tattoo

A tattoo is a form of body modification made by inserting ink, dyes, and/or pigments, either indelible or temporary, into the dermis layer of the skin to form a design. The art of making tattoos is tattooing.
Tattoos fall into three broad categories: purely decorative (with no specific meaning); symbolic (with a specific meaning pertinent to the wearer); and pictorial (a depiction of a specific person or item). In addition, tattoos can be used for identification such as ear tattoos on livestock as a form of branding.

View More On Wikipedia.org
  1. ashraffbale

    Wanawake wenye tattoo wanapatikana wapi?

    Habarini Mimi ni mwanaume mwenye umri mkubwa tu na nina zaidi ya miaka 25 nipo Dar es salaam, nimeshawahi kuwa kwenye mahusiano na wanawake mbali mbali lakini sijawahi kukutana na mwanamke mwenye tattoo. Nachojiuliza mbona mitandaoni nawaona sana, kwenye tattoo artists nawaona sana. Je...
  2. Jannatul Firdaus

    Niffer: Siwezi kutoa Hela kisa Mtu amechora Tattoo yangu, siendeshi Maisha yangu hivyo

    Mfanyabiashara na (influencer) Niffer hivi karibuni amkataa shabiki aliyejichora tattoo yenye sura yake, huku akisisitiza kuwa hatatoa msaada wowote wa kifedha kisa tu mtu amejichora picha yake. Tukio hilo limekuja kufuatia kusambaa kwa picha za shabiki huyo aliyetumia tattoo kama ishara ya...
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    Mama ajichora tattoo ili aweze kuwasiliana kirahisi na Mwanawe mwenye usonji

    Baadhi ya akina mama huwabeba watoto wao. Mama huyu amebeba maneno ambayo mwanawe hawezi kuyasema. Hunter Fletcher ana tawahudi (autism) na hawezi kuzungumza kwa maneno, lakini kama mama yake Jessica anavyosema kwa uwazi, kutoweza kuzungumza hakumaanishi kwamba hawezi kuwasiliana. Huwasilisha...
  4. J

    Ni dhambi kuchora tattoo kwenye mwili

    Ni dhambi kuchora tattoo kwenye mwili Maandiko katika kitabu cha Mambo ya Walawi 19: 28: “Msichanje chale yo yote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala MSIANDIKE ALAMA MIILINI MWENU; mimi ndimi Bwana”. Bwana alikataza watu kuchanjwa chale kwa sababu chale zote zinahusiana na ibada...
  5. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Kwahiyo bro umekaa ukatafakari kabisa na kuona uko sahihi kumuoa huyo mwanamke mwenye Tattoo kiunoni na sehemu nyeti?

    Umeangalia vigezo vyako kwamba ni kweli Hana mtoto ila kwenye kipengele Cha Tattoo akakuambia ujana , ulimbukeni na kuiga nawe ukakubali? NI SAWA BRO. Kitu muhimu uelewe visivyokuwa na shaka kwake huyo. 1: Hana bikira 2:Katoa mimba shazi 3:Amelombwa na wengi mno akiwemo na mchora Tattoo. 4...
  6. M

    Unadate na Mwanamke au mmama ambaye amechora tattoo ya jina la la ex wake kwenye paja. Wewe utakuwa na matatizo

    Unapata wapi nguvu za kupiga tako? Kwenye paja la huyo mwanamke kuna tattoo ya ya moyo na mshale. Alafu kuna jina mpenzi wake ambaye yeye anakuambia walishaachana. Alafu kwa upuuzi na ujinga unapiga tako kwa bidii kama unaendesha mtumbwi. Are you insane?
  7. D

    Huu utamaduni wa wasanii wa Bongo Flavour kutoboa pua na masikio na kuchora Tattoo: Ni Ushamba au Ujanja?

    Mimi sielewi huu utamaduni wameutoa wapi Hawa wasanii wa kiume wa Bongo Flavour. Sikuhizi naona ndiyo fashion Kila msanii wa kiume lazima atoboe masikio aweke helleni kubwa masikioni kama Mwanamke na lazima aweke kipini kwenye pia. Hii mambo imekaaje wajuba??? Au ndiyo tuseme Ma-Anko...
  8. W

    Mwanamke aliyechomwa kwa kuchora Tatoo ya Rais Ruto afariki

    Mwanamke wa nchini Kenya aliyefahamika kwa jina la Rachel Wandeto, ambaye aliwahi kusambaa mitandaoni baada ya kuchora tattoo ya Rais William Ruto kifuani mwake, ameripotiwa kufariki dunia akiwa anapatiwa matibabu kufuatia shambulio la kuchomwa moto kwa petroli. Rachel Wandeto alidaiwa...
  9. S

    POTOSHI Picha hii ya Uhuru akiwa na tattoo ya Freemason ni halisi?

  10. Teslarati

    Je aina hii ya tattoo ndio signal yao?

    Kuna kitu sikielewi kabisa, kwanza niwe mkweli mimi napenda sana pisi kali zenye english figure aka models hivi Kupenda kwangu aina hio ya wanawake kumenifanya niangukie mara kadhaa kwa mabinti ambao ni 'wakoboaji' Cha kushangaza zaidi wengi wao huwa wana tattoo begani kama hii picha hapa...
  11. Sakwe

    JE KUJICHORA MICHORO MWILINI(TATTOO)KUNA FAIDA GANI ?

    Habari wanajamvi! BIla ya kupoteza muda twende kwenye hoja ya msingi , kumekuwa na kasumba ya wanawake kwa wanaume hususan wanaoishi katika mikoa ya Dar, Pwani na hata Zanzibar kujichora tattoos. Wengine watu wazima tena michoro isiyokuwa na maana kabisa wanajamvi nielewesheni bira kuni karipia...
  12. Eli Cohen

    Ila wachambuzi wa Soccer wa bongo😂, mnakumbuka kipind kile Shaffih Dauda alikuwa anatuambia kuwa Rashford jina lake halisi ni Rashid na ni Mtanzania

    Kumbe mwamba asili yake ni Jamaican na Saint Kitts. Hadi leo sijui Dauda alitoka wapi na zile habari na alifikiria nini kutumezesha matango pori😂
  13. Eli Cohen

    Hegseth, waziri wa Ulinz mtarajiwa U.S: “Nilijitolea kulinda uapisho wa Biden na nikakataliwa kwa sababu ya kuwa na tattoo ya msalaba wa kikristu"

    Jana Pete Hegseth alipokuwa anahojiwa na kamati ya bunge, alisema alitambulika kama mwenye "msimamo mkali" hivyo kukataliwa nafasi hio ya kulinda sherehe ya uapisho wa Rais Biden. Lakini cha kushangaza jeshi la Marekani linaluhusu ushoga wa kupindukia katika uongozi wake.
  14. Trainee

    Mbona kama wazungu kujichora miili yao ni jambo la kawaida sana kwao?

    Nimeona kwenye movie nyingi za kileo wengi sana wamejichora miili yao. Nilidhani labda ni maigizo tu wameamua kutokeza kwa staili hiyo lakini nashangaa hata matukio mbalimbali ambayo ni halisi bado nawaona hawa watu wakiwa wamejichora chora miili Hivi hili jambo lina maana gani kwa wenzetu...
  15. Zero Competition

    Mwanamke akiwa amechora Tattoo sijisumbui hata kumuomba namba yake ya simu

    Binafsi hii ni moja ya red flag kubwa sana ambayo inaniogopesha toka kwa mwanamke, hii ni kwangu mimi lakini sijajua kwa wanaume wenzangu wanachukuliaje jambo hili. Just imagine mwanamke amechora Tattoo kwenye maziwa au kwenye makalio na sehemu zote hizo wakati anachora Tattoo Artist amezishika...
  16. K

    Nina tattoo makalioni, mume wangu kuniambia nitafute mwanaume mwingine

    Wakati niko chuo nilikuwa na rafiki zangu wawili ambao tulikuwa tunaaka chumba kimoja. Ni watu wa kujirusha, na kipindi hicho tulikuwa wazuri sana. Mambo yalikuwa mengi na tulifanya ujinga mwingi. Kuna mambo mengi nilifanya kipindi hicho ambayo mpaka leo najutia, lakini kuna hili moja ambalo...
  17. NITAKUKAMATA TU

    Ongezeko la mabinti (wanawake) waliochora tattoo sehemu mbalimbali za miili yao, nini tatizo? Haliwezi kuhatarisha makuzi ya mabinti wa kesho?

    Habari ndugu wana jamvi, Leo nimekuja na jambo ambalo linaweza kunipa wasiwàsi kwa namna moja au nyingine. Kama jamii hivi Sasa ,kumekuwa na wimbi kubwa La wadada ,wasichana na wanawake kujichora tatoo Katika miili Yao. Na tattoo hizo mara nyingi uchorwa sehemu ambazo inakuwa rahisi kwa MTu...
  18. Bonsipele69

    Nilijua nimeona vyote mpaka pale nilipoona Msukuma amechora tattoo ya ugali

    Kweli tembea uone kila siku utaona mapya na hutoyamaliza mengine ya kuelimisha kuburudisha na kusisimua hakika dunian ni sehemu ambayo unapata full package kujifunza, kuburudika n.k Mchana mwema ndugu zanguni.
  19. Mjanja M1

    Watu wenye Tattoo ni waongo kinoma

    Anasema kuwa anajuta kuchora Tattoo kwenye mwili wake lakini cha kushangaza ni hataki kuzifuta hizo Tattoos. Wengine sasaivi wamegeukia upande wa dini lakini bado wanazo hizo Tattoos na hawataki kuzifuta. ACHENI UNAFIKI AISEE!
Back
Top Bottom