tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Katiba Mpya Tanzania: Je, Tatizo Liko Kwenye Katiba au Kwenye Watu Wanaoiendesha?

    Tanzania imekuwa na mjadala wa muda mrefu kuhusu umuhimu wa kuwa na Katiba mpya. Wapo wanaoamini kuwa baadhi ya changamoto za kisiasa, uwajibikaji na mgawanyo wa madaraka zinatokana na mapungufu yaliyopo kwenye Katiba ya sasa. Lakini wengine wana hoja kwamba hata Katiba nzuri zaidi inaweza...
  2. U

    Msaada wa nini cha kufanya kwa tatizo hili la kibenki!!

    Mwishoni mwa mwezi Juni mwaka huu, nilikopa mkopo wa mwaka mmoja benki ya CRDB.Nikiwa mtumishi wa serikali niliruhusu makato kwenye mshahara wangu moja kwa moja.Makato tulikubaliana yaanze mwezi wa saba.Ajabu huo huo mwezi wa sita waliingiza mkopo na kuukata rejesho zima la mwezi. Nilipowafuata...
  3. Magonjwa haya 10 yanasumbua watanzania wengi, Jifunze kutibu tatizo mojawapo husaidie jamii na kujipatia kipato

    1.UTI 2. PID 3.Vidonda vya tumbo 4.Bawasiri 5.Presha 6.Kisukari 7.Maumivu ya viungo na ganzi 8.Ngozi ya mafuta na chunusi 9.Ngozi kavu na mikunjo 10.Nywele kukatika au kutorefuka Tuma ujumbe whatsapp 0713 039 875 kuungwa kwa darasa BURE
  4. G

    Morogoro, Wilaya ya Kilombero, Tarafa ya Mang'ula Wananchi waomba msaada kuhusu tatizo la Tembo

    MKOA WA MOROGORO, WILAYA YA KILOMBERO, TARAFA YA MANG'ULA: WANANCHI WAOMBEA MSAADA KUHUSU TATIZO LA TEMBO Vijiji vingi vilivyopo katika Tarafa ya Mang'ula, Wilaya ya Kilombero, Mkoa wa Morogoro, vinapakana na Hifadhi ya Taifa ya Milima ya Udzungwa. Kwa ushirikiano kati ya TANAPA, Serikali na...
  5. Hakuna mteja msumbufu: tatizo ni kushindwa kumtimizia mahitaji yake

    Kuna baadhi ya wafanyabiashara wamekuwa wakisema kuna wateja ni wasumbufu sana, mpaka wengine wanafikia hatua ya kutotaka kuwahudumia. Kwa mtazamo wangu, hakuna mteja msumbufu; mara nyingi ukiona mteja analalamika, ujue kuna sehemu hajapata huduma aliyotarajia. Customer care ina uwanja mpana...
  6. K

    Tujiulize: Majaliwa, Mpango sasa Nchimbi! Tatizo ni rushwa

    Mama ukiwa mchapa kazi na sio mla rushwa na unapenda haki unakuwa adui yake.
  7. K

    Tatizo la Samia na Kikwete Madaraka kwao ni bora kuliko taifa

    Kama haukubaliani na mimi tueleze kwanini viongozi hawa wanaiba kura?
  8. Pamoja na kukopa trilion 51 ndani ya miaka 5 bado mradi wa SGR Unasuasua tatizo nini?

    Mikopo yote tuliyokopa tumeshindwa kweli kumalizia kipande cha SGR mwanza Dar kweli? Tutakuza vipi uchumi kama miradi ya maendeleo inasuasua hivi?
  9. Dar es Salaam kila mtu ninayekutana naye akinichekea nakuta ana pengo. Afya ya meno imekuwa tatizo kubwa sana miaka hii

    Hii hali inaanza kutisha. Siku hizi unakutana na mtu, hasa mdada mrembo, unampa marks zote. Lakini akitabasamu unakuta ana pengo au meno yana matatizo yanayoonekana wazi. Hii inanifanya niamini kwamba suala la kutunza afya ya kinywa na meno limekuwa changamoto kubwa kuliko tunavyolichukulia...
  10. A

    KERO Tatizo Malipo Tiketi SGR Kupitia M-Pesa

    Mnamo tarehe 24 July 2026, mimi na mfanyakazi mwenzangu tulifanya malipo ya tiketi za SGR kupitia M-Pesa kwa kutumia control number tulizopewa. Fedha ziliondolewa kwenye akaunti zetu, lakini malipo hayakuwasilishwa kwa SGR. Tulipowasiliana na SGR, walituambia control number zilikuwa bado...
  11. Tatizo kubwa, hoja za wapinzani hazijibiwi. Kilichobakia ni watu kutishiwa kukamatwa na kutekwa. Kwa namna hii hakuna maridhiano.

    Kuna upinzani ndani ya CCM na nje ya CCM. Nje ya CCM ni Chadema chini ya Lissu na Heche. Imeonekana haina habari za siasa za kitapeli za kulaghai wananchi. Ndani ya CCM kuna kundi kubwa la wanaCCM ambao hawaiungi mkono hii serikali ambayo hata wao wanasena hakuna uchaguzi uliofanyika Oktoba...
  12. Tatizo la afya ya akili linavyomaliza wengi kimyakimya

    Hii gari imeonekana ikiwa imepaki pembezoni mwa uwanja wa hapa mtaani kwetu toka Jumanne ya wiki iliyo pita, mwenye gari hii alikuwa mdada. Huyu dada ilikuwa Kila siku saa mbili asubuhi anakuja na gari lake ana paki hapo anashuka na kiti chake anakaa hapo nje ya gari chini ya mti, halafu...
  13. Mzee Said, unaforce kutengeneza tatizo ambao halipo. Tz ilijijenga katika misingi ya kuheshimiana dini zetu. Wewe ni udini ndio unakusumbua.

    Mohamed Said Unatamani sana nchi hii ingekuwa chini ya caliphate, sasa kwa kuwa misingi ya dini katika siasa iliminywa na sera za nyeerere ili isipelekee taifa kugawanyika kidini na kugeuka kuwa lebanon sasa inapelekea kukuumiza sana kwa kudanganya watu kuwa TANU na nyerere waliua historia na...
  14. Nahitaji namba ya daktari wa afya ya uzazi kwa wanaume , nasumbuliwa na tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume

    Nahitaji daktari humu ndani niwasiliane nae naombeni msaada wenu tafadhali
  15. N

    Je hili ni Tatizo? nina miaka zaidi ya 10 sijaumwa

    Wakuu sikwamba napenda kuumwa ila hali hii pindi fulani hunipa mashaka labda huenda naumwa ndani kwa ndani na sijijui.maana nina miaka zaidi ya 10 sijaumwa na ikiwa nikaumwa labda kujisikia vibaya ugonjwa wangu ni mafua na home tu na baada ya siku 3 au 4 nimepona pia nikiwa na kidonda baada ya...
  16. Kinachoitesa Tanzania si Viongozi ni Tatizo la Fikra.

    Hata leo usiku, ikiwa chama tawala kitatoka na kuingia chama kingine ili kupata viongozi wapya, taifa hili litaendelea kuwa maskini kama nguvu ya kuzindua raia haitatumika kwa dhati. Ukweli uliopo ni kwamba mabadiliko ya kweli hayaanzi kwenye kura za sandukuni pekee, bali huanzia kwenye ukombozi...
  17. Lipi ni tatizo hadi wanaume kunyanyapaa wanawake waliowahi kuwa na wapenzi wengi awali?

    Kwa wanaume wanatafuta wake au wenza wa kudumu tatizo huwa ni mwanamke kuwa na wanaume wapenzi wengi kabla ya ndoa au aina ya wanaume aliokuwa nao kama wapenzi wake? Mimi naona kama mwanamke alikuwa na wapenzi wengi wakiwa maarufu au watu wa hadi hata akazaa nao sidhani kama hunyanyapaliwa kama...
  18. Tunatamani kupigania katiba mpya; Tatizo tunaogopa kesi za uhaini, ugaidi na uchochezi!

    Hakuna ubishi, wito wa Mh. Makamu wa Rais, Balozi, Dr. Emmanuel Nchimbi, wa kuwahimiza watanzania kupigania katiba mpya, umepata mwitikio na hamasa kubwa kutoka kwa watanzania wote. Kwa kuzingatia maoni mbalimbali yaliyotolewa, ni wazi kuwa tupo tunaomuona Dr. Nchimbi kama kiongozi wa mfano...
  19. HOJA Changamoto ya Visa ya China Tanzania: Tatizo ni Madalali, Sio Ubalozi

    Kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu ugumu wa kupata nafasi ya kuwasilisha maombi ya Visa ya China nchini Tanzania. Watu wengi huilaumu Ubalozi wa China, lakini kwa mtazamo wangu, tatizo kubwa si ubalozi wenyewe, bali ni mtandao wa madalali na watu wa kati ambao wamejijengea mfumo wa kujipatia...
  20. L

    Tatizo mfumo wa uhakiki wiki ya nenda kwa usalama

    Nimejaribu kuangalia inspection report naona inaonyesha inspection date na valid until vinafanana yani inaisha siku hiyohiyo. Status pia inasoma expired. Je kuna tatizo la mfumo wa ukaguzi kutoka Jeshi la polisi au kwa wale waliolipia kuanzia mwezi January na kuendelea mfumo hautambui ?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…