tena

TENA is a Swedish-based brand of Essity that specializes in products for adults with urinary or fecal incontinence, such as pads and diapers. TENA also produces a youth diaper brand for teenagers and larger children. The company has offices in all of North America, most of Europe, in Australia and New Zealand, and some parts of Asia and Central America. TENA has specific lines for retail and health care. They can be found at grocery, drug and discount stores, in aisles where other bladder control products are sold.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    JamiiForums Tanzania Yanga yatangaza kumrudisha Benard Morrison

    Haya ngoja tuone Mabingwa wa Tanzania Bara Dar Young Africans maarufu kama Yanga usiku huu wametangaza kumsajili tena mchezaji wao wa zamani Benard Morrison Morrison alikuwa ni mchezaji wa Yanga kabla ya kuhamia kwa watani wao Simba SC
  2. JamiiForums Tanzania TRA yakusanya Trilioni 22 mwaka wa fedha 2021/22, Nauliza tena Nani kama Samia?

    Hakuna bunduki, hakuna vitisho na kwa mara ya kwanza , mamlaka ya mapato Tanzania inakusanya Trilion 22.28 . Nani kama Samia?
  3. JamiiForums Tanzania Majanga: TRA wanashirikiana na wamiliki wa vituo vya mafuta kuhujumu kodi kupitia risti?!

    Vituo vingi vya mafuta havitoi tena risti za mfumo wa kielektroniki kwa kisingizio mashine ni mbovu. Huenda huo ni ulaji mpya baina ya maafisa wa TRA kwa kushirikiana na wamiliki wa vituo vya mafuta. Ajabu haupo ufuatiliaji mahsusi kuhusu hilo jambo.
  4. JamiiForums Tanzania Nikiomba tena ajira niiteni mbwa nimekaa paleee

    Nimekosa tena ajira ya ualimu kipindi ambacho naiihitaji mno, Pdf zima limejaa certificate na diploma sisi bachelor sjui tukale wapi? Kungekuwa kuna namna ya kuibadilisha degree kuwa certificate ningefanya hivo ili mradi nizame ajirani. Nimeamua kuachana kabisa na huu ujinga wa kuifikiria...
  5. JamiiForums Tanzania Nimekosa ajira za ualimu tena

    Ndugu zanguni nimekosa ajira tena! Nikiamini kwa 75% kuwa Kama tumetumia namba za NIDA basi umri na mwaka wa kumaliza chuo vitanibeba lakini wapi! Mwaka wa kuhitimu chuo kikuu 2015, umri wangu miaka 34 lakini nimepiga gape na vitoto vya mwaka 2020 na umri wa chini ya 25! Serikali kweli walikaa...
  6. JamiiForums Tanzania Bongo Kilimo Bado sana tena sana

    Huwa nina tabia ya kutembela Supet Market za Arusha hasa zile kubwa kabisa na sio vile vi min, Sasa leo nikawa niko Village Siper Market na sana huwa nazungukia sehemu za Vyakula pekee. Ukitembelea hizi super Market kubwa kuna vitu vinasikitisha sana na kuona kabisa kilimo sisi bado mno tena...
  7. JamiiForums Tanzania Sakata la wabunge 19: Kesi yarudishwa tena mahakama kuu baada ya kurekebishwa

    Kesi ya Halima Mdee na Wenzake imerudishwa tena Mahakama kuu baada ya Kurekebisha makosa yaliyokuwepo awali na yaliyopelekea kasi hiyo kutupiliwa mbali.
  8. V

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wachemka tena, wapeleka barua ya hukumu kusiko

    SALUM Mwalimu anatuambia wamepeleka barua kwa Spika kumweleza hukumu ya mahakama iliowapiga chini kina Mdee na kwa sasa awatoe bungeni. Wamechemka tena. Anaemtangazia Spika, na anaeitangazia nchi, nani ni mbunge wa wapi kutoka chama gani sio Salum Mwalimu bali ni Tume ya Taifa Uchaguzi. Salum...
  9. JamiiForums Tanzania Wabunge waliofukuzwa CHADEMA wapo Bungeni leo Juni 23, 2022, Spika kawaruhusu kuuliza maswali

    Wabunge wa Viti Maalum, Salome Makamba na Grace Tendega wapo Bungeni, leo Alhamis Juni 23, 2022 na wameuliza maswali ya nyongeza baada ya kupewa fursa hiyo na Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson. Wabunge hao walifukuzwa uanachama CHADEMA na kesi waliyofungua kupinga kufukuzwa Mahakamani imetupwa...
  10. JamiiForums Tanzania Nigeria: Wasichana Takriban 35 waokolewa katika "kiwanda cha watoto"

    Wasichana hao wenye umri wa miaka 13-19 wameokolewa katika jengo Jimboni Anambra ambapo waliwekwa ili kuzaa watoto kwa ajili ya kuuzwa, mamlaka zimesema wasichana wanne kati ya hao walikuwa tayari wajawazito. Msemaji wa polisi Torchukwu Ikenga amesema wanawashilikia watu 3 wanaotuhumiwa...
  11. JamiiForums Tanzania Haki ya Mungu na Mtume tena, …

    Wakati nasoma kuna jamaa walikuwa wanajiita Waarabu ingawaje kwa kuwaangalia huoni Uarabu, basi walikuwa mpaka wanajiapiza,“ Haki ya Mungu na Mtume tena mimi Mwarabu“ tulikuwa tunawaita Waarabu wa kuapia, yaani mpaka aapie ndo ujue kwamba ni “Mwarabu“. Nimekumbuka mbali tu, wote tuna Utoto...
  12. JamiiForums Tanzania Aliyevuliwa Umeya Moshi autaka tena, achukua fomu kuomba upya

    Juma Raibu aliyevuliwa Umeya wa Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro, amechukua tena fomu ya kuomba kuteuliwa na CCM ili awe Mgombea wa kiti hicho kwa mara nyingine. Itakumbukwa kwamba Juma Raibu alivuliwa cheo hicho mwezi April 2022 baada ya kupigiwa kura ya kutokuwa na Imani naye, ambapo kura...
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Enzi za kutishana zimerudi tena, Spika anatisha, Nape anatisha

    Tulia Ackson: Spika wa Bunge, Tulia Ackson ameitaka Serikali kuanza kuchukua hatua wanaopotosha kwa kinachoendelea Ngorongoro zikiwemo taasisi, "Sisi wabunge tunafahamu na wananchi wanafahamu tuko kwenye vita ya kiuchumi, tusiwaache wakaendelea kutumika. Muanze na huyu aliyerekodi hiyo clip."...
  14. R

    JamiiForums Tanzania 2025 ni Samia tena, ila kwa Bunge lenye wabunge hawa haitasaidia kitu

    Kuna kila sababu ya kuendelea na Rais SSH 2025, sababu ana mipango na miradi mingi ya kuikamilisha. Tatizo ni kwa hili Bunge halimsaidii sana mama Samia bado wana mawazo ya CCM ya zamani kwamba kitu kikishaletwa na Rais au Waziri ni cha kupitisha tu wengine hawajisumbui hata kufuatilia mijadala...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Vita ya zile 'hewa' imeondoka na awamu ya tano au itaendelea tena tukiingia awamu ya saba?

    Nimekumbuka namna hayati JPM alivyoanza kupambana na mishahara hewa mara tu baada ya kuapisha baraza lake la kwanza la mawaziri. Ikawa ni vita iliyochukua sehemu kubwa ya awamu yake. Mishahara hewa, kodi hewa, malipo ya ustaafu hewa. Alikuwa akirudia sana katika hotuba yake namna nchi hii...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Serikali: Sasa ni ruksa kusafirisha wanyama nje ya nchi

    Hali iko hivyo, tunaelekea kule 7kule tulipotoka, sasa ni rasmi twiga wetu wataanza kupandishwa ndege tena kwenda Ughaibuni. _______________ Wafanyabishara sasa huru kusafirisha wanyama Pori kutoka Tanzania Marufuku hiyo imeondolewa kwa muda wa miezi sita ambapo wafanyabiashara watakuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Ameni-block kisa nimemwambia anachogo

    Mpo wana MMU. Sikujua kama moja ya mambo wasiyoyapenda wanawake ni kuwa na Chogo, siku ya tatu leo amenipiga Pini kisa kumwambia anachogo, ni Mdada Pisi yakwenda, sikujua akinyoa kichwa chake ndio kipo vile. Sikumsema kwa nia mbaya, nilikuwa namtania huku nikicheka, kumbe Manzi kamaindi...
  18. JamiiForums Tanzania Rasmi: Yanga yampa mkono wa kwaheri Saidi Ntibazonkiza

    Baada ya kusimamishwa kuitumikia Yanga kwa muda kutokana na utovu wa nidhamu, rasmi klabu hiyo imetangaza kuachana na kiungo mshambuliaji Saidi Ntibazonkiza 'Saido' kutokana na mkataba wake kufikia tamati. Yanga imesema kuwa Saido ambaye alisimamishwa wiki iliyopita baada ya kutoka kambini bila...
  19. JamiiForums Tanzania Tangazo la nafasi za Kazi 1,904 kutoka Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Makatibu Wakuu wa Wizara, Watendaji Wakuu wa Idara Zinazojitegemea, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakurugenzi wa Halmashauri za Jiji/Manispaa/Miji na Wilaya anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa...
  20. JamiiForums Tanzania Donbas itarudi tena kuwa Ukraine-Zelensky

    Rais wa Ukraine ndugu Zelensky katika taarifa zake za leo kwa njia ya mtandao amesema eneo la Donbas litarudi kuwa Ukraine kwa mara nyengine. Hii ina maana eneo hilo ambalo ni muunganiko wa mikoa miwili ya mashariki ya Ukraine limeshaangukia mikononi mwa Urusi baada ya mapigano makali ya wiki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…