uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA yatangaza Maandamano Kupinga Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa Bungeni

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza maandamano ya amani Januari 24 mwaka huu mkoani Dar es Salaam kuishinikiza Serikali kuzingatia maoni ya wadau kuhusu masuala ya uchaguzi. Maandamano hayo kabambe ya kupigania haki yataanzia Jijini Dar es Salaam na Yatafanyika 24/1/2024...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenye mchango wa Shehe Musa Kundecha kuhusu Sheria za Uchaguzi auweke hapa, yasemekana umefichwa

    Taarifa zilizozagaa kila mahali zinadokeza kwamba , mchango wa maoni ya Sheikh Amiri Musa Kundecha aliyoyatoa kwa Kamati ya Bunge ya Sheria na Katiba , kuhusu marekebisho ya Sheria za Uchaguzi umedhibitiwa na kufichwa. Taarifa zingine zikidokeza kwamba Waandishi wa Habari wameonywa wasiusambaze...
  3. JamiiForums Tanzania Vijana wawe makini sana kwenye kuchagua wapenzi wa maisha yao

    Habarini za asubuhi wapendwa Kama kichwa cha habari kinavyoonekana leo napenda kuchukua nafasi hii kuwakumbusha vijana awe wa kike au wakiume kwamba wawe makini sana kwenye kuchagua wapenzi wa maisha yao ili kuepusha majuto kwa badaye Na cha muhimu zaidi hakikisha unatunza izo shaha....w...a...
  4. JamiiForums Tanzania Sifa ya kuajiriwa tume ya uchaguzi, au msajili wa vyama vya siasa.

    Ndg zangu Nimesomea political science eneo la PSPA. Naomba kujua sifa gani kupata ajira tume ya uchaguzi. Najua kazi zao ni Majukumu 1. Kusajili vyama vya siasa na kuvifuta vile ambayo vimekiuka masharti ya usajili kw ujibu wa Sheria namba 5 ya mwaka 1992. 2. Kuratibu shughuli za Baraza la...
  5. JamiiForums Tanzania LGE2024 Emmanuel Cherehani: Wananchi Jitokezeni Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    📍Ushetu - WANANCHI JITOKEZE UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA-MBUNGE CHEREHANI Wananchi wametakiwa kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika mwaka huu 2024. Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mkoani Shinyanga Mhe Emmanuel Cherehani ameyasema hayo tarehe...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mapendekezo ya CHADEMA juu ya Miswada ya Sheria za Uchaguzi ambayo Kamati ya Bunge inazuia yasisomwe Bungeni

    Mapendekezo ya jumla na msimamo wa CHADEMA juu ya miswada ya sheria iliyowasilishwa bungeni 10, Novemba 2023 inayohusu masuala ya uchaguzi na ofisi ya msajili wa vyama vya siasa NB; maoni haya ndiyo ambayo kamati ya kudumu ya bunge ya utawala, katiba na sheria inazuia yasisomwe =====...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Vyama vya Siasa vya upinzani vijikite kuwaandaa wagombea mapema kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

    Tunapoelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 ni vyema vyama vyote vya upinzani vitakavyoshiriki vikaanza maandalizi mapema kabla giza halijazama. Wote tunakumbuka uchafuzi uliofanyika katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 ambapo vyama vya upinzani vilipata pigo moja...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA kuwasilisha maoni ndani ya Kamati ya Bunge kuhusu miswada ya Sheria za Uchaguzi

    Taarifa ikufikie popote Ulipo duniani , Kwamba miongoni mwa mambo Makubwa yatakayotokea leo Duniani ni Pamoja na Chama kinachoungwa mkono na Watanzania wengi kuliko Chama chochote cha kisiasa , CHADEMA leo 10/01/2024 kinatoa maoni yake kwenye Kamati maalum ya Bunge kwa ajili ya Marekebisho ya...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Baruani Mshale: Usiposhiriki uchaguzi utachaguliwa Kiongozi usiyemtaka

    Baruani Mshale ambaye ni Mkurugenzi wa Mikakati na Mafunzo kutoka TWAWEZA amesema kitendo cha Watu na hasa Vijana kutoshiriki katika masuala ya Uchaguzi kinasababisha maamuzi yanayofikia kuchaguliwa kwa Viongozi ambao hawawataki. Amesema "Tuchukulie mfano wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa pale...
  10. J

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Uchaguzi serikali za mitaa ufanyike 2026. Je, kuna madhara yoyote?

    Je, haiwezekani kuahirisha uchaguzi wa serikali za mitaa mpaka 2026? Hii itawezesha uchaguzi huo kusimamiwa na Tume Mpya Huru ya Uchaguzi badala ya Tamisemi. Nadhani Watanganyika tusiwaige Wazanzibari kufanya chaguzi zote kwa wakati mmoja. Nchi yetu ni kubwa sana ukilinganisha na Zanzibar.
  11. JamiiForums Tanzania Mzee Machano: Nilikuwa nafungwa kila ikikaribia maadhimisho ya sikukuu ya Mapinduzi

    https://www.youtube.com/watch?v=GhjjJPkjhEQ Lambart Stanislaus mtangazaji wa Dar24 Media akiwa Mombasa Zanzibar alimuhoji Mzee Muchano Hamis Ally kuhusu Sakata la yeye kufungwa kila maadhimisho sikuu za Mapinduzi zinapokaribia. Lambart: Tuambie hasa wewe ni nani tangu enzi zile za Afro Shiraz...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kupigia kura mtandaoni: Urahisi, Usahihi, na Ufanisi katika Mchakato wa Uchaguzi

    Kupigia kura mtandaoni imekuwa njia yenye urahisi mkubwa katika michakato ya kupiga kura kipindi cha uchaguzi, baadhi ya nchi haswa za ulaya, nchi za Baltic kama vile Estonia, zimetumia njia hii tangu mwaka 2005. Hii njia inapunguza kupoteza muda ikilinganishwa na mfumo wa kura za jadi...
  13. JamiiForums Tanzania Askofu Ruwaichi: Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi kuteuliwa na Rais wanakosa Uhuru

    Akiwasilisha maoni mbele ya Kamati ya Bunge kuhusu na Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa na Serikali Bungeni, Askofu Mkuu wa Jimbo la Kanisa Katoliki Dar es Salaam, Askofu Jude Thaddaeus Ruwai'chi amesema Uhuru wa Wajumbe hao unapaswa kutiliwa maanani kwasababu Uteuzi wao unatoka kwa...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 KKKT nayo yajitosa Bungeni kutoa maoni yake kuhusu Sheria za uchaguzi

    Kanisa la Kiinjili la Kirutheri Tanzania , ni miongoni mwa Taasisi za Kidini zilizojitokeza mbele ya kamati ya Bunge kutoa maoni kuhusu miswada ya sheria za Uchaguzi . Kanisa hilo limewakilishwa na Askofu Shoo , ambaye pamoja na mambo mengine ameitaka kamati hiyo ya Bunge kuhakikisha maoni...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maoni ya Jumla ya Wadau Kwenye Miswada ya Sheria za Uchaguzi na Muswada wa Vyama vya Siasa - Sehemu 1

    JamiiForums, Jukwaa la Katiba (JUKATA), Tanganyika Law Society (TLS), Twaweza East Africa, Centre for Strategic Litigation (CSL) na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kwa pamoja tunawasilisha maoni kwenye miswada minne: Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani; Muswada...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 TEC yashauri Viongozi wa Serikali wasiwe wasimamizi wa Uchaguzi

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Katibu wa TEC Padri Kitima, leo 8/01/2024 Ametoa maoni ya Baraza la Maaskofu wa Kikatoliki ndani ya Bunge la Tanzania, kama Mchango wa Kanisa hilo kwenye Miswada ya Sheria za Uchaguzi. TEC imesema kwamba Viongozi wa Serikali hawapaswi na iwe mwiko kwao...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maoni yangu kwenye Mkutano wa Vyama vya Siasa kuhusu Muswada wa Sheria Mpya ya Uchaguzi. Muswada sio batilifu, ni Muswada batili

    Wanabodi, Sina uhakika sana humu JF, lakini kati ya JF members wanaozungumzia sana, Katiba, Sheria na Haki, mimi ni mmoja wao. Nimeandika sana kuhusu katiba, sheria na haki toka enzi za JPM. Rais Samia alipoingia, nimeandika sana kuhusu katiba, sheria na haki. Rais Samia alipounda Kikosi...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ukienguliwa na Tume ya Uchaguzi Kugombea Urais Kata Rufaa Mahakama Kuu

    Huu ni sehemu ya Mchango alioutoa Emmanuel Masonga Bungeni Dodoma alipokuwa anachangia kwenye Muswada wa Sheria za Uchaguzi . Sheria ya sasa inataka aliyeenguliwa akate rufaa kwa Tume yenyewe . =====
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jerry Murro aonekana Bungeni , Aomba umoja wa kitaifa kwenye Miswada ya Uchaguzi

    Kwa mara ya Kwanza tangu atenguliwe kwenye Ukuu wa Wilaya , Ndugu Jerry Murro ameonekana hadharani . Amekutwa ndani ya Bunge huko Dodoma akichangia kuhusu Miswada ya Sheria za Uchaguzi ( Haijulikani alipelekwa na nani ) , Bali nilichokiona leo nimegundua kwamba Madaraka ndio yanayoharibu tabia...
  20. K

    JamiiForums Tanzania “Nasikia harufu” kumbe miswada ya uchaguzi ni moto!

    Serikali kwa bahati mbaya sana walifikiria kiurahisi tu watapetesha mishada ili Tanzania tuonekane na sisi tuna chaguzi za kidemokrasia. Matokeo yake ni kwamba Serikali ielewe nchi inabadilika. Hakuna kitu kitakuwa kirahisi. Pamoja na kwamba Watanzania wengi wameonyesha upole lakini ukweli ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…