tuendelee

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwaka 2025 nawakumbusha shetani na mali zake anaaibisha, anaumiza, anatesa. Vijana tuendelee kuyatafuta maisha kwa jasho halali

    Hakuna vijana wanaopitia Magumu kama Hawa wa Dar , Vijana wa Dar wanataka mafanikio ya haraka sana, wanaumizwa wanapoona watu waliwafaham miezi michache nyuma wakiwa hawana kitu, sasa wanawaona Mitandaoni wakiwa wenye Mali, Magari mazuri, majumba mazuri. Itakufaa nini kua Utajiri wa haraka...
  2. Wanaume tuendelee kuandika majina ya Mama kwenye mali zetu.

    Kama ulidhani mali zako zitakuwa salama ukiziandika kwa majina ya mama yako au ndugu mwingine, basi fikiria upya. Kuna madhara mengi unayoweza kuyapata ikiwepo kupoteza uhalali wa umiliki wa mali hizo. -------------------------------------------...
  3. Je tuamini katika busara za Mwenyekiti Mbowe au tuamini katika ujasiri na misingi thabiti anayo amini Tundu lissu?

    Habari Jf , ujasiri,upambanaji , uzalendo na uwepo wa mwanasiasa Tundu lissu unafanya wapenda mabadiliko kuanza kufikiria sana utendaji kazi wa Mbowe hasa ukichukulia ni Zaidi ya miaka yuko madarakani. Kuna tunaoamini hatuwezi kuitoa CCM madarakani kwa Busara na utendaji kazi wa Mzee Mbowe...
  4. E

    Tuendelee kula nyama ziko chini

  5. Vipi tuendelee Kuchekana baada ya Matokeo ya Leo au sasa kila Mtu ashike Adabu zake na ajue kuwa Mpira huwa Unadunda?

    Yanga SC Kamfunga Simba SC Simba SC Kamfunga Azam FC Azam FC Kamfunga Yanga SC Imeisha hiyo.
  6. R

    Katikati ya vitendo viovu, mauaji na utekaji, tuendelee kumsifu na kumshukuru Mungu

    Salaam, shalom!! Nitumie fursa hii kuwatia moyo ndugu zangu Watanzania wenzangu kuwa, haya tunayoyapitia ni ya Muda tu, kama ambavyo Kuna usiku mnene, Giza Totoro, tukumbuke kuwa Giza ni la muda tu, KUTAPAMBAZUKA na Nuru itaonekana tena, Kodi zetu ndizo zinatumika kuwalipa waovu Kuteka...
  7. Tuendelee kuwaenzi wafadhili toka Saudia, Kuwait & Iran

    Wafadhili hawa wamefanya mkubwa nchini, 1. Visima vya maji, 2. Ufadhili wa masomo (ngazi ya uzamili na uzamivu-Master na PhD), 3. Nyumba za Ibada na Ujenzi wa barabara ya Dar-Rufiji-Lindi-Mtwara. 4. Tende.
  8. Ili Kupata Maendeleo ya Kweli, Je Watanzania Tujifunze Kuukubali Ukweli wa Tatizo, Ufumbuzi wa Tatizo au Tuendelee na Funika Kombe Mwanaharamu Apite?.

    Wanabodi, Kama kawa, hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la leo, Ili kupata maendeleo ya kweli, Je Watanzania tujifunze kuukubali ukweli wa tatizo, tutafute ufumbuzi wa kudumu wa tatizo husika, au tuendelee na huu mtindo wetu wa kufunika tuu kombe mwanaharamu apite?. Tutakuwa...
  9. Makolo wenzangu tukutane hapa, tuendelee kujadiri jezi za Yanga au tujipange kuwakabili

    Kaizer Chief kafa 4 bila kwao, naogopa tuendelee kujadili jezi au tujadili namna ya kuwazuia wasitudhalilishe?
  10. Je tuendelee kuamini katika kudanganywa ?

    Je tuendelee kuamini Upinzani haiwezi kuongoza Nchi ? Je tuendelee kuamini miradi ya hayati Magufuli haina manufaa kwa taifa kama tulivyoambiwa awali na sasa tunaambiwa kulikuwa na mkono wa ma Rais wa nyuma ? Je tuendelee kuamini CCM inatuongoza katika njia sahihi kama wanavyodai ? Je...
  11. Tuendelee kutafuta pesa wakuu

    Jana nilienda kutazama fainal uefa pale kuku kuku. Fainali ikiendelea na mimi niliendelea kuburudika, bill ikaja hii. Anyway tutafute pesa kwa kasi sana
  12. Mpenzi wangu anakula sana kupitiliza, nimechoka hii tabia yake...

    Tumekua wachumba kwa muda na tulipanga kufunga ndoa lakini nimeshindwa aiseee. Kwanza kila tukitoka kwenda batani hajawahi kula kwa stara, yaani hajiheshimu kabisa kwenye kula mbwa huyu. Jana tumetoka out nikaagiza kongoro yeye akaagiza kuku mzima, minikajua atakula kiasi then abaki tunamfunga...
  13. Akina Makonda Wanatulazimisha Tuendelee Kutafakari Nafasi za Wakuu wa Wilaya, Mikoa: Tunawahitaji Kweli?

    Watanzania hawawahitaji wakuu wa mikoa na wilaya, na walilisema hili hadharani wakati Tume ya Mabadiliko ya Katiba, maarufu kama Tume ya Warioba, ilipotembea nchi nzima kwa ajili ya kukusanya maoni ya wananchi kuhusu mfumo wa kiutawala wanaoutaka, na tume hiyo ikayaheshimu mawazo hayo kwa...
  14. K

    Serikali yashindwa kusaini mradi wa LNG kwa miezi 9 sasa bila sababu. Je tuendelee kumlaumu Hayati Magufuli?

    Wadau kama link inavyosema hapo chini. Nini tatizo? === Tanzania is delaying key agreements needed to realize a $42 billion liquefied natural gas plant, slowing a project that developers Equinor ASA and Shell Plc warn has limited time to become a reality before demand for fossil fuels begins...
  15. Media ni Mhimili Muhimu kama ile mitatu ila ni dhaifu kiuchumi. Je, imefika wakati wapewe Ruzuku au iachwe ipambane na hali yake?

    Wanabodi Wiki hii nzima, nimekuwa jijini Dodoma kuhudhuria mikutano 3 muhimu ya mambo ya habari. Tulianza na Mkutano Mkuu wa 13, wa Mwaka wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, Mgeni rasmi ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Dotto Biteko. Ukaja Mkutano wa Baraza la Habari Tanzania...
  16. Rais Samia mpaka sasa hujaanzisha mradi wowote wa kimkakati. Je, tuendelee kusubiri?

    Nawatakia heri wafanyakazi wote. Mh. Rais nachukua fursa hii kukumbusha tu tangu uingie madarakani baada ya kifo cha Rais John Pombe Magufuli haujaanzisha mradi wowote mkubwa wa kimkakati. Kazi inaendelea kukamilisha miradi mikubwa ya kimkakati iliyoanzishwa na marehemu Magufuli ambayo ni...
  17. Ramadhan imekwisha, tuendelee na ujenzi wa taifa

    Pasaka imeenda Ramadhan imekwisha Sasa turudi kwenye ujenzi wa Taifa. Kuna waliokuwa wanafanya mashindano kulisha iftar, iftar ilikuwa sio Ibada Tena bali mashindano. Uvaaji wa Baragashia na kanzu ukawa fasheni kwa haraka haraka ungeingia tanzania kama huijui ungesema upo kwenye Taifa la ki...
  18. G

    Wafanyabiashara ni wengi kuliko waajiriwa lakini watanzania wanaoishi angalau maisha standard waajiriwa ni wengi, Tuendelee kuponda ajira?

    Ni ukweli usiopingika kwamba wafanyabiashara wana pesa nyingi, hata ukiangalia top 20 ya matajiri hapa Tz utawakuta wafanyabiashara wamejaa wao hasa wahindi , wasarabu na wasomali, hata baada ya hapo kuna watanzania wenye asili zetu wanaofanya biasbara. Lakini katika kigezo cha idadi ya...
  19. B

    Umri miaka 91, Paul Biya Mitano mingine: tuendelee kujifunza

    Ama kweli madaraka ni matamu, siyo bure. Kila akaliaye kiti kutoka hataki: Zitaibuliwa sababu za kila rangi: hayupo mwingine hadi kuwa hatoki kwa sababu kuna wanaotaka atoke. Kumbe kwanini Museveni, Kagame, Putin, Xi, Kim au wale wengine wangali wamekomaa? Kwamba kama ndoa, hadi kifo...
  20. GDP ya Tanzania ni Dolla Billioni 86 tuendelee kuongeza bidii ya kufanya kazi

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…