tetemeko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Alexido jz instagram

    TNA: ONYO TETEMEKO LA BURUDANI, ITAYOAMBATANA NA KIJIMVUA KIDOGO CHA ELNINO ISIYO UMIZA, KUITIKISA TANZANIA IJUMAA HII

    Ijumaaa hii, tar 20 nov 2026, saa 11 alfajiri, Hakikisha una akiba ya bando la kutoushaaaa ndani, hakuna kutoka mzeer, 🛌🛌💃🕺🕺🕺 mzuka sana hallo ooo, lile saniii la kimataifa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Kwa stageeeeeeeeeeeeeeeeee its ZACHARIANO ALEXIDO jr🇹🇿 Nb, huyu ni mbongo, mwenye DNA ya tanzania na...
  2. Victor Mlaki

    Muda huu 12: 23 tarehe 5/11/2026 limepita tetemeko kubwa la ardhi eneo la Masumbwe Geita likiwa na uelekeo wa Magharibi lililodumu kwa sekunde kadhaa

    Ukubwa wa tetemeko hili ni mkubwa kuwahi kutokea kutokana na mtetemo wake, kwa uzoefu wa zaidi ya miaka 15 katika eneo hili hili linaweza kuwa tetemeko lenye mtetemo mkubwa kuwahi kutokea maeneo haya mchana. Kwa upekee limepita muda nilioutaja hapo juu na kujirudia tena saa 1:22pm. Mtetembo...
  3. figganigga

    Tetemeko la ardhi limepita, nani kasikia?

    Maeneo ya Geita nyumba zimetetema. Hapa Masumbwe ndo kila mtu ilikuwa kutafutana. Sijajua kama tetemeko limelta madhara
  4. F

    Nimearifiwa, tetemeko kubwa limetikisa mwanza, kuweni makini na yatakayojiri kesho.

    Haya yanetokea dakika tano zilizopita, Msingi ya nchi inatikisika, hii ni ishara ya kipindi kigumu tunachopitia kama taifa. Judges na mamlaka, zingatieni haya. Free Tundu Lissu. Ni hayo tu
  5. Jannatul Firdaus

    Beyonce achangia Bil. 2.6 baada ya tetemeko la ardhi Colombia

    Mwanamuziki @beyonce Ameripotiwa Kuchangia dola milioni 1 (Tsh. Bilioni 2.6/=) kusaidia waathirika wa tetemeko la ardhi huko Chocó, Colombia. Fedha hizo zitatumika kusaidia watu walioathirika kupata chakula, vifaa vya kujengea na mahitaji ya makazi. Tetemeko hilo lilikuwa kubwa sana, ambapo...
  6. Jannatul Firdaus

    Asimulia alivyojifungua kwa upasuaji katikati ya tetemeko la ardhi

    Maria Florida ameeleza furaha yake baada ya kujifungua salama mtoto wake wa nne kwa njia ya upasuaji wakati tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 7.7 likitikisa eneo la Nusa Tenggara Mashariki mwa Indonesia. Tetemeko hilo lilitokea Agosti 15, 2026 na kuleta madhara makubwa mashariki mwa Indonesia...
  7. Dalton Elijah

    SI KWELI Hii Video ya tetemeko inayonyesha jengo likianguka Venezuela

    Kumekuwepo na video ambayo imechapishwa na kusambazwa na baadhi ya vyombo vya habari pamoja na watumiaji wa mitandao ya kijamii wakidai kuwa inaonesha madhara yaliyosababishwa na tetemeko la ardhi lililoikumba Venezuela, ambalo linadaiwa kusababisha vifo vya zaidi ya watu 1,450 pamoja na...
  8. Mafyangula

    Tetemeko la Ardhi limeikumba Ufilipino na kilichotokea kwa baadhi ya wakazi wakati wakijiokoa kupitia lifti

    Inaelezwa kuwa tetemeko kubwa la ardhi limeikumba Ufilipino na kuibua hofu kwa wakazi, hususan waliopo kwenye majengo marefu. Wataalamu wa usalama wanasisitiza umuhimu wa kufuata taratibu sahihi za kujilinda wakati wa majanga kama haya. Mojawapo ya makosa hatari yanayoweza kuhatarisha maisha ni...
  9. Mikhail Tal

    Kuna Tetemeko limepita Butiama saa 16:34. Je, ni ardhi ya Baba wa Taifa imechukia?

    Habari ndo hiyo wadau, sasa sijui ndo ishara hizo za kukinukisha.
  10. Victor Mlaki

    Tetemeko la ardhi limeipa muda huu Geita, eneo la Masumbwe katika Wilaya ya Mbogwe

    Muda huu tetemeko limepita na inaonesha ni la kiwango kikubwa kiasi kulingana na mtetemo niliousikia. Sijafuatilia maeneo mengine ila kupitia uzi huu tunaweza kuhabarishana zaidi.
  11. R

    Takribani watu 800 wamepoteza Maisha na 2,500 kujeruhiwa na Tetemeko la Ardhi Afghanistan

    Kwa mujibu wa taarifa zilizotelewa na vyombo vya habari Al Jazeera na Reuters kumetokea tetemeko la ardhi Afghanistan usiku wa kuamkia September 1, 2025 lenye ukubwa wa Ritcher 6.0 na kusababisha idadi ya vifo takribani 800 na majeruhi zaidi ya 2,800. Idadi hiyo imekuwa ikiongezeka zaidi ya...
  12. Dalton Elijah

    Tetemeko Laua Zaidi ya Watu 25 Afghanistan

    Zaidi ya watu 20 wamefariki dunia baada ya tetemeko la ardhi la kipimo cha 6.0 kupiga mashariki mwa Afghanistan, karibu na mpaka wake na Pakistan. Zaidi ya watu 115 waliojeruhiwa wamepelekwa hospitali katika majimbo ya Nangarhar na Kunar, maafisa walisema. Tetemeko hilo la kina kirefu cha...
  13. T

    Patakuwa na Tetemeko ktk Taifa laku sadikika

    Hali inaonyesha patakuwa na tetemeko na hofu kuu ktk taifa lakusadikika. Wazee wa Taifa hilo watasimama kukabiliana na kesho ya kizazi kijacho. Itakuwa nivita kali isio tumia silaha wala mabomu kulitetea Taifa la kusadikika. Vyombo vya usalama wa Taifa hilo havitoingilia mtifuwano huwo ila...
  14. R

    Video: Madaktari Wakiendelea na Upasuaji wakati wa Tetemeko Kubwa la ardhi Urusi

    Video ya kushangaza kutoka Petropavlovsk-Kamchatsky, Urusi, imeonyesha madaktari wakiendelea na upasuaji wa mgonjwa wakati tetemeko kubwa la ardhi lenye ukubwa wa 8.8 likitokea leo Julai 30, 2025 katika pwani ya mashariki mwa nchi hiyo Licha ya mtikisiko mkubwa uliosababisha tahadhari ya...
  15. R

    Tetemeko Kuu lapiga Mashariki mwa Urusi, Tahadhari ya Tsunami yatolewa Japan, Hawaii na Visiwa vya Pasifiki

    Mapema Julai 30, 2025, imeripotiwa tetemeko kubwa la ardhi lenye ukubwa wa 8.8 Magnitude lilikumba bahari ya Pasifiki karibu na pwani ya mashariki ya Urusi, likiathiri zaidi eneo la Kamchatka na Visiwa vya Kuril. Kwa mujibu wa wanasayansi wa Chuo cha Sayansi cha Urusi, hili ni tetemeko kubwa...
  16. S

    Tetemeko la ardhi la magnitude 5.5 limerekodiwa Iran karibu na fordow nuclear site

    Tetemeko la ardhi lime tokea Iran siku ya leo majira ya saa tatu asubuhi lenye ukubwa wa magnitude 5.5 kwenye jimbo la Qom ambalo lipo karibu na Fordow nucleur site. Hakuna ripoti ya majanga japo inahisiwa kuna kitu kilikuwa kinajaribishwa Mnamo mwaka 2017 korea kazkazini walijaribisha Atomic...
  17. mwakyindi

    Tetemeko la ardhi limepita jijini Mbeya

    Za asubuhi wakuu, huku Mbeya mjini tetemeko limepita yaani sio poa kabisa Hapa usingizi umekata Wataalam mtujuze shida nini
  18. Lady Whistledown

    Update: Vifo vya tetemeko vyafikia 2, 719 Myanmar

    Maafisa wa uokoaji walisimama kwa dakika moja ya kimya karibu na jengo la Sky Villa condominium, moja ya maeneo yaliyoathirika zaidi na tetemeko la ardhi la Machi 28, katika jiji la Mandalay mnamo Aprili 1, 2025. Mamlaka nchini Myanmar zimefanya dakika moja ya kimya kuwakumbuka waathirika wa...
  19. Lady Whistledown

    Update: Vifo vya tetemeko Myanmar vyazidi 1,700, majeruhi zaidi ya 3,400

    Takwimu za utabiri wa Shirika la Jiolojia la Marekani (USGS) zinaonesha idadi ya vifo huenda ikaongezeka na kufikia zaidi ya 10,000, huku hasara za Kiuchumi zikitarajiwa kuzidi pato la Taifa kwa Mwaka mzima Shirika la Msalaba Mwekundu (Red Cross) limesema Myanmar inakabiliwa na kiwango cha...
  20. C

    "Manabii" kwann hawakutabiri tetemeko Thailand?

    Tunao manabii kadhaa nchini. Tuseme hawakuona hili tetemeko kabla ya kutokea?
Back
Top Bottom