tena

TENA is a Swedish-based brand of Essity that specializes in products for adults with urinary or fecal incontinence, such as pads and diapers. TENA also produces a youth diaper brand for teenagers and larger children. The company has offices in all of North America, most of Europe, in Australia and New Zealand, and some parts of Asia and Central America. TENA has specific lines for retail and health care. They can be found at grocery, drug and discount stores, in aisles where other bladder control products are sold.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania akina Tundu Lisu wa venezuela waanza kuachiwa!

    D.Trump (USA)- wafungwa wa kisiasa waliofungwa na communist maduro wameanza kuachiwa, thanks to D.Trump, ni swala la muda tu hata akina Tundu Lisu watafikiwa, tusife moyo to fight evil ...
  2. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 ACT- Wazalendo: Tusiingie kwenye uchaguzi tena bila Katiba mpya

    Viongozi wa chama cha ACT Wazalendo wanaendelea na ziara zao katika Mikoa ya Kusini ambapo jana Januari 7, 2026 Kiongozi wa Chama, Dorothy Semu, aliwasili katika Jimbo la Mtwara Mjini na kufanya kikao na uongozi wa jimbo hilo pamoja na waliokuwa wagombea wa udiwani katika uchaguzi mkuu...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 CHADEMA walitoa sadaka ya kujimaliza Oktoba 29, hawainuki tena

    Waliaandaa mpango ambao walikuwa na uhakika nao kuwa utaua vijana wengi wasio na hatia. Vijana walipewa pesa na ahadi lukuki kama watakubali kujitoa mhanga kuiangusha serikali. Waliwadanganya vijana kuwa jeshi litakuwa nao bega kwa bega huku wakijua kuwa wanawalaghai vijana. Vijana walikufa...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Mbinu Chafu za Udini Dhidi ya Kanisa Katoliki, Kunazidisha Umoja wa Wakristo

    Tuna utawala duni na wa ajabu nyakati hizi kuliko wakati wowote. Watawala wamenyimwa hekima, ufahamu na maono, kwani wanajitengenezea kaburi lao wenyewe. Wajinga wanaamini kuwa kulishambulia Kanisa Katoliki la Roma, kutalidhoofisha, bila ya kufahamu kuwa Wakristo wote ni Wakatoliki. Katoliki ni...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini serikali ya Marekani imezilenga tena nchi za Afrika kwenye vizuizi vya kuingia Marekani?

    Hivi karibuni serikali ya Rais Donald Trump ilitangaza orodha mpya ya nchi ambazo raia wake wanawekewa vizuizi vya kuingia Marekani. Taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Marekani inasema orodha hiyo inahusisha nchi zilizothibitishwa kuwa na upungufu sugu na mkubwa katika ukaguzi, uhakiki, na...
  6. JamiiForums Tanzania Airport ya Chato fanyeni chuo cha urubani .Naeleza tena

    Mimi roho ina niuma sana jinsi ukipita chato unaona kabisa alafu NIT wanataka wakajirundike Airport ya dar na hapo hapo wawe na chuo kikubwa. kwa nini msichukue hapo.😔
  7. JamiiForums Tanzania DOKEZO Mradi wa SGR Mwanza Ndio Basi tena

    Kampuni ya CCECC inayohusika na ujenzi wa reli ya SGR ya Mwanza Isaka imewapa termination letter wafanyakazi wote waliokuwa katika mradi kutokana kukosa fedha ya kuendeshea mradi. Wakati wa kipindi cha kampeni tuliambiwa serikali imemlipa mkandarasi pesa yote. Baada uchaguzi kuisha tu mradi...
  8. JamiiForums Tanzania Tujadili pamoja: Kuna haja na faida tena ya kuwa na TISS nchini?

    Nchi inapaswa kuwa salama kwenye maeneo 3; 1. Kiuchumi 2. Kijamii 3. Kisiasa Kisiasa Katiba ya Nchi yetu inatambua nchi yetu kuwa ya Kidemokrasia. Hii maana yake ni kwamba ili nchi iwe salama ni lazima mifumo ihakikishe siasa za nchi hii ni za kidemokrasia kweli. Vyama vya kisiasa vinashindana...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Ajira Mpya HALMASHAURI YA CHALINZE hatujapewa pesa ya kujikimu

    Mimi ni mtumishi wa ajira mpya kutoka Halmashauri ya Chalinze. Yaani toka mwezi wa pili hatujapewa pesa za kujikimu na ilihali halmashauri nyingine za mkoa wa Pwani wameshalipwa. Kila tukiuliza tunaambiwa tutalipwa tu, wanasema kama sio December 2025, basi April au June 2026.
  10. L

    JamiiForums Tanzania “Jino kwa jino”: Afrika haikubali tena "kanuni za Marekani"

    Sera iliyotangazwa na serikali ya Marekani ya kupanua vizuizi vya kuingia nchini humo hadi nchi 40 kwa kisingizio cha "usalama wa taifa" imeanza kutekelezwa rasmi kuanzia tarehe mosi, Januari ya mwaka huu mpya wa 2026. Kati ya hizo, kuna nchi 27 kutoka Afrika. “Jino kwa Jino”, Niger na Chad...
  11. JamiiForums Tanzania Kwenye Kupindua Nchi, Ukishindwa Mara ya Kwanza, Ndiyo Mwisho, Usirudie

    Katika sayansi ya siasa na usalama, jaribio la kupindua serikali ni kamari ya hatari zaidi ambayo kikundi cha watu kinaweza kuicheza. Kanuni isiyo rasmi ya mchezo huu inasema: "Kama unataka kupiga mfalme, hakikisha unamuua." Ukishindwa mara ya kwanza, milango ya mafanikio hufungwa kabisa, na...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Maridhiano yatafanyika baada ya wauaji kuwajibishwa, yatakuwa Maridhiano ya kuhakikisha hakuna utawala shetani utakuja tena

    Huwezi kuua watu, miili ya watu umetupa porini, mingine umefukia makaburi ya halaiki, unaendelea kuteka na kuwabambikia watu kesi, halafu ukasema unataka maridhiano!! Ni upuuzi wa hali ya juu. Mauaji ya kiharamia yaliyofanywa na kmkm wa Zanzibar, polisi na UvCCM, hayahitaji maridhiano...
  13. JamiiForums Tanzania Watu wanatumia Jina la CHADEMA kuendesha donation za kitapeli wanaweka account zao binafsi ili waishi na familia zao siyo chama huu ni wizi

    Nashangaa mtu anaamka asubuhi kwa kutumia jina la chadema anaweka account number yake binafs anaanza kutafuta hela za mwaka mpya kwaajili ya kula na familia yake na watu wanamchangia kweli hii ni aibu mno huu ujinga utaisha lini, acheni kuwalisha hawa matapeli ya chadema na ikumbukwe kuwa hizo...
  14. JamiiForums Tanzania Nchi inapopata kiongozi mjinga inakuwa hatari sana hapo ndipo makundi ya kigaidi hujitokeza yanateka na kuuwa tukivuka hapa tusifanye makosa tena

    Nchi inapopata kiongozi mjinga inakuwa hatari sana hapo ndipo makundi ya kigaidi hujitokeza yanateka na kuuwa tukivuka hapa tusifanye makosa tena. Lazima tujiulize mpaka sasa ni wangapi wametekwa ni wangapi wame uwawa kikatili ni wangapi wamenyimwa haki zao, ni wangapi wapo gerezani kwa kesi...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini wakuu wa vyuo vikuu vya umma Tanzania huwa ni wanasiasa, viongozi wa serikali au majaji wastaafu wazee?

    UDSM-Rais mstaafu, JK Mzumbe-Rais wa Zanzibar mstaafu, Ali Mohamed Shein SUA- Jaji Joseph Warioba UDOM- Jaji mkuu mstaafu, Prof Ibrahim Juma Ardhi University- Jaji Mohamed Chande Muhimbili- Alikuwa Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi Chuo Kikuu Huria- Mizengo Pinda MUST- Abeid Amani Karume
  16. JamiiForums Tanzania Harmonize jana arudi kupiga show za club na sio kuandaa matamasha tena

    Wakuu jana usiku wa kuamkio leo Kondeboy ameonekana visiwa vya Zanzibar akipiga show kwenye club moja ambapo watu walikuwa akisherehekea Christmas. Limekuwa jambo la tofauti sana kutoka Harmonize yule wa kuandaa concert kubwa leo hii karejea mitaani tena. Naona kuvunga wameshindwa na kumbe sisi...
  17. JamiiForums Tanzania Maisha hata hayanogi tena,jamiiforum hainogi tena imepoa tuliwaambia nchi inahitaji kiongozi wakuchilimua kama JPM.

    Enzi za awamu ya tano mambo yalikuwa mchakamchaka kila siku unapata sababu ya kuishi ila siku hizi kumepoa sana hakuna wa kuchangamsha maisha, hakuna ziara za kushtukiza wala kutumbua majipu ni kama tunajilazimisha kuishi tu siku ziende.Mpaka topic za kuanzisha thread mtu unakosa. Nikiingia...
  18. JamiiForums Tanzania Redcross wasema watu hawataandamana tena. Watadili na mtu wao wanavyojua

    Wanyonge msiumie nyoyo zenyu. Huyu mtu hatutamuacha aingie kuzimu kwa amani. Red Cross wasema lazima alipie. Yeye ajifiche awezavyo wala hiyo haimsaidii hehehee. Yule jamaa wa Baharini. Mzee wa supu ya ngisi anapasha kiporo walahi. Mwambieni kama kufa Kila mtu atakufa asiogope mayii. Siku...
  19. JamiiForums Tanzania Israel yaangalia uwezekano wa kuishambulia tena Iran!!!

    🚨 Israel yaionya Marekani: Majaribio ya Makombola ya Iran yanaweza kuficha shambulizi la Iran dhidi ya nchi yake. Maafisa wa Israel wameutahadharisha utawala wa Trump kwamba zoezi kubwa la kombora la IRGC huenda likawa kificho kwa shambulio la kushtukiza linaloweza kutokea dhidi ya Israel...
  20. JamiiForums Tanzania Hamna mtu atathubutu kuingia barabarani tena

    Kwa nilivyoona tarehe 29 mpaka tarehe 3 watu kuuawa na tuliaminishwa jeshi lipo na wananchi basi mkae mkijua hii nchi watu hawatoingia barabarani kuandamana tena Sasa hivi kila mtu anasema kama kuiba acha waibe tu kila mtu afe na chake. Ukijichanganya kujifanya mwanaharakati uchwara upo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…