tpbrc

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    Issa Mangungu ashinda Urais wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC)

    Mgombea wa nafasi ya Urais wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC), Issa Ali Mangungu, ameongoza katika uchaguzi uliofanyika leo, Novemba 24, 2026, baada ya kupata kura 17 kati ya 24 zilizopigwa. Katika nafasi hiyo, Mangungu amemshinda Adv. Stephen Mosha aliyepata kura sita, huku...
  2. Waufukweni

    Waziri Kabudi amteua Patrick Nyembera kuwa Mwenyekiti wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa nchini (TPBRC)

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi, amemteua mtangazaji wa Azam TV Patrick Nyembera kuwa Mwenyekiti wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa nchini (TPBRC), baada ya kamati ya awali kumaliza muda wake. Nyembera ataiongoza Kamati hiyo ya muda ya TPBRC, yenye jumla...
  3. DogoWaNjombe

    Waziri Prof. Kabudi aufuta Uongozi wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC) kutokana na tuhuma mbalimbali

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi ameufuta Uongozi wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC) baada ya uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zilizowasilishwa na wadau wa mchezo wa ngumi. Taarifa kutoka Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imeeleza...
  4. BARD AI

    TPBRC: Mandonga hajafungiwa kupigana

    Rais wa Kamisheni inayosimamia ngumi za kulipwa Tanzania (TPBRC) Chaulembo Palasa amesema Bondia Mtanzania Karim Mandonga hajafungiwa kama inavyoripotiwa na baadhi ya Vyombo vya Habari bali sheria za ngumi nchini zinamtaka Bondia yoyote atayepoteza pambano kwa KO au TKO kabla ya kurudi ulingoni...
Back
Top Bottom