tetesi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Benchi la ufundi Simba lapigwa chini

    Habari ambazo hazijathibitishwa ni kwamba benchi la ufundi limepigwa chini, kama ni kweli ni sawa tu ingawa Hitimana kaonewa Mzungu keshachachawa hajui tena hata kufanya sub na mapenzi binafsi kwa wachezaji kama wawa yemepitiliza Matola kwa kweli kama tunayoyasikia ni kweli basi ulaaniwe sana...
  2. B

    Tetesi: Hospitali ya Seliani Arusha inayomilikiwa na Kanisa yazuia mwili wa Marehemu wakidai walipwe fedha za matibabu cash

    Nimepata Taarifa kutoka kwa familia moja ambao wameoa huko Mkoani Arusha zikisema walipata msiba wa Mkwe zaidi ya wiki Sasa lakini mazishi hayajafanyika kwa sababu Hospitali inadai haitotoa mwili hadi walipwe deni la matibabu. Taarifa zinadai wanafamilia wamepeleka zaidi ya nusu ya fedha na hati...
  3. N

    Humphrey Polepole adaiwa na Mwana-CCM kushiriki kuhujumu Katiba ili Samia asiwe Rais

    Hii ni kwamujibu wa mjumbe wa kamati kuu ya Chama kwamba ndugu yetu mzee wa darasa la uongozi na genge lake walijaribu kuzuia mafuriko kwa mikono, waliratibu mbinu zote ili Samia asiwe Rais lakini wakashindwa, kwa hali hii natamka rasmi kwamba sisi vijana wa CCM hatumtaki Polepole kwenye chama...
  4. Pangua ya Baraza la Mawaziri yanukia

    Uteuzi wa Dk Stergomena Tax kuwa mbunge, unaibua hisia kama ni mwanzo wa Rais Samia Suluhu Hassan kupangua Baraza la Mawaziri. Dk Stergomena, mwanamke mwenye heshima kubwa kwenye uga wa kidiplomasia, anaingia bungeni kipindi ambacho Taifa halina Waziri wa Ulinzi kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa...
  5. Jezi mpya za Simba kwa msimu wa 2021/22 zavuja

    Nimeziona jezi za ugenini bado sijafanikiwa kupata ile ya nyumbani. Unazipa alama ngapi chini ya 10?
  6. Cristiano Ronaldo kuhamia Manchester City

    Habari zinazozunguka mtandaoni hivi sasa ni kwamba mshambuliaji mahiri wa ureno na klabu ya Juventus anaweza kuhamia klabu ya Manchester City kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili nchini Uingereza. Inasemekana wakala wa mshambuliaji huyo Jorge Mendes anajaribu kuangalia uwezekano wa kufanya...
  7. Luis Miquissone kutambulishwa Yanga kama mchezaji wao mpya

    Habari kutoka chanzo cha ndani GSM ni muda wowote kuanzia kesho Luis Miquissone atatambulishwa kama mchezaji mpya wa kigeni kwa klabu ya Yanga. NB: Yanga wanafanya mambo kwa pupa na itawatokea puani!
  8. Walace Karia akubaliana na ombi la Simba SC kuongeza Idadi ya Wachezaji wa Kigeni kufikia 12

    Kuna tetesi za chini ya kapeni zinazo sema bodi ya wakurugenzi ilipokaa kikao chake wiki kadhaa zilizo pita imeafikiana kumuomba ndugu Walace Karia aongeze idadi ya wachezaji wanaoruhusiwa kucheza Ligi KUU Tanzania. Pendekezo ni kuongeza nafasi ziwe 12 kutoka 10 za sasa. Changamoto hiyo...
  9. Simba yamuuza Clatous Chama nchini Morocco

    Kutoka kwenye ukurasa wa Maulid Kitenge huko Twitter ameripoti kuwa kuna tetesi kuwa nyota mahiri wa Simba Sc kutoka Zambia, Clatous Chota Chama ameuzwa kwa klabu moja nchini Morocco. Hiyo ni baada ya Mtenda Mkuu wa Simba, kuwa nchini huko kwa muda wa siku kadhaa sasa. Kitenge ametumbia...
  10. Tetesi za soka Ulaya Ijumaa 06.08.2021: Messi, Kane, Lukaku, Correa, Trippier, Aouar, Abraham, Armstrong

    Tangazo la Barcelona kwamba mshambuliaji wa Argentina Lionel Messi, 34, hatabakia kwenye klabu hiyo ''limefungua mlango wa uhamisho wa kushtua " katika Manchester City. (Manchester Evening News). Uwepo wa Messi unaweza kuathiri uwezekano wowote wa uhamisho ambao Man City walikuwa...
  11. Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Marekani Afrika afungua mazoezi ya kijeshi baina ya US na Tanzania

    Kamanda wa Kamandi ya Afrika ya Jeshi la Marekani (AFRICOM) Jenerali Stephen Townsend, alikuwa na ziara ya siku mbili nchini Tanzania, tarehe 27 na 28 Julai, ambapo alikutana na maafisa waandamizi wa jeshi na kufungua mazoezi ya kwanza ya pamoja ya kijeshi ya nchi hizi mbili toka mwaka 2017...
  12. Museveni is very ill and admitted in a hospital here in Nairobi

  13. Ni kweli Makonda anashikiliwa na Mamlaka za Serikali kwa mahojiano?

    Habari wakuu na wanajamvi, Kuna tetesi zinasambaa mitandaoni toka chini ya kapeti zinazodai ya kuwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bwana Paul Makonda yupo mikononi mwa vyombo vya dola kwa ajili ya tuhuma mbalimbali zinazomkabili. Yaani kwa kifupi inasemekana Makonda tayari ameanza...
  14. M

    Kama hii Tetesi niliyoisikia kutoka Magerezani ni kweli, leo Moto utawaka Uwanja wa Nelson Mandela huko Sumbawanga

    Inasemekana kuna Taasisi Moja muhimu sana kwa Wahalifu nchini Tanzania imewaahidi Wafanyakazi ( Watumishi ) wake wa Kimichezo kuwa leo Wakishinda Mchezo wao kila Mmoja wao anapanda Cheo na Mshahara Kuongezeka. Israeli na Roho ya Mtu leo huko Rukwa.
  15. Kocha Noureddine Al-Nabi atua Yanga

    Mabingwa wa Kihistoria, Timu ya Wananchi, Vijana wa Jangwani na Vinara wa Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara Young African Sports Club wanadaiwa kumpa mikoba Kocha, Nasreddine Nabi iliyoachwa na mtangulizi wake Cedric Kaze. Nasreddine Nabi aliyekuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya El Merreikh atachukua...
  16. M

    Yanga SC kuwasomea ' Albadiri ' Waandishi wa Habari za Michezo wanaoiandikia, kuisemea na kuihujumu

    Hivi Klabu inawezaje Kuwatishia Waandishi wa Habari za Michezo hasa kuwataka wawe tu Wanaandika na Wanatangaza Mema (Mazuri) tu ya Yanga SC ila yale mabaya Wawe wanayaficha kwa Umma wa Wanamichezo? Haya sasa kwa taarifa ( zisizo rasmi bado japo nimezikisikia hivi punde kutoka Clouds FM Kipindi...
  17. Rais Samia Suluhu naona katua Dar leo. Tetesi zinasema atafanya ziara kwenye taasisi kubwa mbili hivi karibuni

    Muda mfupi uliopita Rais ametua Dar na inasemekana ana lake jambo baada ya mapumziko ya Pasaka. Zipo taasisi kubwa mbili za umma zitapigwa suprize. Yani kapita shaaaa ila hakuna ule mgari uliojazwa machumachuma yanayoangalia kwa juu. Sijui ulibaki wapi!
  18. Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

    Yaani inaudhi tumepitia huku kila baada ya miezi kadhaa sijui wapi wanaombea au kumngojea Rais aumwe? Ili kiwe nini? Kama anaumwa vya kutisha mnasema, kama ni uzushi mnasema na hata kumwonyesha kama alivyofanyiwa Dr. Mpango. Nililisema hili hata wakati wa zile tetesi nyingine wakati ule. Rais...
  19. K

    Tetesi: Kuna taarifa za Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar kufariki dunia

    Wakuu salama Kuna habari kuwa kule zanzibar kuna msiba mzito Embu walioko huko watujuze kama hizi taarifa nizakweli
  20. Rais Magufuli kutembelea Temeke zazua taharuki, barabara zaanza kutengenezwa usiku na mchana

    Tetesi za Raisi Magufuli kutembelea Temeke zazua taharuki barabara zaanza kutengenezwa usiku na mchana nyingi zilikuwa mbovu na midimbwi kibao nimepita leo Tandika nikashangaa nikaambiwa kuna tetesi Rais atatembelea Temeke. Watendaji ofisini hawaonekani wanashinda site kusimamia kazi. Raisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…