tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Hii shida ya kushindwa kununua umeme wa luku,nini tatizo?

    Hivi ninavyoandika,nchi nzima huwezi kununua umeme wa luku,iwe kwenye simu au kwa wakala. Enyi tanesco shida ni nini?
  2. M

    Tatizo nini wakuu mchezaji wetu mkubwa akaona awajengee wananchi msikiti na sio mradi wa kiuchumi?

    Mtu umecheza Afrika klabu kubwa ,umeenda ulaya unacheza lakini kweli ukaona uwajengee wananchi msikiti? Kiwanda hata kidogo tu kingetosha kunyanyua maisha ya wananchi kadhaa na kukuza uchumi wa nchi kama wanavyofanya akina Sadio Mane huko kwao Senegal. Samahani kama kutakuwa na mradi wa...
  3. Huwezi kujidanganya tatizo halipo ikiwa nafsi yako fika inajua kuwa kuna tatizo.🤔

    📖 2 TIMOTHEO 3:1–5 1. Lakini ufahamu neno hili, ya kuwa siku za mwisho kutakuwako nyakati za hatari. 2. Maana watu watakuwa wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda fedha, wenye kujisifu, wenye kiburi, wenye kutukana, wasiotii wazazi wao, wasio na shukrani, wasio safi. 3. Wasiowapenda wa kwao...
  4. App ya CRDB simbaking kwangu haifanyi kazi kwenye device za Android je Kuna tatizo la kiufundi?

    Watu wa CRDB naomba ufafanuzi kuhusu App yenu ya CRDB kutofanya kazi
  5. A

    KERO Umeme Nzega ni tatizo, TANESCO wanaomba radhi na kutuma picha za mafundi ila hakuna maboresho

    Naishi Wilaya ya Nzega, Mkoa wa Tabora, licha ya kuwa ni eneo lenye fursa kubwa za uwekezaji kutokana na rasilimali zake. Hata hivyo, kuanzia Oktoba 2026 hadi sasa, huduma ya umeme kutoka TANESCO imekuwa mbovu sana. Umeme unakatika kila siku bila utaratibu maalumu, wakati mwingine unakaa siku...
  6. A

    KERO Tatizo la Uhaba wa Maji, Ubungo Msewe

    Habari, Kuna uhaba mkubwa wa maji baadhi ya maeneo ya Dar es Salaam (Ubungo Msewe). Kwa hali hii ya hewa kukosa maji ni jambo la hatari sana, ukizingatia sisi ni watanzania walipa kodi. Hivi karibuni serikali imetangaza fungu la El nino huku mwenyekiti wa bodi DAWASA akijitapa kuimarisha...
  7. F

    Ukame na kuadimika Kwa maji nchini kumeongezeka sana alipoingia Waziri Aweso, tatizo ni Nini?

    Hellow! Ndugu aweso, unapeleka wapi maji? Kuna Maeneo ambayo hayakuwahi kuwa na shida ya maji, lakini Leo tatizo ni Kila mahali. Tueleze tujue njia unayotumia kukausha vyanzo vya maji ili wananchi tuhangaike, Maji yangekuwa ni twiga wa Serengeti, tungesema yanasafirishwa nje ya nchi, Sasa...
  8. A

    KERO Naomba msaada, majina yangu kwenye kanzidata ya chuo kuna herufi hazijamalizika hivyo nashindwa kukamilisha usajili

    Habari wanajamii, Naomba msaada na ushauri kuhusu changamoto ninayokutana nayo wakati wa kufanya usajili wa chuo. Vyeti vyangu vya Kidato cha Nne na Kidato cha Sita (nakala halisi) vinaonyesha majina yangu matatu kwa usahihi likiwemo jina CHRISTOPHER Vilevile, ninapoangalia taarifa zangu...
  9. Gari likiharibika, mwenye gari anaona tatizo, lakini mfanyabiashara wa vipuri anaona fursa!

    BIASHARA YA VIPURI VYA MAGARI NA PIKIPIKI: FURSA YA KUJIAJIRI TANZANIA Gari likiharibika, mmiliki anaweza kuahirisha safari, lakini hawezi kuendelea kulitumia bila kurekebisha tatizo. Hapo ndipo fursa ya biashara ya vipuri inapoanzia! Biashara ya vipuri (Selling Spare Parts) inahusisha kununua...
  10. TATIZO LA FIGO LINATIBIKA;

    Habari wana Jamii Forum, tatizo la figo limekuwa changamoto kwa wengi kunayo tiba asili yenye matokeo chanya kwa mwenye tatizo hilo karibu utatumia dawa hii ya asili kwa siku 21 tu na kuona matokeo yake.
  11. M

    Mafundi wetu hawajui kusema "SIJUI". Kila kitu wanalazimisha, mwisho wa siku unalipa pesa nyingi lakini tatizo linabaki au yanaongezeka mengine.

    Na ndio maana sikuhizi gereji za wachina zinazidi kuwa na demand kubwa, mtu anaona ni heri alipie mara tatu kuliko kwenda garage za mafundi wabongo. Mafundi wetu wana tatizo moja kubwa: hawajui kusema "SIJUI." Kila kitu wanalazimisha kukitengeneza hata kama hawana uelewa nacho. Mwisho wa siku...
  12. Je tatizo ni Benjamin Netanyahu?

    Nchi ya Israel inaongozwa na falsafa ya kijasusi na kijeshi inayoweka usalama na uwepo wa taifa hilo kama kipaumbele cha kwanza kuliko kitu kingine chochote, ikiwemo sheria za kimataifa au mahusiano ya kidiplomasia. Msimamo huu unatokana na mazingira yao ya kihistoria (kama vile Maangamizi makuu...
  13. M

    Matukio ya kujirudia rudia ya Majengo kuanguka mwaka 2026 Kenya, tatizo nini?

    Kuanguka kwa majengo nchini Kenya mwaka 2026, hadi lini tutapoteza maisha? Leo Tarehe 23 Oktoba 2026, macho ya Wakenya yanaelekezwa Eastleigh, Nairobi, baada ya jengo la ghorofa nyingi zaidi 10 lililokuwa kwenye ujenzi kuripotiwa kuanguka. Tukio hili linaibua Maswali, Je, usalama wa majengo...
  14. H

    Usafiri kutoka Mbagala mgeninani kwenda kariakoo/steshen ni tatizo

    N lini LATRA watafuatilia suala la daladala za vikunai - gerezani /steshen kukatisha route? Nu miaka mingi sasa magari yakanatisha route na kuishia mbagala kuu ilihali yanapaswa kufika mgeninani had vikunai
  15. M

    Kuna tatizo gani kiwanda cha Tanzania distillers Ltd kuacha kuzalisha Valeur brandy? Wateja wanahangaika sana

    Kinywaji hiki pendwa hapa nchini kimetoweka kwenye soko. Kinapendwa sana na wateja wangu. Kama zaidi ya miezi mitatu kimepotea kwenye soko.
  16. USAJILI TELEGRAM TATIZO, NAOMBA MSAADA.

    Kwema wakuu, hivi hapa nifanyeje ili niweze kujisajili bila kulipia?
  17. Yanga kuna tatizo la sehemu ya kiungo. Duke, Mudathir na Ngoma awatoshi ni magalasa

    Kadri siku zinavyoenda sehemu ya kiungo ya Yanga inazidi kuwa exposed. Ni tatizo kubwa la msimu huu na ndio tatizo litafanya tuishie makundi kwenye champions league endapo titafuzu. Muda, Ngoma, Abuya sio viungo wa kutupeleka popote. Mbaya zaidi wakichemka ndio hakuna kabisa replacement yao...
  18. M

    Mpanzu ni tatizo, tatizo lenyewe ni uchoyo/kukaa na mpira badala ya kutos pasi!

    Simba wangefunga goli la kwanza mapema sana kama si Mpanzu kukaa na mpira bila kutoa pasi hadi kikabuma! Ina maana mwalimu huwa hamwambii?
  19. Huenda tatizo la jamii yetu si kwamba watu wamekuwa wabaya, bali tumetengeneza mazingira yanayowazawadia watu wenye tabia mbaya.

    Kuna jambo ambalo nimekuwa nikilitafakari kuhusu tabia za watu katika jamii yetu. Tunapozungumzia rushwa, unafiki, ubinafsi, udanganyifu na kupotea kwa uaminifu, mara nyingi tunahitimisha kwamba watanzania ni wajanja wajanja na matapeli kwa asili. Lakini je, tumewahi kujiuliza kama mazingira...
  20. M

    Watanzania wengi tuna Reactive mindset; tunangoja tatizo litokee ndipo tuchukue hatua, tulifundishwa kutii kwa hofu kuliko kuchukua hatua mapema

    Na ndio sababu tuna visingizio na lawama nyingi !! Ukiangalia maisha yetu kwa karibu, utaona hii tabia ipo kwenye maeneo mengi. Deadline ikikaribia ndio kazi inaanza. Mtihani ukikaribia ndio kusoma kunaanza. Mgonjwa akizidi ndio tunakimbilia hospitali. Gari likiharibika kabisa ndio tunakumbuka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…