Nimekumbuka msemo wa Mke wangu kipenzi" TUMBAKA" msemo huu mke wangu upenda sana kutamka akiwa ana malengo ya kukizalau kitu fulani.
Najiuliza hivi kweli watanzania tumekabadhi maisha yetu kwa wanasiasa hawa hasa wa chama cha Mapinduzi watuamlie kila jambo?
Tumekabadhi maisha yetu kwa mtu kama...
Kumekua na changamoto ya usafi kwenye machinjio iliyopo wilaya ya Hanang katika mji mdogo wa katesh ambapo shimo la kutupia uchafu limejaa na kufurika jambo linalosababisha harufu kali kwa wananchi walioko jirani na kuleta wasiwasi kwa jamii juu ya usalama wa nyama inayoandaliwa machinjioni hapo...
Unaweza kuona bandari yetu wakijisifia ila nyuma ya pazia.
Huko ndiko kitovu cha silahaa zinazokwenda congo,sudani .
Mwengine ni kenya na yeye yupo kwenye listi.
Tuishie hapa.
Basi ,Kuna jamaa mmoja alikuwa ameweka banda lake la kuuza Kahawa na Tangawizi nje ya nyumba niliyokiwa nimepamga.
Basi nikawa mmoja wa wateja wake maana nilikuwa napenda draft hasa hakukuwa na mambo ya eosho media so alikuwa na tv isiyo na rangi tunacheki habari huku inalia chaa sometimes...
OKTOBA 2026: TIBELI WOMEN, MWANAMKE MJENZI.
NITASIMAMA.
Kwa wale Wanawake na Mabinti za Tibeli, na Wanaume wenye mabinti, Wake na wanaopenda Wanawake zao.
Mimi Mtibeli, Baba yenu. Nimeutenga mwezi huu mzima. Utakuwa Mwezi wa wanawake wa Tibeli, MWANAMKE MJENZI, kauli mbiu yetu itakuwa...
Kwa nini masikini wengi ni wachafu sana ?
Kwa nini makazi ya masikini huwa machafu sana ?
Sehemu wanazokula masikini ni chafu, usafiri unaoutumika na masikini uchafu hutamalaki, vyoo vinavyotumiwa na masikini huwa vichafu sana.
Inawezekana kuwa masikini lakini ukawa msafi na kuishi mazingira...
Ikiwa vituo holela vya mabasi vinachafua jiji, basi bajaji zinazosimama kila kona ya barabara kuu zinalichafua zaidi, na kuhatarisha maisha. Barabara kuu inapaswa kuwa na mtiririko unaotabirika. Ikiwa kila baada ya umbali mfupi kuna chombo kinachosimama ghafla kumchukua au kumshusha abiria...
Hivi karibuni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ametangaza mpango wa kusimamia usafi na kupiga vita utupaji taka ovyo baada ya maelekezo ya Mh. Raisi. Ni hatua ya kupongezwa. Lakini ukweli tunaoujua sote ni kwamba kampeni za usafi huja na kuondoka — kinachokosekana ni mfumo wa kudumu unaomfanya...
Huu utaratibu kuwekewa uchafu mlangoni kwenye makazi yetu wakati mtambo wa kusafisha Mto Ng'ombe hapa Dar sio salama kwetu kwa kuwa uchafu wote unakuja kwenye makazi yetu na kutuweka katika hali hatarishi kiafya.
Anonymous
Thread
dar
kiafya
kusafisha
kuweka
makazi
makazi ya watu
milango
mto
ng'ombe
salama
sio
uchafu
Wakuu wa mikoa tutawalaumu bure.
Asilimia 80% ya uchafu mitaani unatokana na uholela kwenye kujenga na kufanya biashara.
Kuna mitaa ambayo gari la taka haliwezi kuingia na kuzoa taka. Nyumba zinajengwe kwenye njia za maji.
Biashara holela mitaani, masokoni na kando ya barabara mijini ndizo...
Habari wana-JamiiForums,
Hivi karibuni, tumeshuhudia tukio ambalo limeacha maswali mengi kuliko majibu kuhusu mwelekeo wa usalama wa nchi yetu. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ameingia kwenye vichwa vya habari baada ya kuwaita wasanii na maarufu wa mitandao ya kijamii na...
Kwenu NEMC;
Ninaandika kuhusiana na wasiwasi wangu juu ya hali ya uchafu wa mazingira katika miji yetu. Inasikitisha kuona taka zikitapakaa barabarani, katika maeneo ya wazi, masokoni, kwenye mifereji ya maji na maeneo ya makazi, hali inayosababisha mazingira yasiyo safi na kuhatarisha afya ya...
Hamjambo, mke wangu anasumbuliwa na tatizo la kutokwa na uchafu mweupe wenye harufu kwenye uke na anadai akijichungulia anauona umeganda kwenye kuta za uke nilimpeleka hospital walimpima UTI majibu hana wala hana maambukizi
Je hii tatizo linaweza kua PID na kama PID tiba yake ni nini ya asili...
Salaam Wana JF
Hapa ni Sinza Africasana, mtaro wa upande wa barabara ya kuingia Mabatini police
Je, mamlaka hazioni hili? Lakini pia Wananchi tunawajibikaje kulinda mazingira yetu? Na ukizingatia tumeambiwa kuwa mvua kubwa zinakuja zikileta maafa?
Pia soma
~ Rais Samia: Dar es Salaam ni...
Hapa ni malimbe,sehemu inaitwa nyamalango,kwa mbele kuna migahawa ambayo wanafunzi wa SAUT na wakazi wa eneo hili hujipatia chakula chao pamoja na mahitaji mengine
Uchafu huu huachwa hovyo hovyo pasipo kuchukuliwa kwa hatua husika na hivyo kuhatarisha afya za wanafunzi na wakazi wa eneo hili...
ITOLEWE AMRI, UCHAFU KUKUTWA KWENYE ENEO LAKO, FAINI ELFU 50.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Hii nchi unaweza ukadhani haina viongozi. Unaweza ukadhani haina Wasomi.
Unaweza ukadhani haina Watu wazima. Unaweza ukadhani haina wanawake wanaosifika kwa usafi.
Kuna mambo ukiyafikiria yanaweza...
Mimi ni mkazi wa Zanzibar na napenda kuwasilisha kero kuhusu hali ya usafi katika eneo la Michenzani, Jumba Namba 2. Eneo hilo limekuwa na mazingira ya uchafu ambayo hayalingani na hadhi ya eneo la mjini na lenye shughuli nyingi.
Hali hii si nzuri kwa afya ya wananchi na pia inaharibu mwonekano...
Anonymous
Thread
eneo
michenzani
mji
namba
taswira
uchafu
unaharibu
zanzibar
Jana Baraza kuu la waislamu Tanzania lilimfuta kazi shekh Walid shekh wa mkoa wetu wa Dar es salam kwa tuhuma za uzinzi
Ieleweke kwamba kwa sharia zetu za kiislam mzinzi tena mwenye ndoa adhabu yake apondwe mawe hadi afe na hili ndilo linamstahili shekh
Fanyenye hivi kwasababu nyie na...
Nakuunga juhudi zako lakini anza na uchafu barabarani kwanza ,tengeneza mitaro,na sehemu za kutupa taka.
Unakuta mji mzima asubuhi umesheheni makohozi tu hata kwa kukanyaga hakuna inakulazimu uruke makohozi kama madimbwi ya maji
makohozi mengine unakuta yamechanganyika na ugoro
Weka sheria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.