tena

TENA is a Swedish-based brand of Essity that specializes in products for adults with urinary or fecal incontinence, such as pads and diapers. TENA also produces a youth diaper brand for teenagers and larger children. The company has offices in all of North America, most of Europe, in Australia and New Zealand, and some parts of Asia and Central America. TENA has specific lines for retail and health care. They can be found at grocery, drug and discount stores, in aisles where other bladder control products are sold.

View More On Wikipedia.org
  1. 0

    JamiiForums Tanzania Unamletea kisirani anayekula, kwani wewe nani alikulazimisha ushinde na njaa tena ikiwa umekula usiku kucha?

    Hii comment murua kabisa kutoka kwa bwana denoo JG kukemea kinachoendea huko Zanzibar. Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya Wahanga na kuzaa gharika Ameanza na ushauri Tatizo upeo tu, wale watu wanatakiwa kuwa wanapewa safari za boti bure kuja huku bara kujifunza watu wanavyoishi...
  2. JamiiForums Tanzania Mambo ni Shwari, Hakuna tena Matamko ya Pasaka kutoka kwa Wakatoliki na ACT(Umoja wa Makanisa).

    Naona mambo sasa yamekaa sawa. Yale matamko yaliyokuwa yanatolewa na Makanisa (TEC) na Ule Muunganiko wa Makanisa mengine hasa kipindi cha Pasaka, Yametulia kabisa. Huu Mwaka hakuna kanisa lenye tamko. Achilia mbali hali mbaya ya Uchumi inayolikumba taifa kwa sasa. Inamaana Wameshakubali...
  3. JamiiForums Tanzania Si sawa Kurudia nguo bila kufua, hasa wakazi wa Maeneo yenye Joto

    Na hasa nguo za ndani mfano chupi, bra, boxer, vests. Wanao kuwa jirani nawe wanapata tabu sana kwa uzito wa fukuto la hewa nzito ya kiutu uzima, isiyostahimilika kutoka maeneo mbalimbali ya mwili wako, huku ukiwa umechomekea mwenyewe. 🐒 Kumbuka mwili una hema, na vilevile mwili unapumua. Dah...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Simba isipomfunga Al Ahly kesho nitajiondoa rasmi hapa Jamiiforums

    Ninaongea nikiwa na uhakika, michezo hii naifahamu vizuri, Simba anaua kesho vizuri tu. Na kama mwarabu atachomoka kesho, mimi 1979magufuli natangaza rasmi kuagana na jamiiforums. Iwe jua iwe mvua, mwarabu ameyakanyaga, mwarabu ameyatimba.
  5. JamiiForums Tanzania Ushauri: Ripoti ya CAG isirudiwe tena kusomwa hadharani, inatia hasira na kuleta manung'uniko, wanaotuhumiwa hawajawahi kukamatwa

    Ibaki kuwa siri ya Rais na watu wake baasi, maana kiukweli pamoja na madudu yote yanayoanikwa lakini hakuna hata mmoja aliyechukuliwa hatua. Zaidi ya kuleta manung'uniko na hasira kwa wananchi, hakuna lolote linalofanyika , kuna haja gani sasa ya kutupotezea muda kuangalia na kusikiliza ripoti...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Nasema na narudia tena hapa Tanzania timu yenye uwezo, kiwango na ubora wa kuikabili Mamelodi Sundowns bila ushirikina ni Azam FC tu

    Yaani kwa namna unavosikia mbwembwe na majigambo kuwa Mamelodi atakufa cjui Mudathiri ndio siku yake hiyo wala sio uwezo wa kocha, kocha kesho ana mchango wa asilimia 30 tu, 70% ameachiwa mganga. Ni azam pekee ndio yenye wachezaji wenye quality, kiwango na uwezo wa kuikabili timu yoyote hapa...
  7. JamiiForums Tanzania Rose Mayemba aomba tena Uenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Njombe

    Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Njombe anayemaliza muda wake , Kamanda kabisa Rose Mayemba , ambaye ametajwa kuinyoosha ccm katika uongozi wake Mkoani humo , huku akiisambaza Chadema hadi kwenye maeneo ambayo awali yaliamini kwamba CCM ni dini , ameomba tena nafasi ya uenyekiti wa Chadema Mkoani...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Ujio wa DP World: Bandari za Tanga na Mtwara Wanahusikaje? Tuliambiwa ni Dar tu tena gati tatu

    Kuna sintofahamu inaendelea nchini baada ya Bandari nyingine za Mtwara na Tanga nao wafanyakazi kutangaziwa ujio wa DP World. Hii ni kinyume kabisa Mbarawa alivyokua anahakikishia watu kuwa maeneo yanayohusika sio Pwani yote bali ni Bandari ya Dar tu tena baadhi ya Gati. Ieleweke kuwa suala la...
  9. JamiiForums Tanzania Changamoto zilizokuwa zimeibuliwa na wanainchi na kubebwa na upinzani kama agenda, zimetatuliwa sawa sawia na serikali ya awamu ya 6 ya CCM

    Changamoto zilizokua zimeibuliwa na wanainchi na kubebwa na upinzani kama agenda, zimetatuliwa sawa sawia na serikali ya awamu ya 6 ya CCM. Kiu, matamanio na matarajio ya waTz yamefikiwa na kutekelezwa. serikali sikivu ina zingatia sana sauti, mitazamo na maoni ya waTanzania kuhusu masuala...
  10. JamiiForums Tanzania Arusha: Mmiliki wa Baa ya Kipong mikononi mwa Polisi kwa kutengeneza Pombe kali bandia

    Jeshi la polisi Mkoani Arusha, linamshikilia Mkurugenzi na mmiliki wa Bar Maarufu ya Kipong ,John Casian Shayo kwa kosa la kutengeneza na kuuza vinywaji feki aina ya Konyagi kinyume cha sheria. Casian alikamatwa juzi usiku na mamlaka za serikali zikishirikiana na jeshi la polisi na baada ya...
  11. JamiiForums Tanzania TANZIA Ramadhani Wasso afariki dunia

    Yule beki kisiki wakushoto Ramadan Wasso amefariki dunia Leo nchini Burundi akiwa na miaka 39..... Alikuwa sehemu ya kikosi Cha Simba sc kilichotinga makundi cafcl 2003. --- Beki wa zamani aliyekipiga Simba SC na Yanga SC, Ramadhan Waso, raia wa Burundi amefariki dunia leo Jumatatu Machi 25...
  12. JamiiForums Tanzania Kisa uchawi, Simba yaadhibiwa tena na TFF

    Klabu ya Simba imetozwa faini ya Sh. 1,000,000 (milioni moja) kwa kosa la mashabiki wake pamoja na walinzi wake wa uwanjani (stewards)kupanga njama na kufanikisha azma ya kuingia uwanjani na kufanya vitendo vinavyoashiria imani za kishirikina wakati mchezo dhidi ya Mashujaa Fc ukiendelea kwenye...
  13. JamiiForums Tanzania Viwanja vya starehe na burudani vilivyovuma sana ila leo havipo tena

    1. Maryland Bar, ITV, Mwenge. 2. Hongera Bar, Shekilango Road, Kijitonyama. 3. Chagga Bite Bar, Makumbusho. 4. Mori Bar, Sinza. 5. Nakaleshi Bar, Sinza Madukani. 6. 5N Night Club, Sam Nujoma Road, opposite Mlimani City 7. Karembu Bar, Barabara ya Tano, Soko Matola, Mbeya. 8. Meeda Night Club...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kosa likikufunza sio kosa tena bali ni upya uliokuwa huujui

    KOSA LIKIKUFUNZA SIO KOSA TENA BALI NI UPYA ULIOKUWA HUUJUI. Sifa ya makosa ni kutoa adhabu na inaweza isiwe muda huo ulipolifanya kosa ila ni lazima litakuadhibu tu mbeleni hivyo hakuna namna unaweza kukwepa adhabu ya kosa lako. Taarifa inayopendeza ni kuwa kosa likikupa adhabu nawe ukaona...
  15. JamiiForums Tanzania Utegemezi wa Dunia sasa umeelekea Bara la Asia sio Magharibi tena. Kwaheri Umagharibi!

    Ni ukweli kwamba mwegemeo wa dunia kwa sasa "global economic activity center of gravity " unajiegemeza bara la Asia hasa mataifa ya Uchina, Indonesia na India pamoja na Falme za Kiarabu. Hakuna ubishi tena kwamba enzi au zama za umangimeza wa nchi za Magharibi umeshafikia mwisho. Nchi...
  16. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wanauliwa na walimu kwa vipigo na wengine wanachora ramani za kutorokea USA; tazama huyu hapa anauliwa tena!

    Inasikitisha sana. Tumekuwa tukisikia walimu wakihusika kuwaua wanafunzi kwa vipigo na baadhi yao wameishafungwa gerezani na kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa lakini huku mtaani nako hali si shwari. Tazama mabaladhuli haya yanavyomuadhibu huyu binti bila huruma huku watu wazima wakishuhudia na...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa majeruhi haya ya Wachezaji tegemezi, Mamelodi Sundowns anakuja kufanya Mauaji ya Kishalubela Dar kwa Mkapa

    Yaani kama Roho zote za Timu zina Majeraha makubwa na mabaya bado tunategemea kabisa kumfunga Masandawana tatehe 30 hapa Kwa Mkapa Dar es Salaam? Mwaka jana Simba SC ilipoandamwa na Majeruhi wengi kuna Watu hapa JamiiForums mlifurahi sana hivyo nami GENTAMYCINE leo nafurahi mno kwa Azam FC...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Naomba connection au ushauri wa mchongo wa kufanya baada ya saa za kazi

    Wakuu bila shaka mu wazima wa afya. Baada ya hustle za hapa na pale, kuandika nyuzi kadhaa humu na reply kedekede nikitafuta kazi hatimae nilipata, japo sio kutoka humu ni connection tu ya jamaa yangu niliesoma nae. Hii kazi nina miezi nayo 4 mpaka sasa, mshahara wake kiukweli sio mkubwa hasa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Msanii Kali P hataki tena kusikia muziki

    Msanii aliyetamba na ngoma ya Imekaa vibaya na Tumbo joto , Abdul Miraj maarufu kama Kali P amesema hataki tena kusikia masuala ya Muziki . Kali P amesema ameamua Kumrudia Muumba wake na sasa hive ana takribani miaka 12 ameingia katika dini na ameachana na maswala ya Muziki. "katika dini yetu...
  20. JamiiForums Tanzania Utekaji umeanza tena? Imam Mkuu wa msikiti wa GPB Geita atekwa

    TAARIFA KWA UMMA WA KIISLAMU. Jana Tulipokea Taarifa ya kutekwa kwa Ustaadh Abdulrahmaan Imam mkuu wa msikiti Wa GPB Shell Mtaa wa Nyankumbu Mji wa Geita. Imam Abdulrahmaan Alitekwa akiwa anatoka msikiti kuswalisha Taraweh akiwa Ameambatana na mtoto wake wakiume. Akiwa njiani aliitwa na watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…