tume

Tume Parish (Latvian: Tumes pagasts) is an administrative unit of Tukums Municipality, Latvia. The administrative center is Tume.

View More On Wikipedia.org
  1. JWTZ, Wakamateni Mwenyekiti na Mkurugenzi na Makamishna wote wa Tume ya Uchaguzi. Msiwasahau Mafwele, Murilo na Ma RPC wote

    Kwanza kabisa chukueni hii Nchi na iwe chini yenu. Pili wakamateni leo hii Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji Mwambegele, Mkurugenzi wake Kailima na Makamishna wote wa Tume ya Uchaguzi. wawekeni ndani kwenye selo zenu Tatu Wakamateni Mafwele, Muliro na Ma RPC wote wanaoendesha mauaji ya...
  2. GE2025 Wito: Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ifute Uchafuzi Mkuu, Isiharakishe Kumuapisha Samia

    Inatakiwa ndani ya siku saba baada ya kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa Rais aliyetqngazwa kushinda anatakiwa kuapishwa. Baada ya kuvurugika kwa uchaguzi mkuu INEC isiruhusiwe kutangaza matokeo wala kuzamisha kuapisjwa kwa Rais. Wakiamua kulazimisha hawa vijana hawa ..ambao leo wamevunja mwiko...
  3. GE2025 Tamko la Tume ya Haki za Binadamu Kenya: Hakuna Uchaguzi Unaofanyika Tanzania Leo 29 Oktoba 2025

    Ndugu Raia wa Afrika Mashariki, Tunasimama hapa tukiwa na wasifu wa utambulisho halali kama Raia wa Afrika Mashariki, tukiwa tunasukumwa na ukweli kwamba Jumuiya ni yetu sote. Tunaendelea kushuhudia ukiukwaji wa haki za binadamu na uharibifu wa demokrasia katika eneo lote, na kama raia wa...
  4. Tume ya Kitaifa ya Uwiani na Maridhiano yamtaka Gavana Mutahi Kahiga kutoa maelezo kuhusu kauli zake tata juu ya kifo cha Raila Odinga

    Tume ya Kitaifa ya Uwiani na Maridhiano nchini Kenya (NCIC) imemtaka Gavana wa Nyeri, Mutahi Kahiga, kutoa maelezo rasmi kuhusu kauli zake zilizozua utata kuhusu kifo cha aliyekuwa kinara wa ODM Raila Odinga. Kauli hizo zimezua hasira kubwa nchini Kenya, hasa baada ya Kahiga kusema kuwa kifo...
  5. Azaki zaishauri CCM kuunda tume ya kuchunguza utekaji

    Si dhani kama wanashaurika hawa watu? Ila mimi najuwa wanafahamu kila kitu kinachoendelea na wanauwezo wa kukomesha kabisa hata bila kuundwa hiyo tume ambayo itachukua kodi za wananchi. =================== Asasi Za Kiraia (AZAKI) zaidi ya 300 nchini zimewasilisha mapendekezo kwa Chama Cha...
  6. GE2025 Semu: Tutaunda tume ya kuchunguza matukio ya utekekaji

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Dorothy Semu amesema kuwa chama hicho kikipata ridhaa ya kuongoza nchi kitahakikisha ndani ya siku 100 kinaunda tume ya kijaji ili itoe majibu ya matukio ya nani wanaohusika kupoteza na kuteka watu nchini . Ametoa kauli hiyo Oktoba 12, 2025 akiwa Kata ya...
  7. TCU: Waombaji 146,879 wametuma maombi ya kujiunga Vyuo Awamu ya Kwanza ya Udahili wa Shahada ya Kwanza

    TAARIFA KWA UMMA KUKAMILIKA KWA AWAMU YA KWANZA NA KUFUNGULIWA KWA AWAMU YA PILI YA UDAHILI WA SHAHADA YA KWANZA KWA MWAKA WA MASOMO 2025/2026 1.0 KUKAMILIKA KWA AWAMU YA KWANZA YA UDAHILI 2025/2026 Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inaufahamisha umma, Taasisi za Elimu ya Juu na Wadau wa Elimu...
  8. Katiba Mpya;Mahakama ipewe mamlaka kuhoji Tume ya uchaguzi na matokeo ya Urais.

    1. Matokeo ya Raisi yahojiwe Mahakamani kama yaliyo ya Diwani na ubunge.kwa kuwa wagombea wa urais wanaweza kufanya makosa ya kiuchaguzi. 2. Tume ihojiwe na Mahakama inapo enda kinyume ktk kutimiza majukumu yake. 3. Itungwe sheria ya kuwezesha INEC kufanya Kazi za kusimamia uchaguzi Kwa sasa...
  9. K

    GE2025 Maridhiano yaliyoahidiwa yanahusu nini?

    Mgombea Urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan amesikika kwenye hotuba ya ufunguzi wa kampeni zake akiahidi kuwepo kwa mazungumzo ya maridhiano katika siku 100 za utawala wake mpya. Nataka sasa awaeleze waTanzania maana ya maridhiano hayo ni nini, ikiwa wakati ahadi hiyo ikitolewa hatua za maovu ya...
  10. Kwanini Mawakala wa Vyama Malawi Wasipewe Nakala za Matokeo ya Kituo Husika Kama Uchaguzi Ni Huru na Tume ya Uchaguzi ni Huru Pia?

    Kwakuwa Tume ya Uchaguzi ya watu wa Malawi ni Huru , basi hakuna sababu ya kuzuia mawakala kupata nakala ya matokeo waliyoshuhudia. Kunyima nakala ni uhuni, uwazi unahitaji kila chama kuthibitisha takwimu... Tume Huru haipaswi kuogopa ushahidi, kwani ukweli hudumu kupitia uwazi na usawa. Ila...
  11. GE2025 Dodoma: Mahakama Kuu yaipa Serikali Siku Tano Kujibu Kesi ya ACT Wazalendo Dhidi ya INEC

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Kuu Dodoma, imetoa muda wa siku tano kwa Serikali kujibu kesi iliyofunguliwa na chama cha ACT Wazalendo na mwanachama wake, Luhaga Joelson Mpina, dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Katika kesi hiyo, ACT Wazalendo na...
  12. Kama mgombea uraisi tume inampa gari kwa ajili kuomba kuchaguliwa na sisi tushajua mna NIDA zetu tulipeni

    Mambo ya kwenda burundi tukikuuliza kodi,tukifa unasema kifo ni kifo mpaka wale wanaotuambia sijui oktoba watatiki sawa si mnajua. Kwa sasa NIDA yangu kama utalazimisha kuwa nilikuchagua thamani yake ya kukuchagua ni bilioni 23 za kitanzania. Hii kesi nimepata wazo ili wajuwe CCM oktoba...
  13. GE2025 Tume huru ya Uchaguzi yetu imejaa maigizo

    Inayoitwa tume huru ya uchaguzi inatuona sisi ndezi! Yaani eti kati ya vitu vyote vya kuweka uwanja sawa kwa wagombea imeona kugawa magari ndiyo njia mwafaka! Kwa nini inapata kigugumizi kuamua kwenye reforms za uchaguzi? Sisi tunalia na DEDs kiwa wasimamizi wa uchaguzi mbona haisikii? Kama...
  14. M

    Polepole yuko Sahihi. TUME inataka kumpa Mwalimu kura kadhaa za Bure

    Kuna mpango wa ovyo wa Kumpa Salum Mwalimu kura kadhaa za kubumba huyu mtu ili wapate wabunge wa viti maalum kadhaa na wabunge wa ovyo ovyo Ndugu Watanzania sio Siri tena kwa namna yoyote Mpina angekuwa ana kura nyingi sana kuliko huyu mgombea wa Chauma na pengine angemzidi mgombea wao kwenye...
  15. Yote kwa yote Tume Mmejichanganya Tena

    Sheria na kanuni mmezikiuka wenyewe ambazo zinaelekeza vizuri sana Msajili alitakiwa alete pingamizi lake kuanzia leo jioni na kisha Act watoe maelezo utetezi kisha tume iamue na kanuni iko wazi. Pia Tume mnaamuaje kesi bila kusikiliza upande wa Act. Kama kanuni mnaanza kuzishinda hivi mapema je...
  16. CHADEMA Zanzibara yagoma kusaini Kanuni za Maadili Tume ya Uchaguzi Zanzibar

    Chadema Zanzibara yagoma kusaini Kanuni za Maadili Tume ya Uchaguzi Zanzibar. Yasisitiza msimamo wa chama wa No Reforms No Election
  17. T

    Kukosekana kwa upinzani madhubuti wa Chadema na Tume Huru ya Uchaguzi. CCM inachukua mgombea yoyote hata asiye na ushawishi kwa wapiga kura.

    CCM imeamua kuwaacha wagombea wenye ushawishi kwa wananchi kwa kuwakomoa kwa kuamini yeyote ikimuweka anapata ubunge. Hata walioachwa hawana pa kwenda kwani wakifanya hivyo visasi vitawafuata. Kukosekana kwa mfumo huru wa uchaguzi na CCm kumiliki vyombo vyote vya dola ( mahalama na bunge) na...
  18. GE2025 Kwanini Tume ya Uchaguzi imeficha taarifa za wapiga kura?

    GT Ni maajabu hawa wanaojiita tume huru ya uchaguzi huku majina ya wapiga kura yamefichwa Mi najiuliza kwa nini wanahitaji namba ya kadi ya kupiga kura ili niweze kuona jina langu? Hii ina maana kwamba hakuna mtu yoyote anaweza kuona majina ya wapiga kura isipokuwa tume yenyewe ah aha ah 😅 😄 😆...
  19. GE2025 "Mimi na ndugu zangu (wengine ni marehemu) hatukujiandikisha lakini taarifa za tume zinaonyesha tumeandikishwa" . Hii imekaaje?

    Sitaki kuongeza neno wala kupunguza neno, hiyo ni taarifa kutoka miongoni mwa wananchi waliosema wazi kuwa, alichokisema Pole Pole wamekielewa vizuri. Kukumbusha tu, Pole Pole alisema kuwa, Mifumo ya NEC na NIDA inaonana na CCM, na wakati huo huo CCM ndio mratibu wa hiyo mifumo nyuma ya pazia...
  20. Kwa haya ya Kuunganishwakwa taarifa za NIDA Tume ya uchaguzi na CCM

    Ni ukweli kabisa usio pingika hata kwa 0.00000000000000001% hauwezi kukataa alichokisema polepole Kwa wale walio sajiliwa katika mfumo wa Kidigital wa MAFISIEMU. Ni kweli utakuta taarifa zako za NIDA mfano picha yako uliyo sajiliwa NIDA ndiyo ile ile itaenda kuwa profile picture yako ya CCM...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…