Trip hop (sometimes used synonymously with "downtempo") is a musical genre that originated in the early 1990s in the United Kingdom, especially Bristol. It has been described as "a fusion of hip hop and electronica until neither genre is recognizable", and may incorporate a range of styles, including funk, dub, soul, psychedelia, R&B, and house, as well as other forms of electronic music. Trip hop can be highly experimental.Deriving from later idioms of acid house, the term was first used by the British music media to describe the more experimental variant of breakbeat emerging from the Bristol sound scene in the early 1990s, which contained influences of soul, funk, and jazz. It was pioneered by acts like Massive Attack, Tricky, and Portishead. Trip hop achieved commercial success in the 1990s, and has been described as "Europe's alternative choice in the second half of the '90s".
Ninwakatu dasa wale single wote jf tunuane hii ikiwa n pamoja na walioachika ama kuachwa
Piaa baada ya kutakafakari hizi ajali za mara kwa mara nimeona n vyemq tukafurahi pamoja sehemu na ku enjoy pamoja haya maisha hayaeleweki hata lini utatangulia ama kumpata mwenzio
Kila aliendan ya ndoa...
Wakuu, kwema.
Mwezi iliopita, September, niliomba ushauri kuhusu hii njia ya Dar - Chato, kwenye Uzi huu: Wazoefu wa hii njia: Nina safari ya Dar - Kahama, sasa Nina Maswali hapa Msaada
Nilipata madini ya kutosha sana, kwenye ishu ya njia ya kupita na nini cha kuavoid. Shukrani.
Siku ya...
Salaam wakuu.
Kama heading inavyojieleza, kwa siku ya leo barabara haina msongamano kabisa hivyo kama una road trip yako na gari yako binafsi leo ilikua siku safi sana ya kutembea na kuipima mapafu chuma yako bila ya usumbufu wa manjagu.
Nawasilisha
In the wake of the tragedy, the Ministry of Education and Sports, alongside partner ministries, unveiled updated regulations aimed at curbing road carnage during school excursions.
Under the new SOPs, school trip approvals must be secured at least 21 days prior to departure, with copies...
Teachers and proprietors of private schools have raised concerns over the Ministry of Education and Sports' decision to suspend all school trips following a rise in road accidents, warning that the move could negatively affect learners under the new lower secondary competency-based curriculum...
Habari
“Matatizo unayatafuta mwenyewe kaka” nilipompa wazo hili jamaa yangu kuwa natafuta bajaji ya bei hiyo.. majibu yake yalikuwa hayo
Mwenye connection ya minada ya serikali ya bajaji na pikipiki zilizokamatwa na makosa mbali mbali kama na madawa na wenye vyombo wakavitelekeza kituoni...
Basi wakuu nikaenda Mtwara kutokea Dar na kurudi Dar. Trip ilikua ni kupunguza stress za huu mji, na haikua direct, nilienda kwa vituo vitatu jumla, na nilitumia Fit Hybrid.
Safari ilianzia Mlimani City Puma pale, nikaweka wese la 100k nikachomoka. Kwasababu ya mvua, AC almost ilikua off na...
A 31-year-old Miami influencer arrived in Zanzibar to celebrate her birthday and a surprise engagement. Seven days later, she was dead — and her fiancé's account of events has triggered a storm of disbelief from family, friends, and thousands online.
What began as a picture-perfect...
Travelling all over the world kumkingia Kifua mteuzi wake, ametumià mabilioni mangapi?
Kipi amekifanikisha cha kuwasaidia watanganyika? ( Maana wa zenji hawana shida , hela si zao).
Anajua kuwa anachota maji kwenye mtungi uliotoboka, lakini kwa vile kuna anazoa mahela, basi bora liende, mkono...
Kuanzia tarehe moja August taanza likizo ya mwezi mmoja, nimeplan kufanya road trip kuanzia Dar - Moshi - Arusha - Babati-Mara- mwanza-Geita-Kagera -Kigoma-Katavi-Sumbawanga-Mbeya-Songea-Mtwara-Lindi then Dar...
Kwa mdau anayejua changamoto yoyote kwenye hiyo root naomba anijuze ....
Kama kuna mtu anahitaji dereva wa kukodi kwa trip au safari basi naomba anijulishe..ni udereva wa muda trip tu naamnisha ukiwa umechoka au unahitaji kuenda sehemu yoyote ila unahitaji kusaidiwa katika kuendesha gari basi unaweza kunitaarifu.
MUHIMU.
Ninafanya part time jobs za udereva malipo ni...
Salam wadau.
Naomba kufaham Shirika la ndege lenye bei nafuu kwa trip ya Dar es Salaam kwenda Dubai. Shirika hilo likiwa na huduma ya VISA itapendeza zaidi.
Naomba kuwasilisha wadau
Hawa Wachina wamevurugwa.
Changan Auto wamekuja na Nevo E07 ambayo ni shapeshifter kama kwenye movie, ikimaanisha inaweza kua SUV na ukiamua kwa button moja tu inageuka inakua Pickup truck.
Hii chuma inakuja na options mbili, either full electric vehicle (EV) au range extender electric...
Habari wakuu.
Kwa wakazi na wenyeji wa Iringa, naomba kufahamishwa vivutio au sehemu ambazo zinavutia nje ya mji ambazo itakuwa day trip...namaanisha nitakwenda na kurudi kulala mjini.
Ninatanguliza shukrani.
Glenn
Poleni kwa hustling and bustling za mjini Dar.
Kuna hii "day trip" ya kwenda Bagamoyo unaweza kwenda na kujifunza vitu mbalimbali. Sio mbali sana, ni kilometa 70 kasoro kutokea Ubungo, na unaweza kwenda kwa usafiri wako (karibia masaa mawili kutokea Ubungo) au ukaenda kwa usafiri wa umma...
Dah leo nimekumbuka mbali sana. Mwaka 1997 nipo darasa la sita B shule ya Msingi jina kapuni.
Nilikuwa napenda sana somo la kiingereza. Mwalimu mkuu wa shule yetu ya Msingi ambayo of course ni shule ya Kayumba hizi Kayumba kongwe zenye kufundisha kwa kiswahili alinibatiza jina na kuniita "...
Salam wakuu.
Hii special kwa wakazi wa Dar na Pwani.
Najua mnakuaga busy sana, sana na kuna muda mnakosa ata muda wa kupumzisha akili na mwili, sababu ya muda na kipato kwa wengine.
Kuna hii Hiking Day trip ya kwenda Morogoro na kurudi, unaweza have some fun na uka relax sana mwili na akili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.