uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. C

    JamiiForums Uganda: Chama tawala NRM chapinga pendekezo la Muhoozi kumrithi Museveni urais

    Chama tawala nchini Uganda, National Resistance Movement (NRM), kimepinga pendekezo la kumtaka Jenerali Muhoozi Kainerugaba, mwanawe Rais Yoweri Museveni, kuwa mrithi wake wa kisiasa, hatua inayoashiria kuwepo kwa upinzani ndani ya chama hicho dhidi ya uwezekano wa mamlaka kukabidhiwa kutoka kwa...
  2. M

    JamiiForums Netanyahu anaendelea kuwa waziri mkuu baada ya kukosekana kwa serikali mpya, Rais hana nguvu na vyama vikishindwa kufikia muafaka uchaguzi utarudiwa.

    Uchaguzi mkuu wa Israel umeliacha bunge (Knesset) bila upande wowote wenye viti 61 kati ya 120 vinavyohitajika kuunda serikali mpya. Hali hiyo inamfanya Benjamin Netanyahu kuendelea kuhudumu kama Waziri Mkuu, licha ya kambi yake kushindwa kupata viti 61 bungeni. Kwa mujibu wa matokeo ya...
  3. JamiiForums Ulofa wa Jaji Ndunguru Huu Hapa: “Haiwezekani Lissu Akavuruga Uchaguzi kwa Njia za Amani”

    ULOFA WA JAJI NDUNGURU: ETI “HAIWEZEKANI LISSU AKAVURUGA UCHAGUZI KWA NJIA ZA AMANI” Napendekeza kuwa Jaji Ndunguru anasumbuliwa na ulofa wa kifalsafa, yaani, philosophical illiteracy, katika kipengele Cha falsafa inayochunguza uhusiano uliopo kati ya sababu na matokeo (etiology). Hoja yangu...
  4. E

    JamiiForums Mbeki aunga mkono Ramaphosa kujiuzulu baada ya ANC kufanya vibaya uchaguzi

    Rais mstaafu wa Afrika Kusini, Thabo Mbeki, amesema Rais wa sasa wa nchi hiyo, Cyril Ramaphosa, anapaswa kuwajibika kwa matokeo mabaya ya Chama cha African National Congress (ANC) katika uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2026, akieleza kuwa kujiuzulu kungekuwa hatua sahihi. Soma zaidi...
  5. E

    JamiiForums Anguko la ANC kutoka asilimia 69.7 hadi 30.76 linamaanisha nini?

    Chama kilichotawala Afrika Kusini kwa zaidi ya miaka 30 chazidi kupoteza uungwaji mkono; takwimu za chaguzi za Serikali za Mitaa na uchaguzi mkuu zaonesha kuporomoka kwa nguvu yake ya kisiasa. DA yaimarisha nguvu katika miji mikubwa, chama cha Zuma cha chanja mbuga KwaZulu-Natal huku vyama...
  6. JamiiForums Muundo wa uchaguzi na Muungano ulivyo, Rais anaweza kupatikana bila kufanya kampeni wala kupata kura hata moja ya Zanzibar

    CCM wanadhani watu wanaopiga kelele kudai mfumo mpya wa uchaguzi wanafanya hivyo tu kwa ajili ya madaraka ila hawatambui kuwa mfumo wa sasa wa uchaguzi na hata muungano wenyewe upo hatarini sana. Kesho anaweza kutokea mtu mwenye ushawishi mkubwa kisiasa akagombea nafasi ya Urais. Mtu huyo...
  7. JamiiForums Bila reforms, 2030 hakutakua na uchaguzi.

    Msimamo ni ule ule . Tunataka tukipiga kura ihesabiwe kwa aliyepigiwa. Tume huru ya uchaguzi, kukomesha uwizi wa kura. Hivyo basi, labda kama ccm imeamua kuik colonize inchi kama makaburu. Bila reforms kufanyika 2030 hakutokua na uchaguzi
  8. JamiiForums PostGE2025 Hakutakuwa na Uchaguzi tena Tanzania kama TISS hawataamka

    Dalili zipo wazi,CCm hawatarudi nyuma tena katika njia waliyoichagua,wapo tayari kuua,kuteka,kufunga na kupoteza yoyote anayezuia njia yao ya ulaji. Kabla ya 2030 na 2030 yenyewe mambo yafuataya yataikuta Tanzania kama usalama wa taifa na jeshi la wananchi watajitia upofu. 1. Uchaguzi fake...
  9. JamiiForums Wakikata rufaa tu kesi inaenda miaka 2 mbele halafu hukumu tena ya miaka 4 uchaguzi 2030 anaukosa.

    These things have been planned. Uchochezi hapo sasa na report ya jaji chande na lila zitaletwa mahakamani. Kesi itapelekwa kwa mwendo wa kinyonga lengo kuu uchaguzi 2030 upite CCM ni watu katili sana. NB Rostam alishawahi kusema huwezi kupata haki katika mahakama zetu hizi zinazofuata maelekezo
  10. C

    JamiiForums Uchaguzi mkuu Simba sports Club kufanyika 30 January

    Mwenyekiti wa klabu ya Simba SC, Murtaza Mangungu, ametangaza kuwa klabu hiyo itafanya Mkutano Mkuu utakaohusisha Uchaguzi Mkuu wa viongozi tarehe 30 Januari 2027. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti huyo kupitia barua kwa Wenyeviti wa Matawi ya Simba SC, mkutano huo utafanyika siku...
  11. JamiiForums Marekani: ni GenZ waliomuangusha Trump katika uchaguzi wa mid-term

    Vijana wa GenZ ndio wamefanya kazi kubwa kujiandikisha na kupiga kura dhidi ya siasa za TRUMP , huko Marekani. Vita ya Iran ilikuwa inatishia kuanza kuandikisha vijana kwenda vitani Irsn, hili halikuwapendeza. Pili hali ya uchumi ilizidi kuzorota ambapo chakula, mafuta na vitu vingi vilpanda...
  12. JamiiForums Somo kutoka uchaguzi wa Marekani; "Tume huru ya uchaguzi ndiyo njia pekee itakayowafanya viongozi wawaheshimu wananchi"

    Moja wapo ya hoja alizowahi kuzitoa Baba wa Taifa Mwl. Nyerere kama sababu za kwanini nchi yetu ielekee kwenye mfumo wa vyama vingi ilikuwa ni hatari ya chama kuonea watu kinaposhika hatamu. Tafakari hii haihitaji PhD kuing'amua. Katika mazingira ambayo viongozi wa chama na serikali wanayo...
  13. JamiiForums PostGE2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ya Tanzania, imefuta Matokeo ya Samia Suluhu kwenye Mtandao wao

    Baada ya Watu kulalamika kwamba huyu Mzanzibar Samia Suluhu Hasaan hakupata hata 20% bali Tume ndo imechakachua matokeo, sasa wameona aibu. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ya Tanzania, imefuta Matokeo ya Samia Suluhu ya 29.10.2025 kwenye Mtandao wao ili kuondoa Ushahidi. Sasa hakuna...
  14. I

    JamiiForums Wasouth Africa wameamua kumrudisha Kaburu kwenye uchaguzi

    Huko Afrika kusini uchaguzi umeanza jana na kwa jinsi kura zinavyoendelea chama cha makaburu DA kwa hali ya kushangaza kinaongoza dhidi ya chama cha ukombozi ANC kilichoiletea nchi hiyo uhuru kutoka kwa makaburu ambao walikuwa na sera za kibaguzi. Ajabu ukiangalia mateso yote waliyopitia...
  15. S

    JamiiForums Sababu 6 republicans na Trump kugalagazwa kwenye uchaguzi mdogo

    1.Siasa za kibaguzi na chuki badala ya sera za kuvutia, 2.maswali magumu akiulizwa D.Trump anawajibu waandishi wa habari kwa kejeli na kuwakashifu na aidha kusifia makalio anatafuta njia ya kukimbia maswali 3.kuikumbatia israel kupitiliza badala ya america first ilikuwa israel first,saizi...
  16. JamiiForums Vip na Trump kwashindwa uchaguzi kwa sababu ya Uisilam na Waislamu?

    Baada ya maandamano na vurugu kutokana na ugumu wa maisha barani Ulaya ,Kuna vigagura,na matakataka humu jf yaliyo jaa chuki vichwani mwao yalianzisha rundo la nyuzi kuwalaumu waislam kuwa ndo wahusika wa hayo maandamano na vurugu. Nataka kuwauliza na kishindwa vibaya kwa Trump na Repabrican...
  17. JamiiForums Athari za kijamii, kisiasa na kiuchumi za kuhamasisha uasi, kukinukisha, kuzuia na kuvuruga uchaguzi na kusababisha maafa zitatumika kutoa kuhukumuN6.

    Ni wazi msingi wa hukumu ya kihistoria katika taifa letu, utazingatia zaidi ukweli wa athari mbalimbali za kijamii, kisiasa na kiuchumi zilizosababishwa na mipango fichi ovu, yenye nia na dhamira ovu iliyochochewa na kuhamasishwa na chama cha siasa husika kuongoza uasi, kukinukisha, kuzuia na...
  18. JamiiForums Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan apiga kura uchaguzi mdogo Jimbo la Chamwino

    Picha mbali mbali zikimuonyesha Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipiga kura kwenye Kituo cha kupigia kura cha Ofisi ya Kijiji cha Chamwino mkoani Dodoma, Leo tarehe 04 Novemba, 2026 katika Uchaguzi mdogo wa Ubunge wa Jimbo la Chamwino. Uchaguzi huo...
  19. JamiiForums TAARIFA KWA UMΜΑ RAIS SAMIA ASHIRIKI UCHAGUZI MDOGO WA UBUNGE, JIMBO LA CHAMWINO

  20. JamiiForums Trump alaumu wanachama wa Republican na Fox News kwa kushindwa uchaguzi

    Wanaukumbi. Rais wa Marekani Donald Trump ameendelea kutoa maoni yake kuhusu matokeo ya uchaguzi wa katikati ya muhula kupitia mtandao wake wa Truth Social, akiwalaumu baadhi ya wanachama wa chama chake na kituo cha televisheni cha Fox News kwa kushindwa kwa wagombea wa Republican. Trump...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…