Wakati fulani nilipanda dala dala moja wa abiria akamwambia kondakta nirudishie chenchi yangu (50) niwaze mambo mengine.
Maana yake ni kwamba yule abiria alikua muda wote anaiwazi hio 50
Ni kiasi kidogo sana ila illi kuwa inampa shida ya kuzingatia muda wote kwamba konda hajanirudishia hela...
Wanabodi,
Hii ni Taarifa muhimu kutoka TLS.
Nime C& P
TAARIFA KWA UMMA
Baraza la Uongozi la Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) linaendelea kufuatilia kwa ukaribu shauri la maombi namba 4 ya mwaka 2026...
baraza
haki
heshima
imara
katika
kudai
kudai haki
kusimama
kusimamia
mawakili
mwabukusi
na rais
nchini
rais
rais wa tls
tls
tuendelee
uongozi
utu
wakili
wito
wote
Hashimu Arafat Makota, kinyozi katika Manispaa ya Sumbawanga, amesema ujio wa Mwenge wa Uhuru umeongeza fursa za kiuchumi kwa wafanyabiashara kutokana na ongezeko la watu, wakiwemo wageni, hali iliyochochea kuongezeka kwa wateja na kipato chao.
Makota amepinga wanaobeza Mwenge wa Uhuru kwa...
alama
baraka
faraja
maendeleo
maendeleo ya tanzania
mkoani
mwenge
mwenge wa uhuru
rukwa
sumbawanga
tanzania
tuendelee
uhuru
umoja
vijana
wafanyabiashara
Waumini hawamchangii mwanadamu, wanamchangia Mungu na huduma yake.
Mwanadamu akizila na kununulia kobasi na kuongeza wanawake, sisi hatuhusiki.
RITA naomba muende na Minaaninii mingine kufanya ukaguzi.
Wadau nawaomba tuendelee kufatilia defence evidence wa mh. Lissu hizi kiki za akina nchimbi na genge lake la wafiraji na watekaji huko ccm tuachane nao maana wote ni birds of the same feathers who flock together.
Mtu Yuko ndani ya gari anakuambia tuendelee kusukuma tukiwa ndani litasogea TU . Tunashangilia tuanaacha kuliondoa gari bovu tuingiingize gari jipya lenye uwezo wa kutuvusha hapa .
Tunaamini divai mpya kwenye kiriba kile kile Cha zamani italeta mabadiliko yoyote
Gari ilipopata ajali huyu...
Love is beutiful my people
Tusiwachoke wake zetu regard ya mapungufu yao, tuendelee kuwapenda kwa dhati na tujitahidi kuwapa dozi kisawa sawa kama umemuoa jana
"Hebu tafakari:
Mwanasiasa anasimama mbele ya wafuasi wake na kuanza kuwaponda viongozi wa Serikali kuwa hawana akili au ni wajinga, akidai hawawezi kuleta maendeleo; wakati huo huo, huko anakotoka ameshindwa hata kuwahamasisha na kuwawezesha vijana wa chama chake walau kujiajiri. Katika...
Kuna binti mmoja, ni mke wa mtu, lakini ananiumiza kichwa sana siku hizi. Mume wake alimfungulia duka kubwa tu awe anakuwa bize, na kwa kuwa hata mimi nina duka katika mitaa hiyo, tulianza kuzoeana kama majirani. Kila nilipopita na kumuona, sikusita kumsalimia na mara nyingi tulikuwa tunapiga...
Hamjambo wote!
1. Turudi kwenye majukwaa, vilinge na vijiwe vyetu.
2. Matusi tupunguze maana kuacha kabisa kuna watu najua hawataweza.
3. Uzushi, bullying, kejeli, kuvuana nguo tuache.
4. Ukosoaji uendelee sambamba na suluhu kwa Kila ukosoaji.
Haina maana kukosoa bila kutoa suluhu kwa kile...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Dunia kwa sasa si mahala salama kwa kuishi wakristo hili kila mtu anajuwa , basi tuwaombee sana wakristo wote hasa wa Nigeria, Lebanon, iran, mali, bukinafaso, na kwingine kote wanakowindwa na magaid ya kiislamu
Lakini pia tuwaombee watu...
Hatuna budi kuwapongeza GenZ kwa kufanikisha zoezi hili, ilikuwa huwezi kuongea chochote vijiweni zaidi ya simba na yanga au diamond na kondeboy leo ni tofati kabisa.
Kiuhalisia huwezi kuishi bila siasa, huwezi kuukuza mpira ukaiacha siasa inayoendesha huo mpira, kuwa mimi ni Simba damu damu...
....wala siasa safi. Tunahitaji uongozi bora pekee.
Fikra za kwamba ili tuendelee tunahitaji watu, ardhi, siasa safi.... hazina mashiko hivi sasa. Kama kitu chochote katika dunia hii, huchakaa na kufa. Tatizo watu kwa hulka yao hupenda kung'ang'ania.
WATU: Hapa hayati Nyerere alikusudia nchi...
Hivi ndivyo wapumbavu na watu wachache wapumbavu wanataka watu waishi, hakuna uwajibikaji
Utawasikia wapumbavu
"Halafu kulalamika lalamika maji ni kampeni za kuichonganisha serikali "sikivu" na wananchi wake.
Tuwakatae hawa wachonganishi hatutaki uvunjifu wa amani sisi hatujazoea"
Sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.