tume

Tume Parish (Latvian: Tumes pagasts) is an administrative unit of Tukums Municipality, Latvia. The administrative center is Tume.

View More On Wikipedia.org
  1. HATUA MUHIMU: Misingi ya Marekebisho ya Katiba Kupitia Tume ya Maridhiano Inayotarajiwa Kuundwa

    Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Tanzania inaingia katika hatua muhimu ya maamuzi ambapo Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameonyesha dhamira ya kuunda Tume ya Taifa ya Maridhiano na Usuluhishi ili kuweka misingi ya kufanyia marekebisho Katiba ambayo iliahadiwa katika Ilani ya Uchaguzi ya CCM...
  2. O

    Tungekuwa na wanasiasa wanaotuliza akili basi mapendekezo ya Tume ya Jaji CHANDE tungeyatumia kupata mabadiliko (Reforms)

    Ninaandika hivi kuwakumbusha wanasiasa na umma wa Watanzania kwamba Tume ya Jaji CHANDE ilipendkeza kuwa na Mazungumzo,Maridhiano na Muafaka wa Kitaifa ,Kuwa na Katiba mpya ifikapo 2028 na kwamba chaguzi zijazo za 2029/2030 zifanyike chini ya Katiba mpya,Fidia kwa waathirika nk. Lakini kwa...
  3. S

    Hivi ICC wanasubiri ripoti na utekelezai wa mapendekezo yatayotolewa na Tume ya Jaji Lila?

    Hili ndio swali ninalojiuliza mpaka sasa kuhusu mashitaka yaliyowadilishwa kwenye hii mahakama ya kimataifa ya uhalifu dhidi ya binadamu. Je, mahakama hii haiwezi fanya uchunguzi na kuwashitaki wauaji wa mauji ya Oktoba 29 mpaka waone huu mchakato wa ndani unaendaje? Je, ICC wana amini hii...
  4. PostGE2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ya Tanzania, imefuta Matokeo ya Samia Suluhu kwenye Mtandao wao

    Baada ya Watu kulalamika kwamba huyu Mzanzibar Samia Suluhu Hasaan hakupata hata 20% bali Tume ndo imechakachua matokeo, sasa wameona aibu. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ya Tanzania, imefuta Matokeo ya Samia Suluhu ya 29.10.2025 kwenye Mtandao wao ili kuondoa Ushahidi. Sasa hakuna...
  5. K

    PostGE2025 Tume ya Jaji Chande ilikuwa upigaji tu

    Yaani tume imekaa na kupendekeza kwamba waunde tume nyingine. Muundo ni uke ule baada ya kula pesa za posho na ripoti imefichwa. Na hawa watasema iundwe tume nyingine
  6. Staki kuamini yakuwa Tume ya Chande haikumshauri, rais awatibu marejeruhi wa risasi za 29/10/2025 mpaka wajitokeze leo na kulia lia hadharani.

    Ile ripoti kama haikumshauri mh rais na serikali yake, iwatibu wa majeruhi waliojeuliwa tarehe 25/10/2025, basi ile haikuwa tume ulikuwa ni "ushuzi" tu ulioundwa kupoteza muda wa watanzania. Nimemwaga machozi baada ya kukutana na clip ya mtoto Anger kule the chanzo mtoto akilalamika kuanza...
  7. Prof Lwaitama: Tume za kuchunguza Oktoba 29 ni janja janja tu

    Mchambuzi wa masuala ya siasa na kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Profesa Azaveli Lwaitama, amezitaja tume zilizoundwa kuchunguza matukio ya Oktoba 29, 2025, kuwa ni “mambo ya ujanja ujanja”, akidai kuwa zina lengo la kupunguza hasira za wananchi na kurejesha matumaini kwa...
  8. Tuwe na subira,tungoje kwanza tume zimalize kazi zake,ndipo tuanze kulaumu.

    Watanzania wa mrengo ule,wamekuwa wakitupa lawama sana kwa serekali yetu tukufu,juu ya uwajibikaji wake juu ya yale yalitokea 2025 Oktober, At the same time vipo vyombo mahsusi ambavyo bado vinashughulikia suala hili kwa kina na umakini mkubwa katika kupata last solution of the matter...
  9. Hata Netanyahu analia kaibiwa kura, kumbe madai ya tume huru hapa ni kiini macho tu

    HAta Israel hawana tume ya uchaguzi inayoaminika kwa wagombea wote. Netanyahu analalama kuwa waarabu wamemuibia kura. Kule Marekani Trump na Biden wote kwa nyakati tofauti walilia na tume yao ya uchaguzi. Kule Kenya Raila na Uhuru waliliaga na tume yao. Hapa kwetu tunauana eti kupata tume...
  10. Hizi teka teka na kamatwa kamatwa ni hatari sana kwa CHADEMA, nina uhakika hii tume itawataja live na chama kitafutwa take my word

    Kutekwa kwa Twaha Mwaipaya, na kukamatwa kwa John pumbafu na viongozi wote wa CHADEMA hii.ni hatari kwa chama hicho. Lasivyo CHADEMA utafuatwa soon
  11. Kesi ya Pambalu ihitimishe uchunguzi unaofanywa na tume iliyoundwa kuchunguza tukio hilo

    Jeshi la polisi limeonesha linao uwezo wa kugundua chanzo cha vurugu zilizotokea wakati wa uchaguzi, hivyo hakuna sababu kuendelea na uchunguzi unaofanywa na tume iliyoundwa kuchunguza tukio hilo.
  12. Tarimba: Wana Kinondoni Tujitokeze Kutoa Ushahidi Ili Waliohusika Wachukuliwe Hatua

    Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Jijini Dar es Salaam Mhe Abbas Tarimba amewataka wananchi wa wilaya Kinondoni kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi wao kwa Tume ya Jaji Lila ambayo kwa sasa inapokea maoni kutoka kwa Wananchi wa Wilaya hiyo kwa muda wa wiki moja Tume hiyo ya kimataifa inayoundwa na...
  13. Saikolojia ya Umma na Ripoti ya Jaji Chande: Je, Tume walitambua "Watu wa Itikadi" Ambao Hamna Pesa au Silaha Inayoweza Kuwanunua?

    Ndugu Wana-JamiiForums, Nimekuwa nikitafakari kwa kina kuhusu kiini cha matukio ya ghasia za Oktoba 29, 2025, na jinsi Ripoti ya Tume ya Jaji Mohamed Chande Othman ilivyofikia hitimisho lake. Ripoti ile inasisitiza kuwa yaliyotokea yalikuwa na uratibu, ufadhili wa fedha (Sh 10,000 hadi 50,000)...
  14. Q

    Tume ya Jinai ya maandamano ya 29/10 inaenda kutupatia Tanganyika

    Tume inaenda kuzua taharuki kubwa ambayo hatujawahi kuiona nchini ukiondoa ile ya uhujumu uchumi miaka ya 80. Belive me or not matokeo ya tume yanaenda kuzalisha vikundi vya uasi kama M23 vitakavyopambana na serikali kudai Tanganyika. Tume haitaangalia wewe ni mpinzani hasa Chadema au wewe ni...
  15. Wananchi Wa Ubungo Wahamasishana Kutoa Ushahidi Kwenye Tume ya Jaji Lila

    Wananchi wa Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es Salaam wamehamasishana kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi wao kwa Tume ya Uchunguzi wa vurugu na uvunjifu wa Amani kabla na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Soma pia: Jaji Lila Awaita Wananchi Wa Ilala Kutoa Ushahidi Kwa Tume Ya Uchunguzi Wa...
  16. E

    Msando Aonya Wanaokataza Watu Kutoa Ushahidi Kwa Tume ya Jaji Lila

    Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Wakili Albert Msando amewataka wananchi wa Ubungo kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi wao kwa Tume ya Jaji Lila ambayo ipo katika Wilaya hiyo kwa muda wa wiki moja. Soma pia: Tume ya Jaji Lila yaanza kazi, yapewa hadidu tano za kuchunguza wahusika wa ghasia...
  17. M

    Mhe Nyansaho Aongoza Mkutano wa Saba wa Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushirikiano wa Ulinzi na Usalama kati ya Tanzania na Msumbiji

    Tanzania na Msumbiji Kuimarisha Usalama wa Mpaka na Maslahi ya Kimkakati ya Ukanda Na GULATONE MASIGA Mkutano wa Saba wa Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushirikiano wa Ulinzi na Usalama kati ya Tanzania na Msumbiji, uliofanyika Dar es Salaam tarehe 4–7 Oktoba 2026, una umuhimu unaozidi masuala ya...
  18. THBUB yapokea maoni kwa Waombaji Nafasi ya Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti, Makamishna na Makamishna Wasaidizi

    TANGAZO LA KUPOKEA MAONI KUHUSU WAOMBAJI WA NAFASI YA MWENYEKITI, MAKAMU MWENYEKITI, MAKAMISHNA NA MAKAMISHNA WASAIDIZI WA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA Kamati ya Uteuzi iliyoanzishwa kwa mujibu wa Ibara ya 129 (4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, ilitangaza kupitia...
  19. Uwezi amini, Bakile siku ya 29/10/2025,alitoka ukonga mpaka ubungo aliona tu ofisi ya mtendaji ikiingia,aliona watu wamelala barabarani akajua wamepum

    Uandishi wa habari, wa nchiii aise aise aise aise Bakile siku ya uchaguzi alitoka barabarani kutoka ukonga banana, mpaka ubungo, alishuhudia ofisi ya mtendaji ikiweka moto tu hakuona kitu kingine. Alipoulizwa hakuona vijana waliouawa, akajibu pengine aliwaona lakini yeye aliona watu wamelala...
  20. R

    Mwenye waraka wa Chadema kuhusu Tume ya Lioa anisaisie hapa

    Dr. Rugemeleza Mwanasheria Mkuu wa Chadema alitoa msimamo wa CHADEMA kuhusu Tume ya Lila. Naomba aniwekee hapa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…