uandishi wa habari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Richard

    Kijana ataka ajiajiri awe blogger, Influencer na documentary maker lakini si mwandishi wa habari na hana shahada ya uandishi wa habari, afanye nini?

    Nimekutana na kijana mmoja mwenye umri wa miaka 25 na kwa sasa tiyari amesomea masuala ya ufundi magari kupitia VETA, kwa sasa hana kazi rasmi abayo ameajiriwa lakini hakosi kazi za hapa na pale. Lakini kijana huyo kaja na wazo ataka awe mtengenezaji vipindi kupitia mtandao wa You Tube na awe...
  2. K

    Nataka nianze Elimu ya Ngumbalu nisomee Uandishi wa Habari na mimi niwe Mwanahabari

    Wakuu wa JamiiForums, habari za wakati huu. Leo nimeamua kuja mbele yenu kufungua moyo wangu kuhusu ndoto ambayo imelala ndani yangu kwa miongo kadhaa. Hii ni tasnia niliyoipenda sana tangu nilipomaliza elimu ya Sekondari. Mapenzi yangu kwenye uandishi na utangazaji wa habari hayakuanza leo...
  3. R

    Uandishi wa habari wa waandishi wa Tanzania, hasa viji Tv vya mitandaoni ni aibu ya taaluma ya uandishi wa habari. A Nobel profession!

    Unakuta so called mwandishi wa habari anaandika. 1. Msiba mkubwa watokea 2. Kimeumana Mabibo 3.Heche amaliza kazi 4. Kimenuka 5...and much more of this type! Uandishi wa so called waandishi wa habari Kanjanja Najua anakuwa ana solicit uende kwenye main article, lkn sidhani kama mnafundishwa...
  4. Mkalukungone Mwamba

    Balile: Kupitia kalamu ya Uandishi wa Habari bandari ya Dar es Salaam imekuwa bandari bora

    Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, amesema: “Kupitia kalamu yetu, Bandari ya Dar es Salaam imekuwa bandari bora; hakuna gari linalopita kwenye Bandari ya Dar es Salaam likaibiwa parking.” Balile amezungumza hayo kwenye kipindi cha medani Kuu kupitia Star Tv leo...
  5. K

    Edo Kumwembe na Oscar Oscar (Wasafi Media): Alama ya Uandishi wa Habari inayotupeleka kuzuri

    Wana-JamiiForums, Kama wewe ni mfuatiliaji wa vyombo vya habari nchini Tanzania, hususan vipindi vya asubuhi, bila shaka utakuwa umekutana na kipindi cha 'Jana na Leo' kinachorushwa na Wasafi Media. Kipindi hiki kinaongozwa na nguli wawili wa tasnia ya habari na uchambuzi nchini: Edo Kumwembena...
  6. A

    Riwaya: Mahojiano na Rais

    Nilishawahi kumuuliza mama swali, asubuhi moja kupindi bado mdogo, alikuwa anakanda unga wa ngano kwa ajili ya biashara yake ya chapati, muda mfupi kabla sijaenda shule. Swali lilikuwa kuhusu "vyanzo" “Ni suala pana, Helena,” alisema huku akiniangalia kwa macho ya kunipima, “Unataka kujua...
  7. F

    Paschal Mayalla - Sasa upo kwenye reli ya Uandishi wa Habari ni si uchawa tena

    Umeongea kwa ufasaha, utulivu na hoja zenye mashiko, jambo linalodhihirisha si tu uwezo wako wa kujieleza bali pia upeo wako wa kufikiri kwa kina. Ni wazi kuwa umejiandaa kwa umakini mkubwa; umechambua mada kwa ustadi na kuwasilisha ujumbe kwa namna ya hali ya juu sana. Mtiririko wa mawazo yako...
  8. Damaso

    Larry Madowo ametuonesha kipimo sahihi cha taaluma ya Uandishi wa Habari

    Katika ulimwengu wa habari unaobadilika kwa kasi, kinachotofautisha mwandishi wa habari wa kawaida na mwandishi shupavu si tu kalamu, kamera, au kipaza sauti—bali ni ujasiri, dhamira safi, na uzalendo kwa jamii yake. Kwa muda sasa, jina moja limekuwa gumzo, likizunguka kwenye midomo ya...
  9. Cute Wife

    PostGE2025 Msigwa: Vyombo vya nje vifuate taratibu za uandishi, walichofanya CNN, Al Jazeera na wengine sio sawa, ni ukiukwaji wa makusudi

    Serikali yatoa wito kwa vyombo vya habari vya nje kufuata maadili ya uandiahi wa habari kwa kuchapisha habari ambazo aio za upande mmoja, serikali ipo tauari kutoa ushirikiano kwa vyombo vya ndani na nje ya nchi pale watakapohitajika. Msigwa amesema sio sawa kilichofanywa na CNN, Al Jazeera na...
  10. Q

    PostGE2025 CNN, Larry Madowo, mmezionesha Media zetu jinsi uandishi wa habari unavyotakiwa kuwa

    Media zetu zimebaki kuonyesha bongo muvi na bongo fleva za nyege nyegezi habari za uchunguzi hawana habari nazo. Genge la kina Balile TEF kazi yao ni kumsifia mama badala ya kusimamia maadili ya uandishi wa habari. Kina Ayo, Mahela macho ni kwenye vibahasha na kuhudhuria matamsha ya misosi na...
  11. D Metakelfin

    Nafasi za Ajira,wenye vipaji vya uandishi wa habari

    Kampuni ya utangazaji ya Global TV imetangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye vipaji na shauku ya kujiunga katika timu yake ya vipindi vya runinga. Kwa mujibu wa tangazo lao , jumla ya nafasi 6. Habari za Burudani & Udaku – nafasi 4 Masuala ya Kijamii – nafasi 2 Miongoni mwa sifa...
  12. evangelical

    Uandishi wa habari mtu sasa ni lazima awe na elimu ya ngazi ya diploma ila ubunge hata kama huna elimu ilmradi ujue kusoma na kuandika Kiswahili

    Hii Nchi kwa kweli ni kama viongozi wake,,, Kazi nyeti kama Ubunge eti mtu mradi ajue kusoma na kuandika tu halafu kazi ya uandishi wa habari hata kama ni kiredio ki FM cha mtaa au uwe mwandishi wa habari wa kujitegemea huna chombo maalumu ni lazima uwe na Elimu ya hiyo fani angalau ngazi ya...
  13. J

    Mada: Mizania kwenye Uandishi wa Habari; Kukabiliana na shinikizo, ushawishi na Upendeleo

    Katika mazingira yenye ushindani wa kisiasa, kijamii na kibiashara, waandishi wa habari wanakumbwa na changamoto kama shinikizo kutoka kwa wenye mamlaka, upendeleo wa vyombo au wahariri na ushawishi kutoka kwa wafadhili au wamiliki wa vyombo vya habari Katika yote haya, ukweli na haki ya...
  14. The Watchman

    Bodi ya Ithibati yawataka waandishi wa habari kujisajili ili watambuliwe rasmi

    Mwenyekiti wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Tido Mhando, ameongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, akitangaza kuanzishwa kwa mfumo mpya wa kidigitali wa kupata Ithibati na Kitambulisho cha Uandishi wa Habari (Press Card). Kupitia mfumo wa TAl-Habari, waandishi...
  15. Peter Gati

    Tetesi: Web Scraping na Akili Bandia (AI) katika Uandishi wa Habari za Uchunguzi Tanzania

    Utangulizi Tarehe 29 Aprili, 2025, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani jijini Arusha, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliwataka waandishi wa habari wa Tanzania kukumbatia Akili Bandia (AI) kama zana muhimu ya kuimarisha kazi zao. Kauli hii ya uthibitisho kutoka ngazi...
  16. Peter Gati

    Nyuma ya Pazia: Jinsi ya Kutumia Web Scraping na AI katika Uandishi wa Habari za Uchunguzi

    ingawa kazi ya waandishi wa habari za uchunguzi wakati mwingine inahusisha kuwasiliana na vyanzo visivyojulikana kwa taarifa zilizofichwa au hata kufanya kazi kwa siri, nyuzi za habari kuu mara nyingi hupatikana katika vyanzo vya wazi vinavyopatikana kwa kila mtu. Kwa sababu hii, "web scraping"...
  17. Dalton Elijah

    Maswali Yanayoulizwa kuhusu Matumizi ya Akili mnemba katika Taaluma ya Uandishi Wa Habari

    Maswali yanayoulizwa mara kwa mara 1. Je, AI inaweza kuchukua nafasi ya waandishi wa habari wa kibinadamu kabisa? Hapana, AI inatazamwa vyema kama zana inayoongeza uwezo wa uandishi wa habari, lakini uangalizi wa kibinadamu na uamuzi wa kimaadili unasalia kuwa muhimu kwa kudumisha ubora wa...
  18. Blasio Kachuchu

    Waajiri wathamini taaluma ya uandishi wa habari- Dkt. Mkoko

    Na Mwandishi Wetu. BODI ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imesema kama vile Serikali inavyothamini taaluma ya Uandishi wa Habari na Waandishi wenyewe, ndivyo ambavyo waajiri/wamiliki wa vyombo vya habari wanavyotakiwa kuwapa thamani wanayostahili. Akizungumza katika mahojiano na kituo...
  19. Myahudi Jr II

    Israeli yaua Gaidi aliyejificha kwenye Uandishi wa Habari

    Kijana mdogo amekwenda na maji majuzi, Magaidi yanalia, Yatanyamaza yatasahau kisha yataendelea tena kulipua Sijaona watu wenye "chicken brain" kama magsidi. Good Job IDF
  20. Blasio Kachuchu

    Kingoba: JAB kutoa leseni za Uandishi wa Habari za Kidigitali, kulipiwa 50,000 kwa miaka miwili

    Bodi ya Ithibati ya Waandishi Habari Tanzania (JAB) imepanga kutoa kadi za kidijitali ili kulinda wanahabari katika suala la utunzaji wa taarifa zao. Kauli hiyo imetolewa tarehe 18 Machi, 2025 jijini Dar es Salaam na Mjumbe wa Bodi hiyo, Mgaya Kingoba, wakati akijibu maswali wakati wa mahojiano...
Back
Top Bottom