Mapovu ya keyboard warriors yamejaa mitandaoni baada ya tetesi ya kwamba Rais anaweza kuongeza muda wake kwa kuongoza awamu nyingine kupitia katiba inayoweza kupitishwa bungeni.
If that will Happen, MTAFANYA NINI ? 😂😂
Haya twendeni kazi wazee wa "tunalaani vikali" na wachimba mikwara kwenye...
Ndugu zangu Watanzania,
Hizi ni Tetesi ambazo nimepewa kuwa kuna Baadhi ya Viongozi wa Dini Wamefura kwa hasira kwelikweli baada ya kutoka kwa hukumu ya Lissu.
Ni katika msingi Huo wanapanga kulitumia kanisa ama Mwamvuli wa Kanisa Kutoa Matamko makali makali yenye lengo la kuishambulia...
Habari,
Nimeona kwenye Group la shule ya sekondari X Mkuu wa shule akiwaambia wazazi kuwa wajiandae mwakani hakutokuwa na Elimu bila malipo yaani wajiandae kulipia ada na michango mingine ndani ya shule
Je, kuna yeyote mwenye taarifa rasmi au ushahidi kutoka wizara ya elimu kama kuna mpango...
Serikali ya Korea Kaskazini imechapisha picha, zenye kumuonesha wa kiongozi wa taifa hilo, Kim Jong-un akikagua duka la viatu na nguo za watoto nchini humo, siku chache baada ya kudaiwa kuwa alikuwa kwenye ‘coma’, baada ya ubongo wake kuvuja damu.
Shirika la habari la Korea Kaskazini, Korean...
Uvumi kwamba Kim Jong Un amekufa unaenea sana kwenye mitandao ya kijamii, lakini hakuna uthibitisho wa kuaminika kwamba kiongozi wa Korea Kaskazini amekufa.
Madai yasiyothibitishwa yanasema alipatwa na shida kubwa ya afya, alitibiwa Beijing na akafa, na kusababisha uvumi kuhusu urithi wa binti...
Kumekuwa na ujengaji mkubwa na wa kasi wa miundombinu kwenye wilaya ya Rufiji.
Madaraja, barabara, majengo ya ghorofa vinajengwa kwa kasi kubwa sana.
Nimekutana na wana Rufiji ambao katika kuwadodosa, wameonyeshaa kuelewa kuwa kuna mpango na jitihada kubwa wa kuifanya Rufiji kuwa Mkoa...
Baada ya kuangalia video hii nimejiuliza maswai mengi
Kila mtu anasema kwa mwili ule hakika ni yeye, nguo alizojirekodi akiwa kenye helikopta zinafanana
WHAT IF hata ile video iliyoanza kusambazwa haraka mara baada ya taarifa kuna mtaalam wa kupoteza watu alipewa bilioni 1 kuondoa viulizo...
ajali
chivayo
forgery
hali
jela
kabla
kakimbia
kuanza
kufungwa
kufungwa jela
maisha
maisha mapya
mapya
mara
marais
marejesho
master
tetesi
ughaibuni
utapeli
Shikamooni,...Kwa muliofanya usaili wa mahojiano mwalimu wa kiswahili daraja la III C Hapo jana kwa hesabu zisizo rasimi (ambazo hazijatolewa na sektetarieti ya ajira) inaonekana nafasi 147 zilizohitajika zimejazwa.Je tutegemee zitaendelea? Sawa kama uko kwenye database (kanzi data) kama...
Ndiyo habari iliyopo,wanawasiliana kama ndugu kila uchwao, kwa kuitana ""kaka na dada""kazi mnayo nyie vizabina zabina,mnaopenda biff.
""INAITWA CHENGA YA MWILI""
Tetesi nilizodaka toka kwenye vyombo vya usalama ni kwama Nchimbi hayupo Tanzania.
Ametoweka kuogopa kutekwa
Wanangu chimbeni na kufuatilia hili ili tuivue nguo CCM.
Hatimaye, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Emmanuel Nchimbi, amejiuzulu wadhifa wake baada ya miezi ya tetesi, mijadala ya kisiasa na mashambulizi yaliyokuwa yakimlenga ndani na nje ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Taarifa ya kujiuzulu kwake imetumwa kwenye akaunti zake za X...
Habari za wakati huu wana JF, huu ni uzi mahususi kwa ajili ya kujuzana tetesi mpya za One UI 9.5 kwa kadri zinavyozidi kuvuja na kusambaa.
Ni takriban miezi mitatu sasa tangu Samsung walipoachia One UI 9.0 beta katika series za S26 katika baadhi ya maeneo.
Hata hivyo tukiwa tupo karibu kupata...
Kuna tetezi zimegaa mitaani kuwa serikali ya CCM inataka kuanza kufanya figisu.
Figisu zenyewe ni kutaka kuifuatlia michango ya Cdm ambayo mpaka sasa imefikia Tsh 90 mil+
Wanataka kuleta zengwe kuwa michango hiyo ni fedha haramu na kuna utakatishaji fedha ambao utatumika kufanya uharamia.
Kutakuwa na mgomo wa madereva wa malori yanayosafirisha mizigo kesho.
Nimepakia mzigo wangu kwenye lori ila nimepewa angalizo, kwamba kesho hawatashusha sababu kutakuwa na mgomo. Labda kama watafika kabla ya saa 12 ahsubuhi ndio naweza kushusha. Nimeongea na m1 wa madereva ambao huwa namtumia...
Ndugu zangu Watanzania,
Chama cha Democratic Baada ya Kupoteza katika Uchaguzi Uliopita kumeibuka tetesi na minong'ono mingi sana ya chama cha Democratic Kumuadaa Michelle Obama Mke wa Barack Hussein Obama Rais wa 44 wa Marekani Tangia kupata uhuru wa Taifa hilo Mwaka 1776 .
Uamuzi unaoonekana...
"Mheshimiwa Spika, zipo tetesi katika baadhi ya maeneo kwamba viongozi wapo kama wamepigwa ganzi. Wanasubiri nini PDF, mkeka, teuzi. Haya ni mambo ya ajabu. Mambo ya ajabu. Kuwa ofisini na kusubiri teuzi ni mambo ya ajabu. Haya haya ni mambo ya ajabu ajabu tu.
Niendelee kuwaelekeza; mmepewa...
https://youtu.be/ZY0-McsJUgM?si=BKQSHy6agElfKKdu
Eti na mwisho wake uwe hivi👉🏻: Kwamba, Albert Bashite Malyangili a.k.a Paul Makonda ndiye achukue nafasi ya Dr Emmanuel Nchimbi - awe Makamu wa Rais🤔🤔
Acha ncheke 😁😁na kusikitika miye..
=======================
Ni patamu hasa. Ni mpambano mkali...
Baada ya usajili wa dirisha dogo miongoni mwa watu waliosifiwa ni Jayrutu hasa kwa kumsajili Inno Loemba. Sifa hizi zilimfanya hadi mwenyekiti wa bodi ya Simba Magori kutoka na kuongea na waandishi wa habari, kuwaambia yule mchezaji kasajiliwa na Simba.
Wakati huo tajiri anayependa kususa timu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.