tena

TENA is a Swedish-based brand of Essity that specializes in products for adults with urinary or fecal incontinence, such as pads and diapers. TENA also produces a youth diaper brand for teenagers and larger children. The company has offices in all of North America, most of Europe, in Australia and New Zealand, and some parts of Asia and Central America. TENA has specific lines for retail and health care. They can be found at grocery, drug and discount stores, in aisles where other bladder control products are sold.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuanzia leo 19.01.2025 sitakunywa tena bia......

    Mirinda nyeusi inaniita..... kwakweli kuna muda bia huwa inakera ikiamsha hangover unaapa kuiacha mwili ukipoa unarudia tena, siku ya juzi na jana bia imenikera sanaa, leo mimi na bia basi. 👋 Shida imeanza sijanywa kitambo hata miezi miwili imefika, juzi nkaona kama vile nmepata kiu ngoja...
  2. JamiiForums Tanzania Mkongwe Mike Tyson afikiria kurejea ulingoni kupigana tena

    Mkongwe wa mchezo wa ndondi, Mike Tyson ambaye ana umri wa Miaka 58 inadaiwa anafikiria kurejea ulingoni kupigana baada ya kupoteza pambano dhidi ya Jake Paul (28) iiwa ni mara ya kwanza baada ya kustaafu miaka 20 iliyopita. Licha ya pambano lake lililopita kukosolewa na wengi lakini lilikuwa...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Jicho la tatu Kwanini Wasira Tena?

    Kwanini ni Wasira tena? Nadhani mnajuwa maana yakuchaguliwa mtu alie kula chumvi mingi kati kati ya familia yenye kila aina ya vipawa..... CCM patachimbika ila kuna mzee wakuwapooza na kuwaelekeza wakati akitafuta msaidizi.... Kuna siri kubwa sana sana 😞 yakuwa wapo walio itwa ila hawakuitika na...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa sasa, kuokota simu si bahati tena bali ni balaa

    Kuna tukio limetokea Kibaha, Kwa Mfipa, familia imevamiwa, wameibiwa vitu ndani ikiwemo na gari, wamechukua na simu za uwakala wamelazimisha wapewe na PIN, wamepewa. Kama haitoshi wamewafunga kamba mke na mume, wakawaweka kwenye mashimo ya choo tofauti, mtoto wa miezi saba hajulikani yuko...
  5. B

    JamiiForums Tanzania CCM inachekesha sana; wazee walioshindwa miaka yote ndio wanarudishwa tena? Wana Jipya gani?

    Kuna mambo mengine ni kama dharau. Watu waliopata fursa miaka mingi huko nyuma na wamestafu bila kuwa na impact ya maana kwenye Taifa wanarudishwa ili iweje? Hii sio dharau kwa vijana na watu makini ndani ya Chama chetu cha CCM?
  6. JamiiForums Tanzania Hivi tabia ya Watanzania kuwa wajuaji na kuelezea kitu ambacho hawakielewi maana yake tena comfortable kabisa inatokana na nini?

    Wakuu kumekuchaje? Mimi ni mfuatiliaji wa kipindi cha BAMBA LIVE, kinachoendeshwa na BobCat. Kawaida ya kipindi hiki jamaa hupita mtaani na kuwauliza maswali baadhi ya watu. Maswali yenyewe anaweza kuuliza na kuweka terminology ya kiingereza ambayo ukiitafsiri unakuta ni nje kabisa na uelekeo wa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Nani Mwandishi jasiri wa kurusha tena kipindi Cha Mchakato Majimboni?

    Hellow Tanganyika!! Miaka Ile palifana sana kuangalia kipindi Cha Mchakato Majimboni, Jambo hili lilifanya wagombea wa chama tawala kuhudhuria kipindi sababu usingetokea ungepoteza point Kwa wananchi. Sasa tunataka tena kipindi hiki kurudi, swali ni nani jasiri wa kukirudisha? Cc:Pascal...
  8. JamiiForums Tanzania South African Airways kuanza tena Safar za Dar-JHB

    South African Airways (SAA) wanarejea Dar (JNIA) kuondoka Dar*JNIA 0510am kufika OR Tambo International Airport 0755am. Timing nzuri (unatoka alfajiri straight to business meetings ,shopping) Bye bye KQ na Airlnk
  9. B

    JamiiForums Tanzania Siku nilipogundua mwanamke wangu ana wanaume wanne tofauti: Sitoamini tena mwanamke

    Tulikaa vizuri mimi nayeye na alionesha kuridhia kuwa na mimi, Wakati namtongoza nilimwambia najitafuta, akakubali maisha yangu, yeye akawa anafanya biashara ya kuuza duka la perfumes mainly (na cosmetics nyingine kwa ujumla) Tumeishi kama miaka miwili kipindi hiko chote nilikuwa nampromise...
  10. JamiiForums Tanzania CCM haitatamalaki katika utukufu tena

    Sikumbuki ni lini baada ya uchafuzi mkubwa wa kilichoitwa uchaguzi wa serikali za mitaa, CCM ilisikika tena popote! Hata matukio ya kutengenezwa ili kuiweka ccm kwenye ramani ya mijadala yalikufa mimba changa... CCM imeumilaliza mwaka 2024 kinyonge na kwa udhaifu mkubwa.. Bila nuru usoni wala...
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Mbowee mitano (5) tena, aluta kontinua.

    Kamanda yupo imara yuko fiti kwa mapambano..... Nikisemaa mboweeeeee..........unajibu , mitano teeenaaaaaaaa 5tenaaaaaaaaaaaaaaa. Bila Mbowe hakuna Chadema Imara. Hatuwezi kukabidhi chama kwa raia wa Ubelgiji.
  12. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti Mbowe, sisi wananchi hatutaki tena siasa za Ki UNCLE TOM tunataka siasa za kuwapelekea CCM moto. Huelewi wapi?

    Ndugu Freeman Aikael Mbowe nakusabahi. Nakuandikia huu waraka huu ili ujue sisi wananchi huku kitaa tunataka nini. nifuatilie kwa makini. 1. Mosi umefanya blunders nyingi ila chama kilikulinda kwa mfano. *Ulipomleta Lowasa CHADEMA wakati ukijua chama kilikuwa na msimamo thabiti dhidi yake...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa responses kutoka kwa wasomaji kuhus Lissu kusema sasa ni siasa za mshike mshike, siyo maridhiano tena

    Lissu: "Hakuna kuimbiana maridhiano yasiyokuwepo, hakuna tena habari ya kualikana kwenye vikao vya kuzungumza mambo yasiyojulikana. Bali ni muda wa mapambano ya kudai mabadiliko ya kimsingi ya nchi yetu na zinatakuwa siasa za mshike mshike kweli kweli" Tundu Lisu , Makamu Mwenyekiti Bara wa...
  14. JamiiForums Tanzania Lissu: Chadema kipo kibra na M/kiti hana ushawishi tena ndiyo maana hata anapoitisha maandamo ni yeye na binti yake wanahudhuria

    "....Lazima tujiulize, tumewakosea wapi WANANCHI hadi kupelekea hawaiamini tena Chadema?" "....mfano, imefikia M/kiti akiitisha maandamo anaye jitokeza ni binti yake na yeye peke yake-kwanini?!" "....watu waliokuwa tayari kutufia, sasa wana kiona Chadema kama rafiki kipenzi wa CCM." Tundu.
  15. JamiiForums Tanzania Msaada: Mama yangu anasumbuliwa na tatizo la akili ambalo hospitali halionekani

    Salamu kwenu wakubwa zangu.🙏 Wakuu nina changamoto ya kifamilia, kiafya zaidi na ninaomba msaada kutoka kwenu. Mimi ni mwanafunzi wa elimu ya sekondari ya juu ninaishi na mzee (baba), wadogo zangu pamoja na mama wa kufikia. Situation ipo hivi ndani ya siku za hivi karibuni since last year...
  16. JamiiForums Tanzania Bila kumpigia magoti na kumtaka radhi huyu mwanamama, CHADEMA haitaweza kuwa sawa tena.

    Januari 5, 2011 haitakaa isahaulike kwa wapenda demokrasia wote duniani kwa kilichotokea Arusha. Maandamano ya CHADEMA yalizimwa kwa nguvu kubwa na jeshi la polisi hadi kutokea maafa ya watu kuumizwa na baadhi kupoteza maisha. Nakumbuka hiyo siku mimi nilikuwa natoka mizunguko yangu kufika posta...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe badilika sasa, waambie wanaCHADEMA utawafanyia nini kipya ikiwa utachaguliwa tena

    Tangu Mbowe atangaze kuingia tena kwenye kinyang'anyiro cha kutaka kutetea nafasi yake ya uenyekiti hajaweza kusema ana agenda gani mpya kwa Chadema ili achaguliwe tena. Muda mwingi amekuwa akijibu shutuma zinazomhusu na kujitetea kwanini anastahili kuendelea kukalia hicho kiti kwa miaka...
  18. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema Ubunge ndio basi tena?

    Maana kitendo cha kumuunga mkono Lissu ni wazi unapoteza kila kitu ndani ya CHADEMA. Na jinsi ya Makonda alivyotanda Arusha sijui kama kupitia chauma ataweza kungara
  19. JamiiForums Tanzania Jamii ya wahadzabe ilindwe, baada ya miaka 8 hawatokuwepo tena

    Ndani ya hii miaka miwili Kuna muingiliano mkubwa sana wa jamii wa watu wa hadza na watu wa ulimwengu wa kwanza kitu ambacho binafsi naona kama kitachangia sana kuharibu mfumo wa mzuri wa kiasili waliouzoea kuishi na kuondoa kabisa ule utambulishi wao kama wahadzabe Wageni wengi wanaokuja...
  20. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa TEMESA hasa kunapokuwa na ambulance kivuko cha Mv Kazi

    Kila mara tunajribu kuwaambia kwa vile panton ni moja kipind hiki, nyakati za dharula msiwe mnajaza magari line tatu. Hii itasaidia vipi? Itasaidia abiria kuingia kwa haraka na kuondoka haraka kuliko magari yakiziba full matokeo yake watu wanaingia kwa kupenya. Leo ambulance maskini mgonjwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…