tume

Tume Parish (Latvian: Tumes pagasts) is an administrative unit of Tukums Municipality, Latvia. The administrative center is Tume.

View More On Wikipedia.org
  1. Kenya2022 Chebukati: Makamishna wanne walishinikiza Uchaguzi urudiwe kinyume cha Sheria, Nilikataa

    Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi (IEBC) Wafula Chebukati, amesema aliwazuia kuingia eneo la Bomas Makamishna wanne waliokana kutambua matokeo ya Urais kwa kulazimisha uchaguzi urudiwe. Chebukati ameshikilia msimamo wake kuwa Makamishna hao walipata matokeo yote na walihusika katika shughuli zote...
  2. Prof. Mukandala hafai kuongoza tume ya katiba mpya

    Tangu awali alipoteuliwa nilisema huyu siye, hiyo ilitokana na yeye kujitambulisha ni muumini wa CCM. Hivi sasa tunashuhudia yeye akitoa maoni kuhusu kuwepo au kutokuwepo katiba mpya, yeye ni mkusanyaji maoni hivyo hatakiwi kuwa mtoa maoni na kama anataka atoe maoni basi inabidi aachie cheo cha...
  3. Kenya2022 Madaktari kuchunguza mwili wa Afisa wa Tume ya Uchaguzi Kenya

    Madaktari wa Uchunguzi wataufanyia uchunguzi mwili wa afisa wa IEBC, Daniel Musyoka aliyekutwa amefariki baada ya kutoweka kwenye kituo cha Kura. Mchunguzi wa serikali pamoja na Daktari aliyeteuliwa na familia watafanya shughuli hiyo ili kubaini sababu za kifo cha Afisa huyo aliyetoweka kwa...
  4. Tume Huru ya Uchaguzi imemebaki Tume ya Uchaguzi ya Tanzania

    Huwa siamini hata kidogo kama upo uwezekano wa kupata tume huru ya uchaguzi kwa namna kama Kenya walivyofanya; au hata Zanzibar walivyowahi kufanya. Kwa kilichotokea Kenya kupitia baadhi ya wajumbe kuyakana matokeo ya kazi yao natangaza kuwa Tanzania tuna tume bora na huru ya uchaguzi
  5. Kenya2022 Uchaguzi wa Kenya: Mkutano wavurugika kwa fujo, watu wapigana

    Inasikitisha sana wakuu
  6. Kenya2022 Tume ya Maridhiano yataka atakayeshindwa Urais Kenya kukubali matokeo

    Tume ya Taifa Maridhiano, NCIC imetoa wito kwa Mgombea yeyote wa kiti cha Urais atakayeshindwa baaada ya Matokeo kutangazwa, kukubali na kawasiliana na Mshindi ili kupata amani Mwenyekiti wa NCIC, Samuel Kobia amesema leo kuwa Uchaguzi ulikuwa wa amani, na kuongeza kuwa Wagombea wote wawili...
  7. E

    Anthony Mtaka anastahili kuongoza tume ya mipango Tanzania

    Ushauri wangu kwa raisi ni "unahitaji mtu kama Mtaka kuongoza tume ya mipango ndipo uongozi wako utaleta mabadiriko chanya katika jamii" Shida kubwa ya wataalamu wengi hukimbilia kwenye formula, kanuni n.k lakini hawajui wanatakiwa kuanzia wapi na kuishia wapi. na kuna watu wako na very good...
  8. J

    Kenya2022 Vurugu zanukia Kenya, mawakala wa Odinga waishtumu tume kufanya uhalifu

    Mzee Odinga sijui kanusa kushindwa sijui Mawakala wake wamekuwa wakilalamikiwa na Tume kuzua vurugu kila mara kwenye ukumbi wa kuhesabia kura Bomas Wakala Mkuu wa odinga anasema Bomas imekuwa chumba cha uhalifu akimaanisha haamini mchakato wa uhakiki
  9. Kenya2022 Maafisa 3 wa Tume ya Uchaguzi Wafikishwa Mahakamani

    Esokon Bernard, John Nabian na Ekori waliokuwa wasimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Laisamis katika Kaunti ya Marsabit, wameshtakiwa kwa kutelekeza vifaa vya uchaguzi baada ya kufungwa kwa zoezi la kupiga kura Agosti 9 Maafisa hao wanadaiwa kukataa kupeleka vifaa hivyo, zikiwemo karatasi za kura...
  10. Kenya2022 Rais mstaafu Dkt. Kikwete asifia uwazi uliodhihirishwa na Tume ya Uchaguzi Kenya

    Asifia utendaji wa polisi walivyohakikisha usalama bila kuingilia zoezi, pia asifia tume ilivyo onyesha uwazi na kuhakikisha matokeo ambayo hayakuchakachuliwa. Mataifa ya Afrika mna mengi ya kuiga kutoka Kenya. Election observer missions to Kenya have lauded the electoral commission for...
  11. W

    Kenya2022 Tume ya Uchaguzi ya Kenya (IEBC) inajitengenezea bomu kupitia kile wanadhani ni Uhuru wa Vyombo vya Habari

    Habari wakuu! Najua kwa siku mbili tatu baadhii yetu tumekuwa tukifuatilia kile kinachoendelea katika uchaguzi wa Majirani zetu Kenya. Kwa tathmini fupi utabaini kwamba watu wengi nchini kenya na Tanzania wamepongeza kile ambacho IEBC imefanya kwa kuruhusu vyombo vya habari kujumlisha na...
  12. Kenya2022 Tume ya Uchaguzi Kenya yavitaka vyombo vya habari kuongeza kasi kuripoti matokeo

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), Wafula Chebukati, amevitaka Vyombo vya Habari kuongeza kasi ya kujumlisha matokeo na kuyawasilisha kwa wakati. Vyombo vya habari vimeonesha takwimu tofauti za matokeo ya Uchaguzi wa Rais, na kusababisha wasiwasi kuhusu hitilafu hizo...
  13. Raha ya kuwa na tume huru ya uchaguzi hakuna mwenye uhakika wa kushinda watu wanamenyana kweli kweli

    Kuna wakati chakura ukila peke Yako hakinogi. Hata mji wenye watu wa kabila Moja Huwa Hauna maendeleo. Chama Cha siasa au nchi inayoogopa ushindani wa kweli, haiwezi kufikia mafanikio Kwa wakati, Kenya siasa imechangamka sana hakuna anayemuogopa mwenzake polisi hawaingilii siasa, wanawaaacha...
  14. P

    Kwanini Tume zilizoundwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa hazina mrejesho?

    Leo nimejikuta nakumbuka mambo mbalaimbali tuliyopitia Kama taifa kwa nyakat tofauti ambayo yalizua simanzi na taharuki lakini yakapita hivihvi bila kupewa mrejesho ingawa wahusika hukaa mbele ya vyombo vya habari kwa mbwembwe kuwa watatoa ripoti ndan ya siku kadhaa lakn hugeuka hekaya tupu...
  15. Mahakama: Uamuzi wa Tume ya Uchaguzi wa Kutumia Usajili wa Kilektroniki Pekee katika uchaguzi wa Agosti 8 ni batili

    Mahakama ya Juu imebatilisha uamuzi wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) wa uandikishaji wa Wapiga kura kwa Kielektroniki pekee katika uchaguzi wa Agosti 9, na kusema kuwa sababu zilizotolewa na tume hiyo hazitoshi Tume hiyo ilisema kuwa Usajili wa Wapiga kura kwa Makaratasi unaweza...
  16. Tutaje mambo mazito yanayosumbua taifa kwa sasa ili yaundiwe Tume za Uchunguzi za Bunge

    Pamoja na kwamba Dk. Tulia Ackson ni mzito kuunda tume za kibunge kuchunguza mambo yenye sintofahamu yanayowasibu wananchi. Tutumie haki yetu ya kikatiba kumtaka kuunda tume ili kuleta majibu ya mambo yanayolisumbua Taifa kwa sasa. Hebu tuorodheshe mambo makubwa ambayo tunataka Bunge liunde...
  17. SoC02 Umuhimu wa kuzingatia utoaji huduma bora kwa umma kutoka kwa watumishi

    Utangulizi. Huduna ni shughuli ambayo hufanywa kwa manufaa ya wengine, inaweza tolewa na mtu au taasisi. Huduma bora ni shughuli itolewayo ili kukidhi mahitaji ya muhitaji, na muhitaji hurudhika nayo bila kinyongo. Mifano ya huduma ni kama kupata chakula, kutibiwa au hata huduma ya kufundishwa...
  18. Kenya2022 Tume huru ya Uchaguzi yatoa wito wa Wakandarasi wa Teknolojia ya Uchaguzi kuachiliwa

    Tume Huru ya Uchaguzi nchini humo (IEBC) imesema kuwa Wakandarasi wa Smartmatic International BV wamekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta walipowasili kutoka Venezuela licha ya mamlaka kuarifiwa kuwa waliingia nchini kihalali. Mwenyekiti wa IEBC Wafula Chebukati amesema...
  19. Tume ya Madini, Eng. Yahya I. Samamba Acting Executive Secretary amekaimu kwa miaka 3 Hakuna Mtanzania mwenye uwezo wa nafasi hiyo?

    Tanzania ina Rais wa ajabu sana, Tume ya Madini ni Taasisi muhimu sana nchini , cha ajabu Eng. Yahya I. Samamba Acting Executive Secretary amekaimu nafasi hiyo kwa miaka 3 sasa. Ina maana Tanzania hakuna mtu wa kuweza au mwenye uwezo kusimamia Tume ya madini ? In aibu kubwa sana, hata Prof...
  20. J

    Kwanini Waziri Bashe anaogopa Tume kuchunguza kashfa ya mbolea?

    Wana JF Wakulima tunataka kuona bei ya mbolea inashuka nchini, pia tunataka kuona mikakati ya Serikali ya kushusha bei ya mbolea lakini maelezo aliyoyatoa Waziri Bashe hayaleti unafuu wowote kwa wakulima. Tatizo la Bei ya mbolea kupanda haliwezi kumalizwa na ruzuku kwani ruzuku inayotolewa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…