tukumbushane

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Dictator

    Vita dhidi ya jamii ya LGBTQ+ nchini, ugumu uko wapi? Tukumbushane....

    Inaonekana ni ruksa kulingana na hotuba ya boss kipindi fulani huko nyuma. Lakini kwa nini? Labda mikataba inayosainiwa na viongozi wetu huko juu? Ila wanakaa kama hawajui chanzo kiko wapi🤔. Wanasema ustaharabu mpya, wafanyane wakubwa kwa wakubwa. #Haki za binadamu
  2. Ngwathra

    Wahenga tukumbushane muziki wa kale

    Wakati tunapata hizi burudani kina mwegulue walikua wanachunga ng'ombe na sasa nyota zinawang'aria ile mbaya Tupate burudani na ujumbe pamoja wkt tunajisahaulisha kidogo drama za masisiemu na chawa wake Karibu...
  3. R

    Nakumbuka EDMUND rice sinon, njoo tukumbushane tuliopita huko

    Habari za mda huu waungwana.. Nilisoma Edmund rice sinon arusha,enzi zile za head master Frank na academic master yassin,we ogopa hivyo vichwa jamaa alikuwa usafiri wake ni baiskel na kagari kamoja kamechoka land cruiser huyu head master alikuwa hana show off zake vibukuta na buti...
  4. THE FIRST BORN

    Tukumbushane hadidu rejea za tume ya Jaji Lila.

    Nimekaa nikawaza hapa tu lengo la kumvua uanachama Nchimbi ni lipi? Nikiwa sijapata jibu la swali hilo mara gafla akili ikaniambia rejelea Hadidu rejea za Tume ya Jaji Lila, wakuu moja ya hadidu rejea ya Msingi na ya kwanza kabisa iliyopewa Tume ya Jaji Lila..Ni kina nani wahusika au...
  5. instinct desire

    Wale wote tuliopitia vyuo vya Ualimu TTC miaka hiyo tukumbushane tamu na chungu za vyuo vya TTC

    TAMU: Mimi binafsi chuo cha ualimu kilinijengea maadili ambayo mpaka sasa yananifanya niaminike na jamii inayonizunguka. Asante sana wakufunzi wangu. Chungu; vishawishi vya kimapenzi aisee! ingawa ni strictly prohibited vyuoni, hii ilitufanya tumalize chuo bila UTI na UKIMWI. KARIBUNI
  6. Mad Max

    Kuajiriwa kuna muda unadharirika sana: Jana mimi wa kupangishwa foleni Mnazi Mmoja na HR anipe Elfu 50!

    Sawa nina njaa kali. Ila jana nimejitafakari sana, Kati ya kuendekeza njaa au kulinda dignity. Kwanza tumeenda Mnazi Mmoja saa 1 kamili tupo pale, mgeni rasmi RC wa Jiji akafika saa 3 Asubuhi. Tukaanza kupita na mabango yenye jumbe mbalimbali mbele yake. Saa 8 HR akatuita kwenye gari...
  7. R

    Tukumbushane: kufungiwa JF kunaisha lini?

    Nilitegemea hili la uchaguzi , kufungiwa internet na kufunguliwa litainasua JF.... Hii ni mpaka lini?
  8. Msanii

    Tukumbushane: Dhima, Dira na Majukumu ya JWTZ

    Niwatakie siku yenye baraka tele
  9. Binti wa zamani

    Watu tunajisahau sana, mambo gani ya msingi inabidi tukumbushane July hii?

    2025 mambo yamekua mengi sana, haya tukumbushane. Naanza: Tafuta hela nyingine zote ni stori tu. Acha roho mbaya, chochote kibaya utakachofanya kwa mwingine kitakurudia. Usikimbie wanao na majukumu ya malezi kisa umegombana na mzazi mwenzako. Usiendekeze ulevi (pombe, mihadarati, ngono...
  10. N'yadikwa

    Unakumbuka chata gani ukiwa sekondari!? Nakumbuka hizi!

    Nikiwa 'O' Level nazikumbuka chata hizi: 1. Remember Kidiru 2. Akajesus 3. Chid 'B' Chid Boy 4. Mwakubombaki 'wagambo wanaruka' 5. Simple 'F' 6. Watengwa 7. Remember Maguhu Jr. 8. Mseminari 9. Mzee wa zamu 10. T. T. Okocha 11. Second Master Kivuli 12. Jay 'S' wa Bongo 13. Lafayetta Clan 14...
  11. Fbn

    Naombeni tukumbushane kuna waziri wa nishati alitoa maelezo Tanesco kusambaza nyaya nchini ya ardhi sio misitimu.

    Tanesco wanaproject nyingi kama za kununua umeme ethiopia na mengine. Kuna project ilitokaga na waziri fulani sikumbuki alikazia kuwa dar umeme usambazwe chini ya ardhi. Sasa ni kawa na waza hivi yale mafuriko ya dar,mabomba ya maji yana pasuka ovyo. Kwa mvua hizi DAR mngechezea shoti za...
  12. Faana

    Picha: Wanaume na vijana wa kiume tukumbushane

    Wanaume, ni kumbusho tu—baadhi ya shule zimefungwa, na zingine zinafungwa kesho, na miongoni mwa wasichana hawa wanaweza kuonekana wakubwa, walioiva, wenye kuvutia na kutetema, lakini msiwachanganye. Wanakua haraka na wanajua mengi, lakini kwa sheria, bado ni wanafunzi na watoto. Jiepusheni...
  13. mbozimbozi kumwitu

    Tukumbushane kidogo tu

    Mathematics is very sweet if you known to calculate,recall this for moment.
  14. C

    Tukumbushane Vipindi na Watangazaji Bora katika TV kwa Miaka ya nyuma

  15. Pdidy

    TUKUMBUSHANE KIPIGO CHA REFA ISRAEL MKONGO VS STEPHEN MWASIKA(AZAM VS YANGA) KILA JAMBO LINAMWISHOOOOO

    Ilikuwa inaitwa Vodacom LGE enzi hizo kama haujazaliwa google Mechi n Azam vs YANGA REfa Israel MKONGO alionyesha wazi kuipendelea Azam fc Kijana wangu Stephen mwasika akiwa katika ya wachezaji alimrukia Refa akampa ndonga ya maana Refa akashtuka akahamaki alienipiga katokea wapi kumbe...
  16. Braza Kede

    Tukumbushane maisha yalivyokuwa kabla ARV hazijaanza kutolewa

    - Hizi ARV zimeanza kutolewa kwenye mwaka 2003 au 2004 hapa wenye kumbukumbu sahihi mtanirekebisha. kabla ya hapo hapakuwa na dawa za kufubaza. - Ugonjwa huu uliogopesha sana kiasi ambacho jamii haikuwa tayari kuuzungumzia. kimya kikuu kilitanda bila shaka kila mmoja akiomba kwa mola wake...
  17. K

    Tukumbushane Vitabu vya shule Darasa la kwanza,la pili,1977

    Huyu ni Baba,Baba ana Ng'ombe, Ng'ombe wake ni Mweusi! Baba anasema, kimbia ng'ombe,kimbia upesi. Baba ana Njaa. Bado vipo wakuu?
  18. puker

    Wazee wa Kubet njoo tukumbushane mbinu tulizotumia lakini Mhindi Bado AKATUCHAPA!

    Betting ni kitu kitu addiction ya ajabu sana. Kila siku tunachezea kichapo lakini Bado hatukomi. Sasa Kuna Ile time, umeshachambua Games lkn Hali Iko pale pale, unaanza kwenda prediction zako😁, ukiamini pengine mambo yanaweza kuwa tofauti🍾... twende kazi ngoja nitoe zangu😋 Mm nilishawah...
  19. Mtoa Taarifa

    Hivi majibu ya Postmortem ya Kifo cha Mzee Ali Kibao yameishia wapi? Tuliambiwa yanatoka baada ya Saa 24 tu mbona kimya?

    Ni jambo la kusikitisha kuona kuwa mwezi mzima umepita tangu mauaji ya kikatili ya Mzee Ali Kibao, lakini mamlaka bado zimeendelea kuwa kimya kuhusu ripoti ya uchunguzi wa kifo chake. Awali, ziliahidi kwamba matokeo ya uchunguzi yangewekwa wazi ndani ya masaa machache, lakini hadi sasa hakuna...
  20. Loading failed

    Wahenga: Tukumbushane mtindo wa maisha ya zamani na zana zilizokuwa zinatumika

    habari. Jukwaa hili ni kwaajili ya kukumbushana maisha ya zamani, zana zilizotumika zamani michezo na masomo ya zamani na mengineyo yote ili vizazi vijavyo viweze kujifunza. Karibuni nyote.
Back
Top Bottom