uaminifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Vijana tuache tamaa, tujifunze uaminifu

    Najua ndio muda wetu wa kutafuta, lakini si kila fursa inayopita mbele yako lazima ufanye ujanja ujanja ili ufaidike. Jifunzeni kujenga uaminifu kwa watu hasa msiowajua. I hate untrustworthy people.
  2. W

    Jeshi lijitathimini kuhusu uadilifu na uaminifu wake kwa Watanzania wote

    Ndg wanajamvi habari za jumapili. Niende kwenye mada moja kwa moja, “Jeshi lijitathimini” ndiyo Jeshi letu kwa macho ya nje limejivika vazi nzuri la uaminifu macho pa Watanzania wote lakini kwa ndani linapokuja suala la Ajira ndani ya Jeshi hasa hili tunaloliona la vijana wa JKT siyo Waaminifu...
  3. Je, ni bora uwe kwenye mahusiano na mtu unayempenda lakini humwamini au unayemwamini lakini humpendi?

    Mahusiano hujengwa na vitu vingi kama mapenzi, imani, huruma n.k towards mwenzi wako. Mahusiano 'ideal' ni yale ambayo unampenda, unamthamini, unamhurumia, unamuamini, unamtamani mpenzi wako. Lakini mara nyingine unaweza kulazimika kukubaliana na hali na kuchagua vita yako ya kupigana. Je...
  4. Wadada muwe waaminifu mnapoazima fedha toka kwetu wanaume

    Habari za wakati huu wakuu, Kama kichwa kinavyojieleza, natoa rai kwa wadada (wanawake) wote kwamba mnapoazima fedha kwa marafiki zenu wa kiume, muwe waaminifu katika urejeshaji. Kuna dada mmoja ambaye ni colleague wangu kazini, majuzi mida ya saa tano usiku nikashangaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…