uaminifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    China yasaini makubaliano na Ethiopia kuhakikisha uendelevu na uaminifu wa reli ya Ethiopia-Djibouti

    China imesaini makubaliano ya msaada wa kifedha wa dola milioni 15 za kimarekani kwa ajili ya reli ya Ethiopia-Djibouti, mradi ambao ilishiriki kwa kiasi kikubwa katika ujenzi wake, jambo linaloonyesha kuwa msaada wake kwa Ethiopia unakwenda zaidi ya maendeleo ya miundombinu ya mara moja tu...
  2. M

    Usimamizi kwa uaminifu

    Nipo Iringa mjini kama inahitaji kusimamiwa nyumba yako haina watu niambie nipo kwa uaminifu mkubwa sana ama uko mbali unahitaji nisimamie ujenzi wako huku nijulishe nipo hapa 0658204909
  3. M

    Uaminifu kwa Wachaga katika siasa za upinzani umeshuka sana, viongozi wachache wanafanya wengi waonekane wanathamini fedha kuliko misingi ya harakati.

    viongozi wachache wanaponza wachaga wote kuonekana kila kitu pesa mbele Cv ya wachaga inaendelea kugalagazwa matopeni kwa haya matukio ya wanasiasa wake wa upinzani kuvigeuza vyama kuwa mitambo ya kupiga deal na kuwa madalali wa siasa.
  4. K

    'Digital Privacy' dhidi ya Uaminifu wa Jadi: Je, kupeana 'Passcode' za simu ni ujenzi wa Uhusiano au Uhujumu wa Faragha? Wajumbe mnasemaje?

    Picha yenye maandishi "Je, Wanandoa Wanapaswa Kukaguana Simu zao?" Ndugu zangu wa Jukwaa la Mahusiano, Mapenzi na Urafiki (MMU), Katika zama hizi za mapinduzi ya kidijitali, kifaa cha kiganjani (smartphone) kimeacha kuwa chombo cha mawasiliano ya sauti pekee. Kimegeuka kuwa mtambo unaohifadhi...
  5. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu: Tunzeni uaminifu na jina la nchi yetu, fanyeni kazi kwa bidii

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania wanaofanya kazi nje ya nchi watunze uaminifu na wafanye kazi kwa bidii ili wasiliharibu jina zuri la Tanzania. Alitoa kauli hiyo jana jioni (Jumamosi, Septemba 26, 2026) wakati akizungumza na madareva wa Kitanzania zaidi ya 500 walioajiriwa...
  6. N

    Karibuni samaki, fungu 10000,nauza kuanzia fungu 3,jodari,tasi,kolekole kibua

    Karibuni samaki wadau,fungu 10000,nauza kuanzia fungu 3,jodari,tasi,kolekole kibua, online business,mikoani tunatuma Kwa uaminifu mkubwa Sana,karibuni
  7. M

    Uaminifu wa Wachaga kwenye upinzani unashuka, viongozi wachache wanaponza kabila zima kuonekana kujali maslahi tu, hawana msimamo wala uzalendo.

    Katika matukio mengi yanayoendelea kwenye siasa za upinzani kuanzia uchaguzi wa Chadema, kuhamia Chauma, Mbowe kuonekana alikuwa muigizaji, tetesi za Lema haivi chungu kimoja na Heche, n.k. nimeona maoni mengi ambayo yanawapoint na kuwachafua wachaga, kwajili ya matendo ya wachache. Watu...
  8. aise

    Uaminifu katika Mahusiano. Wewe kama mwanandoa una maoni Gani hapa?

    Mimi mpaka hapa nimechanganyikiwa, yaani Akili yangu Iko "ovez" Dr. Mariposa
  9. Walletking

    Habari! Baada ya kuwa mbali na mtandao kwa muda, nimerudi tena nikiwa na mtazamo mpya wa maisha. Natafuta mwanamke mwenye heshima, uaminifu,

    Habari! Baada ya kuwa mbali na mtandao kwa muda, nimerudi tena nikiwa na mtazamo mpya wa maisha. Natafuta mwanamke mwenye heshima, uaminifu, maadili mema na nia ya kujenga uhusiano wa kweli unaoweza kuishia kwenye ndoa. Umri ninaopendelea ni miaka 20 hadi 32. Ninaamini uhusiano mzuri huanza...
  10. 888I

    Kifo cha Uaminifu: Madhara ya Kuminya Habari na Mtego wa "Content Creators"

    Mimi ni Mwanahabari na Mtanzania Nasema ... Kuna huzuni nzito inayotanda ndani ya vyumba vya habari nchini,siyo huzuni ya kukosa vifaa au teknolojia, bali ni huzuni ya kuona taaluma yetu ikigeuzwa kuwa "kipaza sauti" cha upande mmoja, huku misingi ya uhuru wa kutoa maoni na kuchambua ukweli...
  11. MamaSamia2025

    Media na kukosa uaminifu ni mambo mawili yanayowapoteza kirahisi vijana wanaoibuka kimafanikio

    Ninaandika uzi baada ya kusoma habari mitandaoni inayosema kuwa kijana Dominik mmiliki wa room of jeans kuwadanganya wateja wake kuwa watauziwa suruali Tsh 5000 ila walipofika akawapa bei tofauti ambayo ni kubwa zaidi. Hii mimi naona haijakaa sawa. Dominik kateleza. Uongo wa aina hii kwenye...
  12. MamaSamia2025

    Uaminifu bado ni changamoto kubwa sana kwa wafanyabiashara wa Tanzania na wateja wao

    Mtaji wa kwanza kwenye biashara ni uaminifu. Ukiwa mwaminifu unaweza kuvumilika kwenye madhaifu mengine. Uaminifu ni bidhaa muhimu kuwa nayo kwenye biashara. Nchi yetu bado ina uhaba mkubwa wa watu waaminifu hasa kwenye biashara na ujasiriamali. Imefikia wakati ukisema wewe ni mjasiriamali...
  13. ngara23

    Uaminifu ni bidhàa, uaminifu ni pesa, vijana kuweni waanifu mtafanikiwa mno

    Uaminifu ni bidhàa inayoadimika miongoni mwa Watanzania. Kwenye maisha ili ufanikiwe uaminifu ni kitu cha thamani ambacho unatakiwa kuwa nacho Watu wengi tumeimiliki hii bidhaa iliyoadimika mtaani na umetupa matunda mazuri Mfanyabiasha unakosa uaminifu, unauza bidhaa mbovu, unauza bei kubwa...
  14. L

    Rais Samia Akoshwa Na Mapokezi Ya Maelfu ya Wana Manyara. Aahidi Kuwatumikia Kwa Uaminifu na Weledi wa Hali ya Juu.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Amekoshwa...
  15. M

    CRDB mnazidi kupoteza uaminifu na Loyalty, kitu pekee kitachorudisha nguvu brand yenu ni "UWAJIBIKAJI", fanyeni haya lasivyo wengi zaidi watawakimbia

    Soko la benki Tanzania halijawahi kuwa na ushindani mkali kiasi hiki. Banks zipo kwenye mchuano mkali na Wateja wana uwezo wa kuhama benki kwa urahisi mkubwa mara 10 zaidi kuliko kubadilisha mtandao wa simu. kutunza wateja katika sekta hii kunahitaji Trust, Loyaty na uamiifu, ni vitu...
  16. dark web

    Fundi Umeme na vifaa vya kielectroniki, anapatikana, uzoefu wa kazi, ubora na uaminifu!

    Habari wanajukwaa, Naitwa fundi mwenye uzoefu mzuri katika fani ya umeme na vifaa vya kielektroniki, napatikana Dar es Salaam. Nimekuwa nikihudumu kwa ufanisi katika kazi mbalimbali zinazohusiana na matengenezo, usimikaji, na ushauri wa kitaalamu kwenye vifaa vya kila aina. Huduma ninazotoa ni...
  17. Kimbesa11

    Ndugu zangu vijana kwenye siasa kazi na uaminifu ndiyo itakayokufanya ujulikane na Taifa na si kupiga majungu na upotoshaj mwisho huwa ni kudharauliwa

    Alama ya kijana ni kazi, kijana ni maneno machache kazi nyingi, kijana awe na tamaa ya maendeleo huku anafanya kazi siyo tamaa ya maendeleo huku anakesha anaangalia press za akili mnemba polepole badala apumzishe mwili kwaajili ya KAZI kesho yake. Popote ulipo kijana onyesha upekee kiutendaji...
  18. Ojuolegbha

    Dereva wa Marais watatu: Safari ya uaminifu na simulizi za nyuma ya pazia

    DEREVA WA MARAIS WATATU: SAFARI YA UAMINIFU NA SIMULIZI ZA NYUMA YA PAZIA. Ismail Mputila, dereva mashuhuri aliyehudumia marais watatu wa Tanzania kwa zaidi ya miaka 25, amesimulia safari yake ya kipekee katika utumishi wa umma. Kazi yake ilianza kama mfanyakazi wa kawaida kabla ya kupanda...
  19. G.T.L

    Ajiri huyu dada akufanyie biashara yako kwa uaminifu mkubwa

    Kwa mwenye uhitaji na Binti wa kumuweka kwenye biashara yako hapa Jijini Dar es salaam, yupo hapa binti mchapakazi, mwaminifu na mwenye mvuto katika ofisi yoyote. Umri: 26 yrs Elimu: Form 4 Makazi: Dar es salaam Kwa aliye serious, anichek PM nitakua mdhamini wake kwaajili ya usalama wa pande...
  20. D

    Victor Tesha – Kiongozi Mpya Kwa Moshi Vijijini | Maono, Uaminifu na Uwezo

    UJUMBE: Wana-Moshi Vijijini, Mwaka huu tunakutana tena kwenye fursa ya kipekee ya kuchagua kiongozi atakayeliongoza jimbo letu kuelekea maendeleo ya kweli, ushirikishwaji wa wananchi, na uongozi wa kisasa usioegemea siasa za maneno matupu. Moja ya majina makubwa yanayosisimua mioyo ya vijana...
Back
Top Bottom