tume

Tume Parish (Latvian: Tumes pagasts) is an administrative unit of Tukums Municipality, Latvia. The administrative center is Tume.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Message za tume ya uchunguzi wa mauwaji ya 29/10/2025 - 3/11/2025

    Nimepokea messages kwa namba zote ninazotumia Wanataka nitoe/tutoe maelezo au ushauri, juu ya kilichotokea kabla, wakati na baada ya uchaguzi, kuisaidia tume. Sina tatizo na massages hizo. Shida yangu, ni,, je wako tayari kuupokea ukweli na watauandika ulivyo, watauwakilisha ulivyo na...
  2. Mkurugenzi mkuu tume ya taifa ya umwagiliaji akagua bwawa la ujenzi Mkomazi

    <Ujenzi wafikia asilimia 85, <Asisitiza kuzingatia muda na ubora wa ujenzi Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji(NIRC), Bw. Raymond Mndolwa, amefanya ziara ya kikazi katika bwawa la kilimo cha Umwagiliaji la Mkomazi lililopo kijiji cha Manga Mtindiro, Wilaya ya Korogwe, mkoani...
  3. R

    Picha: Angalia Tume HURU ya KUJICHUNGUZA

    TUMÉ HURU YA KUJICHUNGUZA......
  4. Msaada Kwa wajuzi wa protocol za usahili katika Tume ya utumishi wa mahakama.

    .
  5. Tume ya Jaji Chande wanahitaji picha na video ili "wajue" kilichotokea Oktoba 29?

    Mambo vipi wana JF.,. Nimeona hii taarifa rasmi ya Tume Huru ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani Oktoba 2025 – wanaomba wananchi wapeleke maoni, ushahidi, picha, video, maandishi na nyaraka zozote za matukio hayo kwa barua pepe: maoni@tume.uchunguzi.go.tz au WhatsApp/SMS. Sasa...
  6. Kwa nini tume iliyoundwa inaomba taarifa za uvunjifu wa amani sio matukio ya mauwaji?

    Jambazi anaweka wezi kuomba wananchi wajue kilichotokea ndio haya. Hii tume inataka kujua nani kavunja amani tu ?. Kama mumeona wanacho kisema ni wazi vifo sio kazi yao.
  7. PostGE2025 (KUMBUKIZI) Jenista Mhagama: Katiba mpya na Tume ya Uchaguzi, Kutokutenda Haki sio maeneo ya kipaumbele kwa Watanzania

    Ukiona mtu anadharau, anashusha na kudogosha umuhimu wa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, ni mwana mtandao! si sehemu ya kilio cha wananchi.
  8. PostGE2025 Tume ya Jaji Chande yaomba wananchi watume taarifa za uvunjifu wa amani zilizotokea wakati wa uchaguzi

    Tume imeanza rasmi utekelezaji wa majukumu yake kwa mujibu wa Sheria ya Tume za Uchunguzi (Sura ya 32). Inawaalika wananchi na wadau wote kutoa taarifa, ushahidi, maoni na mapendekezo yatakayosaidia kufahamu ukweli wa matukio ya uvunjifu wa amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025...
  9. S

    PostGE2025 Samia, hukuna ushirikiano atakaoupata kuandika Katiba mpya, kuleta maridhiano na hata Tume aliyoiunda itasusiwa na wananchi wengi

    Huo ndio ukweli mchungu. Mambo hayo yanaweza kupatikana ai kufanikiwa tu wakati Samia na watuhumiwa wenzake wakiwa wanajitetea ICC au teyari ni wafungwa katika magereza mbalimbali duniani na si vinginenyo.
  10. PostGE2025 Wahanga wa MO29 Epukeni kushirikiana na Tume iliyoundwa

    GTs, Kwa mwenendo wa kesi ya ICC, wale wote waliouliwa ndugu zao au kujeruhiwa kwenye maandamano epukeni sana kwenda kwenye tume iliyoundwa na Samia. Yaani iko hivi, mkienda mtakuwa mmejimaliza kwa sababu watajua nani mwenye ushahidi wa kuwamaliza wao kule ICC, baada ya hapo mtauawa kabla au...
  11. Wanaotudai 107T, wamezuia misaada. Tukawashikia kiuno tukawahoji kwa dharau 'who are you?' Anayetupa kuishi kazuia mvua

    Alianza nasisi vizuri tu. Hata ile Oct 29 aliifanya kuwa siku nzuri kwa makundi yote. Waliotoka na waliotiki. Haikunyesha mvua siku hiyo. Kisha damu nyingi sana ya wasio na hatia ikamwagwa ndani ya siku hizo tatu. Bila shaka kitendo hicho kilimsononesha na kumuudhi sana. Usiku wa oct 31...
  12. Nadhani wa kulaumiwa au kushtakiwa ni tume ya uchaguzi

    Kila mara ninapomsikiliza rais Samia, naona wazi ana uhakika kabisa kuwa alipigiwa kura kwa asilimia 97. Haoneshi kuwa na wasiwasi wala mashaka. Japo ni kweli kuna maeneo vurugu zilitokea katika vituo vya kupigia kura. Na ni kweli mabox ya kura yaliharibiwa. Je, tume ilipaswa kufanya nini...
  13. Kwa hotuba ya leo, kwanini aliunda tume?

    Mambo yote aliyozungumza leo yamejibu maswali mengi sana. Sasa, kama yeye ndiye aliyetoa maagizo aliyoyatoa na kama anasema nguvu iliyotumika ilikuwa sahihi. Sababu ya kuunda tume ya uchunguzi ya yaliyotokea ni ipi sasa? Samia has an IQ of an amoeba 🦠.
  14. PostGE2025 Kwa hotuba ya Rais Samia bado Tume ya Jaji Chande ina kazi gani iliyobaki?

    Rais Samia Suluhu Hassan amewahutubia wazee wa Dar es Salaam leo Desemba 2. Kiini cha ujumbe wake kilikuwa ni maandamano yaliyofanyika Oktoba 29, 2025. Kwa kiasi kikubwa hotuba yake ni kama alikuja kutema nyongo iliyomjaa kifuani pake. Ameeleza chanzo cha maandamano na vurugu zilizoanza Oktoba...
  15. PostGE2025 Tume zilizowahi kuundwa na mapendekezo hayakuwahi kufanyiwa kazi

    1. Tume ya Nyalali 2. Tume ya Bomani ya Ardhi 3. LRCT – Mapendekezo ya Katiba 4. Tume ya Haki za Binadamu – Kisanga 5. Tume ya Sheria Kandamizi – Kisanga 6. Tume ya Uchaguzi – Ramadhani Ongeza nyingine hapo chini
  16. Tume ya wazee, na kikao na wazee Leo Ili uhutubie taifa, vijana tunanuka kinyesi?

    Mtake msitake, walio andamana ni vijana na walikuwa na mahitaji Yao Tunakubali umeunda tume kweli nchi hii hatuna wawakilishi wa vijana wangekuwa kwenye tume hiyo Ili wazungumze nasi? Ebu muulize IGP Mwema enzi akiwa IGP aliwai kutana na vijana wangapi walio nje ya Jeshi la POLISI na...
  17. PostGE2025 Tume ya Uchunguzi isiache kuhoji waliosimamia Uchaguzi. Waliosimamia wapo tayari kutoa ushirikiano

    Moja ya Kundi ambalo linatakiwa kuhijiwa ni walisimamia uchaguzi, huku mtaani walimu Wengi wanaduku lao kusema yaliojiro kwenye vituo vya kupigia kura.
  18. Q

    Iundwe Tume kuchunguza zile Pikipiki na Baiskeli zenye nembo ya SSH zilitoka wapi, kwa mabeberu, waarabu au pesa za ndani.

    Kama ni watu wa nje tume ituambie walikuwa ni akina nani na walikuwa na nia gani na nchi yetu na walitegemea kupata nini in return, na kama zilinunuliwa kwa pesa za ndani tume ituambie nani alitoa pesa na kama ni serikali tume ituambie zilitoka kwenye fungu gani la bajeti. Serious, sio kwa...
  19. Rais, tume yako haiwezi tufikia sisi walengwa,nani mwenye UWEZO wa kumsogelea IGP mstaafu, sjui brugedia na yule wa usalama hata hao majaji?

    MH RAIS NATUMAH u salama salimini na UNAENDELEA SALAMA salimini heko kwako. Mh Rais Mimi ni miongoni mwa vijana wa kitanzania ambao kuwa mkweli siku ya uchaguzi sikutoka kuandamana Wala KUPIGA kura, lakini ningeulizwa nilikuwa nachagua njia ipi hakika ningechagua ya kuamdamana kuliko KUPIGA...
  20. Tume ya Uchunguzi wa Uvunjifu wa Haki na Amani Katika Wiki ya Uchaguzi Mkuu 2025: Naomba Nakala ya Tangazo Husika Katika Gazeti la Serikali

    Wadau, Kwa mujibu wa kifungu cha 20 cha Sheria ya Tume za Uchunguzi (Commissions of Inquiry Act), Sura ya 32, Toleo la 2023, Rais anapounda Tume ya Uchunguzi husika, Tume hiyo inapaswa kuanza kazi baada ya Uamuzi wa Rais kuchapishwa kwenye Gazeti la Serikali . Taarifa ya gazetini inapaswa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…