uchaguzi mkuu

The Tanzanian general election of 2015 was the 5th quinquennial election to be held since the restoration of the multi-party system in 1992. Voters elected the president, members of Parliament, and local government councillors. By convention, the election was held on the last Sunday of October and was supervised by the National Electoral Commission (NEC). Political campaigns commenced on 22 August and ceased a day before the polling day.The incumbent president, Jakaya Kikwete, was ineligible to be elected to a third term because of term limits. Chama Cha Mapinduzi (CCM), the country's dominant ruling party, selected Works Minister John Magufuli as its presidential nominee instead of the front-runner, former Prime Minister Edward Lowassa. After failing to secure the CCM's nomination, Lowassa defected to the opposition Chadema party despite it once labelling him as "one of the most corrupt figures in Tanzanian society". This year's election was seen as the most competitive and unpredictable in the nation's history.The government had warned politicians to refrain from engaging in witchcraft, and a deputy minister told parliament that reports linking politicians with the killings of people with albinism could be true as it increases during the election period. A ban on witch doctors was imposed in January 2015, as some of them condone the killings due to superstitious beliefs that the victims' bodies "possess powers that bring luck and prosperity".On 29 October, CCM's Magufuli was declared the winner ahead of Chadema's Lowassa, who has yet to concede amid a dispute.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    Tukiwa Tunaelekea Uchaguzi Mkuu: Ni Yapi Majukumu ya Mbunge?

    October mwaka huu watanzania watawachagua viongozi watakao pewa dhamana ya kuongoza nchi hii kwa miaka mitano (2025 - 2030). Wale wataochaguliwa watakuwa wataunda mihimili ya serikali na bunge na wana influence kubwa pia kwenye mahakama. Kuyafahamu majukumu ya Mbunge huenda itasaidia vyama...
  2. Y

    PreGE2025 Mbinu za kutumia CHADEMA kushinda uchaguzi mkuu 2025

    Habari Wana JF kama kichwa kinavyosema : Kutokana na sera mbalimbali za CDM kugonga mwamba jamaa bado hawajakata tamaa. Je? Nini kipo nyuma ya pazia. Muunganiko wa chama Cha walimu wasio na ajira ambae kiongozi wao alipunguzwa makali nimoja ya mbinu wanayotumia kutaka kutaka kushika Dola...
  3. Mwanamwana

    PreGE2025 CCM Mvomero: Kugombea siyo nafasi za wanaume pekee

    Kuelekea uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro, kimetoa rai kwa wanawake kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali za uongozi. Hayo yamebainishwa na Katibu wa CCM Wilaya ya Mvomero Florance Machicho wakati wa...
  4. Waufukweni

    PreGE2025 UWT Masasi waahidi ushindi kwa kishindo kwa rais Samia 2025

    Umoja wa Wanawake UWT Wilayani Masasi Mkoani Mtwara wamefanya kongamano la kumpongeza Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh Dr. Samia Suluhu Hassani kwa kuteuliwa na mkutano mkuu maalumu uliofanyika jijini Dodoma kuwa mgombea wa urais mwaka 2025 ambapo wameahidi kumchagua ili ishinde kwa...
  5. Waufukweni

    PreGE2025 Makalla: Wafungwa chini ya miezi sita (6) watapiga kura Uchaguzi Mkuu

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla amezungumzia mabadiliko mapya ya sheria kuhusu haki za Wafungwa kupiga kura ambapo amefafanua kuwa kwa sasa Wafungwa wenye vifungo vya chini ya miezi sita wataweza kushiriki katika uchaguzi...
  6. Waufukweni

    PreGE2025 Wakili Mpanju: Wanawake mjitokeze kugombea nafasi za uongozi kwenye Uchaguzi Mkuu

    Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Makundi Maalum, Wakili Amon Mpanju amewataka wanawake kujitokeza kwa wingi kwenda kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchaguzi mkuu utakafoanyika mwaka huu. Akizungumza katika Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani...
  7. upupu255

    PreGE2025 UVCCM imejipanga kujibu mapigo kwa hoja kuelekea uchaguzi

    Katibu wa Idara ya Uhamasishaji kutoka Umoja wa vijana UVCCM Taifa, CDE Jessica Mshana amesema umoja huo upo tayari kujibu hoja mbalimbali zitakazotowela juu ya chama hicho, kuelekea katika uchaguzi Mkuu mwaka huu. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia...
  8. Tlaatlaah

    PreGE2025 Kiongozi wa CHADEMA anadai hakutakuwepo na uchaguzi mkuu Oktoba, ingawa ni wazi atachukua fomu ya kugombea Urais

    Kama sio hadaa na utapeli wa kisiasa kwa wanachama weke ni nini? Maana ni wazi ndugu zangu kwamba, kama yeye kwa ubinafsi wake amepima na kujitathmini kwamba kwa nafasi anayotarajia kugombea atashindwa uchaguzi huo vibaya sana, Yanini sasa kuwaburuza wagombeaji wa nafasi zingine mathalani za...
  9. K

    PreGE2025 Ushauri kwa CCM na CHADEMA kukaa meza moja kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao

    Kama Mwananchi na Raia wa Tanzania ninawashauri CCM na CHADEMA wakae meza moja na wajadiliane kuangalia yale mapungufu yanayoonekana kuelekea Uchaguzi Mkuu ili yafanyiwe marekebisho kama itawezekana. Pamoja na kusema kuwa uchaguzi utafanyika kama ilivyopangwa ni sawa lakini CHADEMA wanaweza...
  10. Waufukweni

    PreGE2025 Tume ya Uchaguzi: Wapigakura milioni 34.7 wanatarajiwa kushiriki Uchaguzi mkuu Oktoba

    Akizungumza leo Machi 5, jijini Dar es Salaam katika Mkutano wa Tume na wadau wa Uchaguzi, Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Bw. Kailima Ramadhani Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imesema kuwa jumla ya wapigakura 34,746,638 wanatarajiwa kushiriki katika Uchaguzi Mkuu...
  11. upupu255

    PreGE2025 Mbunge Sylvia Sigula azindua Kituo cha Mafunzo ya Ushonaji, Urembo, Mapambo na Ujasiriamali kwa Vijana wa Mkoa wa Rukwa

    Mbunge wa Viti Maalum Sylvia Sigula amezindua kituo cha mafunzo ya ushonaji, urembo, mapambo na ujasiliamali kwa Vijana wa Mkoa wa Rukwa lengo likiwa ni kutoa mafunzo na vitendea kazi kwa Vijana ili waweze kujiajiri ili kupunguza changamoto ya Ajira, kituo hicho kipo chini ya Taasisi ya Sigula...
  12. Tlaatlaah

    PreGE2025 CUF, NCCR Mageuzi na ACT Wazalendo ndio vyama vya upinzani vilivyo tayari kuikabili CCM kwenye Uchaguzi Mkuu

    Kwa namna ya pekee sana, Chadema wameamua kujimaliza wenyewe kwa kujiengua na kususia uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025, na kukwepa kisayansi aibu ya kushindwa vibaya sana na chama Tawala CCM. Hali hiyo inamaanisha kwamba, vyama vya CUF, NCCR MAGEUZI, ACT-Wazalendo na vyama vingine vya...
  13. S

    PreGE2025 Mwananchi mmoja huko Hai amesema akifa kabla ya uchaguzi mkuu 2025, kaburi lake lipige kura kisha apewe mbunge wa Hai wa sasa

    Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Levina Rajabu mkazi wa kata ya Bondeni katika mji mdogo wa Bomang’ombe wilaya ya Hai mkoa wa Kilimanjaro amesema endapo atafariki dunia kabla ya uchaguzi Mkuu wa hapo mwezi Oktoba basi kaburi lake lipige kura na hiyo kura apewe Saashisha Mafuwe mbunge wa...
  14. Waufukweni

    PreGE2025 UVCCM Geita: Hakuna atakayezuia Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025

    Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi UVCCM Mkoa wa Geita imesema katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 hakuna mtu ambaye atazuia wala kuleta vurugu katika uchaguzi huo huku Jumuiya hiyo ikiwaonya baadhi ya Viongozi wa vyama vya upinzani wanaotishia kuvuruga uchaguzi huo kuacha mara moja...
  15. Waufukweni

    PreGE2025 Makalla: Wakurugenzi hawatasimamia Uchaguzi, ahoji hofu ya CHADEMA kuhusu Uchaguzi licha ya marekebisho ya mfumo

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, Amos Makalla ameshangaa hofu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya kutotaka kushiriki uchaguzi mkuu kwa madai ya kufanyika mabadilko wakati Serikali imeshafanya marekebisho...
  16. Nandagala One

    PreGE2025 Majaliwa Mpe Mama Nafasi ya kupumua, ajiteulie Mwingine kuwa Waziri Mkuu baada ya uchaguzi mkuu

    Wanabodi ,awali ya yote nawatakia Mfungo mwema wa Ramadan na Kwaresima inayoanza kesho. Bado kama mtanzania naona kitendo Cha Mama kumpendekeza na kupitishwa kwa Dr Emanuel Nchimbi kuwa mgombea mwenza yaan running mate, ni salamu tosha alarming sign ya kuwa zama za "Mjomba" zinaenda ukingoni...
  17. upupu255

    PreGE2025 Makalla: Tundu Lissu ameingia kuiua CHADEMA, Chama kinaenda kuvunjika

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayehusika na Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, ameyasema hayo leo katika Mkutano wa viongozi wa chama na jumuiya ngazi ya shina, Tawi, Kata na Wilaya, Ambapo amewataka watanzania kupuuza madai ya Chama cha Demokrasia na...
  18. upupu255

    PreGE2025 Makalla: Uchaguzi Mkuu utafanyika kama ilivyopangwa, hakuna wa kuuzuia

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema uchaguzi mkuu mwaka huu utafanyika kwa mujibu wa katiba na sheria kwani mabadiliko yameshafanyika, hivyo hakuna atakayezuia uchaguzi. Makalla ameeleza hayo leo Machi 4, 2025 wakati...
  19. S

    PreGE2025 No refom No election inawapelekesha sana CCM, Makalla anadai CHADEMA imeanza kushindwa kabla ya uchaguzi mkuu

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayehusika na Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, amewataka Watanzania kupuuza madai ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwamba uchaguzi hautafanyika bila mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi. Akizungumza siku ya...
  20. milele amina

    PreGE2025 Chanzo cha Tanzania Kuwepo kwa 'Electoral Fraud' na Njia za Kuondoa Hali Hiyo kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Utangulizi Tanzania, kama nchi nyingine nyingi duniani, imekuwa ikikabiliwa na changamoto za uchaguzi, ikiwa ni pamoja na tuhuma za udanganyifu wa uchaguzi (electoral fraud). Hali hii inachangia kutokuwepo kwa imani miongoni mwa wapiga kura na inaweza kuhatarisha demokrasia ya nchi. Chanzo cha...
Back
Top Bottom