakomaa kupata Tume Huru ya Uchaguzi, mnadhani itawaweka madarakani?

    Kwa mujibu wa ibara ya 190 ya rasimu ya Katiba ya JMT iliyoundwa na tume ya Jaji warioba ni kuwa kutakuwa na tume huru. Mwenyekiti, makamu mwenyekiti na wajumbe saba wa tume watakuwa wanateuliwa na rais. Kama mwenyekiti akitoka bara,makamu atatoka Zanzibar vivyo hivyo makamu akitoka Zanzibar...
  16. JamiiForums Tanzania Mizengo Pinda: Tuanze mchakato wa kuwa na Tume huru ya Uchaguzi

    "Kuna mambo ambayo sisi CCM kama chama tawala lazima tubebe dhima. Tutoe uongozi. Kwa, mfano hili la Tume Huru ya Uchaguzi kizuizi ni nini? Hili ni jambo ambalo lazima tukubaliane na wenzetu wa upinzani na tuanze mchakato wa kuwa na Tume Huru ya Uchaguzi" Mzee Mizengo Pinda Hii inatoka...
  17. JamiiForums Tanzania Bobi Wine alaani Jeshi la polisi nchini Uganda kwa kujaribu kumzuia kwenda katika uchaguzi

    Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Robert Kyagulanyi, al maarufu Bobi Wine, ametuma picha ya polisi na jeshi wakionekana nje ya nyumba yake kabla ya kampeni za uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika katika wilaya ya Kayunga. Rais Yoweri Museveni anatarajiwa kutembelea katika wilaya ya Kayunga...
  18. JamiiForums Tanzania Tunisia: Shughuli za Bunge kuendelea kusitishwa hadi baada ya Uchaguzi mwakani

    Rais Kais Saied amesema Bunge la Nchi hiyo litaendelea kusimamishwa hadi Uchaguzi mpya ufanyike mwaka mmoja kutoka sasa. Pia, ameeleza kuhusu mipango ya Kura ya Maoni ya Katiba mwaka ujao Tangu aliposimamisha shughuli za Bunge na kumfukuza kazi aliyekuwa Waziri Mkuu, Rais Saied ameendelea...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa hii CCM inayopasuka na sisi tunavyojipanga kidigitali 2025 tukishiriki uchaguzi tunaweza kukamata dola

    Tunashuhudia Chama chetu kikisonga kidijitali na kusajili maelfu kwa mamilioni ya wanachama. Tunashuhudia Ccm ambayo imeanza kumeguka kati ya wapinga upigaji madili na wapiga madili. Kwa hali hii ya kisiasa ni wazi kuwa 2025 kama tutashiriki uchaguzi basi tutatoka na ushindi mkubwa.
  20. JamiiForums Tanzania Jeshi la Sudan lasema litaachana Siasa baada ya Uchaguzi kufanyika mwaka 2023

    Kiongozi wa Jeshi, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan amesema Jeshi litaacha kujishughulisha na Siasa baada ya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika 2023 Kamati za Upinzani na Vyama vya Siasa vimekuwa vinatoa wito kwa Jeshi kuacha madaraka, na wamekataa maelewano yoyote yakiwemo makubaliano na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…