tarehe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Pre-Session Meeting ya tarehe 05 Agosti 2026 - Ni mwanzo kwa ATL kuwa Huru na Masharti ya Common Wealth Kufuatwa???

    Mnamo tarehe 31 Julai 2026 Mahakama Kuu umetoka barua yenye kichwa cha habari Pre Meeting Session kuhusiana na kesi ya ATL. Je, huu ndiyo tutegemee DPP akisema Hana nia ya kuendelea na kesi hii ya Uhaini na baada ya hapo kumuona Mh. ATL akikaribishwa Ikulu kupiga picha na Namba 1??? Je...
  2. livingroom_espionage

    Nina idea ya HIV POSITIVE CARRIER MARATHON itafanyoka Dodoma siku na tarehe kama ya leo mwezi wa 11.

    Nipo siriaz na nitajaza Dodoma mara kumi zaidi ya leo. Wadau na ambao mpo siriaz mnifuate PM NB: Hii idea kama IP ipo copyrited. Nawasilisha nikiwa na moet 3 pembeni hapa ya mfanyakazi wa zamani wa zile ndege za Dar to mbeya kwa elfu 60,000/=.
  3. L

    Jeshi la Polisi lipige marufuku na kuzuia mkusanyiko unaotaka kufanywa na BAVICHA mkoani Dodoma tarehe 12 Agosti kutokana na kuwa na viashiria vibaya

    Ndugu zangu Watanzania, Nimeona tangazo la Mwenyekiti Wa BAVICHA Taifa Deogratias Mahinyila Akisema watakuwa na mkusanyiko wa vijana utakaofanyika pale Dodoma wakitaka ama wakiwa na ajenda za kutaka Katiba mpya na kuzungumza mambo mengine ya kisiasa . Sasa kwa jicho la kijasusi na jicho la...
  4. The Palm Beach

    DED - Maswa, Bw Maisha Mtipa alazimisha watumishi wa umma wote Maswa DC kwenda kukesha na mwenge (Kibatari) tarehe 27/7/2026 uwanjani!

    Mliokuwa hamjui ni kwamba; Moja ya hirizi ya uchawi wa CCM ulioteka na kuharibu akili za watu na kuwa kama mazezeta ni hii koroboi inayoitwa "Mwenge wa Uhuru..." Godbless Lema wakati fulani aliwahi kusema, umefika wakati hiki kibatari kipelekwe na kutunzwa ktk makumbusho ya taifa kama...
  5. M

    Nchimbi unawatakia nini vijana ? Ya tarehe 29 uliyakalia kimya unataka vijana waingie barabarani kwa ulinzi upi ?

    Na katika hali ya sasa katiba imeshindikana kabisa kupatikana kwa njia ya kidiplomasia Kwa muda mrefu zimekuwa ni sinema zetu za kujirudia Vijana wengi sana tumewapoteza waliouwa wakitaka katiba mpya na kilele kilikuwa ni October 29 Je muda huo Nchimbi alikuwa wapi akikemea ? ndie anataka...
  6. Brother Depo

    Netanyahu Kukutana na Trump Ikulu ya Marekani Siku ya Jumanne Tarehe 28. Neyanyahu Anakuja na Operation Endgame

    Mbabe wa vita jabali nguli mwamba Benjamini Netanyahu Bibi mwanzoni MWA wiki ijayo siku ya jumanne atakutana na Trump huko marekani kwenye ikulu ya marekani. Natanyahu anatarajiwa kuja na operation mpya aliyoiita Kwa jina la "Operation Endgame", hii Kwa watoto wa uswahili tunaiita kata funua...
  7. Frank Wanjiru

    Hii kampeni OPOWAZ ya tarehe 8/8/2026 ina ukweli wowote?

    8/8/2026 utafanyika uzinduzi mkubwa sana wa kampeni ya OPOWAZ hii ni kampeni rasmi ya kuwaondoa wazanzibari Tanganyika na watanganyika warudi nyumbani kila mmoja akae kwake ajenge nchi yake hivyo basi kama umepangisha mzanzibar jiandae kumuondoa kwaamani kukwepa hasara , Nduguzetu watanganyika...
  8. A

    Mrejesho kuhusiana na taarifa kuhusiana na Kituo cha Afya Kigamboni: Hatua zimechukuliwa, asanteni JamiiForums

    Hello wanajukwaa, Nichukue nafasi hii kumshukuru Mungu kwa afya na uzima anaotupa kila siku, pia niwashukuru jamiiforums kwa kuwa karibu na wananchi kwa kupeleka kero zetu mahali husika na utatuzi kutolewa kwa wakati(Asante Team JF). Mwezi wa tatu ilipostiwa kero kuhusu kituo Cha afya Kigamboni...
  9. Mshana Jr

    Maazimio ya kikao cha Kamati Kuu kilichoketi tarehe 30 Juni 2026 Sunset Vista Hotel, Kigoma Mjini

  10. Beira Boy

    Tunatangaza tarehe 8/8 kutakuwa na maandamano makubwa sana ambayo hayajapata kutokea

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Leo tumewaachia police Tukutane barabaran tarehe 8/8 LONDON BOY
  11. Mad Max

    Tarehe 23 July 2026 Kuna Wapuuzi watalipa Tsh. Million 5 kumuona mtoto wa Wema Sepetu!

    Kwamba tar 23, ndio 40 ya dogo. Sasa maza kageuza mtaji kwa kuchaji laki 1, 3, 5 na Mil 5 kumuona bwana mdogo. Watu mna hela za mchezo.
  12. M

    Polisi Dodoma: Tumeweka askari wa kutosha sana Mtaani, hali hiyo itaendelea mpaka tutakapoona tarehe iliyopangwa tumepita kwa Usalama

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limesema kuwa majukumu ya ulinzi na usalama wa rai na mali zao ni jukumu lao na sio kikundi cha watu Akizungumza wakati akihojiwa Jambo Tv, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, ACP Gallus Hyera amesema kuwa kama watu wanazo taarifa zinazoashiria uvunjivu wa amani ni...
  13. G

    Wanaharakati wanasababisha walinzi wetu na viongozi kuandamana mwezi mzima kabla ya tarehe 7/7 si ajabu wakaahirisha tena wakapanga tarehe nyingine

    Wanaharakati wanasababisha walinzi wetu kuandamana muda mrefu zaidi kuliko waandamaji wenyewe jambo ambalo linachosha vyombo vyetu . Kama wataamua kuahirisha hiyo tarehe na kutangaza tarehe nyingine wataendelea kuleta mzigo mkubwa na uchovu Kwa vyombo vyetu kwakweli Maandamano yanaruhusiwa...
  14. M

    Afrika Kusini kimenuka maandamano ya kupinga waafrika wengine nchini humo

    Wamesahau kuwa waafrika wengine ndio waliowaunga mkono katika mapambano yao dhidi ya ubaguzi wa rangi! Leo waafrika toka nchi zingine ndio wanaowindwa na kufurumishwa bila heshima yoyote! Kwa maneno wanadai wanapinga wagamiaji haramu, kakini kwa vitendo wanavamia waafrika wowote na kuwatimua...
  15. figganigga

    Mabango ya Maandamano ya Tarehe 07/07/2026 yaanza kusambazwa

    Wananchi wa Tanzania wanaendelea kusambaza vipeperushi vya maandamano ya 7-7. Wanataka TUNDU LISSU aachiliwe huru. Wanadai Katiba Mpya Kutaka Mateka wote waachiliwe huru Na utawaka haramu utoke madarakani.
  16. Titicomb

    Maandamano ya vijana tarehe 22 Oktoba 1966 dhidi ya 29 Oktoba 2025: Nyerere akili kubwa hakumwaga damu.

    Kwa mujibu wa rekodi za kihistoria, yalifanyika maandamano siku ya Jumamosi, 22 Oktoba 1966. Hapa chini kuna mfuatano wa matukio kwa tarehe: 4 Oktoba 1966: Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilipitisha sheria iliyofanya National Service (JKT) kuwa ya lazima kwa wahitimu wa Kidato cha...
  17. RRONDO

    Tarehe Mbaya Hizi...

    Wazee wa magari tarehe mbaya hizi na Hormuz imepigwa pin basi inakuwa double trouble. Mshale wako umesimama wapi? Cc Mad Max
  18. Roving Journalist

    Bunge la 13, Mkutano wa Tatu, Kikao cha 50, tarehe 16 Juni, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=1DWPVZLDxLk
  19. Mohamed Said

    Iweje Zanzibar Tarehe 1 Muharam 1448 Sikukuu Inaadhimisha Mwaka wa Kiislamu Bara ni Siku ya Kazi?

    https://youtu.be/6tQNJaVTWlo?si=kcNDLLVOAAy8RaOA
  20. Troll JF

    Ewe uliyoko Tanzania, Usije Ukaratibu, Ukatoka, Ukaandamana tarehe 7-7-2026

    Nawaonya vijana maana nyinyi ndiyo mnashikika masikio kirahisi msije mkajaribu kuratibu, kupanga na kuandamana tarehe 7.7.2026 kutakua kuna show ambayo haijawahi kutokea. Vyombo vya Ulinzi na Usalama vimejiandaa kikamilifu kwani huwa mnakosa tactical na kutangaza mapema mtachafua sana Lami...
Back
Top Bottom