Hivi utajisikiaje ukawa na uwezo wa kutumia WhatsApp bila kila mtu unayewasiliana naye kujua namba yako ya simu! 👀
WhatsApp inafanyia majaribio mfumo mpya wa Phone Number Privacy unaolenga kuongeza ulinzi wa faragha kwa watumiaji.
💑 Ukiweka Everyone – Kila mtu anaweza kuona namba yako.
📞...
Hivi utajisikiaje ukawa unanunua 😃 Mwanga wa Jua usiku ili kuweza kupata Mwangaza ?? We Fikiria tu ni saa 2 usiku, lakini bado unaweza kupata mwanga unaofanana na wa jua mchana! 😳🔥
Kampuni ya teknolojia kutoka Marekani, Reflect Orbital, inaendeleza wazo la kutumia satelaiti zenye vioo vikubwa...
Kama Unatumia Samsung Galaxy A Series? Basi usikimbilie kubadilisha simu yako! 👀
Kuna baadhi ya simu za Samsung Galaxy ambazo zitaendelea kupata Security Updates na Android support hadi kufikia mwaka 2029, zikisaidia kulinda simu dhidi ya vitisho vya kiusalama hata baada ya masasisho makuu ya...
Google inakuja na mabadiliko kwenye mfumo wa Contacts Permissions kwenye Android 18, kwa lengo la kuongeza Privacy na kuimarisha Usalama wa taarifa zako.🛡️
📌 What's changing?
✅ Apps zitakuwa na njia salama zaidi za kuongeza add au ku edit contacts.
✅ Kupunguza ruhusa zisizo za lazima...
Wakenya hii balaa 😃😃
Wakenya bhana wamebaki midomo wazi baada ya gari lenye muonekano wa kipekee kama Tesla Cybertruck kuonekana likipita katika barabara za Karatina! 🚘🤯
Kinachowafanya watu washangae zaidi ni madai kwamba gari hilo limetengenezwa nchini Kenya! 🇰🇪👏
Je, kweli mafundi wa Kenya...
Baadhi ya watumiaji wa iPhone Duo wameripoti matatizo ya skrini ya ndani kupasuka, huku kukiwa na wasiwasi kuhusu eneo la bawaba (hinge) linalosaidia simu kukunjika. 🔍📱
Dalili zilizoripotiwa ni pamoja na:
💥 Skrini kupata mistari ya mwanga mweupe.
⚠️ Mistari ya pikseli kuharibika karibu na...
Kama wewe mpenzi wa Games basi hii Tablet ni balaa 🧑💻 HONOR imekuja na mashine ya gaming inayoweza kuwafanya gamers wengi kutamani kuimiliki! 🚀
Kwenye HONOR WIN TABLET kilichopo ndani yake:
💥 Snapdragon 8 Elite Gen 5 — nguvu kubwa kwa gaming na multitasking.
❄️ Feni ya ndani ya 15,000 RPM...
Simu inaitwa Punkt MP02 ni simu ndogo isiyo na TikTok, Instagram wala YouTube, lakini bei yake inaweza kukushangaza! 🔥
Imejengwa kwa ajili ya simplicity, privacy na kuondoa usumbufu wa smartphone. 😮💨
📱 Kwa nini MP02 ni ghali?
🤑 Bei rasmi ya sasa ni kuanzia CHF 299 — takribani TSh milioni...
Kuna mabadiliko mapya yanayoweza kubadilisha kabisa namna tunavyolipia huduma ndani ya Android apps! 🔥
Google inakuja na Mfumo unaitwa Usage-Based Billing ambapo unaruhusu watumiaji kuweza kulipia huduma kulingana na matumizi yao badala ya kulazimika kulipa subscription ya kila mwezi.
Hii...
Google imeanza mchakato wa kuondoa Mfumo wa kutumia Qr Code kuweza kuunganisha simu na kompyuta kwenye Google Messages for Web .
Zamani ukienda kwenye Messages for Web, ulipata QR Code kwenye kompyuta: Simu → Messages → Device Pairing → Scan QR Code → Scan QR kwenye PC sasa mambo...
Kabla ya USB, kabla ya kupakua Windows moja kwa moja mtandaoni… tulikuwa tunatembea na CD ya Windows mkononi.
Ukihitaji kusakinisha mfumo, CD ikiingia kwenye kompyuta, ndipo safari inaanza. 😅💻
Na ukiona imeandikwa Windows XP kwenye hiyo CD, ujue ulikuwa umejipanga! 😂🔥
Enzi zimebadilika...
Google imesema mwaka huu Watu wote wataipenda Google Messages bhana 😃😃
Google inaandaa UI mpya(muonekano mpya)kabisa wa Google Messages 😍📱 — na kwa kweli, muonekano wake unaonekana safi, wa kisasa na rahisi zaidi kutumika!
🔍 Search inahamia chini kwa matumizi rahisi ya mkono mmoja
✨ Gemini...
PlayStation iko kwenye majaribio ya kuleta mfumo mpya wa Rewards ambapo watu wataweza kupata hadi $10 za PSN Wallet Credit baada ya kununua games zilizochaguliwa. 😱💳
Ukinunua game yenye offer hiyo, $10 zinaongezwa kwenye Wallet yako ili zitumike kwenye manunuzi mengine ya PlayStation Store. 🤑🎮...
Motorola imeamua kuingia kwenye vita dhidi ya Samsung mwaka huu 2026🔥🔥.
Kampuni ya Motorola imeamua uzinduzi wa Simu mpya aina ya Motorola Signature 27 itaweza kufanyika Marekani 🇺🇸 ikiwa na lengo la kuingia kwenye ligi ya flagship zinazoshindana na simu za Galaxy. 👀🔥
Kwa ufupi tu kuhusu...
Ulishawahi kujiuliza kwa nini post yako X imezuiwa au reach yake imeshuka ghafla na kuwa ndogo? 🤔
Mtandao wa X sasa imeongeza Mfumo wa uwazi kupitia feature inaitwa “Under the Hood” ambapo mtumiaji anaweza kupata taarifa ikiwa serikali ya nchi yake 🇹🇿 au nchi fulani imeilazimisha X kuzuia au...
Kuna changamoto mpya inawakumba watumiaji wa iPhone 18 Pro na iPhone 18 Pro Max, na imeanza kuonekana siku chache baada ya simu kuanza kufika kwa watumiaji.
😳 Baadhi ya watumiaji wameripoti kwamba wana potumia Face ID na Face ID ikishindwa kuthibitisha uso, simu inaweza Simu Kuganda kabisa...
Tanzania imeamua kuigusa sekta ya Teknolojia kwa njia ya kipekee 🔥🔥🔥
Wabunifu wa Tanzania wamekuja na miwani yenye AI inayolenga kuwasaidia watu wenye ulemavu wa kuona kutambua na kuelewa mazingira yanayowazunguka. 🧠👀
Miwani hii inaweza kutumia teknolojia kama kamera, AI na sauti kusaidia...
ai glasses
bongotech255
meta ai glasses
tanzania
tanzania innovation
tanzania institute of accountancy
tech tanzania
technews
technology
teknolojia
teknolojia ni yetu sote
Samsung imeamua kumchagua Google Photos badala ya onedrive 👋.
Samsung imeanza kuruhusu kutumia Google Photos kama backup moja kwa moja ndani ya Samsung Gallery, hatua inayokuja baada ya Samsung kuachana na mfumo wa OneDrive kwa Gallery. 👀
Sasa unaweza kuhifadhi picha na video zako kwenye...
Hivi Umeshawahi kuona simu ya batani ambayo Ina uwezo wa kuchaji smartphone yako? 😱
Najua bado hujawahi kukutana nayo nakuambia tu Nokia ya zamani imerudi na idea ya kipekee imeleta simu Ya kushangaza yenye uwezo wa kuchaji simu yako 👋.
Inaitwa Nokia 300 Charge imekuja na betri ya 3,700mAh...
Leo ni siku ya watu wanaogeuza mistari ya code kuwa teknolojia inayotumika kila siku. ❤️🔥
Kutoka kwenye Apps 📱, Websites 🌐, Games 🎮 hadi AI 🤖 nyuma ya kila teknolojia nyingi tunazozitumia kuna programmer aliyekaa chini na kuandika code.
Na cha kushangaza? 😮
256 si namba tu… ni siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.