tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Poppy Hatonn

    Tatizo siyo Katiba

    Tatizo ni majaji wanapokea rushwa. Haya ndiyo mawazo ya Talmud.( Rabbi Mirvis aliniambia ninayo ruhusa yake kuongea kuhusu Talmud) Tumejifunza katika Boraitha: Kama utaishi katika kizazi ambacho kuna shida nyingi(mateso), nenda ukachunguze miongoni mwa waamuzi( majaji) wa Israeli; kwani shida...
  2. M

    Thread ya kuomba ushauri nasaha kuhusu tatizo la kiafya linalonisibu kwa muda mrefu sasa

    Habarini za wakati huu wanajamii forum. Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 23.Nimekuja hapa kuomba ushauri nasaha juu la tatizo la kiafya linalosumbua kwa muda wa miaka mitano sasa . HISTORIA YA TATIZO (Nahisi ndiyo chanzo lakini madaktari huwa wanakataa wakidai havina uhusiano) Mwaka 2020...
  3. N

    Tatizo ni nini wakuu naombeni msaada

    Wakuu Nina Hali naipitia maeneo ya kazini .Yani maeneo yote nliyofanya kazi Hali hii hunikuta. 1.Nachukiwa bila sababu kazini 2.hata kama Sina pesa hata mia watu hufikilia Nina pesa Yani hata Mtu akisema nimkope nikasema Sina basi huzani nimemnyima 3. Watu huzani labda nipandikizi la usalama...
  4. A

    KERO Tembo bado ni tatizo kubwa kwa Wakulima wa Liwale - Lindi

    Kwa takribani miaka mitano sasa, tembo wamekuwa wakiingia katika mashamba ya wakulima wa Liwale na kuharibu mazao, ikiwemo mikorosho. Je, mamlaka zimeshindwa kudhibiti tatizo hili, zinafanya makusudi, au hazina uwezo wa kulitatua? Mpaka lini wakulima tutaendelea kupoteza mazao na kuhatarisha...
  5. O

    NMB, NAOMBA MNIPE MAELEZO NA SULUHISHO LA TATIZO HILI

    Nimekuwa nikitumia NMB Mkononi kwenye simu yangu ya zamani. Kwa bahati mbaya, simu hiyo iliharibika. Baada ya kupata simu mpya, nime-install NMB Mkononi na kujaribu kuingia kwenye akaunti yangu, lakini nimekuwa nikishindwa. Nimekuwa nikijaribu kwa takribani miezi mitatu, lakini bado...
  6. AXIOM APEX VERBOSE

    Hivi tatizo la mtu kupenda kula vitu vilivyooza yaani kula MIZOGA kitaalamu linaitwaje?

    Naombeni kwa anaefahamu anitoe tongo tongo hapo. Maana kuna jamaa yeye hawezi kula kitu hai anapenda kula vitu vilivyokufa na vilivyooza, mfano nyama za mizoga mizoga ndio anapenda kula, mahindi yaliyooza, mchele uliooza ndio anapendelea, matunda yaliyooza, nk hapendi kula vitu visivyooza au...
  7. min -me

    Kwa herini JF juzi nilienda hospital ya mhimbili nikagundulika na tatizo kubwa

    Madaktari bingwa waligundua 🤔 Sina mfupi wa kuishi , tatizo langu ni vibe la kulewa na kuwazindua , na daktari amesema niendelee tu nawazibua kwa afya zao
  8. A

    KERO Njia ya Pugu Road (Vingunguti hadi Jet Corner) kuna harufu kali, sijui tatizo ni nini?

    Wale tunaoishi na kufanya shughuli zetu Pugu Road, kuanzia Vingunguti hadi Jet Corner kipindi cha nyuma eneo hilo lilikuwa na hali ya hewa nzuri, lakini siku hizi hali imebadilika, kumekuwa na harufu mbaya na nzito ambayo wakati mwingine inafanya iwe vigumu hata kufanya kazi na kuendelea na...
  9. Ngongo

    Lipo tatizo katika siasa zetu,Kiwanda cha kusafisha mafuta kitajengwa Kenya.

    Heshima kwenu wanajamvi. Sasa ni wazi Dangote kaamua kujenga kiwanda cha kusafisha mafuta Lamu,Kenya. Tanzania tuko busy kupambana na siasa mbovu. Siasa zetu za ndani hazivutii uwekezaji mkubwa,labda kuuza au kukodisha Bandari au uendeshaji wa mwendokasi. Tayari Dangote keshatujua ndani nje...
  10. mwenye shamba

    Tunaomba serikali ichunguze hili tatizo la watoto kutapika na kuharisha hapa manyoni.

    Mode hide my id Kumekuwepo na changamoto kubwa ya watoto kutapika na kuharisha hapa wilaya ya manyoni,wodi ya watoto kwa sasa hakuna ugonjwa mwingine unaoongoza kwa kuwa na wagonjwa wengi kama huu wa kutapika na kiharisha Ttunaomba serikali itoe ufafanuzi,isijekuwa ni kipindupindu tayari...
  11. R

    Tatizo ni maagizo, short of that the man is free as of today

    Mungu kasema hivyo. Kuwa leo kila kitu kimekamilika. Pilato kanawa mikono kuwa mtu huyu ni mtakatifu. Hata mtoto wa IJA analiona hilo tamko la Mungu wetu mkuu.
  12. Gunner11

    Ego: Kikwazo Namba Moja cha Maendeleo

    Katika kukua kwangu nimekutana na idadi ndogo sana ya watu wenye less ego. Watu wanalinda kujiona hawafai sana, to the extent wako tayari kuku manipulate na kuku gaslight ili usipige hatua. Hadi wazazi, wako radhi urudi mistakes zao kwa kukuacha uwe less wakati huenda wanauwezo wa kukupa...
  13. Dr. Zaganza

    Tibu Tatizo la kukosa usingizi usiku

    Kukosa usingizi kuna uhusiano na kushuka kwa madini ya magnesium hasa baada ya stress kadhaa. Maganda ya ndizi mbivu yana magnesium ya kutosha kurudisha kiwango cha magnesium mahala pake. Chukua maganda ya ndizi mbivu 4 Ongeza maji nusu Lita kisha tenga jikoni ukiwa umefunika Chemsha hadi...
  14. Roving Journalist

    RESOLVED NACTVET: Tatizo la kimtandao lililosababisha kukosekana kwa huduma zetu za mtandaoni limetatuliwa

    Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) linapenda kuufahamisha umma kuwa, tatizo la kimtandao lililosababisha kukosekana kwa huduma zetu za mtandaoni limetatuliwa na kwa sasa huduma zote zimerejea kama kawaida.Baraza linaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza...
  15. Idugunde

    Kupeleka vijana JKT ili waje watoe wananchi sio suluhu ya matatizo ya taifa letu. Tatizo ni ufisadi wa CCM mtandao

    Jamii imeshutushwa na video za vijana walioenda mafunzo ya Jkt wakijinasibu kuwa wapo tayari kutoa mavi wananchi watakaoandamana kudai haki na mabadiliko. Hata huko Sierraleone na kwingineko Wanajeshi wenye mafunzo hawakushinda nguvu za wananchi. Kutishia watu kwa vijana kama hawa ambao...
  16. A

    HOJA Fremu za biashara KMC Complex zimefungwa kwa mwaka mzima licha ya kukamilika; kuna tatizo gani?

    Nimekuwa nikifika katika uwanja wa KMC Complex uliopo Mwenge kuangalia mechi, lakini nimekuwa nikishangazwa na hali ya fremu zinazozunguka uwanja huo. Karibu zote zimefungwa na hazitumiki, hali ambayo nimekuwa nikiiona kwa takribani mwaka mzima. Nilijaribu kufuatilia na kutaka kujua ni nani...
  17. sonofobia

    Nina tatizo la kutopata internet ruta ya airtel. Ili ni tatizo la wote au mimi peke yangu?

    Nina wiki sasa siwezi access internet kutumia ruta ya airtel. Nililipia unlimited bundle 70k lakini nimetumia siku moja tu ndio nilibahatika kupata internet.niliongea nao kwa simu sikupewa majibu ya kueleweka naona uko wanaajiri watu wajinga wajinga wa kuokota wa bei chee maana ilibidi nikate...
  18. T

    Tatizo sio kwamba Watanzania wanataka vurugu Watanzania wanataka tu option ya kuchagua

    Mimi naona kuna kitu CCM inapaswa kukielewa vizuri kuhusu Watanzania. Watanzania kwa ujumla ni watu watulivu sana. Wengi hawataki maandamano, hawataki vurugu, hawataki nchi isambaratike. Mwananchi wa kawaida anataka maisha yake, biashara yake, familia yake na amani yake. Lakini pamoja na hayo...
  19. M

    ND7GU YANGU WA DAMI AMESHAPOTEZA KUMBUKUMBU HANIKUMBUKI TENA. HOSPITALI WANASEMA NI TATIZO LA UBONGO; WHITE MATTER. Nifanye nini mwenzenu,

    1. Nina mgonjwa wangu hivi karibuni amepoteza kumbukumbu, hanitambui kabisa, na ni ndugu wa damu, nakaa nae nyumbani kwangu. 2. Kuna muda anapata nguvu za ajabu anataka kupiga vijana wake, hata dada yake 3. Kuna muda haongei kabisa 4. Kuna muda anaongea, maneno yake kwanini wanataka kumuua. Hapo...
  20. R

    Kuangalia information katika MKoba inasumbua. TCB/Vodacom tatizo ni nini?

    Ukiomba members contributions hupati , inazunguka mpaka session in expire. Au ndio utapeli mnaanza kutufanyia
Back
Top Bottom