The Tanzanian general election of 2015 was the 5th quinquennial election to be held since the restoration of the multi-party system in 1992. Voters elected the president, members of Parliament, and local government councillors. By convention, the election was held on the last Sunday of October and was supervised by the National Electoral Commission (NEC). Political campaigns commenced on 22 August and ceased a day before the polling day.The incumbent president, Jakaya Kikwete, was ineligible to be elected to a third term because of term limits. Chama Cha Mapinduzi (CCM), the country's dominant ruling party, selected Works Minister John Magufuli as its presidential nominee instead of the front-runner, former Prime Minister Edward Lowassa. After failing to secure the CCM's nomination, Lowassa defected to the opposition Chadema party despite it once labelling him as "one of the most corrupt figures in Tanzanian society". This year's election was seen as the most competitive and unpredictable in the nation's history.The government had warned politicians to refrain from engaging in witchcraft, and a deputy minister told parliament that reports linking politicians with the killings of people with albinism could be true as it increases during the election period. A ban on witch doctors was imposed in January 2015, as some of them condone the killings due to superstitious beliefs that the victims' bodies "possess powers that bring luck and prosperity".On 29 October, CCM's Magufuli was declared the winner ahead of Chadema's Lowassa, who has yet to concede amid a dispute.
Nawaza tu kwa sauti, hivi hizo bilioni zilizokusanywa na CCM, wakati wa harambee, zitatumikaje katika miezi 2 ya kampeni (zaidi ya 1b kila siku) ili hali ya huduma za jamii nyingi zinahitaji fedha kuboreshwa. Najiuliza hivyo kwa kuwa Serikali iliyoko madarakani ni ya CCM.
Na isitoshe, ushindi...
Vijana wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro wameeleza kuwa wapo radhi kutoa kadi zao za kupiga kura kwa mgombea wao ili wawe na uhalali wa kujipigia kura wenyewe kutokana na kuridhishwa na sera yao ya utoaji wa ubwabwa.
Wakizungumza hivi karibuni mara baada...
1. ACT WAZLENDO
LUHAGA MPINA
Jina Kamili: Luhaga Joelson Mpina
Chama: ACT Wazalendo
Tarehe ya Kuzaliwa: 5 Mei 1975 (Tanzania)
Elimu: Shahada ya Uhasibu (B.Acc) – Mzumbe University; MSc – University of Strathclyde
Historia ya Siasa:
Mbunge wa Kisesa tangu Desemba 2005-2025 (CCM)
Waziri wa...
Kuombaomba huwa mchakato wenye kumuondolea heshima yule muombaji wa misaada. Nilikuwa namsikiliza Makamu wa Rais Dr Mpango akiongelea namna utu wa kiongozi wa nchi maskini unavyodhalilika katika meza ya mkutano kati ya mawaziri wa kutoka mataifa ya dunia ya tatu na wale wa mataifa ya Ulaya na...
Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango amelitaka jeshi la polisi nchini kuimarisha hali ya ulinzi na usalama katika uchaguzi mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
Dkt.Mpango ametoa kauli hiyo leo Agosti 11, 2025 mjini Moshi mkoani...
Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango, leo Agosti 11 atafungua mkutano mkuu wa mwaka wa maofisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi katika Shule ya Polisi Tanzania – Moshi.
Msemaji wa Jeshi la Polisi David Misime, amesema kuwa mkutano huo utafunguliwa Agosti 11 na utafanyika hadi Agosti 15, 2025 na...
Wanajamvi
Huku kwetu Mtaa wa Kigezi Kata ya Buyuni Maeneo ya Chanika jijini Dar es Salaam kuna fomu za kuanzisha vikundi vya Kijamii vinavyoratibiwa na baadhi ya Wana-CCM . Kwa aliyetoa maelezo anasema kuanzishwe vikundi vya kijamii ambapo kila mkaazi wa eneo hili anatakiwa kujiunga kwa kujaza...
Hakuna uwezekano hata kidogo kwa upinzani nchini kushinda uchaguzi mkuu wa October 29,2025 hata kiti kimoja tu cha ubunge au udiwani achilia mbali urais, mbele ya CCM hii imara na madhubuti sana chini ya mwenyekiti wa chama Taifa Dr.Samia Suluhu Hassan, ambae ndie mgombea urais wa CCM uchaguzi...
1. Mkuu wa Wilaya ya Hai, Hassan Bomboko.
2. Foleni ya magari mto Kikavu.
3. Malori kupita katikati ya mji wa Hai.
4. Polisi Kusimamisha magari usiku kuomba rushwa kwa nguvu.
🗳️ TATHMINI YA MARAIS WA TANZANIA: NANI AMEACHA URITHI BORA NA FUNZO GANI KWA UCHAGUZI MKUU 2025?
🔎 Utangulizi:
Katika kipindi hiki tunapoelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025, ni muhimu sana kwa Watanzania kujitathmini – sio tu kwa kutumia hisia au propaganda – bali kwa kutumia akili, takwimu, na...
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima akizungumza katika Mkutano wa Tume, Wahariri na Waandishi wa Habari, uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, Agosti 4, 2025 ambapo amewahakikishia washiriki hao kuwa, ofisi...
https://www.youtube.com/watch?v=9D6yvt12c8o
Updates
Ramadhan Kailima: Vyombo vya habari visipendelee chama cha siasa kuelekea Uchaguzi
Akizungumza wakati akifungua mafunzo kwa wanahabari wa vyombo mbalimbali vya habari leo Agosti 4, 2025 Mkurugenzi wa Uchaguzi Tume Huru ya Uchaguzi (INEC)...
Ujumbe wa Jaji Asina Omari, Mjumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC), alioutoa wakati akizungumza na wawakilishi wa vijana, kwenye ukumbi wa mikutano Mlimani City Dar es Salaam, unasisitiza kuepuka utumiaji wa Akili Unde kutengeneza taarifa potofu ili kuzuia upotoshaji wakati wa uchaguzi.
Kuzuia...
Salim Kikeke ambaye ni mtia ya Ubunge jimbo la Moshi Vijijini imembidi kudangaya mahali alipozaliwa ili kushinda mioyo ya wajumbe. Huko nyuma wakati anahojiwa alisema kazaliwa mkoani Mbeya, hivi juzi akiwa mkoani Kilimanjaro wakati akijinadi akasema kuwa kazaliwa KCMC mkoani Kilimanjaro.
Mimi...
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (#INEC), Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele anafafanua kuhusu Kura ya Mapema wakati wa Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kusema:
“Sheria ya Uchaguzi Zanzibar inaeleza kuwa kuna Watu wanaruhusiwa kupiga kura mapema siku moja kabla ya Uchaguzi...
Wakuu ninaandika huu uzi nikiwa na furaha isiyoelezeka. Habari inahusu huyu mpenzi wangu niliyemtolea taarifa kwenye huu uzi; Taarifa kwa Umma: Nimezama kwenye penzi la single mama
Baada ya majadiliano ya kina huyu bibie kaahidi Mungu akipenda kunipatia mtoto kabla ya uchaguzi mkuu wa ndani wa...
Kwa miaka mingi sasa, kila msimu wa uchaguzi unapokaribia nchini Tanzania, huambatana na kelele, malalamiko, na misuguano isiyoisha kutoka kwa wanachama wa vyama vya siasa haswa CCM, tena wale wanaokatwa kugombea.
Ni hali inayorudiwa kila wakati watu wanasema wameonewa, wameenguliwa kwa...
Wakuu
====
Watia Nia kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Kagera wakitoa burudani Kwa Wajumbe ukiwa ni mchakao wa ndani wa Chama hicho na uchaguzi unatarijiwa kufanyika siku ya Jumatatu Agosti 4, 2025.
Matokeo Ya Uchaguzi Wa Rais, 2020:
Dkt. Magufuli John Pombe Joseph - Ccm … 12,516,252
Mahona Leopold Lucas - Nra ……………… 80,787
Shibuda John Paul - Ada-tadea ………… 33,086
Muttamwega Bhatt Mgaywa - Sau ……… 14,922
Cecilia Augustino Mmanga - Demokrasia Makini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.