tunahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhaya

    Wakili Peter Madeleka katema sana shule humu kwenye hii podcast, watu wengi tunahitaji Elimu ya sheria

    Jamaa kaongea sana humu, watu wengi tunakosa maarifa https://youtu.be/u2aZFKR9NKQ?si=ZvTGb_CQ7YGspu3R
  2. Alloyce PR

    Tunahitaji mabadiliko katika mfumo wa ukusanyaji wa ada za taka

    Ikiwa kila mwananchi anatakiwa kuwa na TIN, kwa nini Serikali isiwe na mfumo wa kidijitali wa kutambua nyumba na kuthibitisha malipo ya huduma za taka bila kuwafuata wananchi nyumba kwa nyumba? Nchi nyingi zimeendelea kiteknolojia na kutumia mifumo ya ankara na malipo ya kielektroniki. Tanzania...
  3. ShesRise_1

    Katiba Mpya au Chama Kipya? Je, Tunataka Kubadili Mfumo au Viongozi?

    Watanzania tunahitaji mabadiliko, na wengi tunaamini kuwa Katiba mpya ni sehemu muhimu ya mabadiliko hayo Tunatarajia itasaidia kurekebisha mifumo yenye changamoto kupunguza migogoro na kuweka mipaka na uwajibikaji katika matumizi ya madaraka Lakini binafsi napokua nafatilia mijadala kuna...
  4. Lycaon pictus

    Tunahitaji kuzalisha umeme MW laki moja ili kuwa na uchumi wa dola trilioni moja.

    Tanzania na nchi zingine za Afrika kama Nigeria zina mpango wa kuwa na GDP(Nominal) ya dola trilioni moja ifikapo mwaka 2050. Nimeuliza super intelligence, ni umeme kiasi gani unatakiwa ili kulisha uchumi wa dola trilioni moja. Imesema kuwa range ni 35,000-130,000 MW installed kutegemea na...
  5. MIXOLOGIST

    Hakika, tunahitaji kina Kweka wengi kwenye ndoa

    Pole nyingi ziwaendee wafiwa. Ukiangalia kwa umakini zaidi hili tukio, utagundua ndugu KWEKA ni shujaa, amepeleka ujumbe mzito kwa wanawake wenye tamaa na wababaishaji kwenye taasisi ya ndoa. Msingi wa ndoa ni kuishi pamoja mpaka mwisho wa maisha yenu. Dini ya kikristu ya hao waliokuwa...
  6. A

    DOKEZO Nimeshangaa huko Instagram NIDA wanahimiza Wananchi wampigie kura mshiriki wa Miss Grand ili waweze kupata “Special Treatment”

    Leo kwenye pitapita zangu za mtandaoni, nimekutana na hili kwenye ukurasa rasmi wa NIDA, nikabaki nashangaa. Kwenye comments, inaonekana baadhi ya wananchi wanaelekezwa kuwasilisha ushahidi wa kushiriki katika zoezi la kumpigia kura mshiriki wa Miss Grand ili waweze kupata “Special Treatment”...
  7. F

    Kwa waislam msalaba ni alama ya laana tuangalie namna unavyotugusa

    Ukisimama au kulala chali na kunyosha mikono yako, unatengeneza msalaba. Ndege zinazotumika kwenda hija ni alama ya msalaba Mitaa tunayokazita kadhilika Nyumba tuishimo mapaa yake yamejaa alama hii Makutano yote yana alama hii Ongeza alama yako ya msalaba halafu tuangalie kweli kama imani hii...
  8. F

    Kwa maendeleo ya teknolojia na sayansi bado tunahitaji vipaza sauti misikitini na makanisani kweli?

    Hoja iko wazi. Naomba niwasilishe.
  9. Crocodiletooth

    Tunahitaji jersey nzuri kama fahari yetu sote!

    Niungane tu na mheshimiwa makonda moja kwa moja jersey zile hazijashiba kile tunachotaka kuwaonyesha wageni wetu. Hii ndiyo sandaland alitaka tuwe nayo! But why not this one!
  10. A

    KERO Kero ya Huduma ya Mwendokasi Kimara–Mlonganzila

    Tunapata changamoto kubwa katika huduma ya Mwendokasi kwenye ruti ya Kimara–Mlonganzila. Gari linaweza kuchelewa kufika kituoni kwa muda wa saa mbili hadi tatu, hali inayowasumbua sana abiria. Tunapokwenda kuulizia kwa kiongozi wa kituo, mara nyingi tunapokea majibu yasiyoridhisha, ikiwemo...
  11. A

    KERO Malipo Interns BMH Yamekwama. Tunahitaji Msaada!

    Wanafunzi wa Interns KADA zote (MD's, Nurses, Radiographers, etc) Wa BENJAMIN MKAPA HOSPITAL 🏥 hatulipwi pesa zetu za Kila mwezi kwa wakati. Kama wenzetu wa hospital nyingine nchini. Maisha ya DODOMA magumu watukumbuke jamani na sisi ni watu sio wanyama tunashida wajali uwepo wetu pale
  12. C

    Tunahitaji mbinu mpya kutoka hapa tulipo, CCM siyo watu

    Nilitegemea kwa hali ya sasa watawala wangelionesha signs za remorse kwa yliyotokea 29/10. Na kutaka kuliondoa taifa kwenye giza hili. Hilo halipo... Kwa sasa unaona kabisa kuwa wanatamani Gen Z woooooooooooooooote /watanganyika woooooooooooooooooote wauawe wabaki na wazanzibar may be na...
  13. B

    Huu ndio music tunahitaji, kwa wale mnaotaka music halisia

    Mwaka huu nilikutana na clip ya music ikitembea WhatsApp na YouTube. Kiukweli aina ya uimbaji, uchezaji na upigaji wa ala za music ilinishangaza na kunifurahisha kwa pamoja. Hii ilinikumbusha DDC Milimani Park, Ottu jazz, Vijana jazz nk Huu ndio Mziki ambao unaendelea kutrend hadi Leo kwenye...
  14. Natty Bongoman

    Afrika, Tanzania tunahitaji watawala wa aina gani? - machifu na wafalme kama zamani ama (wanasiasa) maraisi na mawaziri kama siku hizi

    Natumaini japo hatuna machifu rasmi, bado tuna ulewa espesheli vile kuna makabila bado yana heshima ama muendelezo kwa machifu wa zamani na warithi wao. Binafsi, naona karibu vitu vyote vya kigeni tulivoiga, aidha tumeboronga ama havijafanya kazi ndani ya jamii zetu. Mambo ya siasa, maraisi na...
  15. Inside10

    Askofu Mwagala: Vijana Wakirudi Nyuma Taifa Litapoa Tunahitaji Nguvu Yao

    Sehemu ya maoni ya Mhashamu Vicent Mwagala Askofu wa Jimbo Katoliki Mafinga juu ya mapendekezo ya Vijana katika Mkutano Mkuu wa 21 wa Amecea.
  16. A

    KERO Waajiriwa wapya wa Sekta ya Afya Halmashauri ya Ulanga tunateseka na pesa za kujikimu

    Tunaomba mamlaka husika zitusaidie kutatua changamoto hii. Waajiriwa wapya wa sekta ya afya mwaka 2026 katika Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga, mkoani Morogoro, tunaendelea kuzungushwa kuhusu malipo ya posho zetu za kujikimu. Tunaomba suala hili lishughulikiwe haraka ili tupate haki zetu kwa...
  17. A

    KERO Walimu wa Ajira Mpya 2026 tunahitaji Haki sawa ya Malipo ya Fedha za Kujikimu

    Sisi walimu wa ajira mpya 2026 tunaonyesha masikitiko yetu kutokana na kutopatiwa fedha za kujikimu, ilhali watumishi wa ajira mpya wa kada ya afya tayari wamepata stahiki hizo kupitia TAMISEMI. Tunaiomba Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI kutoa ufafanuzi kuhusu tofauti hii ya utoaji wa stahiki...
  18. A

    KERO Posho ya Kujikimu Singida DC: Watumishi tunahitaji Ufafanuzi

    Watumishi wapya wa Singida DC tunaomba ufafanuzi kuhusu posho ya kujikimu tuliyolipwa. Kiasi tulichopokea ni kidogo tofauti na tulivyotarajia kwa mujibu wa utaratibu unaofahamika, na hakuna maelezo yoyote yaliyotolewa kuhusu hilo wala kama kuna malipo mengine yatakayofuatia na lini. Kumekuwa na...
  19. Yoda

    Tunahitaji mahakama ya Katiba ya kudumu

    Kama bado tuna mpango wa kuendelea na mfumo wa vyama na demokrasia kama nchi inabidi kuwa na Mahakama maalumu ya Katiba ya kudumu kama vile South Africa, Zambia na Senegal kushugulika na kesi zote za kikatiba na kesi zinazohusu uchaguzi wa viongozi wa serikali. Mfumo wa mahakama tulio nao wa...
  20. kimsboy

    Watanzania hatuhitaji mabadiliko tunahitaji Regime Change kwa sasa

    Nadhani mtakubaliana nami, sidhani kama Watanzania wanahitaji wanahitaji mabadiliko kwa sasa. Maana tukianza na mabadiliko kwanza majangili watatuchezea nakuleta lichama B maana wana watu wao kila mahali Suluhisho ni regime change kwa sasa baada ya regime change ndo mengine yafuate ikiwemo...
Back
Top Bottom