UAMSHO, popular shorthand for The Association for Islamic Mobilisation and Propagation, nicknamed The Awakening, is an Islamist separatist group legally registered in Zanzibar. Led by Farid Hadi Ahmed, Uamsho seeks independence for Zanzibar from Tanzania.
Sheikh Mselemo alipofungwa alifiwa na mtoto wake, wakati ule Magufuli na ukatili wake wote alimruhusu alienda Zanziber kumzika mwanawe,kinachoshangaza hii leo Lisu kanyimwa hiyo haki ya kumzika kakayake?
Inasikitisha na hii ilitakiwa iwe Headline ya magazine yote kuweka kumbukumbu sawa.
Huu siyo unabii ila ni uhalisia, ni jambo ambalo limeshafanyika katika mawanda ya kiroho. Mtumishi wa Mungu Askofu Zachary Kakobe atakuwa na nafasi ya kipekee sana katika uamsho huu.
Sina shaka kwa sababu nina uhakika pasi na shaka kuwa na nilichokiona. Kazi ni kwetu tunaosubiria uhalisia...
Nchimbi analipwa na Allah alivyowafanyia UAMSHO
Wadhifa wa Nchimbi na Mwanzo wa Kesi.
Mwaka 2012 hadi Desemba 2013, Dkt. Emmanuel Nchimbi alikuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Kipindi hicho, kulikuwa na vurugu, maandamano, na matukio ya kiusalama Zanzibar yaliyohusishwa na viongozi na...
UAMSHO WA UJASIRI WA NDANI
KILA BINADAMU ANA CHEMCHEMU YA UJASIRI NDANI YAKE
Kila mtu ana kipimo cha hofu, lakini ndani ya hofu hiyo kuna mbegu ya ujasiri. Ubongo wa mwanadamu umeumbwa na uwezo wa kujilinda na kulinda heshima yake. Ndiyo maana, unapoona ukatili, ubongo wako unajibu si kwa...
Watanzania, ndugu zangu,
Leo tunasimama hapa si kwa hofu — bali kwa hasira. Hasira ya watu waliodhalilishwa kwa miaka. Hasira ya watu waliodhulumiwa hadharani, wakabaki kimya. Hasira ya watu walioumia, lakini wakatakiwa wapige makofi.
Na sasa nawauliza:
Mpaka lini tutakaa kimya? Mpaka lini...
🤷🏾♂️JE UAMSHO WA KIROHO NI NINI?
Mwamko wa Kiroho ni pale mtu anapofahamu asili yake halisi na utu wake wa kipekee.
Wakati hii itatokea katika maisha yako, utakuwa na hisia mpya ya kuona vitu na ulimwengu unaokuzunguka.
Utaanza kuamini maisha na kutumia sauti yako ya ndani wakati wa...
Huu ni ushahidi ufike kwa Shekhe Mziwanda, na Shekhe Jongo.
Msikilizeni Tundu Lissu akitetea Mashekhe wa Uamsho, na Answar Sunna.
Je, ni uungwana Mziwanda, Jongo, na Mwaipopo, kumshambulia Tundu Lissu?
https://www.youtube.com/watch?v=WcWTRjKreWc
https://www.youtube.com/watch?v=0WazpC_VdZE
Salaam, Shalom!
Kama ikivyotabiriwa tangu msimu mpya ulivyoanza 2021-2030, kwamba injili ya ufalme itahubiriwa duniani kote.
Mwanzo injili hii ilihubiriwa tokea Israel kwenda ulaya, ikasambaa Dunia nzima,
Sasa wakati wa mwisho umewadia, na kabla ya unyakuo, ni lazima kanisa la Mungu...
Baada ya Mapinduzi dhidi ya SHAH 1979, wengi vijana ambao walikuwa na hadhi ya militants ambao wengi baada ya 1990s walikuwa na vyeo vya juu katika Jeshi la kimapinduzi ya IRAN.
Kizazi hicho kimeanza kufutika katika uso wa nchi badala ya ISRAEL.
Kuanzia ajali ya Helicopter iliomuondoa IBRAHIM...
Sham El-Nessim, sherehe ambayo hufanyika kwa uzito sawa na Pasaka, inayoangukia siku baada ya Jumapili ya Pasaka kila mwaka.
Taratibu na imani zinazohusiana na sherehe za leo za Sham El-Nessim zinaunganisha moja kwa moja na sikukuu za Misri ya Kale. Sawa na Pasaka, tamasha linahusu dhana za...
Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Masoud Othman amesema Chama chake cha ACT Wazalendo kinataka Muungano utakaoitambua Zanzibar yenye Mamlaka kamili
Masoud amesema hayo kwenye mkutano wa Chama chake huko Nungwi
Chanzo: ITV habari
Jana Samia Suluhu ambaye nadhani ndie Rais wa Tanzania japo hakidhi vigezo vya kuwa Rais wa nchi yoyote ile alisema kuwa kwasasa dunia inakabiliwa na tatizo jipya la ugaidi. Yeye kwa maoni yake ugaidi ni tatizo jipya.
Kama kweli ameweka nia ya kupambana na magaidi ni kwanini watuhumiwa wa...
Nampongeza Tundu Lissu kwa kuwatetea Mashekhe wa Uamsho, Answar Sunna, waliotupwa katika mahabusu mbalimbali.
Wanasiasa wengi walikwepa kuwazungumzia Mashekhe hao kwa kuogopa mkono wa dola, au kutengwa na jamii yenye mtizamo hasi dhidi ya viongozi hao wa kidini.
Nimesikia kwamba Mashekhe wa...
Masheikh wa uamsho waliofanya matendo yenye viashiria vyote vya ugaidi wanaachiwa huru lakini raia mwema ambaye kosa lake ni kutamka tamka “katiba Mpya” anakamatwa na kuuziwa kesi ya Masheikh wa Uamsho. Ugaidi wa Mbowe ni mkubwa kiasi gani ukilinganisha na Masheikh walioachiwa huru.
Mtu...
Sote tunakubali kwamba haikuwa vizuri nyie kukaa muda wote huo huku hamjui hatma ya kesi yenu.
Sote tunajua kwamba mliishi kwa shida huko jela kama ambavyo waliishi wengine wasiokuwa nyinyi(shida zinazidian)
Lakini naomba sana nyie mashekhe mshapata bahati mumetoka mnatakiwa mutulie kama...
Sheikh Mselem Ali, mmoja kati ya Masheikh wa Uamsho ambao wametoka Gerezani amesema mihadhara yao ilikuwa na nia ya kuwaamsha watu kudai Katiba Mpya.
Amesema kwa kipindi kile walifanya hivyo kwa kuwa kulikuwa na fursa ya maoni kuhusu Katiba Mpya. Walifanya hayo kwa mujibu wa sheria kwa kuwa...
Sheikh Mselem: Usalama wa Nchi ni jambo linalopewa kipaumbele na sisi tunapenda usalama, furaha ikizidi inaweza ikazalisha kitu halafu mara nyingi kutokana na uzoefu kuna vitu watu wa kati huchomeka.
Inawezekana tumefanya jambo halali, tumeliombea ruhusa serikalini, tukapewa ruhusa lakini kuna...
Leo tena jamii ya Watanzania wameshusha pumzi kwa mara nyingine baada ya kusikia Mashehe wa uamsho kuachiliwa huru.
Kuna maoni mengi sana kwa watu. Mengi ya maoni hayo pamoja na kupongeza kitendo hicho wameenda mbali kwamba serikali iwalipe fidia. Hili limekuwa kubwa zaidi.
Wanasiasa na...
Sheikh Farid: Tunamshukuru Mwenyezi Mungu, kiufupi tunashukuru sisi tumeachiwa lakini huu ni mwanzo mwema ya busara ya marais wetu, Rais wa Zanzibar na Rais wa Tanzania, Amiri Jeshi mkuu, mama Samia Suluhu. Wamefanya busara kubwa sana kuondoa hii hali ya mtanziko ya muda mrefu sana wa hii Kesi...
Bismillahir Rahmaanir Rahiim
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
SHEIKH MSELEM SHEIKH FARID WAKO NYUMBANI ZANZIBAR
Masheikh zetu wawili wako majumbani kwao na familia. Tutaendelea kukupeni taarifa awamu kwa awamu.
Lengo ni kutoa taarifa za kweli na zilizozingatia mambo yote muhimu.
Aidha viongozi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.