Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 28 wa Mwaka wa Tume za Uchaguzi za Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (ECF-SADC) utakaofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 23 Novemba, 2026...
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) nchini Kenya haitalazimika tena kupeperusha moja kwa moja matokeo ya vituo vya kupigia kura baada ya Bunge kupitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi, 2024.
Muswada huo, uliopitishwa na Bunge la Taifa Oktoba 22, umeondoa kipengele cha kisheria...
Salva Kiir Mayardit, Rais wa Sudan Kusini, amembadilisha Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, ikiwa zimesalia takribani miezi mitatu kabla ya uchaguzi mkuu wa kwanza nchini humo tangu kupata uhuru mwaka 2011.
Taarifa hiyo ililosomwa Septemba 15 na chombo cha habari kinachomilikiwa na serikali...
Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Othman Masoud amesema mamlaka makubwa aliyonayo Rais yanaweza kuondoa mfumo wa checks and balances unaohitajika kuhakikisha uwajibikaji. Amesema Rais anateua karibu kila mtu, hali inayofanya maamuzi mengi kutegemea zaidi uamuzi binafsi wa Rais (discretion)...
Mnalalamika nini? Mnasema tume imeundwa kinyume na katiba ya ya JMT kwa kuwa haikufuata matakwa ya ibara ya 74.
Mkashiriki uchaguzi ambao mlitambua hauko huru. Mpaka Ayatollah wa ujiji akashindwa ubunge na mtubambae hajui Hansard ni kitu gani.
Leo mnalalamika nini? Mlidhania Chadema wao ni...
Mnalalamika nini? Mnasema tume imeundwa kinyume na katiba ya ya JMT kwa kuwa haikufuata matakwa ya ibara ya 74.
Mkashiriki uchaguzi ambao mlitambua hauko huru. Mpaka Ayatollah wa ujiji akashindwa ubunge na mtubambae hajui Hansard ni kitu gani.
Leo mnalalamika nini? Mlidhania Chadema wao ni...
Kwa hali ile ya siku ya uchaguzi sio rahisi kuwa zaidi ya asilimia 90 ya wapiga kura walijitokeza na mshindi kupata hizo asilimia 97%.
Mwandishi: Kwahiyo matokeo yale ni ya uongo.
Warioba: Ndio.
Serikali ya Ivory Coast imevunja Tume Huru ya Uchaguzi (CEI) baada ya malalamiko ya muda mrefu na kutoka kwa wapinzani kuhusu jinsi chombo hicho kinavyoendesha chaguzi nchini humo.
Hayo yamesemwa na msemaji wa serikali, Amadou Coulibaly, siku ya Jumatano. Coulibaly aliuambia mkutano na...
Anaandika Jebra Kambole
AfCHPR imesema ibara ya 74 (12) Ya Katiba ya Tz na Ibara ya 119(13) ya Katiba ya Zanz zinakiuka ibara ya 3(2) na 7(1)(a) ya Mkataba wa ACHPR kwa sababu ibara hizo zinakataza kufungua kesi ya kupinga ujinga wa INEC na ZEC.
Tunashukuru kuwa kwenye Timu ya Mawakili wa kesi...
Wagombea Ubunge wa Jimbo la Peramiho kutoka Vyama Vya Siasa 14 NLD, AAFP, MAKINI, UMD, UPDP, DP, CCK, TLP, UDP, SAU, NCCR MAGEUZI, ADA TADEA na ADC vilivyosajiliwa kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa sura ya 258, kwa umoja wao wameamua kuja na tamko la pamoja kuhusiana na mwenendo wa...
Zimekuwepo tetesi huko nchi Zambia kuwa tume ya uchaguzi ya Taifa hilo Iko TANZANIA kujifunza namna za kufanya chaguzi
ECZ imekanusha vikali kuwa haina lolote la kujifunza kutoka TANZANIA kuhusu mambo ya uchaguzi
Zambia wanatarajia kufanya chaguzi mwezi August
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imeanza utekelezaji wa zoezi la kuteketeza nyaraka za Uchaguzi Mkuu uliofanyia Oktoba 29, 2025 ambapo zoezi hilo limeanzia Kisiwa cha Pemba na baadae Kisiwa cha Unguja.
Akizungumza kuhusu zoezi hilo Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, Jaji George Joseph...
CHAMA CHA ACT WAZALENDO TUNALAANI NA KUPINGA MPANGO WA ZEC WA KUCHOMA USHAHIDI WA WIZI WA KURA
ZANZIBAR – 4 FEBRUARI, 2026 – Wakati timu yetu ya Wanasheria ikiwa mbele ya Mahakama Kuu kuomba Kukagua na Kupata nyaraka muhimu za uchaguzi (Application for Discovery and Inspection), Tume ya...
Wakuu,
Masaa baada ya Rais Yoweri Museveni kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa Januari 15 kwa kupata asilimia 71.65 ya kura, kiongozi wa upinzani Bobi Wine ameweka video fupi kwenye X ikidai kuonyesha maafisa wa Tume ya Uchaguzi wakiwa wamevaa vesti za NRM wakiandaa karatasi za kupigia kura kwa...
Siku mbili kabla ya Uchaguzi nchini Uganda, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi nchini humo Simon Byabakama amefichua kwamba amepokea vitisho juu ya kutangaza mshindi katika uchaguzi huo. Byabakama alikuwa akizungumza na BBC mara baada ya kumaliza kutoa taarifa na vielelezo vingine juu ya zoezi la...
Tume ya uchaguzi wa Tanzania iwe na viongozi wote toka Marekani na Ulaya tu. Wasimamizi wa uchaguzi Kuanzia ngazi ya madiwani, wabunge, kura za Urais viongozi wa kuhesabu kura na kutangaza matokeo rasmi wawe wanatoka Marekani na Ulaya(Uk, Germany).
Mkuu wa Tume ya uchaguzi awe mzungu...
Auae kwa upanga atauawa kwa upanga pia. Hatutaki kusikia kina Makonda wakilalamika kuwa Refarii kainyima Taifa stars penati.
Mpira umeisha kwa Amani. Kazi na utu.
Hiki ndiyo ninachokiona mimi,tukubali kuikumbatia CCM ambayo inafanya kila aina ya hila ili iendelee kubaki madarakani huku watu wachache wakinufaika na rasilimali za inchi kwa mgongo wa Amani, au tukubali kuingiza nchi kwenye machafuko yanayokuja mbele yetu kuanzia Udini,Utanganyika na...
Kila mara ninapomsikiliza rais Samia, naona wazi ana uhakika kabisa kuwa alipigiwa kura kwa asilimia 97. Haoneshi kuwa na wasiwasi wala mashaka. Japo ni kweli kuna maeneo vurugu zilitokea katika vituo vya kupigia kura. Na ni kweli mabox ya kura yaliharibiwa.
Je, tume ilipaswa kufanya nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.