tena

TENA is a Swedish-based brand of Essity that specializes in products for adults with urinary or fecal incontinence, such as pads and diapers. TENA also produces a youth diaper brand for teenagers and larger children. The company has offices in all of North America, most of Europe, in Australia and New Zealand, and some parts of Asia and Central America. TENA has specific lines for retail and health care. They can be found at grocery, drug and discount stores, in aisles where other bladder control products are sold.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Maumivu ya kutendwa yanaweza mfanya mtu asipende tena?

    FIRST BREAKUP IN RELATIONSHIP MAKES FOREVER PAIN
  2. M

    JamiiForums Tanzania Niliyoyaona kwa Mkapa (Lupaso) Stadium leo ambayo kama yasipofanyiwa Kazi basi yanaenda Kujirudia tena Lake Tanganyika 25 July, 2021 ni haya

    1. Kuwaanzisha Erasto Nyoni na Bernard Morrison ambao leo ndiyo Wachezaji wa Simba SC waliocheza vibaya na Kuharibu zaidi badala ya Kuwaanzisha Muzamiru Yasini na Rally Bwalya Kiufundi kumeigharimu Simba SC. 2. Kumuanzisha Clatous Chama ambaye bado Kichwa chake kimetawaliwa na Kumpoteza Mke...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Chadema, mmeshindwa na mtashindwa tena!

    Ni lini mh Mbowe na Chadema wameitisha mandamano ya kwenda kuwang'oa wabunge wake walioko bungeni,ambao anasema hawapo kisheria kwa mjibu wa katiba ya Chama anachokiongoza? Ni kivipi suala la katiba analishikia bango na kwa sauti kubwa ili hali sauti na nguvu kama hii anayotaka kuitumia...
  4. JamiiForums Tanzania Arusha: Sabaya na wenzake wafikishwa Mahakamani. Kesi yaahirishwa baada ya mashahidi kukosekana Mahakamani

    Ole Sabaya mtu mwenye tuhuma zisizo na idadi , leo tena amefikishwa mahakamani huko Arusha akiwa amevaa Suti iliyopauka ili kusikiza kesi zinazomkabili. Kesi za aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai, mkoa wa Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya (34) na walinzi wake watano, ambao wanakabiliwa na mashtaka...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kupokea ripoti ya miezi mitatu (Januari-Machi) ya Benki Kuu kutoka kwa CAG

    Rais Samia amesema CAG ameshakamilisha ripoti ya CAG kuhusu Benki kuu kwa kipindi cha kuanzia January hadi March 2021 na ataikabidhi kwake siku ya Jumatano au Alhamisi. Umma utaelezwa yaliyomo ndani ya ripoti hiyo, amesisitiza Rais Samia. Chanzo: ITV
  6. JamiiForums Tanzania Wote wameingia kibahati na kutotarajia, Rais Samia hana jipya tena

    Hayati Magufuli a.k.a mwendazake aliwahi kukiri kuwa hakutarajia kuwa Rais wa awamu ya tano. Wengi tunakumbuka yaliyotokea, mpambano wa Membe na Lowassa ndio uliomzaa Magufuli kama suluhu ya kambi mbili pinzani ndani ya CCM wakati huo. Mwendazake alipata heshima na makofi mengi ndani ya siku...
  7. JamiiForums Tanzania Nyakati za Kiongozi wa Nchi kutukuzwa na kupambwa na Wanahabari umerejea tena

    Wakati wa Awamu ya Nne tulishuhudia masuala ya ajabu sana maana vyombo vya habari vilikuwa vikipotosha umma. Kila alilolifanya mfalme wakati huo lilionekana jema. Kuna wakati wananchi waliaminishwa kuwa mfalme amelithishwa viatu vya mwalimu Nyerere. Kilichofuata baada ya miaka miwili ni...
  8. JamiiForums Tanzania Luku hainunuliki tena leo

    Kwa mshangao mkubwa leo tena luku hainunuliki kwa niamala ya simu, kwa nn tatizo hili linahirudia mara kwa mara? wapoti Kalemani kuna watu wanakutengenezea namna zinduka.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, tupitie upya tena mradi mkakati wa ujenzi wa kiwanja cha ndege cha Omukajunguti ambacho kitaunganisha EAC

    Rais wetu kipenzi, Kabla ya mambo kubadilika, kulikuwa na mpango mkakati wa ujenzi wa kiwanja cha ndege eneo la Omukajunguti mkoani Kagera. Huu mradi ulilenga kuziunganisha nchi za Afrika Mashariki, lakini si hivyo tu mama, kama umeenda Bukoba umeona ni jinsi gani ndege zinastrugle kutua katika...
  10. JamiiForums Tanzania Tunataka kurudishwa Misri tulipolishwa makombo na mifupa huku nyama ikiliwa na wachache

    Mtume Musa baada ya kuwatoa waisraeli Misri aliua sana. Mungu pia aliua sana, alifikia hatua akataka kuwaua Waisraeli wote akamwahidi Musa akisema nami nitakufanya wewe Taifa kubwa na lenye nguvu kuliko wao. Kwanini? Kwasababu walikuwako "hardliners" na waliobobea waliokuwa wakifaidi makombo ya...
  11. JamiiForums Tanzania Harmonize atoa wimbo mpya, asema yeye ndio mfalme hana haja ya kuongea tena, anauacha mitaa iongee

    Msanii nguli wa muziki wa kizazi kipya Harmonize, ametoa wimbo mpya unaoitwa Sandakalawe, wimbo huo unaonekana kukubalika na kupata views 100,000 ndani ya saa moja, hatua iliyomfanya Harmonize kusema yeye ndio mfalme wa muziki wa kizazi kipya na hatowakumbusha tena na kuacha mitaa iongee.
  12. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai adai tena kuwa Lissu alishalipwa pesa zake zote

    SPIKA NDUGAI: HAKUNA ANAYELIDAI BUNGE, "KAMA MTU AMEISHIWA HUKO ULAYA SI ASEME" Spika wa bunge Job Ndugai amewaonya wanaotoa taarifa za upotoshaji zenye lengo la kulichafua bunge kuacha kufanya hivyo kwa kuwa sasa hatua zitaanza kuchukuliwa ikiwemo kuitwa kwenye kamati ya maadili ya bunge...
  13. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu na Rais wangu wa TFF Karia kwa yanayoendelea Uwanja wa Songea nimekusamehe ila Kosa hili lisije likajirudia tena

    Nimetoka Kumsikia Msimamizi Mkuu wa Uwanja wa Maji Maji huko Songea (Mkoani Ruvuma) utakaotumika katika Nusu Fainali ya ASFC Kesho kati ya Azam FC na Simba SC nimebaki Kusikitika na hata Kukasirika pia. Ukweli ni kwamba hadi GENTAMYCINE naandika Uzi huu hivi sasa Uwanja upo tayari kwa 75% hadi...
  14. JamiiForums Tanzania Utoto bhana una raha zake tena tele

  15. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kuwaaga rasmi Wana JF, nikipona tutakuwa pamoja tena

    Naam, Mimi ni mwanachama wa muda mrefu hapa kwenye ukurasa wa Siasa. Nimetoa mchango wangu kwa umoja huu kupitia ukurasa huu. Nimerekebisha baadhi ya mambo kutokana na hoja zangu na niseme tu nimekuwa nikifarijika sana pale ninaposhauri au kutoa hoja ikaleta positive impact kwenye jamii...
  16. JamiiForums Tanzania Awamu ya pili ya Operesheni Haki kutikisa tena, itaanzia Kanda ya Pwani

    Ile kampeni ya kuhamasisha upatikanaji wa Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi iliyotikisa Nchini Tanzania ya OPERESHENI HAKI , itaendelea tena baada ya kusimama kwa muda kwenye Kanda ya Pwani na baadaye Zanzibar na Pemba , Taarifa hii imetolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Mh John Mnyika...
  17. JamiiForums Tanzania Ajali Morogoro: Gari liliwekewa Mashada ya Maua na abiria waliomboleza ili kukwepa Doria ya Polisi

    Basi linadaiwa kusababisha ajali jana mkoani Morogoro lilibeba mashada ya maua, dereva aliposimamishwa kwa mwendo kasi alidai Wanawahi Msibani Taarifa za kuaminika kutoka kwa abiria ni kuwa gari hilo halikubeba maiti na abiria wote waligeuka waombolezaji kila gari liliposimamishwa. Na taarifa...
  18. JamiiForums Tanzania Je, naweza kuomba chuo tena baada ya kumaliza mosomo kama mwaka wa kwanza?

    Naumba ushauri ndugu zangu mm nasoma chuo kikuu ila nipo mwaka wa mwisho na semester ya mwisho je naweza kuomba tena chuo kwa kozi nyengine kama mwaka wa kwanza na baada ya kumaliza semester hii kukubaliwa kuendelea na kozi nyingeni kwa mwaka huu mpya wa masomo uko Bado sijagraduenti.
  19. T

    JamiiForums Tanzania Huduma ya LUKU imepotea tena, hatuwezi kununua umeme

    Ni masaa matano tokea system ya LUKU kupotea yaani huwezi kununua umeme Hii ni ishara mbaya kwa waziri na serikali kwa ujumla kwa hili tatizo kujitokeza mara ya pili ndani ya miezi miwili Mama samia Ebu kuwa mkali kidogo yaani nina uhakika madudu mengi yatakuja kwa utawala huu, mchwa wa...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Tanesco, huduma ya Luku imekwama tena leo

    Leo Jpili tangu asubuhi nimejaribu kununua umeme via Mpesa na Simbanking (CRDB) lakini hakuna kitu. Mpesa wamekata kabisa pesa lakini hakuna token iliyokuja.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…