tena

TENA is a Swedish-based brand of Essity that specializes in products for adults with urinary or fecal incontinence, such as pads and diapers. TENA also produces a youth diaper brand for teenagers and larger children. The company has offices in all of North America, most of Europe, in Australia and New Zealand, and some parts of Asia and Central America. TENA has specific lines for retail and health care. They can be found at grocery, drug and discount stores, in aisles where other bladder control products are sold.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Muhudumu wa Restaurant hanichangamkii tena siku hizi!

    Wadau naomba mnisaidie kudadavua hili jambo ninaliliona. Kuna mgahawa kuanzia kama miaka miwili nyuma hadi hivi leo huwa ninakwenda kila siku kupata chakula cha mchana au mara nyingine kuchukua takeaway. Kuna DADA ni mmoja wa wahudumu kwenye huo mgahawa ambao ni mkubwa tu katika huu mji...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini Putin angependa kuona Rais Biden (badala ya Trump) akirejea tena madarakani nchini Marekani

    Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema angependelea urais wa Joe Biden badala ya Donald Trump kabla ya uchaguzi wa Marekani mwezi huu wa Novemba. Bwana Biden alikuwa mtu mwenye uzoefu zaidi, anayeweza kutabirika, alisema kwa maneno ambayo hakika yatainua nyusi. Kabla ya Bw Trump kugombea urais...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Hawa marefarii watatu hawastahili kuamua tena mechi za Simba au Yanga

    Siyo kwa ubaya, wala si kwamba hawajui kazi ya urefarii! Lakini ukweli ni kwamba maamuzi yao yamekuwa yakigumbikwa na makandokando mengi kwenye mechi zinazovuta masikio ya wapenzi wrngi! Ukiona marefarii wafuatao wamepangwa kuamua mechi kubwa nakushauri zima TV ukalale! 1. Jonesia Rukya Huyu...
  4. JamiiForums Tanzania Nani aliyesema mafisadi wanaweza kutaka kiongozi mwenye kuwadhibiti? Kati yao, nani atake tena kiongozi kama Magufuli?

    Siku zote fisadi ni kama mtu kipofu asiyeelewa wala kujua kama naye ni mtu wa kufa kama ilivyo kwa wengine Kazi kubwa kwao ni kuiba na kukusanya mali pasipo kujua uhalali wa makusanyo hayo, kwa bahati mbaya kabisa, hata wakiwa navyo vyote, bado watataka na kingine kutoka mahali popote na kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Tokea shirima wa presicion afe naona hali sio hali tena

    Imekua ni page ya mahaba
  6. JamiiForums Tanzania Ishi na mnafki kikauzu, vinginevyo utaumia tena.

    ...
  7. JamiiForums Tanzania Mwandishi wa habari Cyprian Musiba arejeshewe mazingira ya kufanya kazi tena amejifunza

    Kama mada ilivyo hapo juu kwa kuwa inadaiwa kuna 4R (Reconciliation, Resilience, Reforms and Rebuilding) kwamba zinatibu vidonda vya kuumizwa kiakili, kimwili, kiuchumi na kijamii basi nafasi hiyo ifunguliwe kwa mwandishi mkongwe Cyprian Musiba ili kuchangamsha zaidi myambuliko wa siasa za...
  8. JamiiForums Tanzania Huwa nawaambia na nasema tena: Mwanamke sio mbadala wa nyeto

    Kama una uraibu wa nyeto, kuoa au kuwa na mademu wengi sio suluhisho. Nyeto haiingiliani popote na K. Kuna clip iliwahi kuvuja ya waziri mmoja wa Kenya anapiga nyeto ofisini akijirekodi. Yule ni Waziri, ana mke na access ya demu yeyote muda wowote ila anapiga nyeto. Juzi imevuja clip ya Drake...
  9. JamiiForums Tanzania Video: Wamasai wazichapa tena na Walinzi (Wajeruhi)

    Hili tukio limetokea jana, ambapo Wamasai wamepigana na Walinzi na kujeruhi. Nini kifanyike kuepusha matukio kama haya kwenye jamii yetu? Written by Mjanja M1 ✍️
  10. JamiiForums Tanzania Masoko yaanza kuchomwa tena? Angalia Soko la Mbuyuni Moshi likiteketea

    Taarifa ya Azam inaeleza kwamba soko la Mbuyuni huko Moshi linateketea usiku huu. Moto umeanza usiku wa saa 7 tarehe 06/02/2024 Hivi kwanini masoko hayaungui mchana? ============ Kufuatia ajali ya Moto iliyoteketeza Soko la Mbuyuni, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Nurdin Babu amesema moja ya...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Wanaobeza Matendo na kauli za Makonda, Nchimbi na sasa Kinana wajiulize tena mara mbili....

    Nimefuatilia huu mjadala, kweli kuna tatizo kwa jinsi tunavyochukulia matukio, jinsi tunavyochukulia matamshi. Kilichonishangaza ni badala ya wapinzani na mashabiki wao kuiona hatari iliyo mbele yao, jinsi hawa jamaa wa CCM walivyojipanga strategically na systematically kuwin the battle and mind...
  12. JamiiForums Tanzania Kinana: Wasimamizi wa Uchaguzi watakuwa Waadilifu na Waaminifu mnataka nini tena?

    Abdulrahman Kinana amesema Uchaguzi ujao utakuwa wa haki kwani wasimamizi watakuwa Waadilifu na Waaminifu. "Bunge limekubali (Bunge la Tanzania) limesema wasimamizi wa uchaguzi watakuwa watumishi wa umma waandamizi. Mtu atateuliwa kwa sifa; sifa za uadilifu, uhodari wa kazi na uaminifu...
  13. JamiiForums Tanzania Mnaotumia bidhaa mpya ya microsoft ya windows 10 someni tena hapa mjue hatari inayowakabili

    Mada hii imeshajadiliwa na wenzetu kabla. Hata hivyo kutokana na umuhimu wake ni muhimu kuijadili katika vipembe vingine kuzidi kuifahamu Microsoft wameshatangaza kuwa toleo la windows 10 liliopo sasa litafikia ukomo ifikapo oktoba 2025.Watumiaji wake wataachwa kujikongoja na toleo hilo na...
  14. JamiiForums Tanzania Nimewaona wapya wetu Wawili katika Ushambuliaji Simba SC na naomba niseme tu Bingwa tena Msimu huu ni Yanga au Azam

    Nikiwaambia nitafuteni GENTAMYCINE niwatafutieni Wachezaji mahiri na wa Kazi Kazi kweli hamtaki na mnawapa Jukumu hilo Wanafiki na Wapigaji. Nimeucheza Mpira, Naujua Mpira na Nauchambua Mpira hivyo nikisema hujui jua hujui na nikisema unajua jua unajua. Aliyeamuru kuwa Mshambuliaji Moses Phiri...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Yemen yashambulia tena Meli Vita ya USA na meli ya mizigo ya biashara huko Red Sea

    Utawala wa Houthi unaoongoza sehemu kubwa ya Yemen umeshambulia tena Meli Vita ya USA pamoja na meli ya mizigo, huu ni muendelezo wake wa kujibu mashambulizi ambayo USA alifanya wiki 2 zilizopita kwenye ardhi ya Yemen lakini pia ni muendelezo wa ahadi ya Yemen kushambulia kila meli za Israel na...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Tafsiri kamili ya kiswahili ya kitabu alichokuwa anakigawa mzungu kwa watoto, yaliyomo hayana tena shaka, sheria ifate mkondo !

    THE GRANDPA THAT NEVER GREW UP Kabla hujasoma kilichoandikwa ni muhimu kwanza umjue msanii Cher na sherehe za Pride Cher ni msanii mkongwe ambae ana mchango mkubwa sana kwenye itikadi za kuhalalisha mapenzi ya jinsia moja, Harakati zake zilianza kipindi cha miaka ya 60 kipindi ambacho...
  17. JamiiForums Tanzania Elon Musk arejea tena kuwa tajiri namba moja duniani

    Baada ya wiki jana kusambaa kwa taarifa ya kupoteza nafasi yake aliyokuwa anaishikilia kwa muda mrefu, Nafasi ya kuwa tajiri namba moja Duniani. Mapema wiki hii amerejea kwenye nafasi yake, akimshinda bilionea wa Ufaransa na Mkurugenzi mtendaji wa LVMH Bernard Arnault. Elon Musk anarejea...
  18. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Energizer imeanza kutengeneza Simu ya Smartphone Yenye Uwezo wa kukaa na Chaji kwa Muda wa usiopungua Siku 50 bila kucharge tena

    Simu kutokaa na chaji huwenda ikawani ni moja kati ya lalamiko kubwa kwa wamiliki walio wengi wa simu janja (smartphone). Vipi ukipata simu ambayo inakaa na chaji kwa muda mrefu, huwenda ikawa ni furaha ya kudumu kwako. Basi fahamu kuwa kampuni ya ''Energizer'' imekuja na aina mpya ya simu...
  19. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Paul Makonda: Wahuni wameingia tena msituni nini? Siyo kwa ukimya huu

    Kwa mjibu wa katibu mwenezi wa CCM Taifa, ndugu Paul C. Makonda, Taifa letu lina viongozi wazalendo ambao wakipewa kazi wanafanya kazi kuhakikisha nchi inapiga hatua kimaendeleo. Lakini kwa bahati mbaya pia kuna WAHUNI ambao wakipewa kazi, wanaliibia Taifa hili na kukalia kupiga majungu! Lakini...
  20. JamiiForums Tanzania Kijana atoa ushuhuda na kusema hatoikaribia Betting tena

    Anaandika, Mimi ni kijana wa miaka 20s+ nilifundishwa kubeti mwishoni mwa mwaka 2014 Kama Sio mwanzoni mwa mwaka 2015 nikiwa bado nasoma secondary. Kabla sijajifunza kubeti nilikua kijana mwenye akili iliyotulia,mipango inayotekelezeka na mwenye future nzuri na yenye tumaini. Lakini kadri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…