Mgombea wa nafasi ya Urais wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC), Issa Ali Mangungu, ameongoza katika uchaguzi uliofanyika leo, Novemba 24, 2026, baada ya kupata kura 17 kati ya 24 zilizopigwa.
Katika nafasi hiyo, Mangungu amemshinda Adv. Stephen Mosha aliyepata kura sita, huku...