ubunifu wa kibiashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. youngkato

    Hauna mtaji? jaribu content marketing

    CONTENT MARKETING: USITENGEZE CONTENT KWA AJILI YA KUPATA LIKES, TENGENEZA CONTENT INAYOMFANYA MTEJA ANUNUE! Kuna wafanyabiashara wanaweka Content kila siku, wanapata likes, comments na followers, lakini mwisho wa mwezi hawana wateja wapya. Tatizo si kwamba hawana Content. Tatizo ni kwamba...
  2. MamaSamia2025

    Nimefurahishwa na ubunifu wa kibiashara wa msanii Asma

    Juzi nimepita mitaa ya Sinza na kufurahishwa sana na huyu msanii (comedian) wa kike Asma kwa ubunifu alioufanya kwenye biashara. Kimsingi kaamua kwenda na mazoea ya watu maarufu wengi. Badala ya kufungua duka la nguo (boutique) au vipodozi kama ilivyo kwa watu maarufu wengine yeye kaja na...
  3. D

    Ipi Biashara nzuri kati ya hizi?

    Salaam Wakuu!! Ni muda wa kuweka vyeti kabatini na kuamua kuchakalika Sasa katika Elimu niliyopewa ni kuanzisha Biashara unique..Na kuanzisha Biashara unique ni changamoto. Mimi mkazi wa Mwanza nimefanya Tafiti nikagundua Biashara ya supu ya pweza ni adimu sana na hii ni kwasababu ya...
Back
Top Bottom